Shekh mtassavasy asalam alaikum ukiota uko kwenye sherehe ya maulid hii inamanisha nini
@MTAVASSYTv11 ай бұрын
ukiota upo kwenye sherehe ya mualid ni ishara ya kwamba muonaji anajitahidi kujikurubisha kwa Allaah , au kukaribia kupata tarifda njema
@VeronicaStivin-o3p11 ай бұрын
Shekhe, naomba msaada Kuna ndoto mbili nimeziota.yakwanza tunaenda kuchota maji tuko kama watu sita kwenye Barabara tunayo pita inanyasi mm niliona pesa ambayo ni elfu kumikumi2 nazilikuwa nyingi basi tulienda kuchota maji natukarudi nawezangu waliingia ndani kunywa chai namm nikabaki nje nikafuata zile pesa nanikawa nazihesabu,
@AzizaGogo-gi7mt8 ай бұрын
Asalam aleykum .nimeota natoa pete ya dhshabu kidole kwangu nampa mtu hiyo pete nasemamhii siyo yangu.nini maana yake shekhe
@MTAVASSYTv8 ай бұрын
wewe utamkataa mume au mwenza wako kwa kuona sio mtu mnasaba, kama tu ndoto yako itasema kweli
@hamzaforogo Жыл бұрын
Assalaam alaykum, shekhe nauliza , ukiota umepanda ndege Halafu ndege ikaanguka katika hiyo ndege kuanguka nikanasa humo humo lakini sikupata msaada wowote nikapapatua nikavunja sehemu nikatoka nje nilivyotoka nikaona watu wengi sijui kama palikua ni eapoti au Vipi , nini Tafsir yake shekh
@MTAVASSYTv11 ай бұрын
wa,salaamu warahmatulaahi, ondoa khofu, ila fanya toba wewe kuna mashaka umefanya dhambi kwani ndege bila shaka imeanguka kutoka juu na Allaa asema hivyo kwenye
@MTAVASSYTv11 ай бұрын
quran
@MTAVASSYTv11 ай бұрын
walakini watu wenye kuzongw na majini huona hii ndoto pia mara nyingi