ALIYESEMA ANAMUUZA MTOTO TIKTOK, HII NDIYO ADHABU YAKE, WAKILI AFUNGUKA

  Рет қаралды 35,840

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 171
@WakandaInk
@WakandaInk 8 сағат бұрын
Sasa Mbona Watekaji kila siku Wanaongezeka alafu Mambo Ya mtandao ndio Yanafatiliwa sana .
@macklineremmanuel1742
@macklineremmanuel1742 13 сағат бұрын
Hakuwa anatambua apewe elimu tu jamani sio kuhukumiwa
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 9 сағат бұрын
Unaambiwa kutokujua sheria sio sababu ya wewe kutokuhukumiwa. Je, na wengne wakifanya makosa kwa makusudi kwa kisingizio kuwa hawakujua sheria?
@GwessoEdwinGwesso
@GwessoEdwinGwesso 22 сағат бұрын
Huyo mmemuonea bure kabsa
@pajokakasasa
@pajokakasasa 9 сағат бұрын
watekaji hawakamatwi😢
@ZepaniaJoseph-f4i
@ZepaniaJoseph-f4i 19 сағат бұрын
Lakin jamaa kajisalimisha mwenyewe police kwa nn wasimsamehe tu nikijana mwenzetu heb lioneni na hilo amesha omba msamaha mwenyewe na hakutaka kusumbua serikar
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Сағат бұрын
Wamsamehe😢😢
@raiderking4637
@raiderking4637 10 сағат бұрын
Sheria inafunga masikini tu
@JeniphaEdward-w2b
@JeniphaEdward-w2b 6 сағат бұрын
Alisema anauza Figo sio sawa kakosea sana serikali IFANYE KAZI yake
@NoviaRaphael
@NoviaRaphael 45 минут бұрын
Daah bado kijana mdogo sana jamani kwenda kukaa jera hiyo miaka ni mingi sana kwa vile mwenyewe kakiri kua alikua anatania tu basi asamehewe tu nakupewa elimu kua siyo sawa hata kama alikua anatania 😢
@AwaziRajab
@AwaziRajab 55 минут бұрын
Lilimsaka Kwani.Alikimbia Sema Ushamba Wa Mitandao2 Mana Ingekua Kweli Asingeweza Kufanya Ivo Ushamba Wa Mtandao Simu Zimekuja Muda Mfupi Sana Sasa Wanasaka Kujulikana Kwa Kasi
@SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r
@SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r 9 сағат бұрын
Jaman 😢utani mwengne duuh 😢
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 12 сағат бұрын
Wamsamehe tu na wasimpotezee muda wake.wamwachie aende akapambane na maisha aitunze familia yake.
@catherinensemwa3907
@catherinensemwa3907 21 сағат бұрын
Mama yake Martha Mwaipaja kaomba msaada kwa viongozi wa dini na serikali kalia kwenye interview zaidi ya 5 na hakuna aliyejigusa kumsaidia mama yule SO SAD
@aloycekomba1
@aloycekomba1 20 сағат бұрын
we cathe ww asaidiwe Nini anaacha kuyajenga na mwanae anamchafua mitandaoni. nayy anataka kuwa maarufu kupitia kumchafua mwanae, Kila media ikija anafungua mdomo tu sasa mama kama huyu unamsaidia nn?
@DorcusMulokozi
@DorcusMulokozi 22 сағат бұрын
Watekaji hawakamatwi na kama wanawakamata surazao mbona haziwekwi hazarani
@hboywasasa
@hboywasasa 14 сағат бұрын
Wa tekaji hawakamatwi sawa huyo kaonekana lazima akamatwe selikali ya mama tulionayo sasaivi aitaki masihala kaka we fanya masihala utajuta huyu apewe azabu ya jela
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 13 сағат бұрын
​@@hboywasasambona hawakamati mashoga. Na wapo wanaonekana
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 12 сағат бұрын
​@@RamadhaniKitala-gx6wchapo umenena uzuri,hongera.
@DorcusMulokozi
@DorcusMulokozi 12 сағат бұрын
@@RamadhaniKitala-gx6wc nilitaka nimjibu kwa makasiriko huyo alosema serikali ya mama haitaki mchezo nikakumbuka nina watoto wadogo wananitegemea
@DorcusMulokozi
@DorcusMulokozi 12 сағат бұрын
@hboywasasa sasa kaonekana anafany nn we nae think less huyo ni content imemponza katika harakat za kutafta followers nothing else ila waharifu ndo walipaswa kupewa hizo hekaheka
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 6 сағат бұрын
Wangekuwa Sirius na vitu vingine vya msingi basi tanzania ingekuwa salama mikononi mwa polisi
@AliceKamugisha-dd5ry
@AliceKamugisha-dd5ry 9 сағат бұрын
Hili ndo Liwe funzo, content za kipumbavu Kuna wale wanatengeneza maudhui ya matendo ya ushoga na za kingono.. tuamia kwao pia Good job
@manambavideoproduction8394
@manambavideoproduction8394 23 сағат бұрын
Wamusamehee tu utani wa mitandao.. watu wanamtania had rais wa nchi sembuse mpwa wake
@ziggertv3185
@ziggertv3185 22 сағат бұрын
Mi naona kafanya content2
@manambavideoproduction8394
@manambavideoproduction8394 22 сағат бұрын
@@ziggertv3185 kweli kabisa..ni maudhui tu wao watoe elimu ili watu waelewe ni kosa lakn isiwe kesi kihvo jaman
@buharimwanga284
@buharimwanga284 21 сағат бұрын
serikali itasamehe wangap na ubaya huyo sio maarufu haya mambo huwa yanalemazwa na mastar wetu kuna watu wanafanya mambo ya hovyo kisa maarufu wanaachwa mfano amba ruti uwoya na wengineo walishaomba msamaha kwa jeshi la polisi hii tabia imekuwa imekomaa nchini kwetu sa huyo si maarufu @polisi tanzania anzeni na hawa vioo vya jamii
@DanielPaulo-p9g
@DanielPaulo-p9g 18 сағат бұрын
Apana wamsamehe2​@@ziggertv3185
@MarthaMvanga
@MarthaMvanga 14 сағат бұрын
Yule Alie chana pic ya raisi unajua Yuko wapi , nao wamezidi kuropoka wengine watajifunza
@DanielPaulo-p9g
@DanielPaulo-p9g 18 сағат бұрын
Jaman 😢 niuruma sana siwamsamehe 2uyo kijana jamani m o inatisha sana
@AwaziRajab
@AwaziRajab 53 минут бұрын
Apewe Elimu Ya Mtandao Ushamba2 Simu Zimekuja Siku Chache Izi
@SarafinaSaimon-p3l
@SarafinaSaimon-p3l 14 сағат бұрын
Wanacha kukamata mashoga jmn khaaaa😢😢😢😢😢
@EvaAden-n9x
@EvaAden-n9x 9 сағат бұрын
Mashoga hawauwitu dear tatizo now hatuwaamini hata ma baba wanauwa watoto angalia vifo vya watoto ni Ving mno
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 9 сағат бұрын
Kwahyo ushoga ndio kosa kubwa kuliko kuuza figo za watoto?
@Mwajumaramadha
@Mwajumaramadha 8 сағат бұрын
Jinga
@EmmanuelZyunga
@EmmanuelZyunga 12 сағат бұрын
😂😂😂alikua anataka kujulikana ndo kajulikana ivyo alichokua anakitaka kakipata si ndo kiki tayari kwaiyo asilaumu mtu
@stanymccary7136
@stanymccary7136 11 сағат бұрын
Alikuwa anatania bhn, anamuiga yule jamaa wa magari wa million 3 na laki 8 tajiri
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 13 сағат бұрын
Ana haki kukamatwa. Wengine watajifunza na kujua siyo kila jambo mtandaoni.
@GuzuraGuzura
@GuzuraGuzura 22 сағат бұрын
Wamsamehe bna, ameshaomba msamaha kwamba alikuwa anatania tu.
@DanielPaulo-p9g
@DanielPaulo-p9g 18 сағат бұрын
Nikwaukweri yamni mbona watanzania tunapoelekea inchi yetu inakua kama japapan tunapo shindwa kusamehana wenyewe atatusamehe nani jaman tubadilikeni kwaukweri walasio vizuri
@milkahappyphanus8823
@milkahappyphanus8823 23 сағат бұрын
Ila John kweli ana matani sana , kijana fungua mwaka 2025 mwambie mama mtoto awe shaid ,ahh umetuacha hoi wana sengerema😂😂 pole
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 8 сағат бұрын
Asamehewe tu ni mitandao tu 😢😢😢
@Jamila_1996
@Jamila_1996 8 сағат бұрын
Wamezidi huko tiktok wanaweka content za ajabu ajabu tu. Wataacha sasa
@AsmasaidiTitu
@AsmasaidiTitu 4 сағат бұрын
Wewe hapo mtu akutishie nakuua utaenda ripoti au utamsamehe tena mbele ya Dunia mzma ww utachukuriaje maana nidunia mm npo arabuni nanimerijua hilo
@denishaule6314
@denishaule6314 Сағат бұрын
Kama mtoto ni wake bas asamehewe na apewe elimu ili aweze mlea mtoto wake….serikal iko sahihi lkn vijana mda mwingine maisha yantupeleka kasi mno
@josiacharles2778
@josiacharles2778 3 сағат бұрын
Hii siyo sawa sana 😮
@wonderpersonhb3551
@wonderpersonhb3551 2 сағат бұрын
Kigogo anatukana sana mbona kimyaa😢
@Dorolifeathome
@Dorolifeathome 18 сағат бұрын
Wamsamehe tu. Akuwa serious uyu kaka
@Isackkayanda
@Isackkayanda 6 сағат бұрын
Dgo namjua sana
@manyandaDuke-py8hm
@manyandaDuke-py8hm 17 сағат бұрын
Na watekaji wangetafutwa na kufatiliwa hiv nadhani ingekuwa murua sana
@justinekasmiry3390
@justinekasmiry3390 21 сағат бұрын
Eti watekaji wana achiwa na wanaobaka af huyo anafungwa sio kwel
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k 14 сағат бұрын
Fanya na wewe mistake uone ndugu KA mdomo angalia sana WAZIRI WA WIZARA ndo katoka maelekez Sasa yaanzaje kupingwa acha mihemko
@LucasMapundu
@LucasMapundu 7 сағат бұрын
Mahakama pia iangalie watu wangapi wanafanya biashara Kwa kutangaza hvyo angalieni mamb yakufatilia hyo apewe elimu naso kumkamata kumfunga bana mnajua ata sisi tunaakili timamu eee
@dullah-f7p
@dullah-f7p 22 сағат бұрын
watekaji hawakamatwi ila mambo ya kipumbavu ndio polisi wanatafuta kiki
@RayMakini
@RayMakini 11 сағат бұрын
Nakubaliii hendryiiiiiiii Mwana GPS nipo na ukuu
@AsmasaidiTitu
@AsmasaidiTitu 4 сағат бұрын
Asante police kwa sababu watoto wanafanyiwa ukatiri jee angepotea huyo mtoto kweli maana mabedui wanaweza ona hii ndio furusa
@yohanalukindo3737
@yohanalukindo3737 13 сағат бұрын
Alijipeleka mwenyewe polisi
@VeronicaVeronicapeter
@VeronicaVeronicapeter 7 сағат бұрын
Serikali bhn mbona waharifu amuwatafuti .basi semeni nikipi kinatakiwa na nikipi akitakiwi
@majalaworldwide
@majalaworldwide 18 сағат бұрын
Msiuuuuu nchi Ina Mambo mengi
@MfiriNasawe
@MfiriNasawe 48 минут бұрын
MH kumbe aliyeua anafungwa Mia 30 na alijaribu kuuwa ni kufungwa maisha
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 4 сағат бұрын
Serikali ya Tanzania inapenda kiki yena sana kwa watu wa hali ya chini yani inapenda kuonea watu wanyonge ... Waende kuwaajibisha hao wezi wenzao wanaofanya madhambi na kudhurumu pesa ya uma kenge hao
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 14 сағат бұрын
Hajakamatwa kajisalimisha mwenyewe.
@mdl6463
@mdl6463 8 сағат бұрын
Mimi hata sielewi anavyodadafua main point kasema alikuwa anatania serikarey kafikasha UJUMBE kwa hadhira😂😂😂😂
@SamilyLove-bt6qr
@SamilyLove-bt6qr 4 сағат бұрын
Naogp ata kuandika kitu
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 9 сағат бұрын
Comedy gan hyo au kuna mtu alicheka wakat anatangaza kumuuza mtoto sheria ifuate mkondo
@JulyNabeel
@JulyNabeel 7 сағат бұрын
Ushaaambiwa Mjomba ake wew bado una kaz unafikiria dada ake huyo kijana mwenyewe mtoto huyo atakubali mdgo ake afungwe
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 7 сағат бұрын
@JulyNabeel Sheria ikikazia dada ake hatokuwa na saut yoyote kaka kaa kwa kutulia huyo kwanza katushia kuua
@MariahJuliuss
@MariahJuliuss 21 сағат бұрын
Shikamoo mkono mlefu huo 😢😢😢😢😢
@KhamisiKihwele
@KhamisiKihwele 11 сағат бұрын
Nadhani tungetengeneza katiba mpya tuache longolongo za aina hiyo.
@SurprisedAstrolabe-id9gc
@SurprisedAstrolabe-id9gc 11 сағат бұрын
Aliyesema " hiyi ni yangu, mi nayigawa, mi nayiuza tu, mali yangu(kuma) alafu baadae akamtaja Rais katika upumbavu huo mbona hakutafutwa😂😂😂
@KaroliMagana
@KaroliMagana 6 сағат бұрын
Hivi kweli hata kama sijasoma kweli muuaji anaweza kujitangaza hadharani social media kuwa yeye muuaji?
@Blandinakanini
@Blandinakanini 4 сағат бұрын
Kujeni kenya wanaunza viungo vya wanatamu
@ammyskills5588
@ammyskills5588 Сағат бұрын
Je, ni sawa mtoto mdogo kama huyu ambaye bado hata hajaanza kujua jambo zuri na baya kumfanyia hivo halafu unakuja kusema ni utani?😢
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 21 сағат бұрын
Yani hata ukijamba tu hao ila ukinya safi 😂
@Asha-s9u8p
@Asha-s9u8p 14 сағат бұрын
😂😂😂 na kunya wanye wao ukinya wewe msala
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 22 сағат бұрын
😢😢😢utani Kama utani
@SofiaS-i5r
@SofiaS-i5r 15 сағат бұрын
Wamsamehe tu kwani c alishaomba msamaha
@billgatejuniour8797
@billgatejuniour8797 7 сағат бұрын
Nahisi nguvu kubwa ingetumika kuwasaka waliomuua Ally kibao😢
@AlifuRamadhan
@AlifuRamadhan 4 сағат бұрын
Naaam kumbe aachiwe
@selemansaid9295
@selemansaid9295 12 сағат бұрын
Sijui kwanini uku kwetu Sudan serikali yetu inapends Sana kuchukulia serious kwenye mambo ambayo AYANA maana, inawekeza nguvu kweny upuuzi kisha kwenye mambo serious inapuuzia, ni uku kwetu nchini Sudan kusini ambako Kuna mapigano na vita visivyo Isha.
@SimonMabigi
@SimonMabigi Сағат бұрын
Huyo hakuwa na Nia bana ya kufanya hivyo acha neni naye Kuna mambo makubwa ya ku deal nayo
@Kihumbimedia
@Kihumbimedia Сағат бұрын
Ila jamani jamaa kaonewa au wadau mna semaje?
@IkramMbega
@IkramMbega 11 сағат бұрын
Ukumu inamuhusu tusilaumu selikali kamwe kontnt sio kwa watoto wasio jua lolote juu ya faida yako umemualibia maisha mtoto kwakunadi kama bithaa
@VeronicaVeronicapeter
@VeronicaVeronicapeter 7 сағат бұрын
Daaah jamn mpk utani
@JahedaSalmin
@JahedaSalmin 12 сағат бұрын
Matani mengine ayafaii jamani 😢😢
@JoeBoy-h9s
@JoeBoy-h9s 9 сағат бұрын
Serikali msameheni tu ,mtu amejisalimisha vizuri tu ,mnawaacha wauaji huyo mna taka kumfunga
@noahchepe8036
@noahchepe8036 22 сағат бұрын
Duh hii nchi lzm ujihadhari. unafanya utani wakulu wamelivalia njuga
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 12 сағат бұрын
Badala ya kukomaa na wala rushwa huko ila ikatokea mtu kafanya kautani kadogo tu wanamshupalia na wasipoangalia wanaweza kuvunja ndoa yake.Kaomba msamaha ,kaja kujisalimisha kituo cha polisi apewe elimu kwa muda usiozidi dakika ishirini,aruhusiwe arudi nyumbani akapambane na maisha aitunze familia yake maana siku hizi maisha magumu.Msije mkamng'ang'ania mahabusu na kumzalishia tatizo jingine.
@IreenMahenge
@IreenMahenge 5 сағат бұрын
😂 badala Kiki imekuwa kikifotati an hiyo ya kwanza kesi ya pili2 subili akue utaflahii Tena utakuwa kikongwe sa itakuwaje matangazo tu ya papasi yale sijui mafuta ni tatizo watoto wakikua as we an bola usinge tamka neno anafigo da badala ya sifa imekuwa saklifayi
@SijaOlomi-e3e
@SijaOlomi-e3e 19 сағат бұрын
Ayo Frida Amani show kali
@machindafadhili3186
@machindafadhili3186 12 сағат бұрын
Kiukweli anastaili adhabu, maana mtoto angefariki kila mtu angesema ni yeye hata kama hajausika. Kwaiyo mitani mingine tuache, Serekali haitaniwi ndugu zanguni
@AnethSwila-tw9mv
@AnethSwila-tw9mv 9 сағат бұрын
Mbona wanaojigeuza asili Yao wanajifanya wanawake hamwaoni ...sawa tunajua alichezea uhai wa mtu pia wajifunze kutumia vizuri mtandao pumbavu
@JasminiJamsoni
@JasminiJamsoni 6 сағат бұрын
Sio poa ichi yetu iko gizani kwer vibaka wanazdi mitana kila siku watu wanavamiwa Hali mbaya mitana achan nane na hizo mambo tupeni ajila
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Сағат бұрын
Yoo wamsame kijana wa watu ameomba msama wa tanzania wote na serikali amekili
@samwelryakwama1997
@samwelryakwama1997 22 сағат бұрын
aiseee
@janetchinga695
@janetchinga695 22 сағат бұрын
Niutani wavijana tu yoooo
@JeniphaEdward-w2b
@JeniphaEdward-w2b 6 сағат бұрын
WATOTO wanapotea sana lazima akamatwe Tena AZABU kali
@MashakajumanneSuddy
@MashakajumanneSuddy 13 сағат бұрын
Wanaoteka hawakamatwi wanaoiba Hela za selikal hawakamatwi ila hii nchi yaajabu Kweli.
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 9 сағат бұрын
Mimi ni mwanasheria pia... Huyu kijana anaweza pia kushtakiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya mtandao... Kumbuka pia, kumpost mtu mtandaoni bila ridhaa yake hasa mtoto, ni sawa na kumuoa mtoto chini ya miaka 13.... Na hapo hushtakiwi na wazazi au huyo mtoto mwenyewe.. bali unashitakiwa na JAMUHURI chini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Nawasirisha jamaani
@EmmanuelZyunga
@EmmanuelZyunga 9 сағат бұрын
sahihi mkuu maana ukizingatia vitendo vya kupotea kwa watoto vimekua vingi na majanga mengine yamekua mengi kwaiyo lazima wakuchukue maelezo tu
@ZaiduGillah
@ZaiduGillah 11 сағат бұрын
Ivi imagine mtu yupo serious kwel auze mtoto kupitia TikTok dogo alikua anatafuta tu content hebu selikali kueni serious basi msituonee sisi wanyonge tusiokua na hela kama mko serious kwel na kazi yenu tunaomba akamatwe aliemteka mzee kibao sativa tarimo na wengine wengi mtuonyeshe. Tunaomba kama raia uyo kijana aachiwe
@shaameshaame-g3d
@shaameshaame-g3d 14 минут бұрын
Acha anyooshwe ili awe maarufu zaidi. Chuma hakiwez kuwa kigumu bila kupitia ktk moto mkali
@nicoluskanegene5394
@nicoluskanegene5394 20 сағат бұрын
TATIZO LIPO KWA WAZIRI WA WATU WACHACHE NI MSHENZI SANA YULE MAMA
@ProJays
@ProJays 16 сағат бұрын
Usesema mshenzi uyo Mama anglia yule mtto albino alivyofnywa
@nicoluskanegene5394
@nicoluskanegene5394 9 сағат бұрын
@ProJays aneshasema albino na wote tunajuwa kuhusu malbino njisi watu wanavyowachukulia
@EGM-TZ
@EGM-TZ 14 сағат бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians ukifuatilia maisha ya sasa utagundua kuwa EGM Hatuna la kusema ila Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
@glassguychaneltz2553
@glassguychaneltz2553 8 сағат бұрын
kuliko mtoto awe chokoraa wa mtaani bora amuuze tu akalelewe mbele kwa mbele
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 22 сағат бұрын
Utani Umemponza Kijana ametaka kutrend Mwisho wa siku amenda Mpaka setroo jamani masameni ukomedia ulimzidii 😢
@medakilemo565
@medakilemo565 7 сағат бұрын
Huyo yeye kakamatwa haraka sana ila waliomuuwa kibao mpaka sasa hawajakamatwa
@tajomedia
@tajomedia 6 сағат бұрын
Unajua wakati mwingine Bana niishie hapo tu maana unaweza kuingia kwenye taget aliyokuwa amelengwa mtu au kitu kingine yaana kwenye 18 zisizokuhusu
@jamaldaud-e4d
@jamaldaud-e4d 19 сағат бұрын
Sina hata nguvu za kucheka mpaka Sasa watu wa Freemason hatujalipwa mishahara yetu 😭😭😭
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 11 сағат бұрын
Mimi najiuza bilion 2 zakitanzania nipo apa nicheki 😴😂
@edinafaustinez8514
@edinafaustinez8514 9 сағат бұрын
Baada ya kuwatafuta maforena wanawatesa raia wa taifa lao nikuasamehe tu hakujua kama itakuwa ivyo
@RidhiwaniMrisho
@RidhiwaniMrisho 22 сағат бұрын
Rest in peace Alphonse mawazo
@maisaalawy8549
@maisaalawy8549 12 сағат бұрын
Balaa ikitaka kukupata bwana huyo sio kweli alikua hauzi mtoto hiyo ni kiki tu.
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 8 сағат бұрын
Mbona wanashindwa kukamata watekaji????!!!!
@joejackson9282
@joejackson9282 6 сағат бұрын
NASHANGAA KUONA HILI WAKATI KILA MTU ANAJUA NI UTANI NA ALIKUA ANAMUIGA DALALI ANAETREND NAMSEMO WA TAJIRI
@OlaisMoses
@OlaisMoses 12 сағат бұрын
Bajaji hawanaga akili nzurii ata barabaran tunawaonaa
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 11 сағат бұрын
Polis mnatakiwa kumpeleka haraka mahakani awahi palizi ya mahindi magereza
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 13 сағат бұрын
Hiyo serikali mbona haiwakati mashoga wanasaambaa kila kona
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 16 минут бұрын
Polic niwapuuzi mda mwingine waseme wanamshikilia nasiyo wamemkamata kwamaana alijipeleka yeye mwenyewe kwenye kituo chapolisi nawakati huohuo aliposti kripi ambayo alikuwa anaenda polic aliposikia anatafutwa,natanzania ndiyo nchi moja yakijinga saana mafisadi ,watekaji , nawengine wengi wanaoiba mali za wananchi wanawaacha ila wanao fanya vichekesho ,ndiyo inadili nao , n b hata IDRISI Kipindi chamagu alifanya kontenti ya kumtania lakini alichokuja kufanyiwa hatukutegemea
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 19 сағат бұрын
Tktk ingefungiwa tu
@EmmanuelZyunga
@EmmanuelZyunga 9 сағат бұрын
haiwezi fungiwa maana haijakutuma upost vitu ambavyo havitakiwi ila unakamatwa mtumiaji wa tik tok
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 12 сағат бұрын
Mama mwenye mtoto kama aliridhia kaka ake kufanya hivo sioni haja ya kumtia hatiani maana alimbeba kabisa na kitenge cha mama ake
@MakaNkoka
@MakaNkoka 14 сағат бұрын
Jaman alf alikuwa mpwa wake yan aliamua kufanya kama utani tu jaman navuta pcha kama ndo Kaka yangu inauma xana maan utan kama utani tu
@adrianobihabwa3464
@adrianobihabwa3464 14 сағат бұрын
Yani mume subiri mpaka achukue hatua,??
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 6 сағат бұрын
Hiyo sasa ndio cyber crime act
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
DUNIA (Ep 38)
19:34
ASMA FILMS
Рет қаралды 68 М.
Magoli Yote Yanga vs TP Mazembe 3-1 Highlights leo 2025 Young Africans vs TP Mazembe
10:11
قناة أم جنات وعبداللهom janat abdlah
Рет қаралды 462 М.
PROPHET PETER.K GUKIRIRA ATONGORIA A MAKANITHA
1:26:37
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 1,6 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН