BWANA YESU NAKUOMBA UWALINDE WATOTO WETU 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
@edithaeugeni9695Ай бұрын
Inasikitisha sana eti anaendaga kumuoshea vyombo anampa 200 mtoto wa miaka8🤔🤔🤔🤔
@NoviaRaphaelАй бұрын
Daah inauma sana mtoto mdogo huyo mtu unakosa hata huruma 😢mbona wanawake wamejaa tu kibao hadi ukamfanyie mtoto ukatiri kama huo 😮puuzi huyo na yeye atiwe busha tu aangaike nalo
@Fathasssane-vs2thАй бұрын
Wazazi wazazi wazazi tuwen makin na kipind hiki cha mfungo wa shule watoto wetu n hazina yetu 😢😢😢😢
@HusnaMuhammed-yx8nlАй бұрын
Jamani tulinde watoto wetu
@lisawilliam2491Ай бұрын
dah
@fatmaathumani7116Ай бұрын
Haya matukio sasa yamezidi Yarrab 😢😢😢 yani eee Mungu tulindie vizazi vyetu Yarrab
@RayChausa-g6mАй бұрын
Ameen
@hellenaleonardАй бұрын
Amiiiin
@elesianakabuje5832Ай бұрын
Sukuma ndani uyo hafai kuishi na jamii...mtu mbaya na ni muuaji
@kelvinmasungakilunguja7539Ай бұрын
Polen sana mzee wawekeen kingamuzi watoto
@DINASSOURАй бұрын
Dah ..kweli ila kijana ni mshenzi mtoto km uyo unatafuta nini Sasa .....ata kujisafisha Bado hajajiweza
@winniemartine6599Ай бұрын
Mmmh jmn ht km miaka 8 unapata nn ww mwanaume unataka kuuwa mtoto wa mwenzio
@WemaOmary-z3tАй бұрын
Hii ndovita yetu Yesu atuokoe sisi navizazi vyetu
@RehemaMtonoАй бұрын
Nikweli ndugu yangu
@SINADATITOАй бұрын
😭😭
@SuleimanKhdijaАй бұрын
Duh huu ni msiba kwakweli Mbon nchi zingine haya mambo hamna Tz Shikamoo
@AyuminchasiАй бұрын
Tanzania nchi ya wabakaji walawiti watoto wauaji wanaume wa Karine hii kweli mushkeli sana
@SaidMnachilahАй бұрын
Kila nchi Yapo ila kwetu yamezidi kwakweli
@worldrapamako3960Ай бұрын
Unachanel gan ya ñchi nyingine boss kila nchi yapo
@SimonJuma-k8mАй бұрын
Duh 😢😢
@faudhiasalum7279Ай бұрын
😢😢😢😢
@MOSESIMCHUNGUZIАй бұрын
Hayaree sn
@sawegasper9670Ай бұрын
Wazazi tuwe makini sana,sheria inasema watoto walindwe.Kuna haja ya wazazi kuwajibishwa pia.
@DotoS12Ай бұрын
Asa kw nn asitafute wanawake huko hd anake mtoto mdogo hvyo
@FatimaAo-r9pАй бұрын
Mungu atustiri na watoto wetumi mtu namroga mana polisi siku mbili tu utamuona nje
@aishaaisha7097Ай бұрын
😢😢
@halunimnenwa5224Ай бұрын
Jama kasha toa bikra mke wa mtu uyo ndo mbakaji laki jitu lina miaka 20 et limebakwa uwo uwongo jama alivoona lasta kajua mkubwa uyo ndo wakukaa jela miak30
@MagdalenaJoseph-q5eАй бұрын
Mbona Babu anaongea kwa tabasamu ivyo
@AyubuAzariaАй бұрын
Duuh. Sheria kali zichukulive I La mambo haya Kuisha mpaka Lini
Napia wasalimie muwapekeke kanisan YESU atawalinda polen sana sana 🙏
@AwateeАй бұрын
Acha kudanganya watu Yesu hana uwezo wa kumlinda mtu Yesu ni binaadam kama wengine Mwenyezi Mungu ndio mwenye nguvu na uwezo wa kulinda kila kilichopo duniani
@FrankworldwideTVАй бұрын
Mmmh hapa Kuna shida serikali iwe makini maana Kuna chuki na wakazi wa Hilo eneo na uongozi juu ya huyo kijana huwenda ikawa ni mpango wa kumuangamiza tu najaribu kuwaza nje ya box
@ZekaniSАй бұрын
NI kuwakata viume vyao adharan ili wengine waogope polen familya
@CeciliaMbaroukАй бұрын
Asa siangenifata me nimpe hata bure jmn kuliko kukaa miaka 30 yote
@Sharmy_02Ай бұрын
😂😂😂
@ChikokoyeChikokoyeАй бұрын
Kweli uge mpa waw
@CeciliaMbaroukАй бұрын
@@ChikokoyeChikokoye 🤣🤣 labda stress tu ningempa😔 maybe
@ChikokoyeChikokoyeАй бұрын
Jamn mbon watu hawana huluma
@AbdulaziziMohamed-n7qАй бұрын
Alibanwa nahaja ndogo ban😂😂 domo zege
@MOSESIMCHUNGUZIАй бұрын
Kwanini wasimuuwe huyo kijana?
@FatimaAo-r9pАй бұрын
Wamtie busha tu na yeye ateseke maisha yake yote
@SihabaAbdallah-li6dxАй бұрын
Sasa wata kwenda kuangalia TV vp chumba Cha mvulan
@Jehhus_06Ай бұрын
Mzazi pia akamatwe unaachaje mtt mpk usiku nje
@HadiaAme-x5fАй бұрын
Tena wazazi wengene wamezoea uzembe
@JosephRichard-fj2lhАй бұрын
Huyo kijana afugwe 2 maana alichofanya siyo na ni ukatili sana.
@chichasam9032Ай бұрын
Nakuchoma sindano ya sumu hata polic sikupeleki kimya kimyaaa
@nyabahailani3169Ай бұрын
Huyo mwenye rasta ndefu huyo kabakwa hata nyie wazazi mnamambo yakishenzi sana na huyo mtt kwa nini aende kwenye chumba cha kijana kama sio kutafuta shetani aaa sijui bwana ona hata mkono wa mtt ni mkubwa utafikiria mtu mzima vitt vya siku hizi puuuuu
@husnakambi1522Ай бұрын
Kutokana na kazi wanazofanya kijijini ndio maana mikino inakomaa
@januarybeda-p3eАй бұрын
Watu wenye tabia kama hizo dawa zao nikunyongwa tu na hayo matukio ndo yataisha
@BarakaKusalulaАй бұрын
Duuh,Ukatili huu sijui kama utaisha kama vyombo husika vitashindwa kubadirisha adhabu,Na mara zote nawaambia hakuna adhabu mwanaume anaogopa kama Kuhasiwa,Kwani ugumu uko wapi kuweka hii adhabu???
@yukundapeter8200Ай бұрын
Lichomwe moto.
@greysonkisinda7390Ай бұрын
Kuna hadi jirani mzuri hvyo afu linabaka mtot kweli?