Mungu ibariki tanzania mungu ibariki yanga yetu iweze kupata mweendelezo mzuri zaidi kocha wetu mpya aweze kuwaongoza kwa kila mchezo ujao waweze kushinda
@BenpeterChatanda8 сағат бұрын
Mkumbkeni na faridi musa na sure boy
@HMan-p7l5 сағат бұрын
Dube huyooo 😂😂😂
@JaccobJulius-p2x4 сағат бұрын
Yanga bingwa
@JohnKauzeni7 сағат бұрын
Dube alilogwa na makolo ambao ni simba
@Mhanuzi756 сағат бұрын
Sijawaelewaaa hawa wandishii ety hawamjuiiiiii kitale iwonder......🏃🏻🏃🏻🏃🏻!!!!!!
@HMan-p7l5 сағат бұрын
Bado tunamtaka baleke acheze
@StiviniFransis6 сағат бұрын
Ndoo tumeanza ss muongee tn
@MaryHamisi-k8j3 сағат бұрын
Ongelea goli la nne Leo basi kidi kama pere mkono😢
@MohamediSleyum4 сағат бұрын
Mi nafrai sana mwana mfalme akifunga goli
@Mhanuzi756 сағат бұрын
Halafu nilitaka kusahauuuuu piga kichwani hao bado wanapumuaaaaaa..
@charlesmwasi76465 сағат бұрын
Timu bado haina njaa ya magori, ikifunga bao 3 inaridhika, offensive wise sio saaana kama ya gamondi, kwa jinsi walivyocheza prisons ilibidi wapigwe nyingi. Mdathir mchoyo sana. Amekosa gori, kumbe angempa dube alikuwa kwenye nafasi nzuri