WANAO MPOTEZA IBRAHIM BACCA TUNAWAJUA WAPO/BACCA TUNAE MJUA SIO YULE...

  Рет қаралды 46,850

NYAVUNI TV

NYAVUNI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 153
@rajabkinjenge6641
@rajabkinjenge6641 Ай бұрын
Wapenda mpira wangekua wanampenda Allah kwa uchungu walio nao wasinge pata presha kwa mapenzi yasiyo na faida Dunian na Akhera
@marymoshi572
@marymoshi572 Ай бұрын
Allah atufanyie wepesi imani yake kwake iwe kubwa kuliko chochte
@DieudoneAntony-l4s
@DieudoneAntony-l4s 27 күн бұрын
Nikwr kaka
@GodwinNgosso
@GodwinNgosso Ай бұрын
Msikilizeni huyu jamaa anaukweli Banker anazingua pesa imemzuzua
@abubakarimburu9096
@abubakarimburu9096 Ай бұрын
Mudathir na Bacca lao Moja wafuatilieni mtagundua kitu
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 Ай бұрын
Muda sio kweli
@DavidPamba-jx5io
@DavidPamba-jx5io Ай бұрын
Uko sahihi muda naye anamakosa mengi sasa hivi. Bacca kashiba sifa sijui kuna mambo mengi ya hovyo anafanya. Ameanza kuwa kama inonga
@edwardmaguluko6541
@edwardmaguluko6541 Ай бұрын
Nikweli Bacca na Mudathil wanamapungufu sana sasa hivi
@JumaKilyamanda
@JumaKilyamanda Ай бұрын
Daa kwli kaka unaonambali sanasaaa❤
@CHARLESJUMANNE-d3m
@CHARLESJUMANNE-d3m Ай бұрын
Upo vizuri San jmaa langu
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Kweli
@NaftaryMgoye
@NaftaryMgoye Ай бұрын
Duuu ila kuna ukweli mwendelezo wa Bacca ni wa kiusaliti haifii tena timu😥
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 Ай бұрын
Mwamba asikilizwe na hoja zake zifanyiwe kazi🎉🎉🎉🎉
@jituakilimali15
@jituakilimali15 29 күн бұрын
Tumupige bench mpaka akimbie mwenyewe ikiwa watatuletea uchoko wa kizanzibar tuwatimue wote wakacheze lamba lamba
@ShabaniJuma-n7f
@ShabaniJuma-n7f Ай бұрын
Umeongea Kitu Cha Maana Sana ingawa kwasasa Mtu anaweza asikuelewe
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Kweli
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 Ай бұрын
Ni kweli,takoling hakuna kabisa ongeeni naye asijsahau
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@JeladiJeladifransingware
@JeladiJeladifransingware Ай бұрын
Huyu jamaa ana hoja asikilizwe wazee
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Kweli kumbe
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 Ай бұрын
Mimi nipo tofauti Kuna mechi inamkataa mchezaji kwa hiyo hawezi kufanya vizuri mechi zote yule binadamu machuma yenyewe yanazingua
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx Ай бұрын
Huyu ndio mwenyewe YANGA yake
@WakiliHaule
@WakiliHaule Ай бұрын
Mwamba unaongea ukweli..magori mengi wanayofungwa Yanga kimataifa Bacca kuchangia sana..hata kwenye ligi ile mechi na Azam kuna mchezo mchafu aliufanya yule...ile kadi nyekundu ile kaitafuta na alihisi kabisa yeye mtu wa mwisho ..ila alijichanganya akujua kama yupo mchezaji mwingine wa Yanga...
@abbasasulwisye4311
@abbasasulwisye4311 Ай бұрын
Yaani wew kweli mkweli yaani umemwona bacca kama mim
@deusmagesa266
@deusmagesa266 Ай бұрын
Uko sawa kabisa kaka
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 Ай бұрын
True said
@VitusiNgonyani-d4l
@VitusiNgonyani-d4l 29 күн бұрын
Mimi nakukubali baka siyule
@CharlesAlly-jp1ms
@CharlesAlly-jp1ms Ай бұрын
Vijana waleo wanatafuta maisha hawanakupenda
@kinyanyaonline3658
@kinyanyaonline3658 Ай бұрын
Hata fei alikua hivyo mechi na dodoma kupiga watu ngumi mechi na prison alipo funga bao akatuonyesha no 6 yani tusome lebo hata huyu baka anatafuta sababu za lazima aondoke tu polepole
@KhadijaMsangi-d9s
@KhadijaMsangi-d9s Ай бұрын
Kwli kabsa
@rachelsamwel5359
@rachelsamwel5359 Ай бұрын
Mtangazaji umeongea vyema Bacca ajitathmini ni kweli anaenda kufanya nini mbele abaki ajizatiti nyuma lwenye ulinzi
@omarbaabad2706
@omarbaabad2706 Ай бұрын
Huyu mtu tuwe naye makini inawezekana kabisa Simba wamemtuma atuvuruge inamaana mpuuzi huyu haoni Kazi ya Baka pumbamvu Sana huyu mtu
@saimonmanyerezi7169
@saimonmanyerezi7169 Ай бұрын
Kuna ukweli bhana Bacca takolin ziko wapi?,vichwa,siku hizi anafanya utoto mwingi.
@mohamedmagongo9348
@mohamedmagongo9348 Ай бұрын
Nakuunga mkono 100% Bacca ameanza kutuhujumu tangu mechi ile Yanga 0 vs Azam 1aliyotolewa kwa kadi nyekundu. Mechi ya Yanga 3 vs Mashujaa 2...goli la pili la Mashujaa badala ya kuokoa mpira, yeye akatoa assist kwa mfungaji wa goli la pili la Mashujaa. Bacca ajitathimini hii ni Yanga amekuja akiwa hana jina, sasa Yanga imempa jina ndiyo ana anza kuvimba. Aende akawaulize wenzake waliyopita hapo Yanga baada ya kuleta usaliti wao ni nini kiliwakuta, akawaulize Thomas Kipese huyu alikuwa akituhumiwa kuwa na mapenzi na timu ya Simba. Basi kuna siku ya mechi ya Yanga vs Simba Thomas Kipese akapewa pasi akabaki yeye na kipa badala ya kupiga mpira golini! Lakini yeye akageuka nyuma kumtafuta mchezaji mwenzake ili ampe pasi! Basi toka siku hiyo mashabiki wa Yanga wakamkataa ndiyo hadi leo hii Thomas Kipese yupo Simba. Juma Abdul, Kelvin Yondani, Bangala na Djuma Shabani.
@HajiAliSaid
@HajiAliSaid Ай бұрын
Kwanini azam awawagusi wachezaji wa simba wao kilasiku yanga tu wasenge sana hawa lambalamba
@brycesonmathias6112
@brycesonmathias6112 Ай бұрын
Kwa aneno ya msemaji Bacca Aache Kuuza timu
@feruzmbaya36
@feruzmbaya36 28 күн бұрын
Duh usipostaajabu ya mussa utastaajabu ya firauni YANGA AFRICA KUSOMA HATUJUI HATA PICHA HATUIONI ?😊😊 MWAMBA UMESEMA JAMBO
@leonardmabula9472
@leonardmabula9472 Ай бұрын
Wewe umepewa pesa kumharibu Bacca
@omarbaabad2706
@omarbaabad2706 Ай бұрын
Mzee wetu Bakhresa tunakupenda Sana na Wala siamini kama haya maneno niyakweli eti vijana wako wanaotaka kuivuruga yanga
@Salumumadegwa
@Salumumadegwa Ай бұрын
Ndiyo maana zamani wachezaji walikuwa wanalishwa amini!
@JumaJuma-g5e
@JumaJuma-g5e Ай бұрын
Maneno. Hayo. Ni. Yakufanyiwa. Kazi. Siyakuzarau. Huyo. Yusuf. Baharesa. Ni. Aduwi.kubwa. Anashirikiana. Bilivo. Na. Simba. Kuiuwa. Yanga
@kaderbakshamin2345
@kaderbakshamin2345 Ай бұрын
Baka kama kweli msaliti unajivurugia sifa yako waliokupa wananchi walikupenda na hii ndiyo timu kubwa hapa nchini jitathmini sana kama kweli lakini
@maxmillianmarwa5943
@maxmillianmarwa5943 Ай бұрын
Ila kweli kabisa. Bacca sio mchezo wake ule
@halimaramadhanimwevi2472
@halimaramadhanimwevi2472 Ай бұрын
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@saadmoohd4200
@saadmoohd4200 Ай бұрын
Job juzi kadondoka ingekuwa bacca inaonekana ingekuwa tatizo
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 Ай бұрын
Km njaa nyie mmezidi kwajaa ya pesa sio bacca tyu wala hakuna anapenda kitu kizalendo pacna hela. Bacca yupo kazini hayupo kwenye mapenzi...
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Nakubali sana
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Ай бұрын
Mchezaj hawez kuwa na pafomensi hyo hyo muda wote, mpira ni mchezo wa kutumia nguvu na akili Kuna kuchoka pia
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 Ай бұрын
Muda baka jirekebisheni
@Sefu-g4c
@Sefu-g4c Ай бұрын
Kweli kabisa
@daudkondo4069
@daudkondo4069 Ай бұрын
Asikilizwe mwamba huyu
@juliusjkalela9164
@juliusjkalela9164 Ай бұрын
Kwel kabisa huyu jamaa ana kitu kabisa asikilizwe me mwenyewe naona bacca anakua kama anapotea potea xhv job aspokua makini tunafungwa huyu jamaa anaongea fact kabisa
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Kweli maana duuuuuuhhhh
@omarymlawa5221
@omarymlawa5221 Ай бұрын
Azam fc 😂😂😂😂😂
@allykapipi6618
@allykapipi6618 Ай бұрын
Kweli
@EdsonMagreth
@EdsonMagreth Ай бұрын
uyu jamaa ana ongea ukweli baka sio bure
@NapeDkilia
@NapeDkilia Ай бұрын
Nikweli bro hata ile kadi nyukundu ya Azam ilikuwa yakisart kweli.
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@halimaramadhanimwevi2472
@halimaramadhanimwevi2472 Ай бұрын
Hata mimi hili nililiona na nikasema huyu mpemba asijekuwa anapita na upepo wa BAKHRESA
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh kweli umeongea neno la maana
@GodwinNgosso
@GodwinNgosso Ай бұрын
Tutafte baki mwingine huyo awekwe benji ili ajifunze
@kolosii4351
@kolosii4351 Ай бұрын
Mimi nilisema tangu mwanzo ile siku aliyesababisha red card dhidi ya Azam, mwangalie vizuri uso wake utajua ni mpango wazi.
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Kumbeee
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Ай бұрын
Hata Mimi niligundua cku Ile janja TU.
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Ай бұрын
Nikweli brother unachosema
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@YussuMaulid-x5p
@YussuMaulid-x5p Ай бұрын
Kweli mechi katuuza ile 😂
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
😳😳
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 28 күн бұрын
Wachomeni sindano dawa imeisha mwilini.
@kazembeally1619
@kazembeally1619 Ай бұрын
Nikwel anafanya makosa mengi
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 Ай бұрын
Sikubaliani na weye hata kidogo....bacca kiwango kimeshuka ila hahujumu timu
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Mmmmmm
@matiankomola2391
@matiankomola2391 Ай бұрын
Lisemwa lipo kama halipo linakuja. Kuna watu ni wabishi tu ! Kama hukubali fuatilia!
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr Ай бұрын
MPE NA ANGALIZO HUYO YUSSUF BAKHARESSA ASITUFANYE WAJINGA SS NI UMMA MKUBWA
@maxmillianmarwa5943
@maxmillianmarwa5943 Ай бұрын
Watamwuaribia Azam wanaharibu wachezaji
@MudySingo-x4g
@MudySingo-x4g Ай бұрын
Ana tafutakki uyo bonge
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@babaharunakipindula3895
@babaharunakipindula3895 Ай бұрын
Jamaa ana kitu asikilizwe
@ZakayoNyagone-sd3rm
@ZakayoNyagone-sd3rm Ай бұрын
Kongole nwambaaa
@AllyKimeme
@AllyKimeme Ай бұрын
Kumeanza kushangamka huko bwa wani
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@AlfredBowa-b8r
@AlfredBowa-b8r Ай бұрын
Upo sahihi sana ila sio ubwera tu umemuingia sana
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Wanashirikiana na ubwela
@HeryMpinga
@HeryMpinga Ай бұрын
Mr COVER OGGH
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Ай бұрын
Bakhresa anataka kuharibu mpira
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 Ай бұрын
Nakubariana na WWE baka anatoa maboko baraa
@omarfadhil7554
@omarfadhil7554 Ай бұрын
Kama kweli vilee....
@suleimandaffa4590
@suleimandaffa4590 Ай бұрын
Mzee wa kilinge tunakushukuru kwa maoni yako.....ni ya hekima kubwa....
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 Ай бұрын
Pumbavuu! Pumbavuuuu! Pumbavuuu weweee!! Peleka kilinge chako hukooo.....! Hakuna mchezaji ambaye hajawahi kubadilika kiwango! Baka abapqnbana sana! Usivunje moyo wachezaji jinga tu! Vipi Aziz kii! Vipi Dube, mbona walipotea je nao wajitathimini?
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@matiankomola2391
@matiankomola2391 Ай бұрын
Kama hawana tuhuma, sioni tatizo !
@mullamtupa9116
@mullamtupa9116 Ай бұрын
Mimi nilisema lkn nilishanga baka anapigwa card nyekundu walikua wanampigia makofi yule baca achunguzwe msimuamini
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Daaaaahhh
@hadhirvuai1870
@hadhirvuai1870 Ай бұрын
Pumba tupuuu
@Saidfadhil-o3o
@Saidfadhil-o3o Ай бұрын
Huyo mfitinishaji tu
@daudkondo4069
@daudkondo4069 Ай бұрын
Kongole , aende tuu
@Saidfadhil-o3o
@Saidfadhil-o3o Ай бұрын
Hujuwi mpira ww
@ElizaGalus
@ElizaGalus Ай бұрын
😅
@AshaKhatibu-r8h
@AshaKhatibu-r8h Ай бұрын
Baka ni binadamu kacheze wewe shenz huyo si samaki samakikila akiwa mkubwa anazidi nguvu pumbavu weeeee
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@matiankomola2391
@matiankomola2391 Ай бұрын
Lifanyiwe kazi kama sio sahii lipuuzwe, tukubali ni sehemu ya changamoto za Mpira!
@mohamedmagongo9348
@mohamedmagongo9348 Ай бұрын
Wew kama haujui mpira, kaa kimya Bacca anahujumu timu angalia kadi nyekundu Yanga 0 vs Azam 1. Yanga 3 vs Mashujaa 2 goli la pili la Mashujaa badala ya kuokoa mpira lakini yeye akatoa assist kwa mfungaji wa goli la pili la Mashujaa!
@YussuMaulid-x5p
@YussuMaulid-x5p Ай бұрын
Jmni kweli
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
😳😳
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Ай бұрын
Kila Mtu ni msemaji!! Maisha gani haya!!!
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@matiankomola2391
@matiankomola2391 Ай бұрын
Hata wawe 1000 kinachohitaji ni kufuatiliwa hawa 1000 wanachosema!
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Ай бұрын
Msikilizeni atawasaidia
@lewismpangala927
@lewismpangala927 Ай бұрын
Kacheza mechi nyingi
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
😳😳🔨
@matiankomola2391
@matiankomola2391 Ай бұрын
Mechi nyingi gani ! Kwani wengine hawajacheza !
@mohamedmagongo9348
@mohamedmagongo9348 Ай бұрын
Timu nyingi zimegundua haziwezi kupambana na Yanga uwanjani, ndiyo maana wakaamua kutafuta njia ya kupambana na Yanga nje ya uwanja. Kocha Gamondi alitumiwa na Simba kuihujumu timu kwa kuwaruhusu wachezaji kutoka kambini Avic Town na kurudi majumbani kwao, na ndiyo sababu iliyosababisha wachezaji wa Yanga kushuka viwango.
@GodwinJulias-y4l
@GodwinJulias-y4l Ай бұрын
Brow umeongea jamb la maana kwel
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Kweli?
@hajially4527
@hajially4527 Ай бұрын
Katumwa huyu
@AllyRashid-q9m
@AllyRashid-q9m Ай бұрын
Hawa watu wanaongea ovyo hawajuichochote
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Daaaaahhh
@JeffNsemwa
@JeffNsemwa Ай бұрын
Huyo jamah asikilizwe anakitu
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Kweli
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Ni chawa! Thibittisha uyasemayo! Kila siku kubwabwaja! Uwanjani popote hatukuoni! Kwanini usiende makao makuu ukaongea! Wachezaji Wote hupitia changamoto! Stop talking rubbish! Tupe uthibitisho! Wewe hujengi klabu!
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
@nyavunitv12 huyo Bacca aliyemsema kafanyaje Leo!? Huyu Jamaa Fala Tu!!! Kama Una Jambo la kuijenga club,katoe hoja zako HQ with evidence or credibility,SIO unafanya vi interview visivyo na maana! Na nyie so called waandishi WA kozi weeks mbili ,NI mafala as well! Unashindwa nini kumtaka akuonyeshe ushahidi ya abwabwajayo!? WOTE wanafiki watupu! Taaluma ya journalism imeingiliwa!Huyu sijawahi muona kasafiri na timu, kijezi kimoja msimu mzima ,I doubt ni mwanachama hai! Kuongea kwa kelele kama kisgu HAKUKUFANYI WEWE SHABIKI BORA! HE IS A CLOWN! Sioni tofauti Yake na Yule Fala mwingime magoma!
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx Ай бұрын
Tuko na ww pamoja
@LumumbaSaid
@LumumbaSaid Ай бұрын
Tanaomba tawi lake wamshughulikie ipasavyo.
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@iddmohammed1086
@iddmohammed1086 Ай бұрын
Muongo. Ww ndo umepewa kibunda uje uzungumze utumbo ili usababishe mtafaruk kwa wana yanga
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Aaaaaaahhhhh
@LilianBitwale
@LilianBitwale Ай бұрын
Huyu humfatiliagi tuuu labda hii ndo interview ya Kwanza kumuona
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Ай бұрын
Kapewa kiasi gani, tujuze!
@MwajinaAmeir
@MwajinaAmeir Ай бұрын
Wacha kumchafua ndugu yako
@GodwinNgosso
@GodwinNgosso Ай бұрын
Umeongea kweli hata mm nawasiwasi na Backa anatuhujumu..tumwangalie kwa jicho la jirani.
@EdsonMagreth
@EdsonMagreth Ай бұрын
Mimi pia nili isi icho anacho sema
@AllyRashid-q9m
@AllyRashid-q9m Ай бұрын
Mpumbavu wewe mpira pesa wacha upuuzi ivi wewe ukipewa timu utaiweza?
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@mussakingazi8875
@mussakingazi8875 Ай бұрын
Acha ujinga kadi unayo? Pesa haichezi uwanjan nyau wewe
@kadewelejosef4319
@kadewelejosef4319 Ай бұрын
😂😂😂 unaongea pumba 5uachie wachezaji wetu
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in Ай бұрын
Haya majitu ndio yanaharibu football ya Tanzania pumba tu
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Duuuuuuhhhh
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
@@Ibrahim-ne3in sio hawa Tu na hivi viandishi mbuzi! Unampaje kenge kama air time!! Haviwezi kutafuta habari za maana,! Vikisha Fanya vijikozi vya wiki moja, eti navyo viandishi! The reason Tanzania is backwards in nearly everything!
@matiankomola2391
@matiankomola2391 Ай бұрын
Litathiminiwe jambo hili !
@ericsallu3237
@ericsallu3237 Ай бұрын
Mbona Hujatoa Ushahidi wa Mo kumpa hela Gamondi????
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Ай бұрын
Kume kunaiyo tuambie tufatilie
@matiankomola2391
@matiankomola2391 Ай бұрын
Ushaidi wa nini wakati maamuzi yalishafanyika na kaondoka!
@AllyAyubu-k1u
@AllyAyubu-k1u Ай бұрын
Makolo
Line-by-line analysis of Hakan Fidan's speech in China
22:21
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Sh Xassan Al Waajidi Maxa Lagu Heystey Marku Laha Qabilta Sh Xassaan Abu Salmaan
22:08
imam shafici media قناة الإمام الشافعي
Рет қаралды 62 М.
كيف تنجح العلاقات مع ياسر الحزيمي | بودكاست فنجان
3:03:09