Una maneno ya busara sana kijana wetu Ally Kamwe MUNGU Akubariki sana.
@user-vi7ly9zh1qАй бұрын
Tuna kupenda sana kaka Ally kamwe Allah akulinde inshaallah 💚💛💛💛💚
@reubenmakalla745Ай бұрын
Rais Hersi Eng. Ally Shaban Kamwe abaki aungane na Haji Sandy Manara. Asiondoke kabisa we still need him
@StellaTriphone-cp5wqАй бұрын
Mungu akubariki Ally Kamwe kwa kazi nzuri unayoendelea kuifanya I LOVE YOU YOUNG AFRICANS 💚💛💚💛💚💛💚💛
@noelamambya9769Ай бұрын
Asante Mungu Ali kamwe bado tupo nae kama msemaji wetu nimefurahi sana
@naliakafatuma9870Ай бұрын
MUNGU ni mwema hongera Sana kwenu nyote kazi njema kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga
@DevothaAberaАй бұрын
Tunakupenda sana sjui kingereza ili niandike kwa msisitizo lkn Ally Shabaan Kamwe tunakuhitaji ubaki yanga ,Mindontakua na fraha usiondokeee😢😢😢 💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛
@LeylaSariaАй бұрын
😂😂😂😂😂
@mohammedkidody5618Ай бұрын
😂😂😂
@abubakaliyahaya2968Ай бұрын
Aliy shaaban kamwe mungu akupe afya njema ss mashabiki tumefrah ww kuendelea kuwepo hapo hakika unatuhabaribisha vizury
@JafaryMoneroАй бұрын
Ubarikiwe ally na manara tunawapenda
@Prince-rafaelАй бұрын
Kila nikijaribu kuwaza nakuwazua kwa kile kinachoendelea south uko naona ni Bora tusipeleke timu tarehe nane🙏🏻🙏🙏🙏🙏
Tusitolee macho sana mechi ya tarehe 4 tarehe 8 tulipize tulivyodhulumiwa msimu uliopita,tujilinde na majeruhi ,daima mbele nyuma kwetu mwiko,love u yanga.
@iddidandodando6063Ай бұрын
Watu wawili kazi kazi tunawapenda Sana fanyeni kazi Kama timu.
@nayopamlimbatv1382Ай бұрын
Eti unawasimanga unakula hadi raha jamani ila hii team acha niendelee kulipia card yangu tu
@MagrethMgesiАй бұрын
Nakupenda sn Ally kamwe ❤❤❤❤
@user-ev8kq2zo2jАй бұрын
Ali Kamwe we ni kipenzi cha wananch usiondoke hapo,we love you so much p'se Manara wa nn
@PlasdiucSeveriolАй бұрын
Katika habari ambayo hatutaki kuiskia ni kuwa eti ali kamwe ameondoka bora tukose ubingwa ali ubaki❤❤❤❤❤
@makejamaduhu7618Ай бұрын
Yanga yanga yanga. Ally kamwe ni zaidi ya manara. Msingefa ya mabadiliko hayo. Ikumbukwe pia ally kamwe ni mtangazaji wa mpira bado angweza kusaidia eneo Hilo na na namna nyingine ya kuhamasha wachezaji kwakuwa anawajua sana wachezaji wa timu tofauti tofauti na timu nyingi. Manara ni MC peke yake.
@malick_jrzramadhan7298Ай бұрын
Tunakupenda Ally kamwe
@Daniyo-id4ehАй бұрын
Oyoooh... Mwenyekiti w wasemaji akiunguruma n wananchi ❤❤❤❤
@emmanuelcharlesmakwaya2550Ай бұрын
Mh, Ing Hersi, nakuomba sana uwe makini ktk issue ya msemaji wetu, mh, kama ni lazima mmoja aondoke,basi mtu huyo awe Manara nasio Alli kamwe !!!
@user-zg4yz7je8dАй бұрын
Ukimwangalia usoni ally kamwe ni kama hana furaha, siku za nyuma uwa anafuraha sana na kutia madoido
@nkindamasanja5260Ай бұрын
Tunakipenda sana Ali kamwe
@HusseinIsmairy-gj5uxАй бұрын
Kaa kwakutulia ally wewe na hers mnatakiwa mkae hapo mpaka yanga ishuke daraja
@hawajohn749Ай бұрын
Weweeeeeee👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌karibu tena ally kamwe
@KondoNgomaАй бұрын
Tunakupenda sana kamwe
@ZabronMashauriАй бұрын
Ushauri wa bure Tu Kwa semaji la wananchii afanye Tu mamb yake awaache wengine wafanye mamb Yao maana so Kwa kutupiana vijembe achana nao kabsa piga kz iendelee ❤❤❤❤❤ young africans😢😮😮😮🎉 wala usiwasemee chochote
@user-hu2sf3so9cАй бұрын
Ally Kamwe tunakupenda sana umstaarabu mnoooo!!!!
@mdudutravelersАй бұрын
show love to Yanga Daima
@steamtvtzАй бұрын
Ally kamwe unajua Sana kaka 🎉🎉🎉
@FRANKKIBERAАй бұрын
Team ya wananchi 🔥🔥🔥🔥🔥
@user-fi1qp7hv5tАй бұрын
Thank you president
@idrisahamimuhasani5717Ай бұрын
Uongz wayanga umemkosea sana ufrme wamanara umesha kwisha saiv nizama za Ally kamwe, Ahmed Ally na Hashim ibwe mmetuangusha sana manara akafanye kazi yake yakuoa na kuacha
@nikojosephchabaliko9623Ай бұрын
Umetumwa
@mohammedkidody5618Ай бұрын
@@nikojosephchabaliko9623😂😂😂
@MasungaIgogo-cx3yjАй бұрын
Team ya watapeli wote Ubaya ubwelaaaaaàaaaa
@yusufmohamed8428Ай бұрын
We love u kamwe
@NassPozoАй бұрын
Upo vzr mbele ya wananchi, Kamwe
@noelsumka2362Ай бұрын
tunakubali sana 🎉🎉🎉
@RehemaAmos-pv7nxАй бұрын
❤❤❤ kamwee
@NajMa-xg3erАй бұрын
❤ ally kamwe
@vffvff6317Ай бұрын
Mansha Allah ❤❤
@kalingavictor7068Ай бұрын
Tafadhali sana rais wa Yanga usimtoe Ali kamwe. Manara kazeeka sasa hatumtaki
@neemamollel6972Ай бұрын
Jaman viongozi wetu manara mtafutieni kitengo kingine tuachieni Ally wetu kwanza ana nuru kila analo tuambia linakuwa hivyohivyo
@B.M-ix4rzАй бұрын
Mungu akusimamie sana Ali kamwe akupe moyo wa subra usifanye maamuz magumu
@JaphethTumbu-f6jАй бұрын
❤❤❤❤❤
@irenegeophrey5650Ай бұрын
Manara atengenezewe ofisi yake jengo bado kubwa. Amuache Ally Kamwe na kitengo chake wafanye kazi yao 😔
@AdenSatorАй бұрын
Kamwe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢
@Shebe_traLoveАй бұрын
Safi safi yanga Africans kwanza kazi kazi mbele imradi yanga ifike kwenye malengo yetu
@chuchumeta8374Ай бұрын
Ally Kamwe for Yanga
@EdwardElikundaАй бұрын
Yanga tunauwezo wa kucheza kombe la ligi ya south africa
@Prince-rafaelАй бұрын
Wanasimba wenzangu tusipeleke timu uwanjani tarehe nane hili la ali kamwe kuachana na yanga n mtego
@neemamasimba2981Ай бұрын
Kwani Kamwe ndio alitakiwa kucheza ?? Acha tukacheze kitaeleweka huko huko
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Mara hii litakufa jitu
@AmashaMchelemi-bq9yvАй бұрын
On 🔥 🔥
@lucymsheshi5871Ай бұрын
Kamwe asiondoke hiyo position anaitendea haki Bora wafanye kazi wote kuliko kumtoa
mm naamini viongozi wa yanga hawajawahi kushindwa jambo
@user-fi1qp7hv5tАй бұрын
Thank you alikamwe
@simonmalekela-ce6ixАй бұрын
Wonderful
@KondoNgomaАй бұрын
Good
@asmamjema8539Ай бұрын
Kwa mim ninavyoona Ally kamwe abaki tu, maana manara mzuri ila tatizo mropokaji hakawiii kuharibu
@EPHRAIMRAMADHANI-is1duАй бұрын
Very talented
@AbeliMsafiriАй бұрын
❤❤
@AbasMohammed-s1oАй бұрын
Sawa maazee
@ahmedkhator3968Ай бұрын
Wahenga wanasema Fahari wailing hawakai zizi moja
@AliceKaijage-j1sАй бұрын
🤝😊
@PeterNdalu-h5hАй бұрын
💚💛💚💛💚💛
@betridadaniel1461Ай бұрын
Wametushitua et Aliy kang'atuka
@AllyJofrey-mg6riАй бұрын
❤❤😊
@mbarakasijaona7638Ай бұрын
Kumbe upo Safi sana
@JeniphaRobertАй бұрын
Napitia pitia comment nakuta na Debora yupo
@user-th4tj8se2yАй бұрын
Alikamwe nakuelewa sana
@siphaholelaholela6956Ай бұрын
Hili zee liwaachie vijana lipeni ofisi nyingine huo uropokaji mtavuriga muda siyo mrefu
@user-cs9jb8ok4vАй бұрын
Wampe nafasi naye 😢 humo humo kijan kajitahid san 😭 Ila Manara tume mis san 😅xax naanze Kaz yake 😂 humu humu tuuu
@AlhajiOmaryАй бұрын
hii yanga ni Madrid kabisaa👋👋👋👋👋👋
@JosephJohn-z5sАй бұрын
Mm ni yanga 💚💚
@siphaholelaholela6956Ай бұрын
Mh,Rais wetu tafadhali sana nyinyi viongozi msiharibu kabisa hata kidogo huyo mtu wenu ni mropokaji hana uvumilivu kutoka tu kifungoni anatoa maneno ya dhihaki KWA mwenziye kwanini hicho cheo na huo ubosi wake asisubiri akafika ofisini akapangiwa cha kufanya msituvuruge tunamtaka Ally huyo mpeni ofisi nyingine
@SamwelMnagaАй бұрын
Ally kamwe🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mwajayhaxxan5507Ай бұрын
Tujitahd kujaza uwanja wananchi,, itakua ni aibu kubwa kukiwa na mapengo
@user-qn2fg4yi4lАй бұрын
🎉
@shaibusaady2420Ай бұрын
Allaah Akbar
@MohammediAthumani-d2pАй бұрын
Ok
@DogoMosyАй бұрын
Duuuuh mm nina hamu tu ya kuxikia utambulixho wa yanga tena ukiongozwa na haji xande manara
@KaraniBongeАй бұрын
Mbona huna rahaaa aliy kamwe
@MalkiRamadhanАй бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@ahmedkhator3968Ай бұрын
TIMU INA WASEMAJI WAWILI😂😂😂😂
@SevelinFidelyАй бұрын
safi sana
@ZainabZainab-gm3inАй бұрын
Am young 4rever
@yasrikomba7874Ай бұрын
Alikamwe tunakulewa tunakupenda sana
@NiceordeMwemeziАй бұрын
💯💯
@FarhiyaNassyАй бұрын
Semaji hauna baya wew
@samweledward7664Ай бұрын
Yanga Bingwa ✅
@user-nc2me2ic9yАй бұрын
Kamweeeeee😅 kwakwel nimefalh sanaa
@mariamemadoshi5540Ай бұрын
Haondoki jamani hiyo ni kiki tu
@selemankajonjo1638Ай бұрын
Ngao hii haina penalt
@bm4tv602Ай бұрын
Ali kamwe brother yanga hii umebeba furaha zetu watu wengi sana plz ukitaka kutoka tuombe kwanza ushauli ss maana utatutesa wengi mno tumekuzoea bhn
@JaneMakoyeАй бұрын
Yanga raha
@zainabuabdul7852Ай бұрын
Ali kamwe msemaji wetu ..tunakupenda bwana
@JastiniKutonaАй бұрын
Hongela hiya ndo yanga
@LaurentLigambasАй бұрын
Kaka amani iwe kwako unaupiga mwingi sana apo jangwan