Neno la mungu linasema ukiuua kwa upanga na wewe utauliwa kwa upanga mungu walio fanya hivo mungu shughulika naoooo!!!!!!!!!!!!
@aaronswai30928 күн бұрын
Ni kweli kwa zaidi ya asilimia 300%. Ni kitu cha kusikitisha sana watu wanaweza kufanya huu upumbafu katika nchi yetu hii. Hakika kama Mungu aishivyo waliohusika kwenye jambo hili Mungu ashughulike nao!
@AbdallaMwagora-sm1rj8 күн бұрын
tufanyeni maombi ya kitaifa hata kama ni kufunga tufunge wahusika mungu awaangamize na familia zao na vizazi vyao .
@marieconnect63898 күн бұрын
Jeeeesus of Nazareth. Poleni sana familia. Leo kwenu kesho kwa wengine, hatujui nani anafuata ee Mungu wetu tuokoe.
@Salhamohamedimwampagatwa8 күн бұрын
Pole sana mboe nakupenda sana unaekima nabusara babaangu mpedwa nakukubali nasa sana nilikua natamani sikumoja nikuone uso kwauso ila aito wezekana ila naitaji nikwambie mboe nakupenda sana unahekima sana babaangu mungu akubariki sana baba napoleni sana kwamsiba mzito
@lomnyakijames68568 күн бұрын
Nakupenda pia mwanangu nitamtuma katibu mkuu akufikishie salam zangu,je una kadi ya chadema au ni upendo wa agape tu? 😂😂
@jedidahbintidaudi82418 күн бұрын
dah wee umeongea vyema sana kwa upole na hekima. Mungu wtu Akubariki na kukufunika.
@marieconnect63898 күн бұрын
Mungu wetu uko wapi? Tusaidie baba yetu. Usituache wenyewe kwenye kiza hiki kinene hatuoni njia. Huzuni kuu na machozi yametufumba macho watoto wako. Mungu wetu uko wapi baba? Tuokoe
@yesgood34918 күн бұрын
Uhai wa mtu ni zawadi ya Mungu Kwa mtu,ukiutoa uhai wa mwenzako HAKIKA Mungua hatakuacha uishi na HAKIKA maisha yako utamaliza kwa mateso ya zaiid uliowaua na JEHANAM ni yako milele. Nawaomba watekaji ACHENI MARA MOJA, Kisha tubuni kwa Mungu ,Muokokoke.
@Hopesone8 күн бұрын
Mwenye nguvu ndio anasavaivu pekee tupo kama kuku bandani alafu serekali inatwambia amani ipo hakuna amani!! Naogopa mimi
@cyprianpetetmbonde63748 күн бұрын
Huo ni upumbavu wa halo ya juu. Mwenye maamuzi ya maisha mwanzo na mwisho ni Mungu pekee na sio takataka nyingine.
@aaa64sa138 күн бұрын
Inalillahi waina ilayhi rajioun
@user-to7bs5pl4n8 күн бұрын
Namimi ni SHAHIDI siogopi KUFA Nina MIAKA 63 yatosha acha nitete wasiuawe wengine zaidi Mungu atusaidie
@user-je2om4dp7c7 күн бұрын
Mwenyezi mungu atulehemu kwa hili linalo endelea sasa nchini kwetu poleni sana ndugu familia na jamaa mliofikwa na hili lai yangu nnaimani selikali itasimama madhubuti kwa hili tukio
@AbdallahShaabani8 күн бұрын
Tanzania haipo kwenye mikono salama yaani watu wanauwawa hovyo hovyo inatisha sana😢😢😢😢😢
@OmaryMwigula8 күн бұрын
Allah ni hakimu wa haki na hasinzii wala hachoki anaona dhuruma hii ipo siku
@samwelitangasi95808 күн бұрын
Mungu amrehem kiongoziwetu nduguyet babaetu amina
@DullahMasaaUncleeDullah8 күн бұрын
Innalillah wainna ilyhi rajiun Allah ampe qauli thabit Shahid huyu, Hawa wasomewe albadiri wote waangamie
@lovoisaing20078 күн бұрын
Jamani inabidi tuwe kama Kenya tupinge maovu katika nchi yetu!!!
@simongwandu73928 күн бұрын
@@lovoisaing2007 usicheze na dola utaumia bure
@BabaFarzan-ml4er8 күн бұрын
@@simongwandu7392 hadi yakukute au ndani ya familia yako KENGE MAJI MMOJA WEWE
@RobertMushi-ic1gc8 күн бұрын
Ni vyema ukitumiaa hekima kablaa hujazungumza🙋
@williammbuzimai57448 күн бұрын
Wajinga tu ndio watakupinga
@jedidahbintidaudi82418 күн бұрын
ila sie Tanzania tumewabeza sana Kenya, lakini wao waliona wamevumilia mpaka ikafika mwisho ndo wakaingia kitaa. Ila tumuombe Mungu sie tusifike huko na hali iwe shwari na ndugu zetu au sie kutokutekwa. nchi yetu ni ya amani na Mungu mwema siku zot ndug yang
@marieconnect63898 күн бұрын
Ee mungu wetu tusaidie tuepushe na kikombe hiki. Kama unependezwa na haya baba aubkamaumepanga wewe basi mapenzi yako yatimie. Lakini kama ni mapenzi ya binadamu basi baba niko chino ya miguu yako naomna utends jambo la kuonekana baba, tunajua unaweza. Tuhurumie baba tuokoe. Hali hii inatisha sana.
@charlesmambya67598 күн бұрын
Daah!!😢😢inaumiza sana.
@YoabuChengula8 күн бұрын
Polen sana ndugu zetu
@DerickEdson8 күн бұрын
Mungu yupo acha waendelee kuyafanya haya
@shukurukoll72694 күн бұрын
Hapa Umeongea kwa hekima na utulivu sana. Ni sahihi uliyoshauri.
@EliaHiluka8 күн бұрын
Watanzania tusitishwe Mungu atatushindia kwa dhahiri
@ramadhanchenga46068 күн бұрын
Nimeumia Sana dah japo mzee wa watu nilikua simjui hila aina ya unyama huu mmmh Mungu yupo atajibu muda c mrefu
Jamani,jamani baba wa watu nini aliwakosea binadamu tumefika pagumi.Pole Mbowe,pole familiya pole taifa zima.mungu tufute machozi.
@hawahussein90558 күн бұрын
Mungu atusaidie tunaishi kama wanyama wanaowindwa kwenye nchi yetu duuu jamani
@gadiellaizer20518 күн бұрын
Too polite message mr chairman..hii haitakiwi kuongelea kwa mtindo huu.tunahitaji maagizo mr Mbowe..nooooooo this is too much..tufe milioni wabaki salama mamilioni man
@EmanuelMbandi8 күн бұрын
Huyo mzee anawatoto inatakiwa watoto waende kwa mtaaramu kwanza huko tanga wapo kibao au kigoma au Sumbawa ga ote walio husika nywekelea mbal
@user-eb3hf1lm9e8 күн бұрын
Hata mm naunga mkono
@mwanaidimussa8 күн бұрын
@@user-eb3hf1lm9e tunamuachia mungu mpk tunachoka jmn
@shuwehaharuna63098 күн бұрын
Nikweli
@jumamchina90387 күн бұрын
Inna lilah wa inna ilaih Rajiu'un. Kama kweli ameuawa, wahusika walaaniwe na wakamatwe wafikishwe mahakamani, huu ni unyama wa hali ya juu. Tumuogope MUNGU ndugu zangu hapa Duniani tunapita tu! Ipo siku nasi tutakufa, tutaulizwa na tutahukumiwa kwa yote tuliofanya hapa Duniani.
@frankraphael75468 күн бұрын
Samia achia nchi imekushinda mbona Zanzibar awatekwi tumechoka
@ridhiwanimtaita44398 күн бұрын
😢😢😢 inasikitisha kwa kweli
@user-ti8fn1wn1w8 күн бұрын
Mungu kweli upo kama kweli upo naomba naomba kimtokee kama Kilcho mtokea Falao au filaun
@user-bn2bc1zi6e8 күн бұрын
Mh! Inauma sana
@nicolausisaya8 күн бұрын
Mungu anataka kuwaumbua watu nyie subirini kuna siku inakuja Mungu atageuza dunia hii
@yaronaWilliam8 күн бұрын
Poleni Sana!, hao nao wata kufa tu, ni suala la muda tu!, hivi hii ni Tanzania kweli au ni nchi tusioifahamu!, Tumefikia huko kweli?.
@yesgood34918 күн бұрын
Inaumiza,kisiwa kilichokuwa na amana Leo ardhi take badala ya kunywa mvua inakunywa damu za watu,hakika ni uchokozi Kwa Mungu.
@EVALSTIGNONDOA8 күн бұрын
Ivi mbona rais yupo kimya jaman ccm mnasikitisha sana au kwavile alie uwawa ni wabala sio mzanzibar inauma 😢😢
@feruzmato44227 күн бұрын
Hii serikali Mungu ataipiga vibaya kuliko serikali yoyote Ile iliyowai kuwepo wakatubu haraka kabla adhabu ijafika adhabu ya Mungu aizuiliwi na mtutu wa bunduki.
@SamuelLainzar8 күн бұрын
Ila mama iyo damu uliyo wa ruhusu watu wako wamwage n a upo kmy ipo siku tutamzika abduli kama tunanyo sika hawa😢😢
@kisinza60778 күн бұрын
Mh. F. Mbowe, hapo hakuna haki itapatikana zaidi ya uhai uliozimwa kikatili. Mungu anisamehe Mimi pengine nawaza dhambi bila kujua😭😭😭😭😭
@margarethpolepole74388 күн бұрын
Mungu weeeeeeeeeenini hiki kinafanyika Tanzania
@chikujuma188 күн бұрын
😢😢😢😢 inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja na jamaa zenu wote jaman tunaelekea wap kwa sasa serikali mko wap jaman mbona tunauwawa kinyama mtu hadi kumwagiwa tindi kali kwa kosa gan ewe mola wetu tusaidie
@user-bf9xj3nf1o7 күн бұрын
Naomba nimuulize samia na abdul je wanajuwa kama watafariki samia samia samia unaroho ngumu mungu anakuona
@JacksonBiyaga8 күн бұрын
MUNGU wetu tunakuomba utukumbuke , utunusuru katikati ya mateso na mauaji haya yanatekelezwa na utawala huu dhalimu usio na hofu ya Mungu .
@GraceKazi-z8d8 күн бұрын
Viongozi wa dini mko wapi!?? Tanzania inalia, mko wapi jmniii! Watanzania Tunalia eeeeee Mungu stopisha hiii hali inatuumiza sana watanzania.
@user-fl1xz3ln3c8 күн бұрын
Da inauma sana
@BahatiIsangu8 күн бұрын
Utasikia mbwa wengine wanasema eti wanajiteka wenyewe hao hii nchi tunapoelekea itakuwa kongo
@ayoubmtumishi507 күн бұрын
Mungu ni Mungu tu..
@AdabertChilumba8 күн бұрын
Naomba mashekhe wachungaji na mapadre wafanye dua maalumu ili wote wanaohusika na kazi hiyo ya utekaji na mauaji Mungu ashughulike nao maana sheria ya nchi yetu haiwezi kutoa haki kwasababu wanaosimamia sheria ndiyo wahusika wakuu wa matukio hayo Mungu pekee ndiyo anaweza kuhukumu
@AndrewBakari8 күн бұрын
MUNGU waabishwe wafedheheshwe warudishwe nyuma wanaofanya ukatili huu😢😢
@SHUKURUMahiki8 күн бұрын
Mbona hii kitu inaumiza kwa nini chadema tu dah
@mamboshepea88888 күн бұрын
Wewe unaona chadema tu acha uchawa!!! Ujawahi sikia katibia kila baada ya siku kadhaa anaokotwa mtu kauawa au katekwa wakiwema watoto😓😓😓
@SHUKURUMahiki8 күн бұрын
@@mamboshepea8888 mbona unatoa mapovu au na wewe unahusika uchawa wa nini bwege nini
@mamboshepea88888 күн бұрын
@@SHUKURUMahiki Nakushangaa ukisema ni chadema tu ndo wanaotekwa wakati nchi nzima imejaa vilio vya watu kupotea wakiwemo watoto!!! Na watoto wadogo nao ni chadema??!!!😢😢
@SHUKURUMahiki8 күн бұрын
@@mamboshepea8888 huyo mzee waliemteka juzi kwenye basi akienda zake kwao Tanga na jana kakutwa amekufa ni wa chama gani kama si chadema na watekaji wameonekana hadharani na watu wanawaona ndugu
@johnkatte50988 күн бұрын
Ila hii nchi,hii nchi, hii nchi!!! haya Mungu halali
@LinusMbwiga7 күн бұрын
mboe kuiachia sheria ni sawa na kumwachia Mungu ndugu wasome albadili wahusika wote na wao yawakute
@user-oo1vz3zi1t8 күн бұрын
Poleni sana inauma Mungu atalpa
@CharlesElias-zh5hz8 күн бұрын
Jaman haya mpaka lini. Ila msilipe kisaa Chadema ni ya haki
@margarethpolepole74388 күн бұрын
Kwani kosa lake nini hasa Siasa tu eeeee Mungu ukatili huu kibokoooooo
@stellamiyombe61178 күн бұрын
Nikweli uyu baba tumemshuhudia masikini nimemuona huyu baba masikini jamani kaaaah
@Eliasmarwaturuka8 күн бұрын
Tanzania haina amani
@paulojohn-bh2vz8 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢mbn ni mtihani Police sahivyi wamekuwa ni watu wakuwadhuru raia badala yakuwalinda abiria mimi sikubaliuwiiiiii mama samia hili jambo unalijua ww sio bure
@tanzanite99448 күн бұрын
Umejuaje ni Polisi na sio Majambazi? Usiamini vitu vya Mbowe vya kuhisi
@samkitwima79338 күн бұрын
@@tanzanite9944kama hayakukuta nyamaza mpumbavu wewe. Watu wangapi wamepotea?? Kwani kazi ya uchunguzi wa haya mambo?? Kw nini hakuna taarifa maalumu. Au majambazi wamewazidi akili police siku hizi. Kenge ww
@JacksonBiyaga8 күн бұрын
Yanayofanywa na utawala wa CCM, ni aheri ya utawala wa mkoloni wa Kizungu.
@husseinshabani95228 күн бұрын
Poleni
@meshackmpalanga91308 күн бұрын
Pole sana kwa maumivu ya msiba wa ndugu yetu
@RubenMtuwaMungu-bz8ee8 күн бұрын
Mbowe anamchango mkubwa sana kuilea CCM. Asingeingia maridhiano na CCM.
@rizikiminga30108 күн бұрын
Chama cha mafisadi CCM, chama cha makafili CCM, chama cha majambazi CCM, chama cha majangili CCM, chama cha mauaji CCM😢😢 Inauma sana WATANZANIA TUAMKE TUMELALA SANA, KIUFUPI BADO WATU WENGI BADO HAWAJAJITAMBUA😢
@tanzanite99448 күн бұрын
Ujinga unakumbua…
@MUSAHAMISI-ke9qx8 күн бұрын
Inallilah wainahillahi rajiun
@cassianyapesa54068 күн бұрын
Hii noma sasa
@SebastPolepole8 күн бұрын
Huo ni msiba wa kitaifa poléni sana Mungu akupe wepesi mwenyekiti wangu
@EliaHiluka8 күн бұрын
Sawa kabisa Mzee mbowe
@user-gd8cx2ig9p8 күн бұрын
😢😢😢natetemeka hata sielewi nina shida gani . Mungu atuangalie kwa jicho la nne maana la tatu ndio hili😢😢
@kuryatvfilm11618 күн бұрын
Tubuni na kuamini injili maana ufalme wa mungu umekaribia
@azzaalhabsi15058 күн бұрын
Poleni sana
@SmilingCityMap-xb9md8 күн бұрын
Hii imeniuma kupitiliza mimi sina ushabiki wa chama ila kwa hili sijawahi kufikilia kwamba taifa hili tutafikia viwango hivi kweli sasa tunamchokoza mungu alietulinda miaka 60 sasa viongozi wa dini itisheni maombi ya kufunga na kuomba msingoje makanisa yavunjwe ndio muitishe maombi tuombe jamani hii damu inayomwagwa sio ya mbuzi damu ya mwanadamu tukimlilia mungu atajibu maombi tusisubili yawe makubwa
@Bboy-ek8vn8 күн бұрын
Amina
@Ahmedseif-l5g8 күн бұрын
ccm hao
@MaguguStore8 күн бұрын
Drama za mbowe hizo
@Ahmedseif-l5g8 күн бұрын
@@MaguguStore lissu pia ilikua drama zamboe?
@ellenirelli49128 күн бұрын
@@MaguguStoreAkili kisoda
@SamweliHozza8 күн бұрын
Ninauhakika , Kuna watu wanajiona wamefika malipo nihapa hapa wanaofanya hvo wote watapotea kama wanavopoteza watu
@bernadetamushi8 күн бұрын
Jamani viongozi wa Dini kemeeni hili jambo. Hata watoto wanapotea sana. Watanzania tumeisha. Mungu tuokowe😢
@CalistiNicetas8 күн бұрын
Mimi ningemshauri raisi ajiusulu. Nchi imemshinda
@RaphaelMbughi-n1g8 күн бұрын
Mungu anawaona maana Bunge halina sauti
@frankjohn87068 күн бұрын
Watu wema tumuombe Mungu ili Hawa wahusika wote wakatiliwe MBALI bila kuharibu utulivu wa INCHI jambo hili lifanyike kwa upanga wa MALAIKA MIKAELI na tuseme wote AMINA
@sebastianmwantuge55978 күн бұрын
Watanzania tubadilike,maneno matupu wameshayazoea
@williamsenkoro22108 күн бұрын
Njia ni wananchi kupinga kwa umojaaaa... Bila hivyo watanzania mtalufaaa mmoja mmoja.
@marieconnect63898 күн бұрын
Dah. What's going on?
@FikiriniMwaluko8 күн бұрын
Mimi jamani😭😭😭😭😭je tuwe hivi Nchi nzima 🤐🤐🤐kasolo hawa.............!!!? Sielewi mimi
@yudatadeimdoe92158 күн бұрын
Duuu, asee mchana kweupe kweli ao watu wasijulikane jaman😢😢😢😢
@michaelmwambije36038 күн бұрын
Samia Samia Samia mungu ndo mwamzi
@matukutajuma1568 күн бұрын
RAIS HUYU DADA HUYU MIMI NAAMINI KAMWE HAWEZI HAWEZI KUTOA MAELEKEZO YAFANYIKE MAUWAJI KWA MASLAHI YAKE! MUNGU ANAJUWA! RIP BRO!
@user-cx1xz2is5d8 күн бұрын
Pole familia
@billwaltermbilinyi20558 күн бұрын
So sad
@happinessmosala22178 күн бұрын
This is sad.poleni familia 😭😭😭
@AbrahamJacob-i7o8 күн бұрын
Mungu simama kwenye wakati huu mgum
@raysonngowi46798 күн бұрын
Mungu nisamehe kwa ninachowaza juu ya hawa watekaji,
@TimotheoKanjwel8 күн бұрын
MUNGU awaitiye ngufu familia ya marhemu
@mbismarckredpenperfect43807 күн бұрын
Ni jpm tena na watu wasio julikana😂😂😂😂 Muda ni rafiki mwema Tumuombe Mungu sana Taifa taifa taifa
@user-md7sd3hk6l8 күн бұрын
anae fata atujui nani mungu tulinde na balaa ili
@Anton-t5c2w8 күн бұрын
Mwenyekiti tuhimize tufanye
@JacksonBiyaga8 күн бұрын
Utawala wa CCM na Serikali yake ni zaidi ya UDIKTETA.
@emmanueltillya20178 күн бұрын
Kwa nini viongozi wa dini msisimame na kufunga kwa maombi na ikibidi na kanzu nyeusi zivaliwe,naamini Mungu ni mwaminifu atashughulika na mmoja mmoja kwa kadri alivohusika.
@bunzaristeven57728 күн бұрын
Viongozi wa dini Ipi? Hawa wanaokesha kukusanya kila aina ya sadaka kwa masikini?
@JfourHumbi8 күн бұрын
Wanafiki hata kukemea TU hawawezi 😊
@JfourHumbi8 күн бұрын
Mtumishi kama mwamposa hawezi hata kukemea TU utafikili hawaoni ujambazi na uuwaji inauma sana
@ThadeoJohn-ds6sg8 күн бұрын
Daa inauma sana sana
@JacksonBiyaga8 күн бұрын
Hivi ! Sisi Watanganyika ni nani aliyeturoga? Tunashindwa je kuungana na kuchukua maamuzi magumu dhidi ya chama dhalimu cha CCM ambacho kimetugeuza Watanganyika kama wanyama pori wawindwao na kuuawa bila huruma.
@daudkondo40698 күн бұрын
Nyie kina mbowe hakuna mahakama za kimataifa zinazoweza sikiliza haya malalamiko
@edisonpeter38948 күн бұрын
Haya mambo jmn ni hatar sana. Duh, sasa nani yuko salama?
@Hopesone8 күн бұрын
@@edisonpeter3894 hakuna anaye jua salama yake iko wap lakini tunalazimishwa kuwa inchi salama wananchi hatuna wakumwambia tunaowategemea watered haki zatu wanyonge tuna hofu nao hatuko salama
@YahayaChima-ji7dk8 күн бұрын
Hivi tuko Tnzania ambayo naifahamu? Wallah siamini tunakoenda ni kubaya sana sijui waziri wa ulinzi ana kazi gani jamani tuchukue maamuzi magumu nawasifu sana wakenya hakika inaumiza sana Watanzania