Yanga shukrani sana kwa wenu ishallwah mung atawalipa kheri
@thadeusmarkiminja22826 сағат бұрын
Hii ndiyo Yanga timu ya wananchi tumuombe mungu matokeo yaee mazuri na hata jama hayatakuwa mazuri yote ni Milano ya mungu tutajipanga tu la muhimu jeshi letu liingie uwanjani kupambana na mungu awajalie pia watoke uwanjani na ushindi na salama bila majeruhi.
@ALLYBULULA6 сағат бұрын
Aaamina shukran watoto wetu kwa dia yenu mola ajaalie yanga ipate ushindi kwa ukubwa wa dua zenu kufurah kwenu nas mola atatupatia furaha siku ya kesho na.michezo ijayo insha allah
@LucaiyaKyaka4 сағат бұрын
Ewe Mola wng nakuomba utujaalie Kheir na Mafanikio kwenye Timu yetu na uwaongoze wachezaji wetu na Kocha wetu Inshaallah
@MasoudAbdala5 сағат бұрын
Mungu jalia hii Dua inayo ombwa na watoto Hawa uikubal na iwe sabab ya ushind Kwa gem yetu ya kesho