Arafat mkuu tunaiombea sana timu yetu, wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki kuwa kitu kimoja na kupata ushindi. Tunaomba wachezaji watulie wafanye kazi yao vizuri. Mungu yupo pamoja nasi.
@TwahirMohammed-x2h9 сағат бұрын
Hongera sana kiongozi wetu tunakupenda tunaimani kubwa nawe kiongozi wetu kwa kazi kubwa unayoifanya❤❤❤
@jumaibrahim47612 сағат бұрын
Yanga tupo imar do or die no retreat, no surrender no compromise must be point 3 insha'Allah
@kabujeasukile54629 сағат бұрын
Nawapongeza VIONGOZI wetu kwa kazi nzuri hakika munaipambania sana timu yetu tunaomba kuendelea na mshikamano wenu huo huo DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 💚💛💛💚💚💚💛
@tatumzelela55159 сағат бұрын
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 mungu ibariki Yanga African na wachezaji wetu waamke wakia na Afya njema mungu awaepushie na mabalaa pia mchezo ukawe mwema kila mchezaji asipate majeraha wala kupewa kadi yoyote mbaka mwisho mwa mchezo tukiwa na alama 3 inshallah 🙏
@YusuphAloyce-lv1zm12 сағат бұрын
Inshaallah mungu awajaalie wachezaji wetu afya njema ili wakaipambanie nembo ya timu yetu
@MawazoWilliam-g9l13 сағат бұрын
Natokea mkoa wa songwe, inshallah mungu yupo tutapata point 3 mungu ibariki yanga yetu Amina.
@saimonmanyerezi716910 сағат бұрын
Mungu ibariki timu yetu,tunatamani tukiiona inapasua mawimbi.
@mitinjemaziku8 сағат бұрын
Hongera sana watu wa mbali wanaona umhimu wa mafanikio ya yanga ila wa hapa hapa sasa 😂😂😂😂😂 Kwa kweli Mungu tuhurumie wa Tz
@raymondswed735811 сағат бұрын
Bonge moja la interview... Big up vice President wetu😅😅😅😅
@idanysedrc120013 сағат бұрын
Arafat anaonekana genius sana japo hajabarikiwa sana kwnye kuzungumza but anaakili kubwa sana!!
@jumaibrahim47612 сағат бұрын
Kiukweli yupo na kipaji masha'Allha Allah atulindie genius wetu
@IssaFumo-e4j11 сағат бұрын
Kaka upo? hawajambo kitonga???
@idanysedrc12007 сағат бұрын
@@IssaFumo-e4j nipo huku kwema
@christinapeter81038 минут бұрын
Yaaan zaidi ya genius ❤
@SuleSwaleh3 сағат бұрын
kila la kher my team.....🤞
@OmarAhmed-t2m12 сағат бұрын
mungu ibaliki yanga ifuzu kwa mslai ya taifa
@raymondswed735811 сағат бұрын
DIEGO UKIPATA WASAA TENA WAULIZE KUWA WANA MPANGO GANI WA KUMSAIDIA AUCHO PALE NAMBA 6 MWENYE LEVEL KAMA YAKE AU ZAIDI YA AUCHO MAANA AUCHO ANAFANYA KAZI KUBWA SANA NA HUWA TUNAONA PENGO LAKE PINDI AWAPO MAJERUHI.
@SevarinijrChitanda7 сағат бұрын
Mungu naomba tujahalie tupate ushindi yanga sfricans
@fathimadaid34295 сағат бұрын
Mtangazaji nakupa maua yako umetulia sana hupapaliki hongera sana
@JosephSamweli-c8k7 сағат бұрын
Mungu yunasi atakaye iyombea yanga dua mbaya ehee Mungu limkute baya
@josephmakore10 сағат бұрын
Hungera sana sana sana makamu wa raisi Songa mbele
@NellyNdungulu13 сағат бұрын
Eheee mwenyezi Mungu tujalie kesho tupate ushindi
@MalifezaMajidi12 сағат бұрын
Mungu ibaliki yanga tz
@noelmakere138111 сағат бұрын
MUNGU ibariki Yanga...kesho ushindi muhimu
@gasperdengulluwe799010 сағат бұрын
MUNGU IBARIKI YANGA WABARIKI WACHEZAJI WETU INSHALLA TUSHINDE MCHEZO WA KESHO
@namirjr184412 сағат бұрын
Ee Mwenyezi Mungu ijaalie YANGA USHINDI kwa mchezo wakesho iiashallw
@jumaibrahim47612 сағат бұрын
insha'Allah ameen
@damianmcba95254 сағат бұрын
Idadi kubwa ya Magoli sio lazima cha muhimu ni uhakika wa ushindi na sio ushindi wa kubana pumbu mnataabika kwenye mechi ndogo tu
@GodfreyMwendawila-ff7on13 сағат бұрын
Mi Niko mbali ila sasa hayo maombi ninayo piga ni Zaid ya kufika na tayal mchezo nimeshaumaliza so wanayanga msiwaze kabisa kabisa
@DENISMAKALA13 сағат бұрын
Amina nayapokea maombi yako
@jumaibrahim47612 сағат бұрын
@@DENISMAKALAhata mm pia nashukuru aameen
@robertphilip38511 сағат бұрын
Hebu tuambie mkuu umeyajiaje
@fathimadaid34295 сағат бұрын
Hongera wangu❤❤
@damianmcba95254 сағат бұрын
Umeshayachungulia matokeo mkuu
@MohammedOmari-w7n4 сағат бұрын
Kwa uwezo wa Allah me nimeziona gori 2 Kwa 0. Yanga atashinda kivyovyote vile na tupo tayari kwa lolote lile
@AloyceMdollo-e1z13 сағат бұрын
Wewe ni Mungu asyeshindwa naamini siku ya kesho utaiwezesha timu yetu yanga kushinda
@JohnMyula-u9j11 сағат бұрын
Arafath kiongozi kesho nguvu mojaaaa
@jumamakame397811 сағат бұрын
Hakuna kukaa kwenye kiti kusimamq tuu tunapumzika haftam