Sisi wa mikoan tunakosa raha jaman maana naona kuna kila aina ya maua😢😢😢
@DominicMakamba9 күн бұрын
Nimefurahi kumuona Mtangazaji wa Mpenja
@moiseszacariasmoisesmoises9 күн бұрын
munatunyima raha sisi mashabiki tuliokuwa nnje ya nnchi kwamfano mimi nipo moza🇲🇿🥱
@hafia.0569 күн бұрын
Mimi niko Yanga tokea nnaMiaka mitatu.nahivi sasa niko miaka karibu miaka60 nikaTu card yangu ntaka kuirenyu iwe mpaka miaka 100 yes it's that's tricky meaning off this yanga gives millions off people's RAHA RAHA yakweliii eee yanga Africans oyeee oyeee haya
@hafia.0569 күн бұрын
Mimi niko united kingdom nikija hukoo home nataka card yangu ya yaMiaka mia moja hii niHakika yanga Africans tamuu Rahaa eee
@JustineLaizer-o2b9 күн бұрын
Latipher ❤❤bado kishai
@MaliaSimbila9 күн бұрын
Yanga rahaaaaaa jaman
@hafia.0569 күн бұрын
Mimi nasema Tena NaTena yanga Africans oyeee eee yanga oyeee hayaa Twendeee kazi Twendeee kazi Youngs Africans hukuuu Tamuu Tuupuu Raha tupu eee