Innalilahi wainnailaihi rajiuni yarabi mola wetu usitughafilishe ktk dunia hakika ya adhabu zako nikali saana hatuziwezi sikuhizi siwanawake siwanaume wanaimba nyimbo Na music Na kuzivalisha shungi wakaziita kasida innalilahi wainnailaihi rajiuni Shekh yussuf abdi Wa kenya anasoma nasheed nzuri bila ya music nakila ukiisikiliza basi unaona kama ndio siku ya mwanzo kuisikia Na inamafunzo makubwa saaana mpaka moyo unashtuka tujirekebisheni
@allyelabad73706 жыл бұрын
Ummu Samira ....inaruhusiwa bana. Kam hairuhusiw una ushahid gan
@munaahmed84996 жыл бұрын
Subhannallah Allah atulinde maa haramu mwanamke kupaza sauti hivyo mbele ya wanaume
@saadsalum32536 жыл бұрын
hiyo ni ngoma km ya dimond tofaut yenu mnamtaja mungu na mtume tu hamuoni km mnaupotosha uislam wenyewe nahao wazazi wenye watoto nao wanao mzg
@omarysalehe81556 жыл бұрын
saad salum v
@AsdDsa-kl4iw4 жыл бұрын
Ss maulid ama taarabu vp mbona urembo kibao mavazi balaa alafu mnasifu Allah Subhannaallah
mungu akuzidishie mwalm wag wa madaras Ttawba kipind hicho
@husseinchiaseeds26534 жыл бұрын
Aache kuimba miziki Allah hajayaruhusu haya
@andallaathman38564 жыл бұрын
Hya watanzania makosa mmezidi kila kitu mitandaoni na kukusanyika na wanaume mnaona mnapata thawabu kumbe mnazoa zambi tuu mungu awaongoze inshaa llah
@muzneahmad40415 жыл бұрын
mashallah allah akuongoze katika kheri wafikisha ujumbe vyema
@rahmamavura4067 жыл бұрын
mashaallah.ila sijui dufu ziliingia barid.uchezaji sijaupenda.turudii kunepa kizaman jaman
@bellbell92945 жыл бұрын
Shukraan bi Dada kwa kazi nzur uliyo ifanya Allah akulipe majazo mema amiin jazaka Allahu kher
@naimaazizi58872 жыл бұрын
mashallah kwa dada nadhifa ila watu bado wanajivunia urudi bukoba jamani maan uliacha pengo bora tuu ulirudi bukoba
@shamiraomary30607 жыл бұрын
innalillah wa inna ilaih raajiun....huu sio uislam tuliofundishwa na mtume(s.w.a) tuandae majib ya kwenda kujib kwa Allah(s.w)
@gwaluvideo64277 жыл бұрын
co vzur kuwaalaan wnzenu n jmb l kumrekebixha2 na anaelewa jiulz unmmb mngp unamfnyia Allah n mbn hjkupg lana iwj ww utoe hukm umekuw hakim ww mpk umhukm mwnzio
@husnajohn74666 жыл бұрын
Sasa kama we mjuzi ndio utoke hadharani ukawafundishe sio kulaani huku social media huo ni unaaa
@sarahsemwanza20316 жыл бұрын
wewe mbona umemkosoa mtandaon ndomtume katufundisha ivo mkosoaji no Allah
@salmasalimu24636 жыл бұрын
Shamira Omary. ALLAH ndo muukumu sio ww yote muachie ALLAH
@fatoomfatoom55905 жыл бұрын
Hakuna mkamilifu acha kuhukumu wenzio km unaona dhambi ww mbona upo you tube kuna kitabu kimekwambia ujiunge you tube na km kipo tuonyeshe mana you tube zinapostiwa kila kitu kuna vengine havina maadili mbona waviangalia (mkamilifu ALLAH)
@sabrinaadinani37495 жыл бұрын
Shangazi yangu zaida mungu hakulinde nakila balaha😍😍
@gambigambi72545 жыл бұрын
Sabrina Adinani unamfaham? Ninamtafuta mno nipelele chochote kwa madrasa yake
@jumahamad44193 жыл бұрын
mashallah sauti kinanda ......
@saidsaid94637 жыл бұрын
Mashaallah dada mungu awape kila lakheri
@philipfrankmakutsa96635 жыл бұрын
Hajawaita hao waje kucheza yeye amekaa na watoto wake wananema tu hapo tatizo labda wanalo wanaofanya huo ni mziki wa kucheza lakini mashallah ujumbe mzuri saanaa.....
@nadiaanadiaa20516 жыл бұрын
Cjaipenda kbsaa mnatuharibiaa dini yetu
@KarengaHussein3 жыл бұрын
Dini ni ya MUNGU sio ya baba yako
@sadathbadru3337 жыл бұрын
mashaallah kwa sauti uko vzl
@HusnaSalum-p1q5 ай бұрын
Mashaallah mashaallah 🎉
@zaharanihassan90136 жыл бұрын
kiukweli nilizipenda sana kaswaida na dufu Hizo, kumbe nilikuwa. sijawa na elimu sasa hunidanganyi kwa kaswida za kumuasi Allah kama Hizo,,,,
usimuhukumu mtu ww haujajua bado umetenda mangap kwa mungu yalo mema
@nassirmohamed8492 Жыл бұрын
@@sajidusinani4509 dufu sio baya shida ni hao vijana
@rahmaalkalbani29225 жыл бұрын
Maxhaallah your saund sey thaankxgod
@saidiyahya64602 жыл бұрын
kasida nzur nimeipenda
@bayaanhumud43285 жыл бұрын
Inna lilahi wainna ilayhi rajiuun hiyo sio sahihi hatta kidogo
@rajabuselemani35867 жыл бұрын
Allah hawabariki afu waislamu wengine siwaelewi hivi na bongo freva huwa mnazikanusha acheni mbwembwe acheni atajwe mwenyezi mungu na mtume wake
@nassorosalehhazard24506 жыл бұрын
Rajabu Selemani asante make wananikera sana ukiwakuta kwenye vigodoro uwatoi lakini apa wanajifanya kukoment
@sajidusinani45096 жыл бұрын
kweli kabsa
@husnajohn74666 жыл бұрын
Qaswida nyingi za wa bongo ni kiswahili , sababu wakina mama wengi walichelewa kujifunza dini hivyo hivi sasa ndio wameamka na kujitambua nakuitambua thamani ya dini, siwezi hukumu kwa nini wamechanganyika na wanaume , km nilivyosema wengine ndio wameamka ivi sasa hivyo mengine yakuwaelekeza tu sio wengine huku kujifanya kulaani wakati we hapo ulipo pengine hata sheria za udhu hujui
@zulfasalim95724 жыл бұрын
Hahahahahahah udhu hauna sheria kwenye udhu ni sunna na faradhi. ama kama mtu hajui huo udhu ndo dini imemkataa asikemee munkar. jamaa tuacheni ushabiki na dini. hata Mm ni mtu wa twarika ya alawiya lakini sidhani kama hao mabingwa wa twarika kina Imam Ally Bin Mohammad Bin Husein habshy kama walieka twarika katika misingi hii. heri tu wawachane na kumtaja MUNGU na MTUMI na hizo dufu waziweke kando waiite taarabu.
@ramadhanisadiki47125 жыл бұрын
mashaallah mamaangu unakonga nyoyo
@philipfrankmakutsa96635 жыл бұрын
Allah Allahu ashukuriwe ...mama unamtaja unamtukuza Allah wallahi atakulipa kwa utajo wako kwake nyie mnaokashifu anzeni na kina mond na kiba halafu mje na huyu ....
@neemafatu78855 жыл бұрын
Yaani huoni ubaya wake hata kwa kuangalia tu dah!
@neemafatu78855 жыл бұрын
Huyo mond si inajulikana kuwa ni mashetani tu.sasa hawa si wananasibisha na ibada hiyo. wanaume ,wanawake,nani karuhusu hivyo.?
@ramadhaninurrumtungi44745 жыл бұрын
Yupo vizuri zaidia
@bayaanhumud43285 жыл бұрын
subhanallah hilo ni beni
@jamilashabani85803 жыл бұрын
Maa shaaa Allah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Allahu allahu allahu Allah
@abubakarayubu89386 жыл бұрын
Mijimama inajitikisatuuu hukuikouchi
@mishybintsalimsalafiyyun60187 жыл бұрын
ALLAH TUSAMEHE MADHAMBI YETU KWA KWELI MTUME ALIWAONA WENGI MOTONI TUNUSURU YARABBY
@ukhtyzainab72546 жыл бұрын
Amiin
@realpopray966 жыл бұрын
Amiin
@husnajohn74666 жыл бұрын
Mmoja wapi wewe japokuwa bado uko hai
@fatmazena93286 жыл бұрын
mashaallah
@rahmamuhammed67348 жыл бұрын
Ndugu ktk imani hivi kweli ndio uisilam. tulivyofundishwa na Mtumewetu. mohammadi swalallahu aleyhi wassalama.mnachanganyuka wake kwa waume pamoja sauti ya mwanamke iko juu mbele za wanaume. Astaghfirullah. wamama. tusomeni. dini tuacheni kuimba .
@fatmakhamis10187 жыл бұрын
mwanamke na dufu lili kua moja na litengenezawa kwa kitambaa na alipigia kwa kidole kimojaa laki tumetoa uzushi ndani ya uislam hii hali ya huyu mama aliipata eapi?
@rashidsaid70127 жыл бұрын
kinachoshangaza watu mnakosoa kaswida ila waislam wanaoimba bongo fleva mnawasifia tena sana na mnaacha kuswali
@omarimzuzuri47626 жыл бұрын
Fatma Khamis ,Kasome kwanza ukhty halaf utakuja mitandaoni kukosoa
@husnajohn74666 жыл бұрын
We fatma kama umesoma dini haswa tupe dalili ya unachokiharamisha maana hii hukumu itaku hukumu na wewe pia kua ulijua lakini hukutaka kuwajuza wengine, mtume kasema uzuri wa muislamu ni kuijua dini kisha akawajuza na wengine je ulishafanya hivyo?????
@aziziyusufu85925 жыл бұрын
Innallillah wainailaih rajiuun hiyo picha hapo ukiitazana unanuona huyo Dada akiwa amevaa hali yuko uchi,tena yuko kwenye hadhara tukufu kama hiyo hivi mahala kama hapo masheikh wa kuyakataza hayo huwa hawapo
@mishybintsalimsalafiyyun60187 жыл бұрын
INNA LILAH WA INNA ILLAH RAJIUN
@wahidashabaz59825 жыл бұрын
Mama unaeimba nakupenda kwa kitunza icho kituo ila kosa na huzuni ni kwanini wametometokea hao wanawake wanachezesha miliiyao na wapo uchi?ushauri mnapotak kufanya jambo la kiimani basi jatibuni kuweka mazingira ya kiimani sio tu kuoneysha yasio na maana
@jaliabahati396 жыл бұрын
Mashallah Mama wambadara Nazifa ukovizuri
@zumbeshauri81147 жыл бұрын
mungu akupe maisha mema acha walibeze lakini unamtaja mungu na mengine mazuri waya fanya
Hongera sana ustadhat wangu mungu akulinde na mabaya yote ya walimwengu uko vizuri huwa na kukubali sana
@athmanihaji77714 жыл бұрын
Innaalillahi Wainnaailaihi Raajiuun
@sssaminasaidaaamashaalah32914 жыл бұрын
Mashaallah
@jamilakhalifa26927 жыл бұрын
mabrock😗😗✌
@yassindeffu885 жыл бұрын
Shekh huyu mama wawapi ?
@husseinchiaseeds26534 жыл бұрын
Unataka kumnusuru
@fatinarajabu30437 жыл бұрын
Subhanallah Astaghafirullah 😧😧
@saadamrisho53966 жыл бұрын
gwalu video ni kweli kabisa
@bxgdhydydh65055 жыл бұрын
Astaghfirullah
@nnbb84025 жыл бұрын
Mashaallah Allah barik fih
@ahmedyoung73007 жыл бұрын
mm baadhi ya maneno mbon siyaelew iyo lugha gani ipo ndan yake
@athumaninchula20203 жыл бұрын
Hapo n ukumbini wakinamama wamejiachiia wapiga dufu n vijanawake was Madras a na n vjana wadogo tu kashfa zote za nn kwan hamuwaon waliopotea?
@HusnaSalum-p1q5 ай бұрын
Unakuta anayekosoa hata swala tano hana anaye tajwa ni Mungu lakini wanakuambia ni kama kaimba daimond
@jaliabahati396 жыл бұрын
Mnao mponda mmechunguza dhambzenu?
@meena-ol6fo5 жыл бұрын
Wajinga tena hawaijui dini na utakutahata juzzu amma hawajamali
@husseinchiaseeds26534 жыл бұрын
Kua na dhambi Kuna kufanya umsapot mwenzio atende dhambi mbona mnazidi kua wajinga
@zawadiosman95278 жыл бұрын
maashaallah
@ramadhaninurrumtungi44745 жыл бұрын
Wanasema husiukum mtu anaeukumu ni mmoja tu allah
@zaitunikweka9795 жыл бұрын
Kakosea wapi mmesahau kuna mwanamke alipiga dufu mbele ya mtume swallahu aleih wasalam?
@medshaa37047 жыл бұрын
jamani naombeni mniambie ni Chou gani hicho jina lake
@nabilamaashaallahmaashaall69777 жыл бұрын
Sasa lkn mbona mmechanganyika nawanaume ilikuwa muwe wanawake pekeenuu
@bahatiyusufu92707 жыл бұрын
nice voice mummy!
@omanmusicomanmusic26206 жыл бұрын
Sio kweli haya si mafundisho ya mtume (s.w)hio ni haram
@amalali26528 жыл бұрын
na watoto pia mashaallah wamejitahidi kucheza
@marymabubakary15615 жыл бұрын
maashaallah mdada
@ahdahmed83836 жыл бұрын
Mashallah
@Cris-Kai7 жыл бұрын
🙌🙌🙌
@shabanisaidi88276 жыл бұрын
Mashaalh
@abdallahhamad2988 жыл бұрын
Inna lillahi wainna ilayhi rrajiu'n
@sitiali3196 жыл бұрын
ingekua wanawake pekeyao ni sawa na sio kurushwa mitandaoni
@sitiali3196 жыл бұрын
ingekua wanawake pekeyao ni sawa na sio kurushwa mitandaoni
@jidalddl87878 жыл бұрын
mashaAllaah
@aminaomary9085 жыл бұрын
Masange kondoa huko
@suleimanmakame80557 жыл бұрын
Kidoti Ali hujambo?
@marizianasumba71107 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@hamawamitego85768 жыл бұрын
Masha Allah
@bintsalimalbimany2873 жыл бұрын
🙄🙄🙄🙄🙄🙄😭
@myqueen43977 жыл бұрын
mtihani tarabu si tarabu.... mhhh
@ukhtyzainab72546 жыл бұрын
Hahaha
@sandaljodi27007 жыл бұрын
jadaadu maraatu kuuaura aijuzu dada sati ya mwanake niuke wacheni kupoteza tu dini yetu hairuhusu hivno mnavno fanya haram
@husnajohn74666 жыл бұрын
sand Aljodi ,sasa km in uchi na wale wanaoimba bongo fleva nao ni nini, acheni kuhukumu
@faudhiatwaha14797 жыл бұрын
mama mkwe asante
@fatuminafarah25247 жыл бұрын
mashallah
@zaitunikweka9795 жыл бұрын
Mna mponda uyu na nyie zambi zenu amzioni Bora uyu anaimba nyie mwazini alafu mna mponda
@neemafatu78855 жыл бұрын
Kwani nani mkamilifu ktk binaadamu? Kama ni hivyo basi hakuna haja ya kupeana mawaidha au nasaha kwa sababu hata mashekhe wanadhambi,lkn wanahusia watu tuache dhambi.SEMA TU TUNAPENDA SANA HAYA MAMBO YA PUMBAO YASIYO NA FAIDA yoyote.
@popokulika30688 жыл бұрын
nice one mashallah
@fatumayusuph71548 жыл бұрын
mashaallah
@fatmakhamis10187 жыл бұрын
mtume muhammad s.a.w. alipo hama makka kwenda madina alipokewa kwa dufu na kaswida inayo itwa twalaa lbadru alainaaa na alipiga mwana mke na alisoma mwanamke la dufu lilikua moja na liliambiwa kitambaa na alipiga kwa kutumia kidolu kimoja tuuu
@jozeebonge33417 жыл бұрын
maashaaaalllaah
@sabribalaway60617 жыл бұрын
jamani anasoma vizur lakini nashanga wengine wako mabega wazi
@nazminnazmin72107 жыл бұрын
manxhallah
@amalali26528 жыл бұрын
saut mashaallah
@yusufukwaya62407 жыл бұрын
Amal Ali in sha allah
@aassmmasd50178 жыл бұрын
manshall
@fatmakhamis10187 жыл бұрын
jamani iko siku tutaenda ya jutia haya kupiga mayowe hivi haujawa ucha mungu nakila kaka mwenye kuona hii alete istighifar
@امينهامينه-ع6ه6 жыл бұрын
kama tarabu wanavochexa hawo watu wazima
@zumbeshauri81146 жыл бұрын
nashaangaa watu wengine kumsifu mtume unakuite msiba jamani?
@musafiahlalbayt99784 жыл бұрын
Audhubillah minasgaytwan rajim bismillah rahman rahim. Music ngoma Ni haram saut ya iblis at a uki Imba kwa carabu ukala capati kama warabu haram yabakiya haram
@zulfasalim95724 жыл бұрын
doooooh tarabu hyo jamaa. Mm ni mtu wa twariqa lakini hapa sasa mwatutukanisha jamaa. wanawake wacheza kama kwenye taarabu. aaaaaaa haram hyo