AMA KWELI SIO KILA MTU WA KUMLETEA UTANI, MOCCO AMFANYA KITU MBAYA SANYA!!

  Рет қаралды 176,239

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 189
@baysadam235
@baysadam235 Жыл бұрын
Big up snaaa kwa Big Father amekufanya uwe mtu Mocco ginius🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@fedhelahaji3444
@fedhelahaji3444 Жыл бұрын
Noma sana sija wahi comment ila Leo noma hasa kwa mashaa love apo dah
@fadhilplatnumz8474
@fadhilplatnumz8474 Жыл бұрын
Ikovizuri sana 🤣🤣Mocco alimaindi kiukweli sana 👍
@aliseif564
@aliseif564 Жыл бұрын
Mumtafute diamond😅alaf mumwabie aregeshe rollsrocye alikua amekodi tuone reaction au mnasemaje mashabiki wenzangu wa mo town
@DanielLukumay-oc9dt
@DanielLukumay-oc9dt Жыл бұрын
Nakubali wafanye hivyo mond afe kwa presha
@tiffanyakramJr814
@tiffanyakramJr814 Жыл бұрын
Vijitu vifupi vikorofi.. Umemuweza mocco leo.. Tatizo kimo jamaa lazima apanic 🤣😂
@surykizz1698
@surykizz1698 Жыл бұрын
Leo show imeua huyo dogo kaweza ♥️
@jafarykadinda6385
@jafarykadinda6385 Жыл бұрын
Mo sanaya atakuja kuua watu kwa presha😂😂😂🤣🤣🔥🔥🔥
@kibikihotfilm0621
@kibikihotfilm0621 Жыл бұрын
Dogo kacheza vizur Sana 👏👏
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Жыл бұрын
Moco yuko na hasira sana ustaa utamshinda
@uwezoaman493
@uwezoaman493 Жыл бұрын
Sema moco nimemsoma hana subrraa anachemka haraka🤣🤣🤣 sopoa
@alexmavindi2104
@alexmavindi2104 Жыл бұрын
Idea nzuri shida HUU ubunifu mlio uweka una adhari kubwa kuliko faida au tageti yenu so jaribuni kuona namna ya kukiboresha zaidi coz mnaweza😁👊👊
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 Жыл бұрын
Dogo anakitu atafika mbali 😂😂anajua kuigiza wala hacheki tena
@neyney1907
@neyney1907 Жыл бұрын
kweli jmn
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 Жыл бұрын
Nimecheka kifala sana sana. Big up sanya.
@felicianboss6953
@felicianboss6953 Жыл бұрын
😂😂hii inaitwa big suprise °°
@fatemazanzibar877
@fatemazanzibar877 Жыл бұрын
Nakupenda sana❤ moo❤❤ mpeni mau yake moo jamni🎉🎉
@Calebtz
@Calebtz Жыл бұрын
Leo mmeyavagaaa😅😅😅 sanya kama sanya
@MWEGOHA
@MWEGOHA Жыл бұрын
kwa style hii kuna siku mtu atakula shaba, masihara mengine hayafai 😘😘
@lioneljr2339
@lioneljr2339 Жыл бұрын
Real😊
@neyney1907
@neyney1907 Жыл бұрын
kweli tena
@youngmaster4127
@youngmaster4127 Жыл бұрын
Akifa mtu ndy watajua
@alexjos7625
@alexjos7625 Жыл бұрын
HIVI NI KWELI?
@mudibojaffar9269
@mudibojaffar9269 Жыл бұрын
WAPI, Kelele Kwa MOCCO Na SANYA🔥👍Ngonga Like👍
@pendohumphrey6501
@pendohumphrey6501 7 ай бұрын
next prank iwe ya jay melody please the guy is so cool....we want to see his reaction
@carlosn_tz
@carlosn_tz Жыл бұрын
Mocco hivi kweli beat yangu utafanya kama wamekuvuruga hivi!!!!!😂😂😂😂😂😂
@benjaminmuhigi9858
@benjaminmuhigi9858 Жыл бұрын
😅😅😅
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 aiseee huyo dogo ni shidaaaa yaani kakomaa sana
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 Жыл бұрын
nmecheka🤣🤣🤣
@samohmosa2254
@samohmosa2254 Жыл бұрын
Dogo ameweza kwelii
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Hiii show saizi ni ya motoooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Saiz mo anauwa hiki kipindi 😁😁🤣🤣🤣🤣
@mozstorrytv7982
@mozstorrytv7982 Жыл бұрын
Sema mocco yuko vizur kama hakimu
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
Dada lamata Leah muone uyo dogo anajua anajua anajua Tena
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Hiki kipindi kizuri lakini kina hatari sana mbadili hiki kipindi jamani ipo siku itawagika damu💔💔💔
@dinesschamanga
@dinesschamanga Жыл бұрын
Kweli kabisa kuna siku damu itamwagika
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w Жыл бұрын
This is dangerous game
@frankmganda2424
@frankmganda2424 Жыл бұрын
Lakini mnashitua watu sana
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Жыл бұрын
Leo mocco kakamatika 😂😂😂😂
@petromsomba4523
@petromsomba4523 Жыл бұрын
yaan nasemaje mo unatufanya tuinjoi ira maumiv ya kupigwa unayamaliza ww dar hongera san bro
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 Жыл бұрын
Ipo cku mtapasuana kweli😂 ila dogo katisha Sanaaa
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Ndo ujitambue ivyo unazingua sana usiingize masihara kwa kila mtu watu wana mambo mengi yanayowasumbua vichwani
@Iddy-lg1ly
@Iddy-lg1ly Жыл бұрын
Hiyo michozo ambayo mnaifanya sanya yakifara sanaa sana mtakuja kuua watu huo utoto kinoma
@dudusenior5031
@dudusenior5031 Жыл бұрын
MNAZINGUAAAA, mnacheza na mda wa mtu jumlisha michoresho juu
@jumamboga9652
@jumamboga9652 Жыл бұрын
Sanya eeee fanya hiki kipindi ukamfanyie ngoma nagwa nasubiri sana kwa hamu😂😂😂😂
@inearclassictz1233
@inearclassictz1233 Жыл бұрын
Big up Sanya 😂😂😅
@imanimagenda6329
@imanimagenda6329 Жыл бұрын
Sema Mocco mstaharabu
@harunahussein3505
@harunahussein3505 Жыл бұрын
Mocco ana muhaho😂
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
Big up moo town sanya
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 2 ай бұрын
Kwakuwa watanzania tunapenda ujinga tunasema kipind kizuri but ukimcheki mocco ka mind kweli sema kaamua kuzuga kuwa kafany sizon 2 lakn ni more than danger ningeshauli waongeze ulinz au wamsanue mtu mapema kabla hakijanuka😅
@trifonidesdery8707
@trifonidesdery8707 Жыл бұрын
Mi nanimaliza huyo dogo mkavu anadai kurekodi kama katoa hela kweli😅😅
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@PUGBFORBEGGINERS
@PUGBFORBEGGINERS Жыл бұрын
Nitakupiga mpaka nikupasue vpande vipande themanini... 😂
@saraphinaJoseph-ke9jg
@saraphinaJoseph-ke9jg Жыл бұрын
Ila mtakuja kuuuwa watu kwa plesha😂😂
@jojotz1210
@jojotz1210 Жыл бұрын
Angemuuliza tu jina lilikuja nan 😂😞
@bennysanga2873
@bennysanga2873 Жыл бұрын
Safi Sana ubunifu mzuri sana
@ngebafaila3581
@ngebafaila3581 Жыл бұрын
Na wewe siku moja.wakiingize 18 je wana subiri Nini wezako ?😂😂😂
@msouthlizombe8375
@msouthlizombe8375 Жыл бұрын
Dadek dogo ameigiza powa sana
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Nakuona Mbali.sna motown sanya kila hatua dua
@sammixit7260
@sammixit7260 Жыл бұрын
Nasubiri wa mavokali 🔥
@peterkhery326
@peterkhery326 Жыл бұрын
Dogo kkaza kama anadai kweli mpka mwamba kajaa 🤣🤣
@barakawiseman5073
@barakawiseman5073 Жыл бұрын
siku mtu atakula MAKOFII AFU MTATAMBUANA MBELE YA SAFARI
@azizamaulid9257
@azizamaulid9257 Жыл бұрын
Umenichekesha
@ibrahimsadick6137
@ibrahimsadick6137 Жыл бұрын
Sanya siku mtakuja kupigwa chuma kwa utani wenu huu Japo pindi ni la moto
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 5 ай бұрын
Vijitu vifupi vinakuwa na hasira mobu😅😅😅
@AliMahmoud-p7o
@AliMahmoud-p7o 8 ай бұрын
Ww msanii Gani huna busara ,hasira umeweka mbele acha hizo 👺
@UwimanaAlia-lm2ln
@UwimanaAlia-lm2ln Жыл бұрын
unajuwa snaa 🤭🥰love from Burundi🌹
@mapromedia_
@mapromedia_ Жыл бұрын
Kamvaeni Alikiba ndo mutaelewa wakina soudybrown walifunguliwa mbwa ninyi mutakula chuma
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
Sio muelewa wa kipindi ndio maana
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 5 ай бұрын
Yule ana stress za kufeli kimziki😮😅
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Moko alikiwasha 🤣🤣🤣🤣🤣
@ShedBeda4767
@ShedBeda4767 Жыл бұрын
😂😂😂😂uyo dogo watambonda
@deborahsamwel-ss2wb
@deborahsamwel-ss2wb Жыл бұрын
Kali sana😂😂😂
@bushsutimeline766
@bushsutimeline766 Жыл бұрын
Iyi show ni nzuri Sana but u need bodyguard in case of escalation...u know people we are not the same .....but are very creative 👌 👏 bip up
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Hata hvy huyu mocco kajitahid jmn
@mashiassenga8849
@mashiassenga8849 Жыл бұрын
Mocco umepatikana leo 😂😂😂😂😂
@lioneljr2339
@lioneljr2339 Жыл бұрын
Atal
@diyembarak5506
@diyembarak5506 Жыл бұрын
Mocco umeingia cha kike waah!
@emmanueljulius7171
@emmanueljulius7171 Жыл бұрын
Nani kagundua sauti ya mjomba ni ya Oscar oscer 😂😂
@Amuri_Buffle
@Amuri_Buffle Жыл бұрын
Ney adanganyi kabisa Mama Yako!!!
@mariamsaidi1681
@mariamsaidi1681 Жыл бұрын
Jaman uyu dogo amejua amejua amejua tena
@DjumaNasibu-wc2rm
@DjumaNasibu-wc2rm Жыл бұрын
Ifike kipinde muanze ku padikisha watu kwa hajili yaku trompe batu kwa ajili y'a sauti surtout île dereva tulisha mu tambuwa sauti!! Na iyi DRC Congo
@CAN.164
@CAN.164 5 ай бұрын
Eti mbona unataka kutuletea bongo forever kwani ina nini bongo forever
@haureyfeisal7854
@haureyfeisal7854 Жыл бұрын
Yan hii kitu watu mtakuja kuuwana 😅😂
@Gude415
@Gude415 Жыл бұрын
Sanya Unafanya kitu Kizuri Ila Iyo Miyayusho Yako Cku Utakanyaga Wayaa Cha Kukusihi kuwa Makini Ila iyo Miyayisho Isifike Kwa Cheed Benz,Alikiba
@goodneighbour2638
@goodneighbour2638 Жыл бұрын
chid benz itakuwa balaa kabisa
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 5 ай бұрын
Hao wote ulowataja walishafeli ndo maana waahasiraa
@AishaSaed
@AishaSaed Жыл бұрын
Lamata kunakijana muone anakipaji cha kuigiza
@MohamedAhmed-ns5mi
@MohamedAhmed-ns5mi Жыл бұрын
Hiiii noma sana
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Жыл бұрын
Mocco anayo akili 😂😂
@amararif7242
@amararif7242 Жыл бұрын
Boi ako fitiiii I say 😂🙌
@lavatz
@lavatz Жыл бұрын
Sanya saiv mda aidia mbaya kwl mnavopanga sio hamn sirius mnaigiza
@clintonkhan4961
@clintonkhan4961 4 ай бұрын
Huyu Moco ana ujinga mwingi sana pesa huisha
@mucci_AI
@mucci_AI Жыл бұрын
😂😂😂 daah hii balaa
@l.marley_2542
@l.marley_2542 Жыл бұрын
ila dogo katisha 😂😂
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 Жыл бұрын
Sanya haya maigizo anayofanya sasa sio mazuri
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Mocco nakulia kalia😂😅
@EdithaFlorentin
@EdithaFlorentin Жыл бұрын
ya paula jamani
@mbwanaomary2106
@mbwanaomary2106 Жыл бұрын
Mtoto wa kiume analiaa na wakati niutani mara kaka chini
@rehmakondo
@rehmakondo Жыл бұрын
Ichi kipind ichi hpna kwakweli ipo cku mtaonana wabaya,mtu hadi anachoma mafuta yke,upuuz mtupu
@GiverLiquid
@GiverLiquid Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 noma san😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MohammedHassan-kr3ry
@MohammedHassan-kr3ry Жыл бұрын
Kwa tz mtkuja kufaa
@magnusmichael
@magnusmichael Жыл бұрын
Big up moo town sanya
@patriciomanuelmwadi525
@patriciomanuelmwadi525 Жыл бұрын
Nc program
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Hata mm nmekuja kushtukia sawa na Moco
@phina8058
@phina8058 Жыл бұрын
Mocco mtata hadi raha 😅😅😅😅
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 6 ай бұрын
Kuna siku atapasuliwa mtu kweli
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 Жыл бұрын
HIVI VIPINDI INAELEKEA VIMERECODIWA VINGI ALAFU NDO VINAANZA KUTOKA KIMOJA KIMOJA
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
Kweli itakua
@athmanshauri7871
@athmanshauri7871 Жыл бұрын
Huaga ni hvo
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
@@athmanshauri7871 wangestuka
@elizabethkyando5612
@elizabethkyando5612 Жыл бұрын
Umeweza mpk umeweza Tena mo
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 Жыл бұрын
Hivi kweliii
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
🤣🤣😁😁😁😁mo town sanyaa a
@HinzanoNgala-q3j
@HinzanoNgala-q3j Жыл бұрын
Njoo kenya ufanye ujinga kama huo uone,
@dicksonmwenyembegu2523
@dicksonmwenyembegu2523 Жыл бұрын
naswa ni ya wapi!!?
@AishaAsumany
@AishaAsumany Жыл бұрын
Kenya sio nchi.yetu tufate kitu.gani.?
@HuliloDonard-gu9bp
@HuliloDonard-gu9bp Жыл бұрын
😂😂 duu! hii nikweli
@allenkisinja2059
@allenkisinja2059 Жыл бұрын
jiongezee kipind akijulikan ndio mahan mnawazingua awa wasanini kipind cha kishamba tafuta idea
@mbwanakonk453
@mbwanakonk453 Жыл бұрын
Ntakupiga mbaka nkupasue vipande vipande 80
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Жыл бұрын
hii mbona ndoto kuna kama wakimisri uwa anafanya kipindi chake mwezi wa Ramadan uku uwarabuni yani noma unaweza kuuwa mtu 😅😅
@mwanajumaraso4637
@mwanajumaraso4637 Жыл бұрын
Nakijua😂😂😂
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Moo town sanya katisha sana!
MISSION IMPOSSIBLE [37] SEASON 2
26:19
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 89 М.
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
SHABIKI AMGANDA MAVOKALI, ANATAKA WAPIGE PICHA, MAVOKALI AKASIRIKA
25:14
MIAKA 30 JELA, MTEGO WA MADAWA YA KULEVYA WANASA | HIVI NI KWELI
24:34
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН