VITA YA LISSU NA MBOWE IMEKUWA KALI 🔥🔥 I LISSU ATEMA CHECHE KUHUSU UCHAGUZI WA CHADEMA

  Рет қаралды 10,413

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 144
@Mahundavlog
@Mahundavlog 3 сағат бұрын
Kama unaunga mkono huyu dada kazi haimfai clouds gonga like hapa
@moureen7446
@moureen7446 Сағат бұрын
Sijui alipata F? Anacheti kweli huyu? AMA kweli Lissu ni mwalim pia. kamvumilia na kumwelimisha vema. Haya dada nimatumaini sasa una A ya siasa na uwanahabari … maana unaonekana una kichwa kigumu 😅
@JamesMichael-y8l
@JamesMichael-y8l Сағат бұрын
Kija hajui kuinterview anajiingiza anazan huu ni ushilawadu yeye akae na kina mwijaku ba levo kule hap alipuyanga sana
@Itsabtii
@Itsabtii 4 сағат бұрын
Professional negligence. Huyu dada mpuuzi sana.
@magabimagabi
@magabimagabi 2 сағат бұрын
Sio mpuuzi bhana uwezo wake Ni mdogo
@b.truthful
@b.truthful 34 минут бұрын
​@@magabimagabi Uko sahihi
@Mahundavlog
@Mahundavlog 3 сағат бұрын
Kama unamkubali lissu gonga like hapa🎉
@danielbachuta157
@danielbachuta157 5 сағат бұрын
Clouds Media ninyi ni media kubwa na mmeijenga Brand kwa Miaka Mingi. Hata kama mnaunga mkono mrengo wa kulia basi tafuteni waanahabari professional wa kuhoji mrengo wa Kushoto na wakasimama katikati bila kuwa na interest binafsi. Huyo mwanamama hafai kuhoji watu aina ya Lisu. Aendelee kuwahiji akina Mwijaku
@RoseChapesi
@RoseChapesi 3 сағат бұрын
Awahoji machawa wenzie
@emmanuelleonando361
@emmanuelleonando361 Сағат бұрын
Huyo dada hamna mtangzaji hapo unaona kabsa amejagua upande wapi ni kada😂
@rama1234100
@rama1234100 5 сағат бұрын
Mkijua mnaenda kumhoji huyu kiumbe anaeitwa Tundu A Mugwai Lissu, inabidi mjipange sana. Looks like dada was the lead host lakini she wasn't prepared for this one. Lissu is genius so you need to be on your A+ game at anytime you approach in his direction.
@allyr.mavura7878
@allyr.mavura7878 3 сағат бұрын
Huyu dada anapaswa kujifunza kutoka kwa akina Kikeke, Samy Awami, Othman Miraj....
@LamiBoy
@LamiBoy Сағат бұрын
Tunao amini huyo dada ni malaya like hapa
@chogs666
@chogs666 4 сағат бұрын
Clouds tunaomba huyo dada kwenye vipindi concrete kama hv asiwepo upeo wake ni mdogo sana
@RoseChapesi
@RoseChapesi 3 сағат бұрын
Kabisa hafai
@b.truthful
@b.truthful 29 минут бұрын
Mtu ni kujifunza atakuwa sawa tu time will tell
@YohanaNathaniel
@YohanaNathaniel 4 сағат бұрын
Ila Tundu Antipus Lissu anakupa kila kitu anakujibu maswali yako kupitia historia huyu mtu ni hatarii sana aiseeh Mungu amtunze huyu kiumbe 🔥
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 2 сағат бұрын
Uliona mtu anajibu maswali kwahistoria huyo hajui kujibu maswali,
@imanimwankenjaxhonyela6910
@imanimwankenjaxhonyela6910 3 сағат бұрын
Huyo dada hafai kuwa host
@chogs666
@chogs666 4 сағат бұрын
Kuna watu kuwahoji lazma ujipnge huyo Dada anahisi anamuhoji Mwijaku
@crecknerz5661
@crecknerz5661 4 сағат бұрын
HUYO DADA NI KENGE KWELI ..HUYO ANGEHOJI WATU WA UDAKU TU
@namelessnameless4868
@namelessnameless4868 4 сағат бұрын
Ila huyo Dada leo ni mtihani sanaaa alipaswa awepo mtu kama Masoud Kipanya hapo
@lhabibysheikhyahya
@lhabibysheikhyahya 4 сағат бұрын
Clouds huyu dada Arudi shule
@ibel4lf
@ibel4lf 4 сағат бұрын
Kija Yunus kwa kweli umeharibu sana leo
@JaphetBangili
@JaphetBangili 5 сағат бұрын
Kadada kajinga kweli hakana ata taaluma
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 Сағат бұрын
Huyu Dada akasome tena ,, clouds hapa hamna mtu
@zamtangaobeid5275
@zamtangaobeid5275 20 минут бұрын
Huyu dada hata hamfuatlii tundu lissu anauliza maswali ya kila siku anayoulizwa tundu
@JohnTesha-b7w
@JohnTesha-b7w 4 сағат бұрын
Tundu lisu bonge la kiongozi
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 сағат бұрын
Tunakupenda sana mh kwa uwaminifu wko mkubwa,love you lissu
@RamadhaniMuhomba
@RamadhaniMuhomba 2 сағат бұрын
Huyu jamaa anaakili sana kila swali anajibu kwa ufasaha jamaa kamchomekea swala la mandela katambaa nalo kama anasoma
@songombingo108
@songombingo108 5 сағат бұрын
Mahojiano kama haya sio ya kumpeleka Bidada wa Taarab kama huyu. Tafuteni Waandishi Chokonozi wa kuhoji maswali ya maana na ya msingi.😊😊
@VictorIshengoma-v4y
@VictorIshengoma-v4y 5 сағат бұрын
Kipindi kinamzidi huyu dada upeo wake mdogo
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 сағат бұрын
Mandela alitokea gerezani sio ikulu😂😂😂 nime Cheka aisee
@iddysekamba
@iddysekamba Сағат бұрын
Huyo dada hafai kuwa mtangazaji na anatakiwa ajue nxt time akipata wasaa wakwenda kumuhoji LISSU ajiandae huyo ni genius sio kilaza kama yeye
@abrahammwamakulaonline600
@abrahammwamakulaonline600 2 сағат бұрын
Mbona huyu dada anahoji vitu simuelewi
@barakaabdallah3579
@barakaabdallah3579 3 сағат бұрын
Mnyama lissu
@Naseebmauzo
@Naseebmauzo 4 сағат бұрын
Tundu lisu huyu jamaa ni hatari sana anawafanya watu wapate moto sana
@Naseebmauzo
@Naseebmauzo 3 сағат бұрын
Huyo Dada hafai kuhoji wanasiasa kama lisu ni mpumbavu tu ajuhi nn maana ya kuhoji mtu kama yeye n ccm aseme tu sio kuongea usenge tu
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz 32 минут бұрын
Uyo Dada mna uhakika alisoma kweli? Nina uhakika ameachika hakuna mwanaume anaweza ishi na mtu wa namna io
@piustombili9921
@piustombili9921 Сағат бұрын
Pole Kija umeshonwa mno
@obednyagani506
@obednyagani506 2 сағат бұрын
Mwandishi kichwa suzuki injini fuso
@yekoniajulius7340
@yekoniajulius7340 Сағат бұрын
Professionalism Professionalism , anaitwa nani huyu Dada?
@bulaliabdallah9557
@bulaliabdallah9557 4 сағат бұрын
Huyo dada anahoji kifoo sana ...takataka kabisa
@obednyagani506
@obednyagani506 3 сағат бұрын
Voki kama jesus🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 a 🎉woching 🎉 from kibaigwa kongwa
@obednyagani506
@obednyagani506 2 сағат бұрын
Nondo za kwenda
@songombingo108
@songombingo108 3 сағат бұрын
Lissu anajibu maswali huku anawafundisha Watangazaji😂😂
@JamesMichael-y8l
@JamesMichael-y8l Сағат бұрын
Dah huyu KIJA hapana hajui kitu kabisa hiv mwana habar unaweza kuwa namn hii yaan mm mwenyew nisingefanya hiv
@jimmysam8330
@jimmysam8330 2 сағат бұрын
Huyo dada hakuna kitu 😂😂hapo
@leonardpeter8239
@leonardpeter8239 3 сағат бұрын
masikini Sasali anaona aibu 😂, huyu Dada wamemtoa wapi kwani?
@egbertmachumu8552
@egbertmachumu8552 36 минут бұрын
Huyo dada anafaa vipindi vya mipasho hana uwezo wa kuhoji watu aina ya Lissu.
@childofgod3216
@childofgod3216 2 сағат бұрын
Kwa hizi comment dada anafukuzwa kazi Ila dada anaboa sana hajui kuhoji
@TumainiMgonja-u5d
@TumainiMgonja-u5d 25 минут бұрын
Mbona kama naanza kumwelewa Lissu Jaman,
@VictorVedasto-m2g
@VictorVedasto-m2g Сағат бұрын
Kumbe ndo maana Simba alipewa jina la tundu lisu baada ya tundu lisu kukataa mlungura 😅😅
@benmushi6335
@benmushi6335 4 сағат бұрын
Mngekata hiyo kipande ya glass zinapasuka hapo mbna mnapoteza weledi😢
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 2 сағат бұрын
Huyu dada uwezo wake mdogo bado anahitaji kujifunza namna ya kuhoji mambo
@magabimagabi
@magabimagabi 2 сағат бұрын
Kipind yupo na kina Harrison kamoga nilikuwa naona kama kamoga anamuonea huyu dada ila nilikuja kuelewa dada uwezo wake Ni mdogo walimtoa sijui nini kimetokea wakamrudisha 🤣🤣🤣🤣
@emmanuelleonando361
@emmanuelleonando361 52 минут бұрын
Nilivoanza tu kuangalia hii interview nilijua huyu dada n below average kaanza ku mention m2 anakaa wapi hayo sio yaliotuleta hapa na mpka nimefika dk 53:42 ndio anaonesha kabsa ni mluga luga kwa kweli heeee😂 Et anapanic kabsa
@emmanuelleonando361
@emmanuelleonando361 Сағат бұрын
Huyu dada anajizima sana data aisee! Haelew nn hapo
@jovinmushi4719
@jovinmushi4719 2 сағат бұрын
Uyo dada kafanya mahojiano yamekuwa ya ovyo
@TumainiMgonja-u5d
@TumainiMgonja-u5d 23 минут бұрын
Lissu ikitokea akawa Rais i think itakuwa ame replace Nafasi Ya Magufuli
@egbertmachumu8552
@egbertmachumu8552 Сағат бұрын
Sam Sasali huyo dada amebebwa kupewa kazi kwenye TV station yenu, na hayo ndiyo matokeo yake. Hafai kuwa kwenye hayo mahojiano. Ametukera watazamaji na wasikilizaji. Hajui kuhoji watu aina ya Lissu. MSIMHUSISHE TENA.
@DavidBisse
@DavidBisse Сағат бұрын
Dada unaboa ludi shule kwanza kipindi kimekuzidi unapo kwenda kufanya interview na wakili msomi kama mh lissu inabidi ujipange clouds kwa hili mmetia aibu.
@TawfiqKatakweba
@TawfiqKatakweba 28 минут бұрын
Huyu dada bado hana uwezo wa kuwahoji watu wenye upeo na si mfatiliaji wa points zilizo tangulia anajigongagonga sana aongezewe ujuzi
@ezekielmabwai4614
@ezekielmabwai4614 31 минут бұрын
Hili jimama linajiita litangazaji. Sijui kwa Nini clouds mnajisibisha. Mpeni kazi ya kupokea wagani na kufagia! Ameenda shule kweli. Yaani kichwa chake box tupu, au ni li chawa la Mbowe na Sisiemu
@raimmato6549
@raimmato6549 Сағат бұрын
59:42 huyu jamaa anaonekana hajui maana ya Wisdom na wickedness A wise man is always truthful to his values Na wicked man hajui maana ya kuwa mkweli, hypocrisy ndio tunu zake
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 2 сағат бұрын
Kama umeshagundua hakuna chama kitakachokuletea mafanikio sema yeeeah!..
@Office_baba_Oscar
@Office_baba_Oscar 5 сағат бұрын
Huyu dada taka taka
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 3 сағат бұрын
Huyu jamaa akishika nchi waziri Mkuu akawa Slaa duuuuu!
@jamesmarumbo6820
@jamesmarumbo6820 4 сағат бұрын
Kija ni kiazi cha mbeya
@JamesMichael-y8l
@JamesMichael-y8l Сағат бұрын
Clouds huyu kija asiende kwenye interview za siasa hawez alafu kwa akili ya lissu kija anajikaanga pia hana utulivu anqkurupuka ajifunze kwanza hii field ni tofauti kina sam na pj wako vizuri
@JeremiahMbuli
@JeremiahMbuli 2 сағат бұрын
Hapo hamna waandishi wa habari wameenda kuskiliza ngonjera
@TumainiMgonja-u5d
@TumainiMgonja-u5d 15 минут бұрын
Huyu Dada hawez kaz kabsa Kwani Leo Masoud kipanya alikuwa wapi
@MusaMgema-v4r
@MusaMgema-v4r 4 сағат бұрын
Uwezo wa kija leo umekuwa chini sana kwenye hii interview, i think she was not proper really prepared for this big interview. And i think days are not the same
@MunirDaniford
@MunirDaniford Минут бұрын
Clouds katika siku mmezingua ni kumuweka uyu dada ahoji mamb serious kama aya yaani hajui anasema nn sjui hata kama anajiskia
@AndrewChilua
@AndrewChilua 2 сағат бұрын
WANDISHI mnatafuta MAKOSA KWA USEMI WA TUNDULISU ILIMUENDELE KUSEMA LISU MLOPOKAJI MTAKIPATA KILE MNATAKA KWA MGOMBEA WETU KILASIKU MNAULIZA USAFI WALISU HAMUONI? WACHENI UCHIMVI
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 сағат бұрын
One love mh lissu ❤❤❤❤❤
@aronjohn8818
@aronjohn8818 2 сағат бұрын
Huyu dada ni ccm ana hasira au anamchukia lisu
@petroyohana1126
@petroyohana1126 4 сағат бұрын
Huyo dada ni wa mipasho she is not qualified to interview lissuuuuuu
@petroyohana1126
@petroyohana1126 4 сағат бұрын
Time wasted, lissuuuuuu deserves better than these fake so called journalists
@mateyimapunda3241
@mateyimapunda3241 45 минут бұрын
Huyu dada uwezo wake ni mdogo mno huenda hata hiyo shule alosoma sidhani km alikuwa na ufaulu mzuri wa hiyo kazi ya utangazaji
@sebastianmushi6247
@sebastianmushi6247 2 сағат бұрын
Huyu dada inabidi hatazame tena hii ili ajifunze,pia aseme na comments zetu,bado ana nafasi ya kuwa bora,maana kwa jinsia yake ni wachache watangazaji wa kuhoji siasa,sayansi etc
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz 26 минут бұрын
Clouds media hii interview mlikua mnamuinterview Lissu au uyo Dada? Mbona dada anakihelehele sana au Team mbowe
@Office_baba_Oscar
@Office_baba_Oscar 5 сағат бұрын
Huyu dada takataka
@mamohamed1252
@mamohamed1252 5 сағат бұрын
Interview mbovu kabisa. Huyu mwandishi mwanamke kweli kasoma uandishi? Interview kaigeuza interrogation.
@JamesMichael-y8l
@JamesMichael-y8l 43 минут бұрын
Mwishon kija kanichekesha ety anamwambia lissu kama ana swal aulize dah wakat wewe ndy unatakiw uulize duh anewei labd leo hajqmka vizuri
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 4 сағат бұрын
Imedondoka grass lissu ametaka kutimua mbio
@RichardWambura-w9o
@RichardWambura-w9o 4 сағат бұрын
Huyu jamaa ni hatarii kwa history
@AndrewChilua
@AndrewChilua 2 сағат бұрын
WATANZANIA HAWANA MASHAKA NA TUNDULISU ILA WANDISHI NA WAPENZI WA MBOE NA CCM WASIO TAKA UZULI WA CHADEMA NDIO MNAFUATA FUATA TUNDULISU
@AndrewChilua
@AndrewChilua 2 сағат бұрын
HIVIMBONA MBOE HAMHOJI ANAYO TUHUMIWA? KAMA MNAVYOFUATILIA KWA TUNDULISU
@SaidiShemkieti
@SaidiShemkieti Сағат бұрын
Mbowe hawezi jibu maswali vzr kama huyu mwamba
@LamiBoy
@LamiBoy Сағат бұрын
Mbowe anaogopeka Sasa na ndio dariri ya kumjua fisad ni kuogopeka
@hildajoel5
@hildajoel5 10 минут бұрын
Huyu dada kwani hakujiandaa kabla ya interview? Clouds inabidi muchague watu wa kwenda kuwafanyia interview watu wenye IQ kubwa kama ya Lissu. Huyu Kija mpeni kipindi cha mziki huko huku anaonekana anapuyanga tu na kudhalilika. Bora angekaa kimya kama hao wanaume lkn kuongea sana akajiona anajua kumbe ndio anaharibu lol
@josephatcelestinemuhoza2214
@josephatcelestinemuhoza2214 Сағат бұрын
Kwa nini nyie wana habari mnaita "vita" na siyo mashindano ya kawaida tu katika siasa?
@mudrickbarton8911
@mudrickbarton8911 47 минут бұрын
Hivi jamani minyukano ni nini naomba mnieleweshe
@deuskamugisha3627
@deuskamugisha3627 53 минут бұрын
Sasa kama rafik wa mbowe ni Samia na adui wa mbowe ni msigwa inakuwaje tena msigwa Yuko kule ccm na mbowe Yuko huko??
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 2 сағат бұрын
Nimesoma comment to inatosha kujua niwatu waliochoywa aikili na lisu ngoja niondoke
@mazedwin8801
@mazedwin8801 47 минут бұрын
Dada arudi shule uelewa wake mdogo,mzito kujenga hoja zenye logic na ni mkurupukaji sanaa
@mazagazagaonlinetv9775
@mazagazagaonlinetv9775 5 сағат бұрын
Uyo mtangazaji mumemtow wp malay uyo
@dvjmiloow2955
@dvjmiloow2955 4 сағат бұрын
Kija out, Yuko very unprofessional.
@MajaliwaMwinje
@MajaliwaMwinje 4 сағат бұрын
Huyo dada sio mwandishi ni tapeli, pumbavu kabisa halina maadili ni CHIZI
@MunirDaniford
@MunirDaniford 30 минут бұрын
Dada unapokuja kumuhoji mtu kama lissu makesure unajipanga kuja apa na ujinga wako kaa nyumban
@AndrewChilua
@AndrewChilua 2 сағат бұрын
SISI HATUAMINI WANDISHI WENGI MNATAFUTA KUMCHAFUA TUNDULISU WACHENI HOJAZENI HAZINA MANA HATAWATU WASIO ENDA SHULE WANAONA JINSI MNAVYO MKANDAMIZA KUTAFUTA KIKI
@JohnTesha-b7w
@JohnTesha-b7w 4 сағат бұрын
Tundu lisu Mungu akupe maisha marefu kiongoz
@gwamakaadamson2909
@gwamakaadamson2909 2 сағат бұрын
kija kawa mpole sana mwishoni bashasha loooote la mwanzo limempotea
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz 30 минут бұрын
Uyo Dada Ana journalism kwel?
@gadafijeke3011
@gadafijeke3011 4 сағат бұрын
Amina
@georgerwebembera1565
@georgerwebembera1565 Сағат бұрын
Kuta mnamuonea tu hana ata vyeti sahihi vya habari.
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 4 сағат бұрын
Tundu Antipas Mugwayi Lisu katika ubora wake (PhD)
@JafarsimaouchuJumbe
@JafarsimaouchuJumbe 40 минут бұрын
Poor working skills from huyu dada.. hafai kuhoji watu wazito na apunguze chuki dhidi wa wahojiwa
@JohnTesha-b7w
@JohnTesha-b7w 4 сағат бұрын
Good lisu
@vitalisvedastus5191
@vitalisvedastus5191 2 сағат бұрын
Mmefuta post ya awali 😂😂😂 sasa mnango unaendelezwa kama kawaida
@AlexMkwama
@AlexMkwama 4 сағат бұрын
Sidhani kama mwinjilisti anaweza kuongoza chama , siku moja mtaniambia
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 3 сағат бұрын
Mh Lissu ni mkweli naturally alilolisema jana halibadilishi leo katika mazingira yoyote na hata ukimtizama usoni huoni tresses zozote za hila au uongo
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
LIVE: JAHAZIHD 16-01-2025
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 14
Lissu azungumzia uongozi ndani ya CHADEMA
11:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 60 М.
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН