Peace And Hope for Mombasa City 2015 Pastor Geoffrey Mbwana presenting messages of Peace and Hope at Mary Clip Grounds - Tudor
Пікірлер: 23
@charlesmiyoro89124 жыл бұрын
Amina sana, Pst. Mbwana kwa huu ujumbe na Bwana wa mabwana asifiwe sana na Baba Mtakatifu aishiye mbinguni roho wa mungu amekutenga wewe na kwa ufasaha wa kiswahili wako ni wa kufaha halisi ,Nilihudhuria masambulishi yako ya Safari Afrika kitambo nikiwa nyumbani Kenya nilifurahishwa na mahubiri yako, tunastahili kuwa na masambulishi kama haya mara kwa mara kwa roho za watu wetu wa Afrika ambao huelewa kiswahili,kama mama na baba na ndugu zetu ambao wamekosa mahubiri stadi na ya kweli na roho kama yako katika enzi ya mtandao. Nakuomba ondoka kwenye kifungo chako mtumishi tuokoe watu wetu, muda umeyoyoma. Richmond,va.
@jeremumarojemaroo1394 жыл бұрын
Yeah, tunasikia yakwamba musa alianguza zilembao zilikuwa zimeadikwa amri zikavunjikavunjika, am a Jeremiah from Meru county nijibiwe swali mchungaji
@nancymbwambo36824 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu uendelee kutufundisha neno lake Pastor..
@queenbhatari51714 жыл бұрын
Nancy be blessed mam ts ma prayer too
@awalimunishi9 жыл бұрын
i really appreciate the service offered by man of God,am full of blessed evry day i listen the recorded video without being tired and am learning always.
@innocenthope69344 жыл бұрын
me and my family are very interested with pastor MBWANA.
@kijokombao53453 жыл бұрын
Ukweli hua ni mchungu sana lakini lazima usemwe, barikiwa pastor
@susanlimoh73098 жыл бұрын
Pastor Mbwana if you are reading this, please post every sermon you do in here.you are a true blessing in my life and the life of my family. I can listen to you over and over again without getting bored. May God bless you as you bless us.
@edwardmwaipopo97895 жыл бұрын
Pastor Edward Sichinga mahubiri yake
@duncanbwogo44014 жыл бұрын
Thank you the man of God for proclaiming The good surmon you really inspire my life And my entire family may the grace of God Be with you and may God grant you long life
@sheilaombongi80864 жыл бұрын
My favorite pastor, be blessed Amen
@phinawatwego72604 жыл бұрын
Amen, Mungu akubariki mchungaji somo zuri sana.
@geraldbenjamin93025 жыл бұрын
Totally Blessed, Mungu azidi kukutumia Pastor
@husseinhassanabdi65824 жыл бұрын
Pastor yu're a blessing to the world.... Go pastor go and inspire the world ..
@chachamwita83508 жыл бұрын
Be blessed pastor and GOD be with all the time amen
@BwireMakamba-lp8py9 ай бұрын
Nabalikiwa sana na mahubiri haya Mungu akubaliki sana
@marcogondela62067 жыл бұрын
nabarikiwa sana na mahubiri yako mchungaji
@barakamathayo34305 жыл бұрын
HAKIKA NIMEBARIKIWA SANA
@chrisselite9 жыл бұрын
M totally blessed
@lydianaitore82142 жыл бұрын
Pastor napenda mahubiri Yako Nauliza aje Nivizuri kujiunga na papal movement ? Na Tena sauti ya Ufunuo 18:4 imetumua Kwa nani? Pastor Fanya kazi ya Bwana bila kuogompa mwandamu
@edigargeorge15316 жыл бұрын
Amina
@mazemlejr98327 жыл бұрын
Hakika ni kweli.
@francismumbi97015 жыл бұрын
Pastor mbwana nashukuru sana kwa mahubiri mazuri mungu akubariki sana Mimi Francis kutoka nairobi