AMEN Yesu Kristo asante kwa funzo umenipa asante ROHO MTAKATIFU kwa kunielekeza kwa pst Geoffrey Asante, pst Geoffrey Asante kwa funzo ulipewana ROHO MTAKATIFU utufundishe nimepata kujifunza mengi na makuu asante
@rajabkafuta33857 жыл бұрын
napenda mahubiri ya mchungaji geoffrey mbwana,,Mungu akupe uwezo na nguvu zaidi kueneza injili kote
@marymigiro34304 жыл бұрын
Andante nimebarikiwa mungu awabariki
@joycemashikolo90967 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho ya pr mbwana MUNGU akubariki sana mtumishi.siku moja tukutane Asubuhi ile njema YESU atakaporudi
@geoffreymakendo98428 жыл бұрын
The bible is the only measure of our truth.Godliness with contentment of great value to our Christianity.
@jonasshirima23766 жыл бұрын
Yaani unapofundisha sitaki umalize hakika Mungu azidi kukuinua Pastor
@silvanadeus36667 жыл бұрын
i real love this man of God because he teaches the truth of the living God
@sheilaombongi80864 жыл бұрын
Hee mungu ninaomba amani,pastor barkikiwa sana kwa uhubiri nzuri Amina
@henrichykenia4026 жыл бұрын
wauh ! it was very amazing preaching pastor may the Almight God bless u!
@godsonmacoco64194 жыл бұрын
Pr Mbwana Mungu Akulinde 🙌
@bejamineshallom49228 жыл бұрын
I'm very blessed man of God kwa Ile ukweli umesema, kuhuzu siku ya kuabudu Hilo Ni neno ambalo lilikua likinisumbua sasa hivi nimeelewa,pia kuhuzu ukweli, Ni kwamba watu wa mungu wanajua ukweli lakini wanaokopa kuambia watu, kisa na maana watakula nini
@alphoncejuma67586 жыл бұрын
I love PR.Mbwana you have been my role model since your voice strikes my ears GOD bless you,Amen.
@kadoaugust64975 жыл бұрын
Unafundisha vizuri!
@faithsharon7615 жыл бұрын
mungu azidi kukupa afya njema ili uzidi kuipeleka mbele injil ya milele
@neemajoyce32064 жыл бұрын
Pastor Mbwana Mungu akuongezee Baraka tele lakini USA,UK,Australia na inshi nyingine zilizoendelea mbona tumechanganyikiwa na ubabeli kanisani ikifika sherehe za mapagani pia tunatangaziwa Christmas 🎄 sabbath ikifika Easter 🐣 tunatangaziwa Easter kanisani tufanye nini mbona Babylon ikondani yakanisa?
@charlesmiyoro89124 жыл бұрын
Ni dhahiri dada yetu maovu kuonekana kanisani maana mwuovu shetani anapeleka vita vyake pahali panapostahili vita msitari wa mbele, ndio maana hata Christo alipokuwa jangwani baada ya kufunga kwa usiku na mchana arobaini akawa ana njaa shetani akamwambia Kristo yageuze haya mawe yawe chakula kristo akamjibu mtu haishi kwa mkate tu ila neno litokalo kinywani mwa mungu.hivo dada yetu usiwe na mashaka hatujafika mbinguni tu takwewa duniani, hasa makanisani kwani shetani ameghadhabika na yule mama msafi wa ufunuo 12: 1- na atasiaga vizazi vyake mama.
@salimmasatu76377 жыл бұрын
mchungaji kwa hakika umebarkiwa kwa kipaji cha kuhubiri na kufundisha pia
@phidoogola82117 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji tunawapenda sana
@jacksonprojestus3976 жыл бұрын
Mungu akubariki
@pricillahayako44802 жыл бұрын
Pr. Bwana unahubiri mbona usisunguke makanisa yote uokoe watu wa mungu
@jacksonprojestus3976 жыл бұрын
maisha ni hatari katika uinjilisiti maana ukengeufu mwingi
@philemonimbwambo55396 жыл бұрын
naomba kufaham hiyo kwaya iliyo hudumu hapo ni ya wapi?
@janewathiru53587 жыл бұрын
Naomba kujua jina la choir na huyo wimbo
@jonasshirima23766 жыл бұрын
Hakika unanifundisha na ninakulewa vizuri mno Mungu wa Mbinguni akibariki mtumishi