Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa sababu wamejisahau kabisa na wala wasichokoze wanainchi wa kawida wanaanza kuamushwa na maamuzi ya watawala wa sasa.
@thieryniyonkuru50233 жыл бұрын
Mzee wa upako, leo nimekukubali kwa soma ulilolitoa kwa serikali na kwa umma.🇹🇿👌👌👌💪
@novatidamian72363 жыл бұрын
Bigger Up
@clemencelisonga1743 жыл бұрын
Hapo nimekuelewa mzee wa upako
@umojatunzwetv3 жыл бұрын
Wenye utu na Imani moja musijibizane hapa kwenye ugaibuni, mufikiye mwenzio. Hapo mutaijenga Imana na Nchi.
@livingstonechurchtz84003 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia kwa busara zake za kuliponya taifa
@verrienejessie60993 жыл бұрын
Barikiwa Sana kwa maneno ya hekima mzee lusekelo
@deniccgabriel61533 жыл бұрын
Ahsante 🙏 BABA umevunja ukimya!! Umebeba kinywa cha MUNGU,, maana we ni mtumish katika nyumba ya Mungu lionye Taifa semea Taifa waakaidi katika kinywa chako watamkaidi MWENYEZI MUNGU na adhabu itawagharimu acha wafuraie Kodi zao lkn MWENYEZI MUNGU ashindwi na Jamboo...!!!!Ameni Aminaaaaaa🙏🙏🙏
Mtumishi anaye ijua kweli hua ninamkubali sana....ni kweli wakati wa kuleta Dini hawa watu kuna na uongo waliusambaza kwetu kutuhadaa na kuondoa desturi zetu
@emanuelgaddafi76513 жыл бұрын
Maji yameanza kuchemkia serikali ikae makini
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Nadhani serikali iliyoko madarakani ni inaweza kabisa kusababisha machafuko. Wao wanasehemu kubwa sana kwa sababu wao wamejisahau wamejiweka kama miungu watu. Wao ndiyo wanaanza choko choko sana kwa sababu hawafikilii vizazi vinavyo kuja wanajiona wao tu utadhani watadumu milele na milele. Hawajifunzi yuko wapi Nyerere, Mkapa, na Magufuli, wanadhani kuwa wao hawatakufa. Waanze kufikilia vizazi vyetu katika maamuzi yao.
@tumainsawe69603 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰
@lilianemanuel29283 жыл бұрын
ohhh haleluyaaa baba 👏👏👏
@emanueldaud55503 жыл бұрын
Waeleze wanatuburuza wanavyotaka hawajui mioyo ya watanzania kwasasa imechafuka kuliko wanavyodhani.
Nini Kimemkuta mzee wa upako 🧐😳 , haya tuendelee kuliombea Taifa, maana naona taratiiiiiibu Cheche zinaanza
@geraldmakalala60913 жыл бұрын
Kwani huyu nae ana maji ya upako?
@zengandoto70883 жыл бұрын
Ndomana chanjo imekuja sio kusaidia watu wasife ila wazungu wapate maslahi yao ya kiuchumi na kiongoza dunia. Wambie ukweli. Viongozi wetu tz wanatuuza kama zamani machifu walivyotuuza tukatawalia. Tumkumbuke Makufuli
@evaristtozi23613 жыл бұрын
Huyu mtu neno haki mbona halisemi????
@thieryniyonkuru50233 жыл бұрын
Mbona neno haki amelisema sana tuu
@deniccgabriel61533 жыл бұрын
Haki IPO katika kumtumikia MUNGU we usilete uchama uchama hapa..!!!!..
@samwellwiza10983 жыл бұрын
Haki maana yake nini?
@alphonceassenga45963 жыл бұрын
Mchungaji , Rais JF Kennedy alikuwa mkatoliki. Joe Biden ni mkatoliki . Marais wa marekani