MZEE WA UPAKO;YESU HAKUA MKRISTU WALA HAKUWAHI KUINGIA KANISA LOLOTE,ALIINGIA MSIKITINI TU.

  Рет қаралды 392,096

Mzee wa upako

Mzee wa upako

Күн бұрын

Пікірлер: 1 600
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Allah akuongoze in sha Allah umenena vyema
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 3 жыл бұрын
ALLAHUMMA AMMIYN
@brunoh_bx77
@brunoh_bx77 Жыл бұрын
Mzee wa upako ni very brilliant yaan anajua kuhusianisha maandiko matakatifu na maisha ya uhalisia, hongera Mungu akubariki sana kwa elimu hii uliyotupatia👏👏👏🙏
@hamidafundi-pw1gw
@hamidafundi-pw1gw Жыл бұрын
Asante Askofu Mzee wa Upako. Kwa hakika nimejifunza.. Hakika mwenye akili hujifunza kutoka kwa wengine. Tushikamane kumrejea MWENYEZIMUNGU .Dini ni njia tu ya kurejea KWAKE.
@InivocavitTumainiel
@InivocavitTumainiel 7 ай бұрын
Story huwa ni tamu,,, lakini mara nyingi huwa ni uongo au ubunifu,,,, Cha msingi ndg yangu tusome maandiko yatuhekimishe na kiukweli kuhusu dini hatuwezi kuelewa chochote bila kurejea ktk historia halisi iliyobeba Alpha na Omega yaani Mwanzo na mwisho Nayo ni Mwa 1:1-31 ALPHA yaani MWANZO. Na Mwa 2:2-3 OMEGA yaani Mwisho. Kwa pamoja Alpha na Omega unadhihirishwa ktk Mwa 2:1-4 , huo ni mpango mzima wa Mungu hadi Itokee mabadiliko kutoka Mungu kuumba upya na kufuta uumbaji wa kwanza....... Hata hivyo akiumba upya anarejelea Alppha na Omega tena Isaya 66:22-23 na Wakati atafuta wote watakaomwasi ktk hilo Isaya 66:24.…....... Tafakari ndg ya uharibifu mkuu unaendeshwa na Watu wasiotaka kusema ukweli ila wanataka kupoteza sura ya Mungu kwa wanadamu duniani kote Eze 22:24-26.
@InivocavitTumainiel
@InivocavitTumainiel 7 ай бұрын
Atazidi kuwadanganya kwakuwa yeye ni wakala wa shetani.... Iko atasema ukweli tu...tumwombee
@professorimmah
@professorimmah 3 ай бұрын
​@@InivocavitTumainielwakala wa shetani ndo wewe unaeabudu sanam la mungu mtu akili mgando wewe haujui kaa kimya mungu anauawa na watu alowaumba mwenyewe mungu anatailiwa mungu ana ukoo? Hahahahaha mazuzu nyie
@richardmushi1062
@richardmushi1062 Жыл бұрын
We need more of this wisdom, especially now. Ubarikiwe Askofu.
@khamisikapopo9356
@khamisikapopo9356 3 жыл бұрын
Unawakera Sana umekuwa Bernard Morison unawakera mzee wa upako
@JacklineIgnas
@JacklineIgnas 2 ай бұрын
Hahaa! BM 33
@SalomeJackson-c1y
@SalomeJackson-c1y 2 ай бұрын
Kiukweli Chief Mwantembe Nakuelewaga sana Kiukweli biblia umeisoma na umeilewa sana uko vizuri Mchungaji.
@shabansalum9283
@shabansalum9283 3 жыл бұрын
Wewe mzee nimkweli sana Mungu akuongoze njia
@ghulamjuma2883
@ghulamjuma2883 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuongoze kwenye njia njema
@aaaaaah290
@aaaaaah290 3 жыл бұрын
AWE MUISLAM 😁😁😁😁
@ghulamjuma2883
@ghulamjuma2883 3 жыл бұрын
@@aaaaaah290 Ameen
@ramygichero1016
@ramygichero1016 2 жыл бұрын
Mzee nimekuelewa sana ingawa mimi ni msilamu mungu akubari sana
@rajabually8659
@rajabually8659 3 жыл бұрын
Mzee wa upako wewe kweli ni msomi wa biblia hongera sana kwa kuwa mkweli
@fredjoel1350
@fredjoel1350 3 жыл бұрын
Hasa akinywa konyagi anakuwa mkweli😂
@KhadijaJacob
@KhadijaJacob 4 ай бұрын
​@@fredjoel1350🤣🤣🤣
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 ай бұрын
Ana diproma ya bible sasa hapo ww unamuona ndo msomi
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 8 ай бұрын
Hongera Mzee wa upako umenena vema Kwa zaidi ya 90%
@omarimussa7904
@omarimussa7904 3 жыл бұрын
mungu akurinde kwakuwapa shure nzuri sana sana
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Жыл бұрын
Share??? Come on!
@uwezohekima-qk8ss
@uwezohekima-qk8ss Жыл бұрын
Wewe nae rudi shuleni ukaanze Dr's la kwanza ili ukajifunze irabu sawasawa unakimbilia nn kuandika mtandaoni unajichoresha tu na kumbe hujui kusoma na kuandika eti MUNGU AKURINDE Na wakati ulitakiwa kuzena akulinde alafu SHURE pale ulitakiwa uandike shule km hujui kuandika kaa kmya!!!
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 8 ай бұрын
​@@uwezohekima-qk8ssalitakiwa kuzena au kusema mkosoaji ni mwehu zaidi anza wewe kusoma irabu kisha ndo ulinganie wengine
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 6 ай бұрын
​@@MuhidiniNassorheri mimi sijasema
@ThomasLuhanga-d3r
@ThomasLuhanga-d3r Ай бұрын
Swali,Mungu haku ya jua haya,unayo yaeleza,napenda kufundishwa
@kimweritz6364
@kimweritz6364 3 жыл бұрын
Wanaelewa sana Mzee wa Upako tatizo wanapinga ukweli kulinda MASLAHI YAO makanisani huko
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@petermunuo2239
@petermunuo2239 7 ай бұрын
Ni kweli sana,fundisho lako wanawake hawaja tawazwa kuwa wachungaji au askofu.verry true.
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 3 жыл бұрын
Madini hayooo !!! Huyu Baba Anajua Mpaka basi Mimi ni Muslim lakini Mahubiri yake Ni Safi sana hapendi kona kona
@eppiemodest
@eppiemodest 7 ай бұрын
Kila mmoja na imani yake. Utatu mtakatifu aheshimiwe. Baba. Mwana na Roho mtakatifi Nafsi ya kwanza ni Mungu Baba aliyetuumba pamoja na dunia na vyote vilivyo ndani yake. Nafsi ya pili ni Yesu Kristo Mkombozi wetu, Alifia Msalabani tupate msamaha wa dhambi kipitia damu yake. Nafsi ya tatu ni Roho Mtakatifu ambaye anatupa mwongozo na kutuimarisha katika imani yetu ya Ukristo. Ndiyo maana huwa tunasononeka tukifanya mabaya au kufarijika tutendapo mema. Ni Roho Mtakatifu yuko kazini.
@AndrewShola-ts5lp
@AndrewShola-ts5lp 10 ай бұрын
Nimekwelewa Sanaa hapo kwenye uchungaji mwanamkee..
@lizzygussep2051
@lizzygussep2051 3 жыл бұрын
Leo Ndy nimekulelewa last time hukufafanua vizuri Asante baba
@selemansingano
@selemansingano Жыл бұрын
Allah akuongoze ktk njia ya haki Ufe ali yakua ni Muislam safi usione aibu mzee wa upako Mwenzio Mchungaji wa Afrika kusini kaujua ukweli kasilim yeye na wafuasi wake leo kanisa lake lime kua msikit mwenyez mungu akuongoze inshallah
@otienoodera4142
@otienoodera4142 3 жыл бұрын
Safi sana, una ushahidi mkubwa kuhusu hilo swali ya dini.... hongera sana.
@NassorAbdalla-u9o
@NassorAbdalla-u9o 2 ай бұрын
Mimi ni mwislamu katika Tanzania hii yetu Mzee wa upako na Mchungaji Hananja nawapenda sana kwanza ukiristo wanaujua vizuri sana na mafundisho yao mazuri sana wa naongea ukweli mtu, Shukra kwa mafundisho yako baba Mzee wa Upako.
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 Ай бұрын
Sijakuelewa.
@faylafood756
@faylafood756 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuwezeshe
@ababukarlinus9355
@ababukarlinus9355 Жыл бұрын
Mzee wa upako anajua vizuri sana uislamu Kwa sababu amesoma sema kinachowaweka huko ni pesa tu na si kiimani .
@ElibarikiMollel-t5k
@ElibarikiMollel-t5k 2 ай бұрын
Hakukuwa na uislam enzi hizo ilikuwa dini ya kiyahudi
@kawezaseleman5794
@kawezaseleman5794 3 жыл бұрын
Leo nimeamini mzee wa upako msema kweli kabisa namimi nimesoma nimeyaona hayo
@bamsimba7835
@bamsimba7835 3 жыл бұрын
Huyu Kuna maneno huwaanawaambia wafuasi wake wawewanayatumia kila mara hayo maneno ni tafsiri ya ayatul kursy. Nazifahamu hiitafsri ila anaongeza na maneno yake na jina la yesu pia amelichomeka . Huyu anatakakuishi vizuri ila anafahamu kila kitu.
@NaseebRamadhan
@NaseebRamadhan 9 ай бұрын
Ila huyu mzee 🤝mashaalah
@ligangapaojoeli7819
@ligangapaojoeli7819 2 ай бұрын
Hawa ni miongoni mwa wale wahubili wauongo so ukweli na Imani ni maisha Yako.
@saidali1488
@saidali1488 3 жыл бұрын
Nimekukubali mzee wa upako. You are right!
@kamanjamwenjerwa7032
@kamanjamwenjerwa7032 3 жыл бұрын
Said Ali umnakubali nini? Wewe KATOMBWE matako na MUHAMMAD mtume shoga
@lileoh3893
@lileoh3893 2 жыл бұрын
@@kamanjamwenjerwa7032 wewe ndio ukaolewe napaylo maana ukisoa wakolinto2 l2 soma eti anapendezwa namisiba naufezuli
@kamanjamwenjerwa7032
@kamanjamwenjerwa7032 2 жыл бұрын
@@lileoh3893 jitombe
@betsonnyondo6518
@betsonnyondo6518 Жыл бұрын
Naomba haya mafundisho uyaweke kwenye kitabu . ahsante sana
@sadaralmas4185
@sadaralmas4185 3 жыл бұрын
Big up mzee waupako,endelea kufundisha wajue ukwel upo wap.malizia tu yesu alisali kwenye sinagog ambao nimsikt ili waongeke.amani sana.
@SaidMkwabi-ho8yy
@SaidMkwabi-ho8yy 3 ай бұрын
Mzee waupako mungu akujaalie maisha mema sikuzote msema ukweli ni mpenzi wamungu najua wapo wengi watakujadili tofauti nikwasababu yaukweli wako🎉🎉🎉🎉
@edwardmalila5230
@edwardmalila5230 3 жыл бұрын
Upo vzr mzee wa upako leo nimekuelewa vizuri
@solutionprovider7155
@solutionprovider7155 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana,Yesu Kristo hakuwa mkristo Bali Yesu ndiye Kristo mwenyewe, na hapa duniani hakuna wakristo Bali Kuna watu mali ya Kristo ambaye ni Yesu
@novatidamian7236
@novatidamian7236 3 жыл бұрын
Ni kweli walokole hao kama hawapo Dunia hii! Mimi ninabo washangaa wao kila mmoja wao keshafika peponi hayuko Dunia hii ya dhambi. Kubatizwa ktk maji mengi basi kwao kibari tosha. Thank you Brother A. Rusekero
@samweldonati6596
@samweldonati6596 3 жыл бұрын
Asante Sana kwa kunifundisha kwani nilikuwa sielewi kitu juu ya ukristo
@maulidharuna183
@maulidharuna183 8 ай бұрын
Jamaa hili linajua sana hadi linakera kudadeki
@abedkirway8668
@abedkirway8668 3 жыл бұрын
asante baba Mungu akubariki sana uendelee kutufundisha neno la Mungu uwe na umri mrefu baba
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 3 жыл бұрын
Nimekuelewa Mzee na nimwjifunza kitu kikubwa Sana Leo.. Nimejifunza Utu Upendo na Umoja wa wanadamu dhidi ya Shetani ndio Lengo la Mungu kuleta madabii Mirume utume na Unabii... Shetani katuzidi Hadi tunakua na Umoja wa baadhi yetu wanadamu dhidi ya wanadamu wenzetu.. Asante Sana
@FadhiliAdam-oc2kk
@FadhiliAdam-oc2kk Жыл бұрын
Nimekufatilia saana uko sawa umesoma Mungu akupe afya njema uzidi kuwa elimisha watu
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 3 жыл бұрын
Hongera mzee WA upako sema ukweli mie shabiki wako mkubwa
@zariadunia6328
@zariadunia6328 2 ай бұрын
Mungu akujalie sana Rev Lusekelo
@ibrahimsuleyman9465
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Masha Allah, Allah akupe tawfiiq ya kusema ukweli!!
@Abbas-fp5mc
@Abbas-fp5mc 2 ай бұрын
Kama ulizoea kutukana,Mw Mungu akuzidishie,akubariki uendelee kutukana mpaka MWISHO wa UHAI WAKO.AMEEEEEN.
@mwigaali1942
@mwigaali1942 3 жыл бұрын
Mumewadanganya wezenu kwa miaka na mikaka sasa uongo jitenge ukweli dhihirikaa🙌🙌🙌
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 8 ай бұрын
Kashawapiga pesa wajinga miaka mingi kashatajirika leo anawakana
@professorimmah
@professorimmah 3 ай бұрын
Sana
@professorimmah
@professorimmah 3 ай бұрын
Sana
@luhelumommboboci7136
@luhelumommboboci7136 8 ай бұрын
Wahayudi hawatumii mskiti ndugu yangu, hacha kuhadaa watu. Uislamu ulianza miaka mingi sana baada ya ukristo na mskiti ni nyumba ya maabudu ya waislamu na hekalu na sinagogi ni nyumba ya maabudu ya wayahudi.
@christophermrema5277
@christophermrema5277 3 жыл бұрын
Mchungaji bwana yesu asifiwe Sana mungu akupe Afya ya Roho na mwili umefafanua vizuri sana.hakika wewe Ni mwazuoni.Amina
@frankjohn8706
@frankjohn8706 Жыл бұрын
Wanawake sio kuwa wachungaji tu hatu ukisoma historia ya utumwa hakuna wanawake walichukua watu kuwauza utumwani Nenda ziwani au baharini wanakesha wavuvi wanaume sio wanawake.njoka wa kuingia kwenye maduara migodini ni wanaume hata wachoma mkaa ni wanaume. Wapo wanawake wanaitwa wanawake wa shoka lkn hawajawahi kuangusha mti kwa shoka hizo na mpini ukivunjika Hadi mwanaume aje aweke mpini.mwanamke akishika shoka atakatia Kuni miti mikavu sio magogo
@aristidesvedasto7855
@aristidesvedasto7855 Жыл бұрын
​@@frankjohn8706Hakuna cha kuongeza uko sawa kamanda
@simasima8084
@simasima8084 Жыл бұрын
@@frankjohn8706 Yan ww nyau umefafanua mpka nikaelewa 👍
@leonardoautomotivegarage9452
@leonardoautomotivegarage9452 Жыл бұрын
Nashauri acheni Mungu awe mwamuzi, kuwa mkongwe haimanishi una Mungu, kujaza watu si kuwa na Mungu, kunyamaza nayo hekima, Mungu atapambanua pumba na mpunga
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 3 жыл бұрын
Mungu akujalie usilimu kwa sababu umeeleza ukweli mtupu
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 3 жыл бұрын
Amina
@Amosbuzinzira
@Amosbuzinzira 9 ай бұрын
Hata wewe bado haujaelewa Yesu sio mkristo Yesu ni Kristo mwenyewe (Masihi)
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 7 ай бұрын
​@@Amosbuzinzirando ameelewa hivo ww nd hujaelewa
@richardmagasa4900
@richardmagasa4900 2 ай бұрын
Sasa kusilimu kumekujaje kwani umesikia Mzee wa uoako ameukana ukristo kwenye maelezo yake?
@sifaelpyuza3422
@sifaelpyuza3422 Жыл бұрын
Mzee wa upako hakika wewe ni kiongozi mungu mbariki kiongozi huyu
@jorammsemakweli3116
@jorammsemakweli3116 Жыл бұрын
Eleza vizuri kuwa kanisa lilianza baada ya kushuka Roho mtakatifu kutoka dini ya kiyahudi yenye kuabudu Mungu Yahweh na kuamini katika njili kwa neema ya ukombozi kwa njia ya Msalaba.
@isayaclement9999
@isayaclement9999 9 ай бұрын
Wewe jamaa acha uongo, kanisa lilikuweko toka enzi na enzi
@husseinihassani3541
@husseinihassani3541 8 ай бұрын
Msitari wa ngapi?
@JaphethMbasaRobert
@JaphethMbasaRobert 8 ай бұрын
" Kwa sababu neno msalaba Kwa wanaopotea ni upuuzi , Bali kwetu sisi ni nguvu ya MUNGU"! Korinthi 1 _ 18 _ 30
@AshaHusseinMussa-ul7vt
@AshaHusseinMussa-ul7vt 7 ай бұрын
@@JaphethMbasaRobert salale duuuu! Kwa nguvu ya msalaba, hawa wapagani wanawadanganya sana, wanawafanya kama kuku, laiti kama kuku angelijua kuwa mwanaadamu anamfuga kwa ajili ya nyama yake unafikiri angelikaa na ww, lakini akili ya kuku imewezwa na binaadamu ndivyo hivyo hivyo, kwenye ukristo na uhusiano na msalaba, ngoja nikurejeshe nyuma kidogo kwenye historia na sio stori, maana kuna tafauti history na story, wengi wetu tumezoea story. Kwasababu ni wavivu wa kusoma, hapo zamani ilikuwa hivi, alipozaliwa Yesu hapo hapo Yudea, watawala walikuwa ni Roman empire, tekful wa hapo alikuwa Pilato, mfalme wa Roma alikuwa Julius Caesar, kaisari, Roma ilikuwa na nguvu sana, super power, kama unavyoiona leo Marekani, ilitawala dunia nzima, walikuwa makatili na mahabithi sana imani yao walikuwa ni wapagani wanaoabudu masanamu na mambo mengine ya ujinga, Christmas ya tarehe 25 Dec ilikuwa yao, hadithi za lucifa au Morning star, au shetani, hadithi za Mungu kuzaa na binaadamu, zilikuwa zinapendwa, wakieleza kuwa kulikuwa na Mungu jina lake akiitwa Zeus, huyu Zeus alizaa na bin adam akazaliwa Hercules, hata mfalme mwenyewe Julius Caesar aliitwa Mungu, suala la Trinity, utatu mtakatifu na mambo mengine yalikuwa yamo kwenye mila zao za kipagani, alipozaliwa Yesu na kuanza harakati zake kama mwalimu na kuvutia watu wa Roma wakamouna kuwa political threat kwao, na kwa kuwa wayahudi hawakufuata imani yao ya Kipagani wa Roma walipata upinzani mkubwa wa kiimani kwa hiyo alipanza Yesu mahubiri yake akiwa na umri wa miaka 33, waroma waroma wakapanga kumuua ili kuondoa upinzani dhidi ya Emperor wao Julius Caesar, kilichotokezea kimetokezea, waliamini baada ya kumuua yesu ndio upinzani utakwisha, ikawa tafauti wafuasi wake walizidi kueneza mafundisho yake, miaka sabiini baada ya kuondoka Yesu waroma wakavamia Jerusalem na kuteketeza maandiko na mengine kuyachukua, bare in mind kuwa hapo zamani kulikuwa hakuna machine za copy wala vitabu havikuwa vingi, maandiko mengi yalikuwa ya agano la kale kuliko jipya, kwa hiyo wakachukua maandiko na kuyapeleka huko roma na kuyafungia, miaka 321 ya maisha vita vilikuwa vingi sana na Roma ilianza kupoteza nguvu zake, Mfalme Constantine the great akaja na wazo, la kumaliza upinzani bila kumwaga damu nyingi, akafa kikao huko Nikea, akachuchua yake mambo ambayo sio threat kwao kutoka kwenye taurat na injil, yaani agano la kale na agano jipya, na kuchanganya na hayo mambo yao ya kipagani, kama vile hiyi sherehe ya Christmas, hadithi za Morning star, Lucifar, Samson and Dalila na mambo tele, ya maandiko ya Paulo, na kuja na bibilia, wazungu wanasema if you cannot defeat them join them, kwa hiyo hilo suala la msalaba badala kuonekana ni laana likafanywa uukozi, ili kuondosha tuhuma kwa wa Roma, walipo kwisha kutengeneza wakawapelekea wayahudi bibilia, wayahudi walipoisoma wakasema hii ni kufuru wakakikata kitabu hicho na wakaupinga ukristo kwa nguvu zote kuwa ni uzushi, kwa kuwa roma ilikuwa na nguvu wakaeneza imani hiyo kama dini duniani kote, yeye mwenyewe Constantine hakuuamini ndani ya moyo wake, hadi akiwa kitandani mauti yakimkaribia, lawama zote za mauwaji ya yesu wakatupiwa wayahudi, kama vile unavyoona leo, ni nani anaewalaumu wazungu kwa biashara ya utumwa, lawama zote wametupiwa waarabu, utumwa wa east Africa wameupa jina Arabic slave trade, na ule mkubwa wa wazungu ukaitwa Triangular slave trade, au Antlantic slave trade, kwa hiyo mzungu humuoni hapo, halafu akandika historia kuwa wao ndio waliokomesha biashara ya utumwa, wakati mapinduzi ya viwanda ndio yaliondoa mahitaji ya watumwa, chefuuuu, kwa hiyo msalaba sio nguvu ya ukombozi, ni kama mwenge wa taifa unazugwa wewe tu kiimani. Ukristo unatumika kama platform ya wazungu kuleta ideology yao ya freemanson, World order. ni imani ya kishetani haina uhusiano na Yesu wa Nazaretti.
@professorimmah
@professorimmah 3 ай бұрын
​@@JaphethMbasaRobertHahaha mnahangaika nyie waabudu masanamu msalaba ukombozi wapi mungu ndo mkombozi pekee acha kuifadhi matango poli ya paulo wewe
@tahiyaabubakar5304
@tahiyaabubakar5304 8 ай бұрын
Huo ndiyo ukweli wa mambo.Shukran sana bro huo ndiyo utata baina ya Uislamu na ukristo. Mungu awaonyeshe haki muifuate
@fredyfile623
@fredyfile623 3 жыл бұрын
Kama hata siku moja hushiki na kusoma maneno ya mwenyezi Mungu hutakiwi kubishaa kitu bcz utabishana na mambo usiyoyajua cha muhimu tujitahidi kusomaa maneno ya mwenyezi mungu mara kwa mara. Kafafanua vizuri sana.
@qeytherymasoudy4547
@qeytherymasoudy4547 2 жыл бұрын
Idhajaaaa anasuru llah walfatuh. Wala ai ta nnasa yadighuluna fidiini llah afuaja fassabbih bihamdi rabikah wa staghafiruh innahuu kana tauwabaaa HICHO NDICHO KINACHOTOKEA SASA IVY QURAN HAIONGOPIII WAISLAMU TAKIBIIIR
@VictorNgosi
@VictorNgosi 9 ай бұрын
Sawa nimekuelewa upo sahihi ila Kuna mwewe,kunguru,njiwa,hata uwelewa nivigumu wengine kuelewa ❤
@issatwaha3093
@issatwaha3093 3 жыл бұрын
Wafafanulie wajue vizuri
@margaretmahege7948
@margaretmahege7948 3 күн бұрын
Nimekuelewa sana mtumishi
@eliaskalikowele3680
@eliaskalikowele3680 3 жыл бұрын
Nilikuwa cjakuelewa hapo upo sawa
@NoelKomba-bj4yr
@NoelKomba-bj4yr 8 ай бұрын
Mzee wa upako umechepuka sana.... Uislamu umeanza karne ya Sita kipindi kanisa limepoa.... Kipindi cha Yesu dini iliyokuwepo ni Uyahudi
@kibaikiramadhani1475
@kibaikiramadhani1475 8 ай бұрын
Ww hujui kitu sema ufundishwe uislam ndik maumbile alioumbiwa mwanadamu
@chikuiddy9946
@chikuiddy9946 4 ай бұрын
Kweli Paulo kawaweza
@ramadhaniabasi6780
@ramadhaniabasi6780 3 жыл бұрын
Nakukubali Sana mzee wa upako
@sultanhilarious8893
@sultanhilarious8893 Жыл бұрын
Hasante sana Kwa mafundisho
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 3 жыл бұрын
Mzee wa Upako Yuko sahihi, Kumuita Yesu alikuwa Mkristo ni sawa Na Kusema Mungu ni Mchamungu, Yesu Mwenyewe alisema Hajaja Kuanzisha Dini. Na Akasema Dini Iliyosafi ni Nini
@elishakitumbu5719
@elishakitumbu5719 3 жыл бұрын
Reta andiko
@davidngwesa
@davidngwesa 3 жыл бұрын
@@elishakitumbu5719 reta au leta???
@alexmwita5426
@alexmwita5426 3 жыл бұрын
Sawa kabisa maana ukristo umeamza baada ya yesu kufa na kupaa mbinguni
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 3 жыл бұрын
@@elishakitumbu5719 Yakobo 1.27 au James 1.17 Religion that God our Father accepts as pure and faultless is this: to look after orphans and widows in their distress and to keep oneself from being polluted by the world.
@JohariaNyagawa
@JohariaNyagawa 8 ай бұрын
Mungu Akuzidishie Imani endelea kutufundisha wanaokupinga achana nao wakasome tena
@elisantennko8222
@elisantennko8222 3 жыл бұрын
Nakubali uchambuzi wako.Tatizo watu wanaenda Bible School kukariri ili wapate vyeti ,hawachambui semi na nahau za theology,historical.
@professorimmah
@professorimmah 3 ай бұрын
Sana akili zimeganda tuuu
@OthmanSharif-y3u
@OthmanSharif-y3u 7 ай бұрын
Allah haufanyie wepesi my broo kwani wengi wanapenda kudanganyw sanaa
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 3 жыл бұрын
Unajua tatizo si hoja, ni namna ya kuitetea hoja.wengi wanatoa hoja wanashindwa kuielezea kwa sababu wanakopi na kupesti.ila mzee nimekukubali kwa kuitetea hoja ma ana wewe hujakopi na kupesti bali umebobea.big up baba.
@blessingblessing9641
@blessingblessing9641 Жыл бұрын
Karibu katika dini ya haki islam
@deusdeusibrahimdeus2149
@deusdeusibrahimdeus2149 Жыл бұрын
Kichwa hiki bn
@JestinaMakamba
@JestinaMakamba 11 ай бұрын
😅😅😅
@JestinaMakamba
@JestinaMakamba 11 ай бұрын
Mungu haangalii dini we tenda yaliyo mema pole sana mtu wa mungu ukizani dini ndo tiketi ya kwenda mbingini 😂😂
@JestinaMakamba
@JestinaMakamba 11 ай бұрын
Mungu haangalii dini we tenda yaliyo mema pole sana mtu wa mungu ukizani dini ndo tiketi ya kwenda mbingini 😂😂
@mbayanilajingare
@mbayanilajingare 4 ай бұрын
Mungu akutie nguvu SoMo hili Ni muhimu sana
@KandidoLuvanga
@KandidoLuvanga 8 ай бұрын
Haya umeniongezea uelewa umepanua vichwa vya watu hasahao wa madhabahuni wameze wembe huo saiziyao 🙏🙏🙏👍👍👍
@elibarikitata8479
@elibarikitata8479 3 жыл бұрын
Nimekuelewa mtumishi wa Mungu.
@raphaeldinyu427
@raphaeldinyu427 Жыл бұрын
Hekalu ni moja tu na liko Yerusalem kwa ajili ya Wayahudi kwa ajili ya kumtolea Mungu sadaka za kuteketezwa , na masinago ni kwa ajili ya Wayahudi waliokuwa nje ya Yerusalemu kwa ajili ya kusoma na kujifunza torati ya Musa , Sasa msikiti unahusiana Nini na Wayahudi au na Yesu hamjui kitu na hamtakaa mjue chochote mtaishia kwenye unafiki tu pole mzee wa upako wa wasiomwamini Yesu
@rockymanson3774
@rockymanson3774 7 ай бұрын
Nmekuelewa
@professorimmah
@professorimmah 3 ай бұрын
Umeelewa nini wewe taila
@professorimmah
@professorimmah 3 ай бұрын
Kuteketezwa na nini ukweli ndo huo unakuuma kuambiwa ukweli yesu hakuwa mkristo
@professorimmah
@professorimmah 3 ай бұрын
Msikiti unakuuma sana pole utakuuma hadi utakufa na msikit utadum hadi kiama na ukifa motoni utaenda kwa kuukataa ukweli uyo kasoma wewe umesomewa na mchungaji
@KilongolaAbdallah
@KilongolaAbdallah 8 ай бұрын
Hapo nimekuelewa Mzee wa upako asante kwa kutuelimisha
@fadhiltave1359
@fadhiltave1359 3 жыл бұрын
Ooooooh!!!! Haleluya kama kunawakati umeongea pointi ni huu wakati... Pendo la KRISTO
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 9 ай бұрын
Nimekuelewa Sanaa Mtumishi wa Mungu Barikiwa sana huo Ndio ukweli
@binurusm8886
@binurusm8886 3 жыл бұрын
Ni wachache watakaokulewa, Ubarikiwe.
@faylafood756
@faylafood756 3 жыл бұрын
Bwana mchungaji umeongea maneno mazuri sana, nimefurahi nafsini mwangu, naomba utuweke wazi usifiche kwa maana mungu a nakuona na kuku sikiliza na mwisho wa siku utarudi kwake usifiche kwa kumfurahisha mtu. Yesu alikuwa dini gani? YESU na Nabii Muhammad ni ndugu au sio ndugu? Mungu akuongoze kwa jibu zuri.
@buuwahiid2898
@buuwahiid2898 3 жыл бұрын
Jibu mbona umelipata
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 3 жыл бұрын
Yesu alikua Muyahudi, Uyahudi ni dini pia ni kabila. Muhammad ni muarabu, waarabu na wayahudi ni kabila mbili tofauti.
@flova7022
@flova7022 3 жыл бұрын
@@ericalexandre2166 nakujibu, kivingine,,, Yesu na Ismail ni ndugu Kwa kushea babu mmoja yaani Ibrahim, kumbuka Yesu alizaliwa kutoka upande WA jakobo Kwa mama Sara( upande WA wakristu) na Ismail ( uislamu) alizaliwa nA hajiri mke kijakazi WA Ibrahim hajiri ..hivo wakristu na waislamu sisi ndugu,,,hivyo hatupaswi chukiana mAna babu yetu sote ni Ibrahimu
@adamsamata8754
@adamsamata8754 3 жыл бұрын
Uyahudi ni kabila sio dini na uwaraabu ni kabila sio dini
@khalfanikishki2646
@khalfanikishki2646 3 жыл бұрын
@@ericalexandre2166 Dini ya kiyahudi walitunga wenyewe ilikuwa yakishirikina. Uyahudi kabila ndo alilokuwa nalo Bwana Yesu lakini Dini Uislamu. Ndo mana aliswali kama sisi. Matayo 26:39) alisujudu.
@IssaIssa-yi7hr
@IssaIssa-yi7hr Жыл бұрын
Allah akupehidaya akuletekwenye diniyaki dini ya uislaam
@athumanibaruti6060
@athumanibaruti6060 3 жыл бұрын
Ni kweli Yesu hakuwa mkiristo lakini wapo wasioelewa hili wapo wanao sema Yesu ni mungu.
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 3 жыл бұрын
Tatizo liko wapi
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 3 жыл бұрын
Akili mgando si umeambiwa Yesu ni Kristo ndio maana wanafunzi wake walikua wa Kristo ni sawa na mtoto baba yake ni Athumani utasema huyu mtoto ni wa athumani ndio maana yake WAATHUMANI WAKRISTO SASA HUJAELEWA NINI MBONA SIE WATU WA AJABU LISILOELEWEKA HAPA NI NINI WAKRISTO NI WAFUASI WA KRISTO NDIO MAANA WANAITWA WAKRISTO hakuna dini ya Kristo ukristo sio dini ni wafuasi wa Kristo tatizo liko wapi kila mkristo anajua hakuna dini ya kikristo ila ni wafuasi wa Kristo kama nyie mlivyo wafuasi wa Mtume Mohamed lakini ikaitwa Dini
@awadhhamza9296
@awadhhamza9296 3 жыл бұрын
@@mossymtwana6422 Shida mnamuita Mungu
@jescalaurent3183
@jescalaurent3183 Жыл бұрын
YESU NDIYE KRISTO, AWEZI KUWA MKRISTO, WAKRISTO NI SISI WAUMINI TUNAJIITA WAKRISTO, (YESU KRISTO)
@aminamkumba3549
@aminamkumba3549 3 жыл бұрын
Upo vzr mzee wa upako, unasema kilichoandikwa hutoi kichwani kama wengine
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 3 жыл бұрын
Assalam alaykum warahmaturullah wabarakatuh ! Wallah khaki kamwe haiwezi shuka bali itabaki kileleni hadi kiama ,Hadi Yesu (Issa bin Mariam) atakapo rudi kuvunja makanisa na misalaba hatimae kumuua masihi dajal
@eastafrica6858
@eastafrica6858 3 жыл бұрын
Kabisa wamejenga makanisa hao wazungu utagikiri kwao kuna mitume kila kitu wamebadilisha mpaka ma nabee wengi leo padri wanawake waimbaji baranarani wanawake wanacheza eti wanamsifia yesu wapi yesu alicheza akaruka barabarani na nguo fupi na wigi sadaka wanambiwa watoe na mchezaji barabarani yesu ni mtume wa Allah naatarudi ibrahim alivunja masanam na mtume muhamad alivunja masanam pua hao ndio mitume wa kweli isa alipaishwa A
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 10 ай бұрын
Vizuri nimekufurahiya kwa content nzuri
@ambwenesandersony1545
@ambwenesandersony1545 3 жыл бұрын
Nimekuelewa Sana, barikiwa sana
@louissamuel1659
@louissamuel1659 7 ай бұрын
kweli mzee wa upako unaijua Biblia, Mungu akubariki
@Expedito2512
@Expedito2512 3 жыл бұрын
Ni kweli Yesu hakuwa Mkristo na si wote wanamwamini Yesu
@flova7022
@flova7022 3 жыл бұрын
Wakristu na waislamu wote wanamwamini Yesu... Wakristu huamini Yesu kuwa ni Mungu na ni mwana WA Mungu waislamu huamini Yesu ni nabii(ISA)
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 3 жыл бұрын
Tatizo ni kutokusoma, swali je anae fata uislamu anaitwa muislam na anae fata Kristo ataitwa je? Eti Yesu hakuwa mukristo sasa angekua je Kristo na mukristo the same time. Someni au ulizeni mupate kujua na sio ubishi kwani hausaidii kitu
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 3 жыл бұрын
@@flova7022 Yesu sio Mungu coz haijaandikwa hata sehemu 1 ya Biblia istoshe amezaliwa na mwanadamu. Wanao sema ni Mungu waambie wa kuonyeshe ilipo andikwa kwani tunatakiwa kufata maandiko na sio maneno ya watu
@peterjohn7613
@peterjohn7613 3 жыл бұрын
Duh Baba umeongea point sana!!!!!
@humphreybilly3258
@humphreybilly3258 3 жыл бұрын
Sisi tuache na Askofu wetu gwajima boy.
@soccertv293
@soccertv293 3 жыл бұрын
Hahahaaa tukuache upotee
@allysonmmanyi7436
@allysonmmanyi7436 Жыл бұрын
Very good, uko sahihi vizuri sana!
@daudinyello4033
@daudinyello4033 8 ай бұрын
TATIZO WAKRISTO WA AFRIKA MASHARIKI HASA TANZANIA WANA VICHWA VIGUMU, UMENENA SANA NA NDIO UHALISIA.
@lukabernald3924
@lukabernald3924 7 ай бұрын
Nakuelewaga sana mzee wangu, barikiwa zaidi.
@marianmartin7483
@marianmartin7483 3 жыл бұрын
Mzee wa upako wewe unaijua biblia, kwangu naona upo sahihi. Hongera sana kwa ufafanuzi huo.
@buuwahiid2898
@buuwahiid2898 3 жыл бұрын
Na mujuwe kuwa bibilia sio kitabu cha mungu
@SalumuAlly-d9q
@SalumuAlly-d9q 6 ай бұрын
Mashaalwah mzee wa upako silimu tu kilichobaki
@jennipherChristian
@jennipherChristian 8 ай бұрын
Woooooiiiii!!!! mim sahivi naenda vile moyo wangu unakuwa na amani na ninachokitaka... watumishi wengi mno sahivi hujui nani sahihi hujui nani hayupo sahihi. Matapeli wengi. usiposali na kuuusikiliza moyo wako utapotea
@chikuiddy9946
@chikuiddy9946 4 ай бұрын
Karibu Dini ya Kiislam
@jennipherChristian
@jennipherChristian 4 ай бұрын
@@chikuiddy9946 uuuuuwih! sitak hata mume wa kiislamu achana na kubadili dini. mungu anaangalia moyo wa mtu imani yake mambo ya dini Aaaaah! nitafia ukristo best yangu
@wilbatnyato425
@wilbatnyato425 2 жыл бұрын
Mzee wa Upako huwa namkubali sana anauelewa mkubwa sanaaa juu ya ukristo
@bajomba2010
@bajomba2010 3 жыл бұрын
Mzee wa Upako...nakuelewa kabisa..endelea kutuelimisha ndugu yetu..wala usiyumbe!!!
@iddymustapha489
@iddymustapha489 3 жыл бұрын
Asante kwa elimu
@roselugendo6943
@roselugendo6943 3 жыл бұрын
Kumweleza mzee wa upako unabidi uwe na akili zakutosha. I miss you dad.
@buuwahiid2898
@buuwahiid2898 2 жыл бұрын
Hahaha 🤣 jamani wakiristo
@PANDELABABA-MAMA-officiallaudi
@PANDELABABA-MAMA-officiallaudi 11 ай бұрын
Asante sana baba
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 жыл бұрын
Mzee ume upigaaa mwingiii sana🤝😂
@MwanduMachiya
@MwanduMachiya 8 ай бұрын
Mzee wa upako nimekuelewa Sana ombi langu endelea kuwafundisha Hawa tuko pamoja na wewe
@geraldluiso6792
@geraldluiso6792 3 жыл бұрын
Geometry don't lie , your so brilliant
@newatareeesanauyumtufantas6227
@newatareeesanauyumtufantas6227 3 жыл бұрын
Baba wewe ni mtu wa mungu nmekupenda na kukuelewa sana sana naomba npate namba yako au mwenye namba ya uyo mkuu tafadhari
@khamisawadh7333
@khamisawadh7333 3 жыл бұрын
Usimsute Upako?kweli yesu Alikua anaswali Kwenye MasinaGigi Ambayo Yaitwa MSKTI?Uko Ok
@theafricanprincevivecongo8632
@theafricanprincevivecongo8632 8 ай бұрын
@@khamisawadh7333 we umeelewaga?
@dassustephen5391
@dassustephen5391 2 жыл бұрын
Daaah.Mzee wa upako vipi tena umekuwaje mzee wetu?Mungu akurehemu
@reganpaul8542
@reganpaul8542 3 жыл бұрын
Chief mwalimu general mzee wa upako kifaru Cha Yesu ubarikiwe mwalimu wa biblia Moses Bible college
@fadhilisule
@fadhilisule 7 ай бұрын
Unaeleweka sana mzee sema ukisema ukwel kwa wenzio wakristo watakupinga kwa sababu wao wapo kwenye ulimwengu wa kanisa pesa
@ilovejesus666
@ilovejesus666 3 жыл бұрын
Mim nimelitambua toka zamani ndio maana nikatoka uko saivi naitwa ally na nitakufa nikiwa mwislamu mwenye wivu ajinyonge
@flova7022
@flova7022 3 жыл бұрын
Hahahahaha
@gladnesssidiu4922
@gladnesssidiu4922 3 жыл бұрын
@@flova7022 bora hata umemcheka manake mwenye wivu gani ajinyonge wakati yeye ndo yuko kupotea Yesu ndiye njia ya kweli na uzima
@flova7022
@flova7022 3 жыл бұрын
@@gladnesssidiu4922 kanichekesha Sana ..na bado kajiandika jina lake anampenda YESU
@Saidkhel
@Saidkhel Жыл бұрын
@@flova7022 sasa tatzo nini tatzo mnalo nyie maana Waislam pia tunamtambua yesu kama nabii wa Mwenyez Mungu na siyo kama nyie mnamtambua kama Mungu kwaiyo kujiandika siyo tatzo maana yesu ni Nabii hata kwenye Qur'an yupo anasomwa pamoja na Mama yake mariam kwaiyo jiulizen nyie mliye potea eti yesu ni Mungu na alivyo paa mnasema kaenda kwa Mungu sasa Mungu gan tena wakat yeye ndiyo Mungu yaani mnajichanganya kizembe sana Ingien katika UISLAM mjue haki mzee wa upako anawaambia ukwel hapo mnanuna ona sasa mnavyo uwana huko kenya kizembe wakristo akili hamna ila siku hiz wachungaj wenu washa anza ujua ukwel mnaamini sana miujiza zaid kuliko dini ona wakina zumarid wanavyo waendesha kisa mnapenda miujiza
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
@@Saidkhel akili kijiko ndio hizo ushaskiaa waroman tuna miujiza...pili wewe unaamini quran ,Mimi naamini biblia.. hivyo huna strong point kubisha kilichopo kwenye biblia Wala mm kubisha kilichopo kwenye Qur'an....kama huamn trinity ..hivyo huwez elewa mtu alikwambia Yesu ni Mungu...nanarudia kusema Yesu ni Mungu..na ndie mkombozi WA dunia...afu Yesu WA kwenye biblia sio ISA wenu Mzee..nyie ISSA wenu hajafufuka Hadi Leo. Alikufa akazikwa India.
@abduliaziz7985
@abduliaziz7985 2 жыл бұрын
Mzee nimekuelewa mungu akutangulie ,maana unayeyusha mafuta ktk miubngo yawatu iliyoganda
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 3 жыл бұрын
Funguka tu mzee.sinagogi ni msikiti unawahusu waislamu tu.ima wakiwa waisrael wafaransa na wengineo.na vipi YESU kabla ya kusali anatawadha kama waislamu?na ibada yake anavua viatu na anasujudu kama waislamu..hii dunia tunapita tu.viongozi angalieni sana mtabeba mizigo ya watu.
YESU NI MUNGU AU SIO MUNGU
51:26
Mzee wa upako
Рет қаралды 48 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
HISTORIA YA WAARABU NA ISRAEL
3:34:15
Mzee wa upako
Рет қаралды 64 М.
HISTORIA YA VITA VYA WAYAHUDI NA WAPALESTINA
21:53
Mzee wa upako
Рет қаралды 107 М.
FAFANUZI JE YESU NI MUNGU.?
46:14
Mzee wa upako
Рет қаралды 33 М.
MAMBO YA AJABU USIYOYAJUA AMBAYO YATATOKEA HIVI KARIBUNI | ASKOFU GWAJIMA
56:45
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 145 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН