AMBANGILE ANYOSHA MIKONO AHOUA NI BORA KULIKO CHAMA PACOME NA AZIZI KI, SIMBA KIMATAIFA AHESHIMIWE

  Рет қаралды 35,467

SANGA TV

SANGA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@HarrisonMakah
@HarrisonMakah 16 күн бұрын
Hongera nakukubali na nakuelewa wambie,wachambuzi wengine wajifunze kwako c kuleta mapenzi ya timu zao wajue hiyo ni kazi mapenzi chumban mpira sio polojo ni game ya wazi wakishindwa waende kwenye siasa wastuharibie ligi yetu big up sana
@MagembeAngelo
@MagembeAngelo 16 күн бұрын
Nakukubari Sana unajua wewe Ambagire na ANSI rafaeri muko vizuri Sana ongeren
@FidinNyoni-p8m
@FidinNyoni-p8m 16 күн бұрын
Safi kaka unajuwa sana tenazaidi
@isayamwanjoka3958
@isayamwanjoka3958 16 күн бұрын
Mchambuzi bora zaidi Wasafi Arena kuliko wote ambangile unajua kaka bravo
@clarencemeena1628
@clarencemeena1628 15 күн бұрын
Ambangile uko vizuri sana Kaka, unaeleweka sana
@DanielChaula
@DanielChaula 16 күн бұрын
Much better today ❤❤❤❤
@HalmaAlly-up9pq
@HalmaAlly-up9pq 16 күн бұрын
Wakwanza leo
@HareniBasiaya
@HareniBasiaya 16 күн бұрын
🤝
@NachiNachi-q4y
@NachiNachi-q4y 14 күн бұрын
Aiseeeee we noma san huna baya unauzungumza mpira na sio mapenzi ya timu
@StarBoyEmpire
@StarBoyEmpire 16 күн бұрын
Simba nguvu moja
@RoseAyubu
@RoseAyubu 16 күн бұрын
Siioni yanga kumfunga hilal away hii ni kimpira sio ushabk
@HashimHaji-j8g
@HashimHaji-j8g 16 күн бұрын
Xafi cana
@sadofaraji5999
@sadofaraji5999 16 күн бұрын
Siku ya Alhilal ya Libya,Fadlu aliwaambia hata wakipata bao la mapema msipanick,na ndivyo ilivyotokea,Ambagile yuko vizuri.
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 16 күн бұрын
Champ yupi?
@LawrenceRasta
@LawrenceRasta 11 күн бұрын
Wewe Ambangile utabaki kuwa wewe Akuna hatakae kuwa kama wewe mimi nime kufhatilia kwa mda mlefu na sasa Nina ya hamini maneno yako ulioyaongea kuwa Tanzania hauna time unayo shabikia kwa mimi nime kukubali Ambangile kua wewe ni Mchambuzi mwenye weledi na kazi yake hanayo hifanya kwa mimi Nina kupa hongera Sanaa mdogo wangu fanya kaziyako
@jumaedson
@jumaedson 15 күн бұрын
Mchambuzi wangu Bora
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 15 күн бұрын
Mundoweni baba levo anahalibu wasafi
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 11 күн бұрын
Mnamsifia siku akisema timu zenu mbovu mnamuona hafai
@RajabuMbutta
@RajabuMbutta 16 күн бұрын
Ambagile wewe nichambuzi la kimataifa
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН