Pombe hizo jamani chama yupi ambaye unamfananisha na ahoa kweliiiiii
@JuliusMbikilwa15 күн бұрын
Hizo 5 za Kagera je,zilikuwa na wachezaji gani?
@jonasmlonga710115 күн бұрын
Mchambuzi asiye mbunifu na mmakini na uchambuzi wake kwa nini uwe mtu wa kuiga badala ya kubuni? Pascal huna lolote ni lini ukatambukisha slogani yako hiyo ati GUSA ACHIA...umepesti kaka, maneno ya studio unayo wewe kwenye pichi vitendo wanavyo YANGA hilo domo utalifunga siku ikifika huna lolote mbumbumbu wewe.
@isayamwanjoka395815 күн бұрын
Unateseka ukiwa wapi haujasema bado yaani mpk useme kifo cha yanga kimefika timu mbovu sindano fc
@shaameshaame-g3d16 күн бұрын
Simba hana safu ya kushinda goli nyingi kwa maana mchezaji mwenye kiwango cha kucheza safu ya mbele ni AHOUA tu wengine wanapangwa ili timu itimize wachezaji 11
@peterpetermdaku169115 күн бұрын
Km hivi hata yanga ni mzinze tu wengine wote ili mradi wafike 11
@shaameshaame-g3d15 күн бұрын
@peterpetermdaku1691 jibu unalo. sema mpo vzur kufananisha viwango maana KIBU ni bora kulikov PACOME
@AshaNchira15 күн бұрын
Yanga ni mizoga tuu
@shaameshaame-g3d15 күн бұрын
@AshaNchira naenda wew kale
@emmanuelmalila399915 күн бұрын
Nyinyi mnataka kushinda goli nyingi mashindano ya cuf ! Hivi unazani unacheza na Dodoma Jiji pale au siyo na ndo maana Aly hilal hamtakija kumfunga mmezoea magoli ya mipango !! Cuf ni mbinu shehe !