Oya nyau daah umefanya kosa sana umeiba pesa na kumpiga shemeji yako , daah 😂😂😂 utakimbizwa sana
@MulisaryShaban-oy8vh3 ай бұрын
Mwamba leo number moja😂
@MarKarim-km2yh3 ай бұрын
Nyau ungekuwa unania ya kutubu cku zote ujatbu leo wamlaumu mwenzio kwel we noma
@abdulkadilmsonzwa99443 ай бұрын
😂😂😂😂 Iti mimi mwenzako kwenye maisha yangu nimesha uwa sanaa ila nyau 😂😂
@VailethKunambi3 ай бұрын
Jomon mbona Muna tucheleweshea iikitu ni nzuri mno naipenda mimi
@MOTIVEBOE3 ай бұрын
Kazi nzuri sana nyau
@Sajdayusuf3 ай бұрын
Nyau anakimbia kama upepo😅
@Mwana85Mwana85-wz1ol3 ай бұрын
Nyau nyau 😂😂😂 umeyatiamba Kwa wamasi una bahati San nyau Leo Kwa wamasi ugepelekewa 🔥🔥🔥🔥 ww kama Kwa p didy una bahati ww nyau 😂😂😂😂 cheupe umetumwa kama ndege ya omani 🇴🇲🇴🇲🇴🇲 wapeleke 🔥🔥🔥 hawoooo cheupe Hawa 😂😂😂😂😂
@Mwana85Mwana85-wz1ol3 ай бұрын
Nisehem tu mm km hyoo nyau ni mapacha lkin hyoo nyau mweh kabisa doto nyau kutwa derk Kwa mwenyekiti kumeanza kuchangamka sasa nyau na rafiki yake pasua kichwa Hawana akili kabisa 😂😂😂😂 maaan sio Kwa mbio hzooo nyau na gongo 😂😂😂😂😂😂😂
@MwajShabani2 ай бұрын
🎉🎉🎉❤
@Mwana85Mwana85-wz1ol3 ай бұрын
Danga danga kk yako mweh hyoo nyau Kwa kuruka ww mwezio ww shikamoooooo😂😂😂 nyau eti sio kwakuruka uku hv kweli suruwali aijapasuka kweli maan sio Kwa kwakujiachia nyau nyau nyau na gongo gongo ni 🔥🔥🔥🔥 nyau kweli ushaua San kweli Hadi mm nakuogopa mm sasa wallah Tena nyau mbavu zangu mmm😂😂😂😂😂