AMTELEKEZA MTOTO KWA MAMA WA KAMBO/MTOTO NI MGONJWA HALI WALA HAONGEI

  Рет қаралды 29,870

Geah Habibu

Geah Habibu

Күн бұрын

Tukio hili limetokea maeneo ya Kisemvule nj kidogo ya mjini a Dar es salaam amabpo kuna Mama anatafutwa baada ya kwenda kumtelekeza Mtoto wake kwa Mama wa kambo,ambapo Mtoto huyo wa miaka minne ni mgonjwa hawezi kutembea wala kukaa na wala haongei!
Fwatilia hapa tuko hili la kusikitisha kisha utoe maoni yako
#geahhbibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Пікірлер: 493
@jemimabakari
@jemimabakari 3 жыл бұрын
Pole sana Dada, huyo mtoto yupo kwa baba ake, mlee tu. Pia mpelekeni hospitali
@Atb300
@Atb300 3 жыл бұрын
Kweli kbs
@selinakatega6691
@selinakatega6691 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂kabisaaa
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@juliejulie8704
@juliejulie8704 3 жыл бұрын
Weee mamaake mwenyewe amemshindwa sema watu wakianza kutoa usaidizi mamaake atajitokeza
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Жыл бұрын
Kuleq cha mtu kaz huku hakiwa mgonjwa mtihani
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 3 жыл бұрын
Baba nae aleye kidogo atakuja kumchukuwa baada ya siku anavurugwe na nini tena nani mwanae ! Wanaume leyeni watoto wenu toweni huduma zawa nenu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Lea mama Mungu atakulipa mtoto kaja kwa baba yk
@zaharamakota7434
@zaharamakota7434 3 жыл бұрын
Dada yuko vizuri kichwani huyuu,,,,ana mabusara mpaka. Yanamwagikaa
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 жыл бұрын
Ukipenda boga upende na ua lake hizo ndy changamoto za kuoa hovyo na kubwaga watoto kila mtoto na mama yake huduma muhimu angekuwa anampa huduma asingembwaga huyo lea mtoto huyo dada
@christsndushondi51
@christsndushondi51 3 жыл бұрын
Wewe kuweza jamani
@marialudovick8938
@marialudovick8938 3 жыл бұрын
@@christsndushondi51 hapo sasa🤔🤔
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 жыл бұрын
@@christsndushondi51 naweza sana niliolewa nikakuta mtoto wa mwaka 1 na miezi 3 na nimemlea hd leo mie ndy mama yake hata mama yake mzazi alikuwa hamjui upo kuweni na roho mkiolewa na wanaume wenye watoto
@yusramkamiamaji7565
@yusramkamiamaji7565 3 жыл бұрын
@@OfficialA83640 hii ishu ni tofauti Dada huyu MTT n mgonjwa anatakiwa uangalizi wa karibu hasa mama yake kama angekuwa mzima mbona hakuna shida ila sasa huyu n mgonjwa na hajiwez kwa vyovyote
@judithminja6386
@judithminja6386 3 жыл бұрын
𝐖𝐞𝐰𝐞 𝐤𝐮𝐰𝐞𝐳𝐚𝐚𝐚
@erastitesha943
@erastitesha943 3 жыл бұрын
Mwenyez Mungu akufanyie wepeso dada
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Mungu ampe moyo wa huruma arudi amchukue mwanae inshaa Allah
@happysonga3819
@happysonga3819 3 жыл бұрын
Amen 😭😢😢😢😢😢😢😢😢
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 3 жыл бұрын
Kwa kweli huu ni mtihani Allah ampe huruma na ujasiri wa kuukabili mtihani huu,amiin amiin
@tumainevance5167
@tumainevance5167 3 жыл бұрын
Jamani! Naishiwa maneno! Ila Mungu akusaidie we mama urudi nyuma mchukue huyu mtoto!
@gaudensiayustini8669
@gaudensiayustini8669 3 жыл бұрын
Si baba yake yupo hapo ndipo amuhudumie vizur?
@salamarashidi3262
@salamarashidi3262 3 жыл бұрын
Umeona mtoto yupo Kwa baba ake n mama ake wa kufikia tatizo halipo,,ndio ajue ukipenda boga Penda n uwa lake
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@gaudensiayustini8669
@gaudensiayustini8669 3 жыл бұрын
@@fadhilaongezaongeza226 kwanini nisiweze huyo ni mtoto tu kama watoto wengine ndio pakupata pepo hapo
@sharifakiface4617
@sharifakiface4617 3 жыл бұрын
Tatiz sio kukaa nae ikitokezea tatiz ataambiw kafany kusudi
@priscarjailous7435
@priscarjailous7435 3 жыл бұрын
Bora mama ake angekuwa hayupo lakini yupo
@fatmashaban5186
@fatmashaban5186 3 жыл бұрын
Wanaume ndio chanzo kuna uwezekano hamuudumii mtoto wake,huyo mama kaleta mtoto kwa uchungu
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
naaam huduma hapeleki
@bellabakera
@bellabakera 3 жыл бұрын
Kwel kabisa. Hawa kaka zetu wanashida...
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 жыл бұрын
Hata km ni uchungu lkn angekua ni mzma Sawa lkn mtt mgonjwa anamyanyasa mtt
@naifathassan2607
@naifathassan2607 3 жыл бұрын
Allah mfanyie wepesi mtoto hana hatia yarab
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 3 жыл бұрын
Halafu kumbe kakaa nae siku 5 tu kashachoka
@fatumadiwani4098
@fatumadiwani4098 3 жыл бұрын
Pole sana allah atakufanyia wepesi uweze kumlea huyo mtoto jaribu kumpa uji kwa kutumia syringe 💉 anaweza kunywa na supu pia
@nikizagloria2855
@nikizagloria2855 3 жыл бұрын
Duuh mpelekeni hospitalini jamani wamuchunguliye
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 3 жыл бұрын
Ustawi wa jamii!janaume kama sugu jeuri hata ulipeleke wap'itasumbukatu,anawezajitetea kipato kidogo utamlazimisha??
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 3 жыл бұрын
Subhana Allah mola amponye huyo mtoto pia apelekwe hospital na hongera dada kwa roho nzuri ikishindakana dada mlee huyo mtoto Allah atakulipe fadhila zako
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 9 ай бұрын
Kuna taka moyo ujue mlemavu afazal mzima kwa kumlea mtu ngumu my
@yakaramayaka1456
@yakaramayaka1456 3 жыл бұрын
Inasikitisha, km hataki kula huenda anajua mama kamuacha 😭
@reymahassan9358
@reymahassan9358 3 жыл бұрын
Ukipenda boga upende na ua lake, kilichopo mpelekeni mtoto hospital ajulikane tatizo Lake na mumsomee dua pia. Inawezekana baba amemtelekezea mama majukumu yote ya mtoto, ila sio mbaya kamleta kwa baba yake. Mwambie baba yake aka home alee mtoto wake, minne mama aliyokaa nae mtoto inatosha sasa ni zamu la baba.
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 3 жыл бұрын
Mama alee mwanae Kama mama mzima kwann apewe ulezi mtt mgonjwa wkt mama mzazi yupo ? Akamatwe atunze mwanae angekua mama kafariki sawa dunia ya Sasa Kila mtu analea mwanae
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 3 жыл бұрын
Mtoto bado mdogo anapaswa kuwa kwa mama mzazi na cyo kwa mama wa kambo hapo amchukue mtoto wake na baba wa mtoto awajibike kwa kila kitu matumizi ya mtoto ili mtoto abaki na mama yake mpka pale atakapo fikia umry wa kukaa na baba sasa ndo aende kwa baba yake lakini cyo kwa sasa na pia ni mgonjwa wampeleke hospital kwa Uwezo wa Mungu atapona
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 3 жыл бұрын
@@ilhamswaleh3428 ss km hapewi huduma yoyote ht hospotl atoi pesa ili mtt apelekwe afanye nn yy Ali na uyo mwanamke wk Nayy akee kidogo so kumwachia mwenzie yy anakula raha maana uyo mtt ni mgonjwa inamaana hp mama afanyi kz yoyote zidi ya kumwangalia mtt ss yy huduma anatowa wp alafu uyo mtt alibemendwa uyo ndo maana wamempa ulemavu
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 3 жыл бұрын
@@nishaabdula5015 hakuna mama anaejitambua anaetupa mwanae Tena mlemavu sababu haletewi huduma akili mbovu hiyo ,mawazo hayo ndo mnaua watoto wachanga sababu baba zao walikataa mimba , unauhakika na moyo wa huyo mwanamke ulombwagia huyo mtoto ?akimmalizia ? Utamshitakia Nani ? Huyo mke hapo hata mke hata alikua hamjui mtt na mama ake Ni dalili tosha hakukua na jitihada zozote za mama wa mtt kudai haki za mtt Kama alikua anakosa ,Kuna ustawi ,polisi hata taasisi mbalimbali za kusaidia watoto haswa hao walemavu mama aliwahi kumshitaki huyo baba ?amefanya jitihada gn kutafuta haki za mwanae zaidi ya kumtupa hapo huko Ni kumtupa maana huyo baba yy alei mwana anamuachia mkewe Tena ambae ulimtukana
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 3 жыл бұрын
@@ilhamswaleh3428 ss hy unayo ongea unajuwa je km uko kote walisha fika ila mwanaume a kusikia kaa kimya ww ujui kbs tabu ya kulea mtt pekeako
@kautharsalat6449
@kautharsalat6449 3 жыл бұрын
Kwani nin wasipeleke hospital kwanza
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 3 жыл бұрын
Yaan sina hata haja ya kuendelea mbele nimesikiliza kwa ufupi2,kama mwanaume kamuacha na akaenda owa mwanamke mwingine hajakosea kumpeleka kwa baba ake, hata ningekuwa mm ningempeleka hukohuko
@ashurakichokera1636
@ashurakichokera1636 3 жыл бұрын
Sawa lakn bora mtoto angekuwa mzima lkn mtoto mgonjwa kama huyu anatakiwa uangalizi zaidi na mwenye uwezo wa kumuangalia mtoto ni mama,,,,, Nina mama angu mdogo aliolewa mkwe mwingine na yy alikuwa na mtoto kama huyu lkn akuwahi Hata siku moja kwenda kumtelekeza kwa baba ake maana dunia ya Sasa ni mtihani na kama alivyosema da gea Inaweza kupita Shani ya mungu lkn akaonekana huyu mwanamke ndio muuaji,,, subhanaullah mimi ningemuomba huyo mama mtoto aende akamchukue mwanae na awapelekane ostawi wa jamii na huyo mume wake ili apewe huduma kwa wakati kuliko alichofanya kitamghalimu
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 3 жыл бұрын
Ila inaonyesha wazi ww bi dada huyo mtoto umemchoka kwa mujibu wa mazungumzo yako unajikaza tu lakn tukumbuke ukipenda boga upende na uwa🌹 lake
@erastonicholas5589
@erastonicholas5589 3 жыл бұрын
Uyo shangazi ndugu wa mume analia kwakua anajua kazi ya kumlea huyo mtoto itamwangukia yeye ugali anao kula hapo ni shea ya uyo mtoto ampishe chumbani kwake akaolewe mrithi kaingia gafla
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 жыл бұрын
Kbs mtoto yupo kw baba ake tatizo liko wap wamwache akae
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
wanaume wakiacha wake zao huwa hawatunzi watoto ukiachwa anaacha na watoto unadhani mama yy hachoki kulea peke yake
@shamimnassor6192
@shamimnassor6192 3 жыл бұрын
Sasa Kuna haja gani ya kumtafuta mama wa mtoto na police na hapo Yuko kwa babake ivi angekuwa mzima mungemtafutia polisi? Wanaume munastahili kufanyiwa hvyo
@annalupa5680
@annalupa5680 3 жыл бұрын
Huyo mtoto sio mzma ni mgonjwa mama yake yupo hai kwanini akae na mama wa kambo? Na yipo kwenye hiyo hali hapana ana haki ya kumpeleka polis pia kumbuka mara nyingi kina baba ni watu wa mizunguko lazima awe chini ya uangalizi maaluma hasa mama mzazi labda asingekua hai,,ila yupo hai hapana kwakweli
@caslidajosephat8912
@caslidajosephat8912 3 жыл бұрын
Kabisaaaa
@mariamfrankie8326
@mariamfrankie8326 3 жыл бұрын
Wanauzi sana wanaume
@shamimnassor6192
@shamimnassor6192 3 жыл бұрын
@@annalupa5680 hata km ningekuwa mm ndio mama wa huyo mtoto ningekaza roho nikaenda kumtupia babake ss kama pesa hatoi unadhani hyo mama anafanyaje kazi kukidhi haja za hyo mtoto kwanin dhiki apitie mama huyo baba si mwanae huyo
@yusramkamiamaji7565
@yusramkamiamaji7565 3 жыл бұрын
@@annalupa5680 haswaa huyo mtt kwakuwa n mgonjwa na kwakuwa mama yake yupo hai anatakiwa akae na mama yake
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Lea unalalamika nini simnaonaga mtu akikaa kwenye ndoa mnaingilia kati lea uyo mtt wa mumeo utaweza tu
@mwanaishamkazi7870
@mwanaishamkazi7870 3 жыл бұрын
Sio wote hua wameingilia unaweza kutana na mtu alioa miaka 5ilopta we umekutanana nae hujui chochote
@selinakatega6691
@selinakatega6691 3 жыл бұрын
Kabisa alee tu huyo ni baba ake bwana asituchoshe.na usikute na hiyo nyumba waliijenga wao wew umeingia tu.lea mama
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
@@mwanaishamkazi7870 jifikilie uwo mji mpya alipajuwaje wanaume wengi sasaivi utelekeza watt wao mie apa mmoja nimeachiwa watt watatu na nilijenga nae nilimkuta ata kodi inamshinda badae mambo safi mie tena sio mwanamke mara zake wanakuja adi nyumbani ugonvi nikaona bora niondoke sasaivi Alhamdulillah namaisha kuliko yeye nawatt kanisusia sasa wanawake wanje ni mafisadi
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
@@selinakatega6691 wara uwongopi alipajuwaje na mji mpya
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
Mtoto yuko kwao shida iko wapi mtoto wa mumeo huyo lea
@Haikaa255
@Haikaa255 3 жыл бұрын
Kwan kaolewa ili aje alee mtoto wa mwanamke mwenzie,afu mgonjwa aweee
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
@@Haikaa255 Ako kwao huyo babake amtibu
@estherwilliam4675
@estherwilliam4675 3 жыл бұрын
Swala siyo kumlea,,angekuja kistaraabu kwasababu yeye mama ndo anajua jinsi gani anamuendo mtoto wake siyo mnaongea tu.
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 3 жыл бұрын
Pambana ukipendà boga penda na UA lake,siumesema unahuruma imekuwaje tena kumtafuta mama mtu?🎠
@nassreeomankwelikkkunamamb9670
@nassreeomankwelikkkunamamb9670 3 жыл бұрын
Mungu amfanyie wepesi uyu mtt jamanii 😭😭😭😭
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 11 ай бұрын
Dada uckubali kwenye starehe xa hao mbwa wackusumbue.
@gloryidelya9899
@gloryidelya9899 3 жыл бұрын
Damu ya YESU imponyee
@sumimarco933
@sumimarco933 3 жыл бұрын
Amina
@luluwillium1364
@luluwillium1364 3 жыл бұрын
Amen
@abuuissa1819
@abuuissa1819 3 жыл бұрын
Mtoto yupo kwa baba ake mleeni tu..mana wanaume wanakimbia watoto wakishakua na hali hiyo..huyo Dada wala hajakosea kumleta baba nae aone ugumu wake
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 3 жыл бұрын
Huyo mwanamke anawivu tu anamtaka bwana pia wakati mwengine wanaume baadh yenu mukishaa pata mwanamke mwengine munasahau majukumu yenu kwa kweli munakera
@hamidakondo4579
@hamidakondo4579 3 жыл бұрын
Humpendi mumeo ungenyamaza ukaomba mungu ukamlea malpo yako kwa mungu Sasa imani huna
@bimgenabdulrasool5987
@bimgenabdulrasool5987 3 жыл бұрын
Hapana ukumpa lawama huyu dada unakose ni muungwana anamuhudumia mama alie mtupa ndiyo mjinga uchungu alipata yy huyo malaika hana makosa angemsubiri baba yk amueleze
@fatumamkini1652
@fatumamkini1652 3 жыл бұрын
Ungekua wew ungeweza au kutaka kuonekana mwema
@mwanaishamkazi7870
@mwanaishamkazi7870 3 жыл бұрын
@@fatumamkini1652 🤣🤣🤣🤣wema wa mitandao
@pendowerema9773
@pendowerema9773 3 жыл бұрын
Ungekuwa wewe kuweza au kumlaumu mdada wawatu
@praisesteven7774
@praisesteven7774 3 жыл бұрын
alafu na wew unasema tuu ungekua wew ungemlea au uansema tuuu mxewwwwwwww
@halimahassan3225
@halimahassan3225 3 жыл бұрын
uyo dada msimlaumu usikute uyo mume amjali mtto ndomna kaamua kuleta hayo madawa sijuh Mann aya saidi chochote ulaze porin ikiwa mtto wako ungempelka wapi Lea huko acha ujinga Lea huko ungekuwa mwema ungemsihi amuudumie sio kujiongeresha Lea huko..
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 3 жыл бұрын
Jamn yeye kwan ndo anashikia mwanaume pochi wachen mambo ya shomboo malez ya mtoto s baba pekeee na mama piaa uyo dada hjfanya kosaaaa
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 3 жыл бұрын
M nasema uyo dada ni mnafiki mtoto aende wap na ndo kwa baba ake kama mama ake mzazi angekua amefariki wangempeleka wap atoe umbea uko
@shamimnassor6192
@shamimnassor6192 3 жыл бұрын
@@thresherjordan6829 hakuna shida mtoto alipelekewa kwa babake hata km mm ningempeleka manake wanaume wana tabia mbaya sana na wabinafsi tu kujali furaha zao na kumsukumia mwanamke majukumu
@zuchuwcb8655
@zuchuwcb8655 3 жыл бұрын
@@shamimnassor6192 dada ata km mwanaume ana makosa mm cwez kumtelekeza mwanangu ivo Jaman ningekufa nae 😢😭😭😭
@jackiefredrick586
@jackiefredrick586 3 жыл бұрын
Ila tu huyo mtoto akiteseka msirudi kusema huyu dada ana roho mbaya
@remiomar7154
@remiomar7154 3 жыл бұрын
Hapo mm sijaona kosa maadamu mtoto yuko Kwa babake n ndio mama haja mtekeleza ulitaka mume n mwanawe mlee pia Baba aone hali y mwanawe maana chanzo ni kukataa kutoa huduma mm naomba mungu asipatkane mamaake ili babaaone hali y mwanawe lea mama ndoa ikikushinda pisha wenzio
@aishaathman7340
@aishaathman7340 3 жыл бұрын
Huyu mtoto mwasema haoni wala hasemi lakini siku ya kiama ataongea kwa yote anayotendewa na wazazi wake.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Nikweri kabisa
@shabaniguma8696
@shabaniguma8696 3 жыл бұрын
SubhanaAllah hakika
@maryamtan682
@maryamtan682 3 жыл бұрын
Yy anatoka maelezo anayoyaona.
@sidikatoi1334
@sidikatoi1334 2 жыл бұрын
Dada zangu...tujikaze tunapoachwa tusiache watoto wetu...kile utapata wewe kula nao...mungu anakuona atakufunglia tu siku moja...Mimi niliachwa na watoto 2 nafulia watu nguo mungu kabikumbuka Sasa ivi tunaishi vizuri kuliki mwanzo........ mungu haachi mjawake
@hudhamaltaie3215
@hudhamaltaie3215 3 жыл бұрын
Subhanallah apelekwe hospital apatiwe drips
@biashamohammed6252
@biashamohammed6252 3 жыл бұрын
Subuhanallah 😭😭😭mungu amuondolee maradhi mtoto inshaallah 🤲🤲
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin yaraby
@udaku..travel8506
@udaku..travel8506 3 жыл бұрын
Mpelekeni kwenye tiba
@udaku..travel8506
@udaku..travel8506 3 жыл бұрын
Jamaani jamani hatujafa hatujaumbika bado
@aminakhamishamad8286
@aminakhamishamad8286 3 жыл бұрын
Dah hyo mama ana roho ngum jmn mana hta sis tumeachiwa wtto na tunalea allah ampe moyo wa huruma aje amchukue mwanae
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 3 жыл бұрын
Kwahiyo tuseme mama wa mtoto angekua amefariki kwahiyo huwezi mlea uyo mtoto ungeita waandishi wa habari watafute ndugu acha unafiki shida ni hiyo hali ndo maana mtoto unamkataa akiondoka hapo huduma atapata wapi ndo kwa baba ake aende wap
@esthermadauda3012
@esthermadauda3012 3 жыл бұрын
Sasa hajafa
@minakhamiskhamisi6193
@minakhamiskhamisi6193 3 жыл бұрын
Wew unaongea tuu huyo mtt hapo akifa hapo wataaz kusem mama wakambo kamuuwa Mar nin kwaiyo mwezie kafikiria y kesho n kwaiyo ach kuongea ujg mbil kufkiria. Kwaz huyo mtt anaumwa kwaiyo lazm awe n hofu Alf mtt bado mdg sio kil mtu n mbay ten kafny vzr
@aminaally863
@aminaally863 3 жыл бұрын
Ni alee mtoto wa mume wake hainjalishi ni mzima ama anaumwa ushaenda police tayar
@minakhamiskhamisi6193
@minakhamiskhamisi6193 3 жыл бұрын
@@aminaally863 weee km unawez siuend ukalee km unaon n rahis waty sijui mkoje yule anaumw lich y hv lazm wqpqmbn yey n mam yake mzazi ili wajue jis y kuhagaik n mtt apone Alf km anamuachia ndio amuachie
@minakhamiskhamisi6193
@minakhamiskhamisi6193 3 жыл бұрын
@@aminaally863 sio uniache mtt anaumw hajiwez kwa llte unibwagie hp kis nn mtt watu mim nikose usgz nisifny shuhuli zg kisa nn. Ndio alikuwa Ana mzalia yey weee ongea kwa vil hujakufik huo mtihn mim uliwah kunitokea km huohuo subr azidiwe tuuu utasikia moto wake hkn wakukuelewa weee hujui Bora ukae kimy
@MnyamaniTatu
@MnyamaniTatu Ай бұрын
Mwenyemakosa mwanaume
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
Mama Wa Huyu Mtoto Ndio Akili Mbovu,Kwa Kukosa Huduma Ndio Ukatupe Mtoto Kwa Babake.Halafu Mtoto Mgonjwa imani Na Huruma Hakuna.Huonei Huruma Mwanao,Hasira Za Wewe Na Huyu Baba Mtoto Wako Usukumie Mtoto.Huyu Dada Ana Roho Nzuri Aliye Letewa Mtoto.Poleni.
@debolove5391
@debolove5391 3 жыл бұрын
Uyu dada ndo alosababisha mwenzie kuachwa anajua ukwwli
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
wanaume ni nyoooookoooo wanaume kma mnyama mwanaume c mtu wa kumuinea huruma kamleta kwa baba yake huyo huenda alivyoachwa kapewa talaka na mtoto akapewa talaka amlee na yy aone uchungu wa kulea mtoto bila mama
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
@@heyumi2340 kabisa
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
@@jamilasalimvilog6752 hawa wanaume hapana
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
@@debolove5391 Sikatai Mimi ila Unatesaje Mtoto Kisa Mume.Mtoto Hana Hatia.
@fatmamohammed3665
@fatmamohammed3665 3 жыл бұрын
Mungu atampa shifaa kwa uwezo wk
@mariej6962
@mariej6962 2 жыл бұрын
Mama kamchoka mtoto. Ila ni mtihani sana maana ni kiumbe umemzaa mwenyewe, hakuna mtu ataweza kumpenda kuliko wewe. Halafu mtoto anaonekana anajitambua na anaumia sana kufanyiwa hayo
@dottokulwa9145
@dottokulwa9145 3 жыл бұрын
Huyo shetani wakike asiye huruma kumwachia mtoto tena mgonjwa kwa mama wa kambo dada yangu nakushauli pigania ustawi wa jamii wachukue mtoto mana leo huyo mtoto mzima ya mungu mengi usije pata ubaya ila hongera
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 3 жыл бұрын
Ulee mtoto huyo dada si umependa mume penda na uzao wake huuuooo pambana....ukipenda boga na ua peeendaaa na nyuukii wakiwepoo ndaanii ya ua hiilo
@aishawaziri2701
@aishawaziri2701 3 жыл бұрын
Tatizo sio kupatikana huyo mama, shida no mtoto kupatiwa matibabu
@ashaally6993
@ashaally6993 3 жыл бұрын
Eee m.mungu tunakuomba umponye huyu mtoto kwa utukufu wako hakuna ushindwalo ya Allah🙏😢
@ZaharaQatar
@ZaharaQatar 8 ай бұрын
Leatuu munakuaga vihere here kuona mtu anafaidi babaake siyupo na angekuwa mwanao usingeweza?
@misschagga8042
@misschagga8042 3 жыл бұрын
Mtoto yupo kwa baba yake shida ipo wapi mnamtafuta mama yake wa nini kwa mtoto lazima alelewe na mama tuu?sio kesi hapo tumezaa wote tulee wote sio lazima mtoto akae tuu kwa mama hata baba anatakiwa kukaa na mtoto
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 3 жыл бұрын
Kha mnasema tu wewe mtoto anaumwa huyooo yan mama mpumbav huwez kuacha mwanao tena mgonjwaaaa
@louisechomba3135
@louisechomba3135 3 жыл бұрын
Kabisa haswaaaa
@tatuluanda6581
@tatuluanda6581 3 жыл бұрын
Subhanalaah eeh mungu sijui tunaelekea wapi binadam
@zainabohus4903
@zainabohus4903 3 жыл бұрын
Pole sana dada mtihani wallah
@RoseRose-qj5pw
@RoseRose-qj5pw 3 жыл бұрын
Mi naona huyu mtoto akifanyiwa matibabu na lishe nzuri atapona
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 жыл бұрын
Kbs love
@khalossalim3723
@khalossalim3723 3 жыл бұрын
Utakuta yote kasababisha mwanaume hatoi matumizi kwa mtt, Lkn hata kama jamani mtt ana makosa gani ukamtelekeze huyo mtt mwenyewe mgonjwa halafu mdogo bado 😢
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 3 жыл бұрын
Hata hivyo mwanaume ndio chanzo
@wardahsalum9073
@wardahsalum9073 3 жыл бұрын
Shangazi anasema wakimpigia cm baba mtu kumuambia khs hali ya mtoto kubadilika baba anajibu tangu mwanzo yupo hvyo sasa kwa nn hakuwa karibu na mzazi mwenzie
@khadijashabaninimba7890
@khadijashabaninimba7890 3 жыл бұрын
Subhan'Allah 😭😭😢😢😢😢
@happysonga3819
@happysonga3819 3 жыл бұрын
😢😢😢
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 3 жыл бұрын
Apo mwanamme alikimbia majukumu ndio maana...izo hasira za mzee tu hakukusudia kumtupa mwanawe huyo ndio maana kampeleka kwa babaake.huko aliko roho inamuuma.. lkn kataka na huyo baba aonje machungu maana kamtupia bila mashughulikio.mama anapitia kipindi kigumu serekali iingilie kati kuhakikisha matumizi ya mtt baba awe anatoa.poleni ntihani sana.
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 3 жыл бұрын
Yarabi muhurumie mja wako uyu.mtoto malaika mfanyie wepesi katika maisha yake.
@khalossalim3723
@khalossalim3723 3 жыл бұрын
Mtt anaonyesha ana njaa tumbo pia limeingia ndani 😭😭😭
@saudaally4109
@saudaally4109 3 жыл бұрын
Allah atamuhafu inshaallah
@minasanga6763
@minasanga6763 3 жыл бұрын
Baba alee uyo mtoto wanaume mambwa sana
@supermaya6545
@supermaya6545 3 жыл бұрын
mama wa kambo ukipenda boga penda na ua lake..lea mtoto huyo
@vivianvivian8585
@vivianvivian8585 3 жыл бұрын
Embu wampeleke hospital kwanza jaman pengine labda ana homa 😭
@shabaniguma8696
@shabaniguma8696 3 жыл бұрын
Kabisa
@francinenahimana7289
@francinenahimana7289 3 жыл бұрын
mbone kama ananja nyingi ao kukakamana ni kwajili yanja?
@wingracealfred1978
@wingracealfred1978 3 жыл бұрын
Ila wamama sometimes tuwe na huruma, hv chakula kinamshuka mtoto yupo kwa mwanamke mwingine??hasira gani vichaa wanalea watoto wao yeye anaaakili timamu anatelekeza mtoto...
@wemamgala4869
@wemamgala4869 2 жыл бұрын
Wanaume wanasababisha bhn
@wemamgala4869
@wemamgala4869 2 жыл бұрын
Wanaume wanasababisha bhn
@maggiekalenga7742
@maggiekalenga7742 3 жыл бұрын
mtt yupo kwa baba ake hpo kamuona mlemavu angekua mzima angemkubali amtese vzr,,,,ila uyo mama nae jmni
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 жыл бұрын
Kbs love yuko kw baba ake ampleke hospitl wakion n kz wamwajir mfanyakzi wamlipe kila mwenzi but mtoto yupo kw baba ake n damu yake
@mariamfrankie8326
@mariamfrankie8326 3 жыл бұрын
Huyo baba apeleke mtoto hospital tuu mwenzie kateseka na mtoto eye yuko bize na ndoa mpya siku tano tuu ushachoka ufanye tuu umemkubar mume kubari na matuta
@isamony58
@isamony58 3 жыл бұрын
jamani inaumaa sana uyoo bb itakuwa hanahudumaa yyte
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 3 жыл бұрын
Kweli uyo dada asingetumia njia iyo ya kumuacha mototo,lakini kumpeleka mototo kwa baba ake kama yéyé hawezi kumlea hajakosea ni haki yake ,wababa wengi washazoeya kwamba mtoto analelewa na mama na hiyo tabia imepelekea wababa wasahau majukumu Yao katika familia wao wanazani unaowa unazalisha wanatupa unatafuta mwengine unazalisha unatupa ,hapana na ingekuwa vizuri uyo baba yéyé mwenyewe amlee mwanae,au atafute mtu amlipe amlelee mwanae kama dini inavyosema, dini sion kubadilisha wanawake tu hapana na mambo mengine dini wayafate,
@aminaally863
@aminaally863 3 жыл бұрын
Huyu mwanaume hahudumii huyu mtoto wanaume wanajisahau sana
@norahgingi5148
@norahgingi5148 3 жыл бұрын
Pole mwanamke mwenzetu uyo mama yake ashtakiwe kumtelekeza mtoto
@didahnidhar8009
@didahnidhar8009 3 жыл бұрын
Mpelekeni mtt hospital jamn😭
@shabaniguma8696
@shabaniguma8696 3 жыл бұрын
Kweli nashaanga hata da geah haja shauri
@mwanaidjuma3071
@mwanaidjuma3071 3 жыл бұрын
Dah jaman Ata Kma apew huduma asinge mtelekeza mtt wake hivyo loh uyo mama Ana Ata uchungu jaman nimejiskia vibaya😪arud afate mwanae asishindane na mwanaume mbona wengi tu tuna lea watt pekeetu
@enterenter1921
@enterenter1921 3 жыл бұрын
Naomb number yako Geah jmn namdg wangu alipotelewa namtot aliibiwa tangu mwaka Jan naomb saan
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 3 жыл бұрын
Mm ninachokiona uyu baba atunzi mtoto ndomaana mama kachoka,,ss unakta mama anais ww ndounamzuia kpereka matumizi kumbe cio,,da Gea mshaur uyu mama ampereke hosptr wenda anaumwa wacimrazimishe uji wampereke hosptr uyo baba hafai anashindwa kumpereka mtoto wake hospitr pumbavu baba hovyo
@merinajuma6948
@merinajuma6948 3 жыл бұрын
Simlaum sna hyo mama Alie acha mtoto. kulea mtoto mlemavu nichngamoto sna ikiwa baba uenda hjli Kam ivyo anaishi na mwanamke mwngne lkini kunanjia nyingi zakupta msaada. Lkini alivyo fnya kumtlekeza mtoto kakosea sna. jmn nimeumia Kam mama ludi t mtoto htakam mlemavu anahki yakuishi..
@Kidotii
@Kidotii 3 жыл бұрын
Ila Amina hajamtupa mwanae kamleta kwa baba ake ,ila Amina rudi uongee na mzazi mwenzio mchukue mwanao ujue jinsi ya kumlea kiumbe cha Mungu
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 3 жыл бұрын
Mmakonde mwenzangu mlee tu mtoto wa mumeo
@khadijarajab8383
@khadijarajab8383 3 жыл бұрын
Sishangai kwa hili mana wamakonde wanaongoza kwa kutelekeza watoto huduma hakuna ..mimi mwenyewe baba yangu alinitelekeza.
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 3 жыл бұрын
Aje amchukie mtoto wake kwani hapo sio kwa baba yake ukiona hivyo mmeo haudumii ndo mkome afu unasema hajala tangu Jana eti ujakaa nae kwaiyo anakaa na Nani ukipenda boga penda na ua lake eti angekuwa mzima na je angekuwa wako usingekaa nae acha roho mbaya umenikera kwendraaaaaa
@erastonicholas5589
@erastonicholas5589 3 жыл бұрын
Huyu mwanamke mpaka ampeleke mtoto shida zimemzidi sasa waamue moja aondoke amuache huyo mume mama wa mtoto aje kumlea mtoto kwa baba yake nyie mnaonaje?
@newgmail8883
@newgmail8883 3 жыл бұрын
Wewe ulimuuliza baba kama anamtunza mwanae hapo ni kwao muchukue na kaa nae mme wako akija mwache aleee na yeye
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
@@erastonicholas5589 ndio
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 3 жыл бұрын
Mwanamke anasema mumewe ndugu wa uyo mama mtoto anawajua Sasa shobo za kutangaza mitandaoni zimetoka wapi Kama sio ataki TU kukaa na uyo mtoto uyo mtoto siku 5 umeita waandishi uyo Dada ameangaika mda gani na mtoto toka pepo tokaaaaaassssss
@jackiefredrick586
@jackiefredrick586 3 жыл бұрын
Wewe ungeweza kukaa nae
@edwardjoseph7945
@edwardjoseph7945 3 жыл бұрын
Pole Dada angu
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
Laahaula walakwata. Mwanamke hana uchungu na mwanae mhh. Rudi dada uchukue mwanao. Chango lako hilo jamani mhh.
@juliejulie8704
@juliejulie8704 3 жыл бұрын
Yaani huyo mtoto anatakiwa alelewe na wazazi wote wawili lakini mmoja hawezi mana mwamamke hakuna atakapo enda kuolewa na mtoto huyo inabidi ajitoley kumlea na babaake hakuna mwanamke atakubal kuishi nae na huyo mtoto Mungu amsaidie huyo mtoto
@fathiyaselemani6175
@fathiyaselemani6175 3 жыл бұрын
bas mpelekeni hosptali jamani akapimwe aaziwe matibabu madamu yupo kwa babake
@imranmahmoud1012
@imranmahmoud1012 3 жыл бұрын
Da Gea huyo mtoto anzishiwe uji wa nifo miracle uji wa dada frola nitetee anaunga mzuri wa uji na chai ya miracle chai naamini atachangamka huyo
@neematemu5460
@neematemu5460 3 жыл бұрын
Huyo mama mzazi na baba mazari wa mtoto awamfatilii huyo mtoto mtoto angepekwa ccbrt angekuwa sawa angeweza kutembea na wangempeleka na hospital jaman wajue anatatizo game mbona Hali na hio homa
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 жыл бұрын
Sasa apo umjulii nn anakula nn umpikie jmn imeniuma kwa kweli😭😭😭
@shamimnassor6192
@shamimnassor6192 3 жыл бұрын
Lea dada ukipenda boga penda na uwa lake kwa iyo ww simwanamke tu kama huyo mamake mzazi
@isamony58
@isamony58 3 жыл бұрын
uyoo mm wakambo anaongeya kinyodo ngoja yakukutee
@khayratmhina3735
@khayratmhina3735 3 жыл бұрын
Dada anaongea vizuri2 anabusara mashaaaallah
@caslidajosephat8912
@caslidajosephat8912 3 жыл бұрын
Geah beba huyo mtoto peleka hosipital na baba wa mtoto yupi apeleke hosipital mwambie huyo mwanaume aache Upumbavu abebe mwanae apeleke hosipital.
@praisesteven7774
@praisesteven7774 3 жыл бұрын
ila uyo dada itakua ana mattzo ya akil sasa anambwagia uyo mtto iweje kuzaaa si alizaaa yye jmn
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 3 жыл бұрын
Subuhanallah yaaani kama mimi nisinge mtelekeza ninge kaanaeye tuuu uyo mue malipo duniyani iko siku ingemkuta tuu
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 3 жыл бұрын
Mtoto anaonekana hana maji mwilini
@caslidajosephat8912
@caslidajosephat8912 3 жыл бұрын
Wanaume ni shida huenda hahudumii mtoto, mama kweli anahaki ya kuchoka kazi ya kulea peke yako ngumu mno.
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Mungu akuzidishie we bint ila baba ndio shetani
@hadijaomary2000
@hadijaomary2000 3 жыл бұрын
Ndio huyo mwanaume Ndio tatizo wakiona mwanamke kazaa mtoto mgonjwa wanaona Ni nuksi ya mwanamke wanamkimbia Hilo ndio tatizo
@hassanibrahim1871
@hassanibrahim1871 3 жыл бұрын
Inshaallah kwa uwezo wa Allah atapona kikubwa imani 🙏😭😭
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 3 жыл бұрын
@@hadijaomary2000 naam ni kweli kabisaa..hata huyu dada ajiandae akifikwa na tatizo yy ama akizaa mtt mlemavu ajue mzee atamwacha tu uyo mumewe si mtu mzuri kamtupa huyo ntt kamwachia mwenziwe ulezi yy anakula bata .na amlee km rahisi
@nasrahkhamis747
@nasrahkhamis747 3 жыл бұрын
Mpelekeni muhimbili matatizo haywanatibu ya viungo atakazana kidogokidogo
@hadijaomary2000
@hadijaomary2000 3 жыл бұрын
@@nasrahkhamis747 CCBRT pia
@fatmamohammed3665
@fatmamohammed3665 3 жыл бұрын
Apelekwe na hospital da geah
@jeniphermassawe6738
@jeniphermassawe6738 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie jaman Mimi nilichokiona huyo mama aliekimbia kunamapito amepitia nahii hali ya maisha kaona hamtupie baba yake au kunashida kubwa imejificha kubwa ushauri kama Bibi mtu yupo apelekewe
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 3 жыл бұрын
Pole sana dada huo niulezi mkubwa saaan ila hongera kwa kuchukua hatua hii maana
@ZaharadaffaZaharadaff
@ZaharadaffaZaharadaff 3 жыл бұрын
Sasa dada mtoto apo ni kwao yaani kwa babake cha msingi mpelekeni hosptal we pamoja na mumeo msaidiane kwa shida na raha jamani huku mkimtafuta mamake ila muongee nae vzr na mumeo awe anatoa huduma
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Msiongee tuu kumlaumu mama angalieni na mazingira ya mtoto
@chainbre275
@chainbre275 3 жыл бұрын
Baba mtoto ana héla kwanini asimpleke hospital a kapata matibabu maana Nina amni mama mtoto ka vumilia hadi ka shindwa maana ukiwa n'a mtoto Hali hiyo huwezi fanya Kazi yoyote
@hadijaomary2000
@hadijaomary2000 3 жыл бұрын
Yanii hapooo sio matunzo tu au pesa kulea mtoto Kama huyo inahitaji faraja ya wote wawili mlioshiriki kumtafuta kitandani ndio mshiriki kumlea inasikitisha sanaaa mwanaume Ndio tatizo
@rizzymbaruku1501
@rizzymbaruku1501 3 жыл бұрын
huyo baba nae akili hana adimpeleke kwanza mtto hospital alafu ndo amtafute huyo mama ake anamuacha tu
Were Israel’s Actions in the Gaza War Justified? Eylon Levy vs. Mehdi Hasan
1:06:50
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
ANGALIA CHADEMA YAMKALIA KOONI MSOMA MATOKEO YA KULA
3:14
NTANTA EMPIRE ONLINE MEDIA
Рет қаралды 102 М.