Mzazi mwenzangu hakunisaidia chochote lakini nilipambana na mwanangu ad saiv kakua ananisaidia namshukuru mungu simwachi mwanangu nyuma
@aishajafa41393 жыл бұрын
big up hongera
@ablahasa12333 жыл бұрын
Tupo wengi mama we acha tu Mimi mpaka nimezoea ss
@elizabethmwandu69373 жыл бұрын
Hongera sana Vero kwa kumlea mwanao mwenyewe huyo ndiye atakuja kukusaidia...
@veronicasamwel39373 жыл бұрын
@@elizabethmwandu6937 Asante my sister
@hildadaniel48923 жыл бұрын
Safi sana my mtoto wako unamwachajee leba pale unaenda mwenyew afu mmh cjui niseme nn
@OmanOman-sm6dv3 жыл бұрын
Wanaume wapole ndo wanapata wanawake wakorofi na wanawake mpole wanapata wanaume mkorofi mtihani kwa kweli
@mabyserolouchcraig24313 жыл бұрын
Hata sijui kwa nini
@neemamayco32383 жыл бұрын
Acha akomeshwe tu wanaume hawanaga maan hat
@ayushjhay19793 жыл бұрын
Umeona
@madamloveness72743 жыл бұрын
Wanawake tutafute pesa zetu wenyewe zitakazotusaidia sisi na watoto wetu ,wanaume ndivyo walivyo
@abbynimel-kindy51073 жыл бұрын
Wew akili zako kama uyo dada alomtekeleza mtt.. wanawake wa siku hizii nyote tamaaa.
@ashabakar59743 жыл бұрын
Ht km ndio,akamtelekeze bado mchanga???hugo akapimwe akili
@husnaiyasulesh46873 жыл бұрын
Abby walahuy dada hajakosea kusem ivyo usitut uyo dada kaon mwanaum hampi hudum ndiy maan kafanyaivyo lakin angekuw nakaz yake inamuingizia kipat kilasiku pesa anapat asingefany ivyo kaon hela hapat nayey pesa han kaamua kufany ivyo kwel wanawak tutafut pesa tusitegemee kuzaa tukajiwekek tuu kutegemea mwanaum akup hudum ya mtot naukiangalia hujaolewa afadhal kidog hat ungeolewa sawa unajip moy ndug zake lakin hujaolew ndug zak nao chok mbay hawatak kukusaidia kaz ndiy hiyo kwel wanawak tutafut pesa tusitegemee kuzaa mwanaum akuhudumie
@tinajoshua38493 жыл бұрын
Jukumu la kumlea mtoto ni la wazazi wawili
@sikudhanimoshi69672 жыл бұрын
Kwakweli wanawake wezangu tulee watoto wetu moyo mmoja mm nina watoto wawili nalea peke yangu na mabint zangu wamekuwa mashaallah mwenyezi akufanyie wepesi ayo baba yao ana ata abari
@omantimes96993 жыл бұрын
Bora niteseke namwanangu jmn Uchungu unauma wacha kule leba jmn hapaadisiki Leo nikamtupie mtoto mwanaume hapana itakuwa uyo Kazaa namdomo... Wallah leba Shikamoo
@@omantimes9699 marhaba my habari zako leba oman sehemu gani my mm mahela muscat
@matridalule64773 жыл бұрын
Mtupe nasisi location huko Oman jmn
@zohoraramadan45403 жыл бұрын
@@matridalule6477 usihofu tote ya mungu uko wapi tz
@coolwaveac76593 жыл бұрын
Hivi nimutupe mwanangu kisa matumizi 🙄 Bora yake anapewa elif tatu Mimi hata sh 100 sijawahi kupewa hila namshukuru MUNGU Mimi na mwanangu maisha yanaendelea
@fridamshana92653 жыл бұрын
Jinga huyu mama atakuwa mdangaji tu
@coolwaveac76593 жыл бұрын
@@fridamshana9265 kabisa 😓😓
@maryammohd59943 жыл бұрын
Ni kwel ila inauma.. Jmn kulea mtt peke yko mim pia nalea kwa msaada was waxaz
@coolwaveac76593 жыл бұрын
@@maryammohd5994 Bora yako wewe Mimi napambana mwenyew hakuna aneye Nipa hata kipande cha sabuni ya 200
@embeothman36313 жыл бұрын
Sipati picha mtoto akikua afu aje aone hii video.. Au asimuliwe! Ataumia sana ila mama ni mama atamsamehe tu.
@fatumamroki27163 жыл бұрын
Hhhh bora asimuliwe anaweza asiamini kuliko aiyone mbona mama ataomba toba
@@raziqashban345 Wasichana wengi wanazalishwa , kijana akitaka kuoa anaenda kutafuta msicha mwingine mbichiiii , ambae hajazaa .
@cercontina1753 жыл бұрын
Kwakweli👐
@latifamkulazi83783 жыл бұрын
Ndotukome kukubali kuzalishwa bila ndoa😏
@chayogasperi97833 жыл бұрын
@@latifamkulazi8378 Sasa si unajua ndio umepata mwenzio wa kuendesha nae maisha .
@amashbaibe83613 жыл бұрын
Ni bora kuliko kumuua hawa wanaume wana jeuri sana wanazaa hawataki kulea
@hadijanoro11123 жыл бұрын
Kabisa
@ilhamahmed79073 жыл бұрын
Kumbafu zao
@shukranikenneth75393 жыл бұрын
Yaani usipo kuwa na kifua unatupa wanakera sana kenge hawa
@dotnatajoseph26203 жыл бұрын
Ni kweli he angemtupa au angemnyonga
@allymahamudu94923 жыл бұрын
Kwaiyo wew umeona saw si angempereka kituo cha watoto
@aisatahaisatah26123 жыл бұрын
Nilipia ujauzito nikia namyaka 14 nilipambana mwenyewe mpaka leo sijawahi kupea huduma na baba mtoto mbaka leo naendelea kulea mtoto anauma
@sofiaadihussain89683 жыл бұрын
Masha Allah Allah akukuzie
@estarkapinga61263 жыл бұрын
Maskin nilijua pekeangu niliepata mimba ya utton ! Kumbe tupo wengi ata Mimi nalea mwenyewe situpi mtto wangu
@josephinepatrick60263 жыл бұрын
Kuna wanawake wana rohoo ngumu jaman......ila me binafs siwez mwacha mwanangu napambana nae mwanzo mwisho na maisha yataendaa tu💦 Ashukuruu Mungu mwaname anampa ata kidogo jamani maana nae anapamban kuna cku anapat kuna cku anakosa akumbukee kuna kupata na kukosaa 'mwanamee wake anaonekan mstaarab
@swaumuomary27673 жыл бұрын
😥😥😥 huduma ni ndogo kuna wa2 uji tuuu wanasikia kwenye bomba eeeeeeeeeh mungu atujaalie kaz ya mikono ye2
@zenasaidy65263 жыл бұрын
Duuu huyu dada mjinga jaman ybebe mimba uingie reba halafu ufanye vituko kwa mtoto wako kabxa hapana jaman hayupo Sawa uyo dada
@husnaiyasulesh46873 жыл бұрын
Watu wanapat watot wanaringa jaman mim ninavyohaing kulea watot wamajiran zangu nataman leo kesho nipat wangu
@noxlosingida23693 жыл бұрын
@@husnaiyasulesh4687 Mungu atakusaidia utapata my dear
@hidayakasambwa37133 жыл бұрын
@@husnaiyasulesh4687 Allah ni ghafuru Rahimu atakuruzuku utapata mtt mwema.
@s0phialwassa5743 жыл бұрын
Jamani ingawa huyo dada mwenye mtoto Ana makosa kumtelekeza mtoto nje ya mlango upande mwingine ni bora kuliko angemuua huyo mtoto
@daishajumanne59903 жыл бұрын
Sasa hayo mateso ni sawa tu na mauwaji usitake kumtetea maana ni mama mzazi inakuaje hamfanyie ivyo mwanae
@toptanzania54353 жыл бұрын
Me hat mwanaume asinipe hat mia mwanangu siachi kapata tabu yy au mm leba nimeingia mm daaah sifany ujinga huo huy dada chega hatri
SubhanAllah Ataua Mtoto Huyu Mama,Hata Kama Malezi Shida Lakini Anayo Mfanyia Mtoto Haifai.Amueni Huyu Hataki Mtoto Au Akili Si Nzuri.
@adeodathaaloyce18003 жыл бұрын
Mmmh jaman bora yeye anapewa ata hiyo buku 3 wenzie ata mia atupewi jaman daaah hatar🙄 na tuna watt wety japo ni kweli inauma usawa mgumu huu
@ablahasa12333 жыл бұрын
Wengine mia atuhijui natunalea MUNGU atuzidishie
@silyadamian57083 жыл бұрын
Hata hiyo buku mbili siamin Mimi maaana wanaume sio wakweli .
@jasminehamisi46683 жыл бұрын
Buku 3 nyingi mno kwa kz y bodaboda ningecheza mchez bukubuk Mimi mtu analet unga n mhitaj madog uwiii
@mariamsingo99103 жыл бұрын
Wanaume wanakera wanazalisha mabinti alafu hawaudumii, binafsi nilipitia ayo baba wa mwanangu hajawahi kuudumia mimba mpaka mtoto anazaliwa na sasa ana miaka kumi(10) namshukuru Mungu anasoma bila msaada wa baba yake
@mariyamrashid25303 жыл бұрын
nipeni mm nitamlea uyo mtoto mm ninashida ya mtoto
@gracegrace65723 жыл бұрын
Uyo dda n mpumbavu mkubwa mwanaume asusiwi mtoto.wenzako tulikataliwa mimba na mpaka ssa mtoto anamiez6 nawala Sina wazo la kumtelekeza mwanangu ppote Sina.
@zohoraramadan45403 жыл бұрын
Weka saluti my
@fatumaabdallah10643 жыл бұрын
Mpumbavu ww yuko sawa
@dominickelgempandangazi8983 жыл бұрын
Uko sahih grace kwan kulea mtoto ni kazi kazi ipo leba hata mi siwez kusus mtoto
@gracegrace65723 жыл бұрын
@@fatumaabdallah1064 wewe na uyo akili zenu zipo sawa aliyekwambia mtoto anasusiwa mwanaume Nani? Na inaonekana unaingia Reba wewe ingia kwanza Reba ndio uongee uwo upumbavu shoga mtoto asusiwi ningemuona wamaana ivoona huduma haimtoshi auze ata karanga sio kumsusa mtoto na Kama aliona sahihi kwann alienda police shogaa mtoto anauma kuliko chochote duniani jiulize tuu akilia mama anaumiaje sembuse ujui mwanao yupo mazingira gani.mtoto asusiwi msuse Kama ujaingia Reba za zile sentimita10 hukuzitafuta kwashida mpka kuzaa.
@gracegrace65723 жыл бұрын
@@dominickelgempandangazi898 mtoto anauma.
@ilhamahmed79073 жыл бұрын
Hilo ndo funzo kwani mnafikiria nini mkitupea mimba nakutuachanisha😏😏😏😏
Bora fatilia ufanye Adoption mungu atakuzdshia ww na mtt wako
@estarkapinga61263 жыл бұрын
Ukizaa zaa kwa faida yako ! Wanaume walio wengi siyo waleaji
@heyumi23403 жыл бұрын
mie naona kama mty huwezi kuhudumia mtoto wasilale na wanawake wanakera wallah midume kama hiyo imejaa tele mitaan
@dianajoseph66733 жыл бұрын
Mungu amlinde huyo mtt jamani
@beatricemariki75293 жыл бұрын
Jamani we Dada maisha Sahii ni magumu tosheka na unacholetewa na bwana ako kuna wengine hata mia hawapewi......;
@remiomar71543 жыл бұрын
Hizo n hasira z kipumbavu kumtupa mtoto bora ungeenda Kwa mamaake ukamueleza tatizo au ungempeleka ustawi wajami ...hy mwanamke namuona mjinga Sana miezi Tisa umembeba umejifunguwa salama tena ama hakuumwa uchungu jamanii
@faridamussa37693 жыл бұрын
Tena ni mjinga kupitiliza
@mzeeicon9133 жыл бұрын
Sio hasira za kipumbavu ...kwanini wanazini?wangekuwa wamefunga ndoa wakaishi pamoja km mke na mume huyo mtoto iliwapasa walee wote yaani baba na mama.
@mzeeicon9133 жыл бұрын
@@faridamussa3769 woote ni wajinga wapumbavu. malezi ya mtoto ni baba na mama .
@farhatomar74953 жыл бұрын
Subhanallh allahu akbar 😲😲😲😲😢😢😢lahhaula walaquwatta illabillah allah amsaidie hyo mtoto
@memisaphusseni71903 жыл бұрын
Msute wa kitaifa ana ata aibu mtoto wako mwenyewe mbna sisi atupewi uduma na twalea wenyewe
@sharonchristian37113 жыл бұрын
Atakuwa mwanga fala huy
@zohoraramadan45403 жыл бұрын
The 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huduma kitandani
@allymahamudu94923 жыл бұрын
Mimi hata tutibuane vipi na mmewangu mtoto wangu natimka nae nitapambana nikipata nakula nae nikikosa tunalala wote uchungu unavyo huma vile bado nimiterekeze mwanangu allah ninusulu na huu ukatili Amini
@ablahasa12333 жыл бұрын
Ana hakili unashindana na mwanaume unamtesa mtoto Kwanzaa itoshe kusema elfu4 nyingi sana Mimi nimelea wangu baba ake alinizingua akiwa na.miez 7 tulipelekana mpaka serikali za mitaa huduma atoi mama ake akamtetea ana kazi nikamlea mwenyewe sasa yupo darasa la pili miaka 8
@anifamickidard45553 жыл бұрын
Kuna mda huwezi kuzuia hasira wanaume wanaboa jamani ,, mimi kuna kipindi nilitamani niwanyweshe sumu wanangu ,, mungu anisamehe tu ,, lakini Saivi baba watoto wangu anatunza wanae
@kweka14l353 жыл бұрын
Ukishabeba mimba ujue unalea mwenyewe hata kama umeolewa. Watoto ni wa Mama, baba hutumika tuu kama jina ila sio kulea
@juliethhouseofdesigns1473 жыл бұрын
Hapa kuna shida mahali inawezekana, jamaa alimwaidi mbingu bi shost na bishost asijiongeze kuwa iyo mbingu itatoka wapi? Na hasira ya kukosa iyo mbingu anampiga na kumtukana mtoto akidhani anampiga baba yake. jamani, biti lea mwanao uyo kijana atakuja fanikiwa alafu akiambiwa ulivyomfanyia atakuwa amwamini mwanamke yeyote. Kama huwezi lea, mtoto au umepata bwana mpya basi mkabidhi baba yake na bibi
@awadhrajab95273 жыл бұрын
Basi Uyo Dada Nimchawi Aliona Mtoto Nimwenye Imani Ya Mungu
@brendachibura60403 жыл бұрын
Jmn wanawake tusikosee kabisa hii kitu haipo mtoto ni wa mama wanaume mkatae au mkubali huo ndo ukwel kwani wanaume wangapi wamekataa watoto wao? Wangapi hawatunzi watoto wao? Wamama ndo tunawajibika kwaio hii kitu si nzuri tuwatunze watoto wetu hata iweje🙌🙆
@kweka14l353 жыл бұрын
Kweli kabisa, hata walioolewa wanalea familia zao ni wanawake ni vile tuu hawasemi in public kwa sababu ya kulinda heshma ya Ndoa
@thewomanofsteel39703 жыл бұрын
Kwani alibakwa? Kipindi anabeba mimba si walikuwa wanastarehe wote wa2 ,huyu mama mjinga sana mtoto ana kosa gani kumtesa hivo ,,Hii Dunia ione hivi Kuna watu wanaumia tena si kidogo wanatafta mtoto ucku na mchana hawapati.Lakini wengine M/Mungu anakujalia mtoto unamtesa hivo,Mtoto ni baraka jamani .Kama baba mtoto hamtunzi komaa na mtoto wako hiyo ni faraja yako .
@ashamwamba90883 жыл бұрын
Daaaaaa
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Mlee tu mjukuu waako atakuwa tu ss tulitupiwa mtoto wa miezi 6 mpaka sasa yuko form 3 na anaenda kwa mama ake anamuona mtam.
@sharonanyango20573 жыл бұрын
Hongera
@namirihamisi38993 жыл бұрын
@@sharonanyango2057 Asante sana
@jinaanhkareem36503 жыл бұрын
Kati ya watu wapuuzi huyo Dada mpuuz mkubwa Nanyie mnaesema bora alivyompeleka kwa baba yake mmezaa au mnaongea tu Mm nina mtt tokea nimezaa sijawahi pewa hata hiyo elf 2 anayopewa yeye lakini mwanangu mpaka Sasa yupo boarding nimelea mwenyewe yuko form 4 Mwanaume sio mlezi wa mtt 👌we ulieingia Leba ndio ugangamae
@roseuwambe80893 жыл бұрын
Huyu dada hafai kuwa mama awezi kulea mtoto apewe mume duu wengine hawana watoto wengine wanatesa watoto 😭😭😭😭😭😭
@zainabngalula33423 жыл бұрын
Hata ivo ni maisha tu angelikuwa na life nzuri asingelimpeleka
@allymahamudu94923 жыл бұрын
Mwanao ni mwanao tu kama kuteseka ulishateseka kipindi upo leba
@zainabngalula33423 жыл бұрын
@@allymahamudu9492 kwani unafkiri kuwa leba ndio kulea kulea ni kitu kingine bhana ndio maana kuna msemo unasema kuzaa sio kazi kazi kulea ww waongelea leba ya masaa tu unasahau ulezi si miaka nenda rudi wahangaika na mtoto we veep
@hamidaalhabsi85683 жыл бұрын
Mmmm mambo ubebe tumbo miezi tisa halafu utupe vioja🙏🙏
@زينابوو3 жыл бұрын
Mimi nimelea watoto wangu mapacha sijawai letewa uduma kama anayo pewa hyu dada unaletea elfu nne kwa siku ushukur...yni mimi nilikuwa naletea elfu 30 hdi 20 kwa mwenzi lakini wanangu walikuwa na mpaka sasa wanamiaka tisa maisha yanasonga sikuwa na ujinga kama wa hyu dada..hyu dada sio mzima wallah akapomwe tu
@khadijahali48373 жыл бұрын
😥😥sasa anataka ahudumiweje jmn 😣😣 km pesa anapewa hv 2000 au 3000 ndo kwa siku wkt chakula unaletewa, Luna watu mbn nawajua wengi tuu wanaachiwa 3000 na wapo kwa ndoa na maisha yanaenda lkn ww au unataka ndoa kwa lzm c ungesubiri uolewe alafu uzae lkn km ndo hvy tuu utalea tuu pk yk ukubali tuu unacholetewa urizike nacho wezk wanalea hata mia hawapewi 🤔🤔
@تاتا-ن6ن3 жыл бұрын
Huyo mwanamke akapimwe akili
@shakira13013 жыл бұрын
Depression
@saidamohamed10793 жыл бұрын
Yaani kwakweli huyo waya imechomoka, yaan mtt aende kwa bibi yake chini ya sheria kali asubir mtt akue
@everkabete66453 жыл бұрын
kweli kabisa kwa sababu mtoto ni mdogo sana kwa kumuacha mlangoni
@arafakiloli7493 жыл бұрын
Swadakta
@faridaabdallah22133 жыл бұрын
kama anataka hela nyingi naaje omani tupambane huku💪💪💪💪💪
@rosemarykatogomusanga16193 жыл бұрын
haha umenimbamba
@oscaroscaroscar79743 жыл бұрын
Wasichana wasikuizi eti kwani nimezaa na wewe² Ana Mwambia Mkwewe kwani nimezaa Na wewe😃 Sa ujazaa Nae uyo ulozaa nae Pia ni Mwanae...Msichana jeuri sana
@faithdaniel56523 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@glorykarim15703 жыл бұрын
Kaka fatilia umchukue mtoto wako uyo dada chizi mbinguni atapasikia tu sio kwa utahila uwo angekuwa wifi yangu uyoo kabla ya kwenda police ningemchapa makofi kwanza ashukuru sijawa ndg yako yaan angechezea kichapo cha hatariiiiiiiiii
@saadiaali56093 жыл бұрын
Ni afadhali mumeletewa mlangoni je kama amemtupa baba hatoi matumizi anataka kumzalisha ili iweje
@shamzone3883 жыл бұрын
Jamani nilifiwa na mume nilikuwa na watoto 3 .lakini niliwalea nikawasomesha mpk wamepat kazi sasa nala matunda ya uvumilivu alhamdulilah Bibi lea tu mjukuuu atakuja kufaaa
@agripinamgema36563 жыл бұрын
Uyo mwanamke mshenzi, anafikili kuzaa ndio kumthibiti mwanaume. Huduma anapata mbona kaka wa watu anajitahidi. Yaani kwakuwa kazaa basi uyo mwanaume asipumue yaani nguvu yake iishie uko. Bora mtoto wamchukue akaendele kudanga mbwa uyo. Na kazaa tena kumbe ni.mara ya pili. Baba tofauti.
@latifaaly18773 жыл бұрын
Atafute maisha yake na wanawe na si kutegemea mwanaume
@latriciah01augustino673 жыл бұрын
Tupe mtoto wetu we dada cha ujeuri😏 Tumeita vyombo ya media utupe mtoto wetu😁
@faudhiajuma73403 жыл бұрын
Jamani mama fatuma namuona nimemisi sambusa kitambo Sana chasimba
@rehemadearing33803 жыл бұрын
Depression it's real, msim judge sana😞
@rehemadearing33803 жыл бұрын
Anahitaji matibabu ya kisaikolojia.
@hawahassan8353 жыл бұрын
Hyo ni postpartum depression
@hamisaLbsi9 ай бұрын
Mama mwenye mtoto umekosea mm nimeachwa na mimba sijapitiwa wala kuletewa ata 100 nimezaa nomelea mtoto wangu kafika miaka 11 ndo baba ake kaja kumtafutq mwanawe lea mwanao mama
@atuganileswedy48303 жыл бұрын
Ila wanaume cku zote muwe waangalifu na wanawake mnaotembea nae,msijibebee wanawake ovyo hata km huna malengo nae chagua mwanamke unayeona anajielewa ili lolote likitokea ucjutie,
@cdeleo93363 жыл бұрын
Point kubwa sana I hope wanaume watasoma hii comment
@mma89883 жыл бұрын
Jamani mtoto Ni Baraka watu wanatafta mtoto dada Wewe usione utatamba kilasiku IPO siku utahitaji wanao waje wakyshike mkono Lea mwanao Wewe
@shakira13013 жыл бұрын
Depression is really, kuzalishwa na kuachwa ata kama unapewa pesa bado sio rahisi money is not everything.....
@elizabethjohn49963 жыл бұрын
Sikuwahi kusaidiwa na baba wa watoto wangu lkn mpaka leo sijawatupa nawalea mwenyewe
Badae watt wakiwa na manufaa wanaanza kulalama mtt hanitaki ananudharau kumbe yeye alimtupa chini anasahau , mapenzi ni kitu nature from allah hakitengenezwiiii, yeye mtt kamtupa zaid ya maramoja anategemea nini uzeeni kwake mtt anaenda zake ulaya
@elizajohneliza97083 жыл бұрын
Matumizi jmn nyie acheni
@OfficialA836403 жыл бұрын
Astaghfilullah hasira hasara siwezi mtupa mwanangu nitapambana nao hd naingia kaburini baba aendelee kula raha najua watanisaidia baadae
@rehemafeysali79683 жыл бұрын
Haswaaa ndio watakao kuzika🙏
@ashaomary88813 жыл бұрын
Aswaaaaaa
@rukiaally80033 жыл бұрын
Wamchukue mtoto hao ndugu wa mama me nimeona mtoto kakua na chai ya rangi tuu
@husnaiyasulesh46873 жыл бұрын
Mtot akiw mchanga vip wew hatakam huna maziw ukimlea vile inavyotakiw tuu mtot anakuw jaman mim mam yangu kaf nikiw nawik mbil nimelelew na aunt yangu leo nimekuw nimeolew nahangaik mtot namtaan kwet watu walikuw wananipend nikiskia mtu kazaa uwez amin namlea mtot mpak anatembea hadi clinik watot wao nilikuw nawapelek bas nikiend kwet kusalimia wananiambia nimejifungua mwanang anatak mlee wanawak wengin hawana akil ndiy haoo wanatup
@victoriabayo77043 жыл бұрын
Huyo binti nashangaa sana kati ya mwanaume na yeye nani aliyeenda leba? Nani anajua uchungu wa kuzaa? Kwanza mtoto ni baraka huwezi kushindwa kulea mwanaume atoe msaada asitoe pambana ulee mwanao
@rokiroki18253 жыл бұрын
Wanaume mmezidi hawazi kuacha mtoto huyo simwendawazimu
@upendourio28473 жыл бұрын
mmm ,, mama mkwe mwenyewe jaman huo uzazi wamasimango atakua ana stress za maisha huenda alitegemea kuolewa,,,
@cercontina1753 жыл бұрын
Hekaheka ya kutisha 👐👐👐
@rakaanmahmud43793 жыл бұрын
Jamana Basi Kama hawamtaki kweli mtoto naomba dada geah tv umchukue mtoto umpeleke kituo Cha yatima alelewe kwasababu Hawa wazazi wamevurugwa Hawa fai kukaa na mtoto au watamuuwaa
iyo Kiswahili kusema inategemea apatacho upuuzi 2000 au 3000 atumie nani mtoto au mama.chukueni mtoto wenu midomo milefu kama chuchunge.oh anapewa huduma huduma gani chukueni mtoto wenu.
@sabihahamadi22873 жыл бұрын
Subu hanallah jamani wanawake wengine tuakwama wapi tukitafuta tunajisikiya raha ila tukipata tuaona karaha
@huramkiba31273 жыл бұрын
Me nime mpa mimba mschana frani hivi nikiwa senti tano sina na hapo naishi nyumbani yani tegemezi kwa walezi ila baada tu yakujua kuwa nime mpa mimba mschana wa watu nika mwamby mpenz wang kwajinc hali ilivyo na ww una ujauzito kama huo bc hapa tutafute chumba tupange tufanye maisha ila sina kitu chochote wala fenicha yoyote ile na hivyo bc tuta lala chini kwenye godoro ila Mungu akisaidia bc kheri, bc sawa yule mdada nilie mpa mimba akakubali kuondoka kwao na mimi nika ondoka kwetu tayar kwenda kuanza maisha na Mungu akasaidia baada ya hapo tukaishi na kwa juhudi zangu nikalea mimba toka mwezi wa kwanza mpka mimba miezi tisa na nikawa natoa huduma kama kawaida ila baada tu ya kwenda kuji subilishia kwao na kwenda kujifungua ilipo isha tu 40 ya mtoto nika ambiwa niwaachie mtoto wao na mjukuu wao, ila mpaka hiv sasa bado kuna misuko suko inaendelea.. Yani yaliyo nikuta kama unaweza kuhisi ni movie
@jumakalukule53123 жыл бұрын
Hahaha niatari sana binadam tulisha jichanganya tatizo zinaa imekua fashen wangekua wemefunga ndoa ningechangia mada ila nimeshindwa
@Idafa3 жыл бұрын
Hawajui kuna postnatal depression? Na inaongezeka sana mtu akiwa na stress. Mama wa mtoto anahitaji msaada wa kiafya. Wanaume wanatakiwa kufunga zip zao kama hawatakuwa karibu na wanawake wanaozaa nao. Watoto wanateseka sana. Depression is real. Hakuna mwanamke mwenye akili timamu atatupa mtoto.
@kweka14l353 жыл бұрын
Ukishabeba mimba ujue unalea mwenyewe hata kama umeolewa. Watoto ni wa Mama, baba hutumika tuu kama jina ila sio kulea mtoto.
@nishaabdula50152 жыл бұрын
Ss km hatoi uduma je Sema uyo Dada Kamkosea kumuacha nje angemkabudhi kbs uyo baba ake mikononi
@sikudhanimohammad76923 жыл бұрын
Hawa wamama waswahili sana. Wamekutana. Huenda kuna sababu ndo maana huyo dada amefanya hvy
@khdijaahmed84583 жыл бұрын
Mmmhh mm natamani leo kesho kupata motoo jamani
@daughters12263 жыл бұрын
Wanajitiaga eti tunawaterekeza wakati mimba zenyewe huwa wanatutegeshea kimtu hamjawai jadili maswala ya kupata mtoto et kinakuja Nina mimba iv karne 21 hii Kuna Mwanamke mpumbavu asiejua siku za htr Kama sio makusudi n nn
@janemusumba8203 жыл бұрын
Huyo mama Ana Asante mm natamani hata nisaidiwe lakini Sina hata kidogo tu yy ako na wakumletea hela kila Mara Tena huna Asante
@hanneremily39283 жыл бұрын
Weeee Dada weeeeh mpaka tumbo LA uzazi linaumaaah huk
@WaridawaridaWarida3 жыл бұрын
Awekwe ndani huyo dada ili apate fundisho mvumilieni akifika mwaka mmoja mchukueni mtoto
@latifaaly18773 жыл бұрын
Sasa huyo mama anawazimu anaona kamkomoa au kajikomoa mwenyewe
@joynnko51863 жыл бұрын
We mwenyekiti sijui acha mkorogo mama angu hvo vidole jamoni
@linnamapunda22753 жыл бұрын
😀😀😀😀 kumbe na ww umeona
@upendoabraham29423 жыл бұрын
Huyo binti sio chizi atelekeze mtoto lazima kuna Jambo hapo huyo mama anaongea tuu lakini hawezi jua yote da geah mwite binti tumsikilize Sina imani na huyu mama anamtetea mwanae huyo
@maireshsaid16283 жыл бұрын
Umesikiliza hadi mwisho??? Mbona kaongea??? Huyo dada hana akili
@raziqashban3453 жыл бұрын
Wakwaza leo like me
@claudiangowi95853 жыл бұрын
Tunasikiliza vitu vya maana like wewe za nini??
@rahimaan64813 жыл бұрын
@@claudiangowi9585 🤣🤣🤣hata mie huwa nawashangaa watu wa dizain hiyo
@reginaphilimon7823 жыл бұрын
Sizan kma hyo Mama alie acha mtoto anafurahia anaumia nayeye Ila nanyie wanaume mnawafanya Mwanamke achukuwe maamuz magum Kam hayo Ila hta iweje ntakufa na mwanangu ndio maan MUNGU akatuamin sisi kuwa mama
@reginaphilimon7823 жыл бұрын
Mhh nili comment bila kusikiliza mpka mwisho 🤐🤐
@saidymane53113 жыл бұрын
shenz anatak apew milion si angezaa na watoto wa bakhresa fyuuuuu
@janatahmad70483 жыл бұрын
ewe 😢😢😢😢ninusulu mimi sijui gisi machungu inauma ya mtoto njo hawaumii ama eti nitupe mtoto.wangu kisa mwanaume siwezi kama tuna utofauti na baba yake siwezi ingiza mwanangu
@daishajumanne59903 жыл бұрын
Mama mjumbe nimekupenda bule na mama mwenye nyumba nime wapenda
@mbokamgomoka30913 жыл бұрын
kaz ipo,inawezekana uchungu wa uzazi tunatofautiana
@sekelamwambungu3563 жыл бұрын
Kama mtu unajiju hauko tayari kulea kwann unakubali kutunza mimba miezi tisa alafu anazaliwa unamtesa,ni afadhali mngetumia hata kinga ili usilete kiumbe cha Mungu kikateseka kwaajili ya ujinga wa nyie mliomleta dunian.We dada acha tamaa Hali ni ngumu sana kuna watu hata sent hawapati lakini wanapambana na watoto zao.
@hildadaniel48923 жыл бұрын
Jamani simsemei huyo Dada labda kila MTU ana jinsi anavozaa lakini kama wote tunazaa sawa binafs siwezi kuweka kichanga changu mlangon hata kumkabidhi mkononi mwanaume maana siamini kama atakua salama uwiii leba so pazuri jamani tusiwe tunapasahau haraka ivo wamama
Uyo mama mtt chizi ata maisha yawe magumu vp bora niitwe malaya omba omba lkn nko na wng najua ipo cku nitatoka kimaisha lkn kupeana mtt aitawai tokea
@mwazaninalapa88523 жыл бұрын
Mnavyonunuliwa chips mayai na ao bodo bod ndo mnaonaga ata mkibeba mimba itakua raisi hivyo hivyo kwenye malezi ya mtt mwisho wa siku ndo unakua na stress kupelekea mtt kuteseka😏😏😏
@daishajumanne59903 жыл бұрын
Hahahaha na kweli shoga kidawa😀😀😀😀😀😃😀😃😀😃😀
@furahafedrick85013 жыл бұрын
Kamanikweli anatoa elaya matumizi atakamani kidogo Basi uyodada somzima waakili jmn
@husnaiyasulesh46873 жыл бұрын
Uyo usikut mdangaj kashazoea kuhangaik kwaiy kaon uyo mtot kam anamgas ndiy maan anatafut visingizio
@allymahamudu94923 жыл бұрын
Udangaji si haba
@agnesstandiko53123 жыл бұрын
Wanawake mbona ss wengine tumetelekezwa na wtt na tuanawalea wenyew ungebak na Mtt wako mungu yupo
@maryammohd59943 жыл бұрын
Nimegundua uyo mtt anamfanya km ndo kitega uchumi amlishe yeye na mwanawe
@ashurakichokera16363 жыл бұрын
Huyu Dada ni mjeuri na kibri majibu yake tu yanajitosheleza kabisa mm ni single mother wa watoto wawili na napambana kwa ajili ya watoto wangu huyu Dada akapimwe akili kwanza 😩😩
@@loner_wolf sio kwamba mm Nina akili Sana ila kwa mtu mwenye upeo na akili zake timamu huwezi kumuacha mtoto WA miazi miwili alafu unapoulizwa unajibu jeuri huo ni uchizi yaan nimeangaika na tumbo miezi tisa eti Leo nije nimuache mtoto wangu Kisa huduma tembo ashindwi na mkonga wake bhana