Kila siku mpya inapoanza, ni fursa mpya ya kumkumbuka Mungu na kujikabidhi kwake. Nawaalika watazamaji wote muweze kushiriki nami katika kusali sala hii iliyo katika wimbo huu. Ifanye kila siku yako iwe ya Baraka kwa kuanza siku kwa wimbo huu. Mungu ana nafasi ya pekee katika Maisha yetu,tumkabidhi kazi zetu na kujiweka kwake kila siku mpya inapoanza.Unapoisikiliza, Mungu akakubariki na sala hii ikawe Baraka kwako. Amina. Please Subscribe, Like, Comment and Share. I love you all❤
@yasinimwengwa57263 жыл бұрын
Asante mpendwa barikiwa sana pia nami nakutakia siku iliyo njema love uuuu
@kingstondigital4783 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana nmeangalia video Ina leta hisia kwa mioyo yetu sote
@anastaciamuema3 жыл бұрын
@@yasinimwengwa5726 asantee... love you too dear❤❤❤
@anastaciamuema3 жыл бұрын
@@kingstondigital478 asante kwa kutazama🙏❤❤❤❤
@franciswambua42323 жыл бұрын
Beautifully done, and very reflective. Congratulations. Its a soul consoling master piece inviting each one to prayer and at the beginning of the each new day. Mungu akubariki sana
@Gomezamisi Жыл бұрын
Wimbo huu hunanipaka nguvu na ujasiri nikiamka❤
@patrickfabian8378 Жыл бұрын
Jaman Mungu ambariki sn huyu dada nyimbo zake zina bariki🙌
@thelilorganistrobbin630511 ай бұрын
Bringing the mood of this song to 2024❤
@EdinaTimbula-mc3ki Жыл бұрын
Safi sana hongera sana dada kwa uinjilishaji mungu akuteteee nakupendraaaa bure
@missveetv25902 жыл бұрын
Wimbo unabariki jamani 🙏🏿 wapi likes zake
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante🙏🥰
@freshstationar5282 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua dada Anna . tunabarikiwa na nyimbo zako. much love
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏🙏
@jamesmwangi74552 жыл бұрын
The morning Hummingbird ! The most favorite sweet melody to start everyday in Gratitude's and praises to The LORD Most High. I can never have enough of this passionate and solemn Praise💞 🎼🌅!
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amen Amen🙏🙏🙏
@leontinaaugustine43372 жыл бұрын
Asante kwasalaya asubuhi mungu akubariki katika nyimbo zauko zote nimekuwanikizisikiliza sana zimenibariki sana
@mathildemwangaza1093 жыл бұрын
Anastazia aki uko na kipaji yaani hiyo sauti yako ni nzuri sana. Nikisikiliza nyimbo zako nasikianga kiu ya kusali
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Amina🙏 Sifa na utukufu ni kwa Mungu.
@RosemaryKabura5 ай бұрын
I always listen to this song every morning,it always makes my day . Anastasia you are the best
@giselegiram3 жыл бұрын
You have a beautiful voice Annastacia. Be blessed 🙏🙏
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thanks darling🙏❤.
@Arnold_Dominick2 жыл бұрын
@@anastaciamuema a copy please
@GraciaMwikali11 ай бұрын
Amina
@giselegiram11 ай бұрын
@@GraciaMwikali ❤❤🙏🙏😊😊
@vitovergallo152 жыл бұрын
E baba Mungu nakuomba ibariki kila asubuhi niianzayo na iwe kwa sifa na utukufu wa jina lako 🙏
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏
@raymondchuwa10833 жыл бұрын
Ahsante kwa wimbo mzuri. Umenibariki asb hii. Hongera Annastacia. Hongera pia organist Tumaini Swai.
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante sana Raymond. Barikiwa sana🙏❤❤❤
@justusndyamukama48083 жыл бұрын
Asante kwa wimbo mzuri wa shukrani na maombi kwa Mungu,
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Amina🙏🙏🥰
@lukashyera74332 жыл бұрын
Hongera Kwa utume wako Naomba uachie Sasa Ile nilipoanza nilijiuliza nitawezaje
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Lukas. Hiyo nitaitoa very soon.
@johnkmoindi42153 жыл бұрын
"Mng'ao wa Asubuhi...." + You Annie na Sauti nzuri imeng'arisha siku.,💕💕🏵️🌄. Baraka tele
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante sana🙏❤❤❤❤
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Barikiwa sana🙏❤❤❤
@angelanikalenga47573 жыл бұрын
Asate bwana Yesu kwazawadi zuri ya kuiona asubuijema
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Amina🙏
@antoniizcarlow61603 жыл бұрын
Hii ndo imeniamsha leo...very beautifull song and a morning prayer..go go go 😍😍😍
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou so much Ngundi fir watching🙏❤❤❤❤❤
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou so much Ngundi for watching🙏❤❤❤❤❤
@kombe68083 жыл бұрын
Shukran sana kwa sala ya asubuh 🙏🙏♥️💕🙏
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Karibu dadangu🙏❤
@conceptatemba42992 жыл бұрын
Yani wewe dada nakupenda, napenda zaidi vile unaimba
@jayzeem142 жыл бұрын
Asante kwa kutubariki na wimbo mzuri. Umebarikiwa na sauti nzuri Asante kwa kuchagua kuitumia kwa kazi ya Bwana!
@nursecaren3 жыл бұрын
Asante kwa nyimbo nzuri😊...barikiwa Dada
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante. Barikiwa pia❤
@melody115192 жыл бұрын
This song is so peaceful. I listened to it all day and never got tired of it. Be blessed Ann
@anastaciamuema2 жыл бұрын
I’m glad to hear that. May it be a blessing to you.🙏
@mjkinuthia3862 жыл бұрын
@Pamela K Thiaine, I concur fully with your sentiments. This song has become an integral part of my morning prayer for the past year - and I can't have enough of it either. Anastacia is a great witness of our faith through music 🙏🙏🙏
@tesharose50413 жыл бұрын
Hongereni Sana Anastasia muena hakika nimebarikiwa Sana nilipousikiliza huo wimbo hakika ni Sala tosha sitachoka kuusikiliza mungu azidi kukubariki kila ufanyalo🙏
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante sana darling🙏❤❤. Sifa kwa Mungu.🙏
@evalineamady6810 Жыл бұрын
Yimbo nzuri ubarikiwe sana
@MercyNyambu Жыл бұрын
Your songs are so encouraging to me may God bless you so much and continue the same spirit of blessings.
@dinahmiriti6029 Жыл бұрын
Anastasia your songs are so inspiring. God bless you 🙏
@mjkinuthia3863 жыл бұрын
What a profoundly meditative & solemn melody this is! A very powerful morning offering & thanksgiving prayer for God's graces which are renewed every day. Your sweet voice blends perfectly well with the other voices & the instruments. There's not a better way to begin the day. Thanks Anastacia and God bless you 🙏🙏🙏
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou so much MJ.🙏❤ Barikiwa sana
@mjkinuthia3863 жыл бұрын
@@anastaciamuema This has turned out to be my favorite and can't have enough of it...!
@anastaciamuema3 жыл бұрын
@@mjkinuthia386 Amen. Praise be to God.🙏
@paulogurti1913 жыл бұрын
Hongera sana jamani umenifanya nikumbuke tar 26/8/2016 nilipopata ajali dah! Ubarikiwe
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Pole sana kwa ajali. Mungu wetu ni mwema. Tuzidi kumshukuru kwa zawadi ya uhai.🙏❤❤❤❤
@kwayabikiramariamamawashau24482 жыл бұрын
Wimbo unabariki sana huu... Hongera sana mtumishi wa Mungu.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏
@florianmangasini12692 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa kila Pumzi ninayo pumua. Asante sana Anne kwa wimbo huu wa shukrani kwa mungu wetu.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏. Ubarikiwe sana🙏
@witnesssamwel-nu9vt6 ай бұрын
namkubali sana cm yangu imejaa nyimbo zake zote sjawahi ona kafanya vibaya safi sana binti mwezangu unajitaidi sana🥰🥰🥰
@abodetidings83923 жыл бұрын
wow asante sana kwa huu wimbo mzuli sana zidi kazi nzuli
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante sana🙏❤
@josephinepanga51443 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana umenigusa Mungu aendelee kutimiza malengo yako 🙏🙏❤❤
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante sana dadangu❤❤❤. Barikiwa sana❤❤❤
@dennisharry-tx8ig Жыл бұрын
God gave you an angelic voice. Stay blessed always Ana
@moverske Жыл бұрын
Wimbo mtamu kweli🎉🎉🎉🎉🎉
@elizabethsyokau92473 жыл бұрын
Nyimbo nzuri dadangu ....more blessings
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante sana dear. Be blessed
@danfordjackline94263 жыл бұрын
Jaman nakupenda,napenda sauti yako,nakupenda tena uwiiiiiiiii,mungu abariki kaz yako ya unjilishaji.Nakupenda tu
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante sana. 🙏I love you right back!!❤ Mungu akubariki pia.🙏
@benchadzutsa65093 жыл бұрын
This is a beautiful melodious and spiritual nourishing singing Anastasia, congrats and keep on nourishing our souls spiritually with your singing.
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou so much dear Ben for the lovely words🙏🙏❤❤❤
@lilianwillium83812 жыл бұрын
Yani nakukubali sana Anastacia napenda nyimbo zako sana pamoja na wale wenzako pia Mungu awabariki sana
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe zaidi.
@mercymutisomusic3 жыл бұрын
Being blessed by this song now before I go to church😍🙏
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Aaaawwww... AMEN, AMEN, AMEN!🙏🙏❤❤❤
@alexndua69023 жыл бұрын
Things getting to their best... Hongera sana, kutupa sala maarufu kwa wimbo. uko vizuri
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante sana Alex🙏🙏🙏❤
@joshuaonyango1446 Жыл бұрын
I'll keep on appreciating you. This song you to touche me. Starting from the melody to the tone . Thank you very much
@epifanibekam34413 жыл бұрын
Ushauri wangu kama hauna bedi yako binafsi anzisha na sisi wasikilizaji tutakusapoti weka mambo wazi mwenye chochote atatowa mungu akubariki akupe nguvu na afya njema
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante kwa ushauri wako mzuri🙏🙏🙏
@anthonysituma50602 жыл бұрын
Always inspiring!! Excellent vocals, exceptional arrangements and very solemn presentation!! Congratulations Dada Anastacia 👏
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Anthony🙏
@victormuteti11663 жыл бұрын
A very nice voice,, I will play it,, again and again,, congrats mrembo
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou so much🙏🙏❤❤❤
@emmayeutropia87463 жыл бұрын
Wimbo mtamu, sauti tamu, tabasamu mwanana! Pia wew ni beautiful
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante sana Emmay🙏🙏❤️❤️
@geroldjacob98452 жыл бұрын
Kazi ya kupendez dunian mpak mbiguni amina
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏
@eunicebebgal3 жыл бұрын
~ na tena zaidi tukupende. Gal, this is super amazing 😍😘
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thanks alot baby gal🤩❤❤❤❤
@sheilajepkorir60393 жыл бұрын
Asante sana Ann Maisha yetu kweli yana mwenyewe..... Wacha tumtukuze nyakati zote huyu Mungu.... Amina Amina Amina 🙏🙏🙏 Ninaimba sana hizi nyimbo zako Zinanijenga kiimani......... Barikiwa sana uzidi kututungia nyimbo tumwimbie huyu Mungu wetu
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Amina🙏. Barikiwa sana Sheila
@fabianmainchanyangachika5017 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@johnmutindah62083 жыл бұрын
sauti yako yavutia kwelikweli siz,endea na moyo huo huo na Mungu wako atakusindizia mengi
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante🙏❤. Amina🙏❤
@moretwiriINTHEMIDNIGHTDIARY3 жыл бұрын
Wonderful song, beautiful voice. You bless many. Barakiwa Dadangu
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante sana sissy❤❤
@RaelMbinda2 ай бұрын
Ni vyema kushukuru mungu kila tuonapo siku mpya maana ni kwa neema zake tu
@jacintakatunge72713 жыл бұрын
This is so beautiful, the melody voice, message... I mean everything is perfect😍😍😍
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou so much Cinta🙏❤❤
@gertrudeolisa33922 жыл бұрын
My every morning prayer. Thanks Anne for your beautiful voice that always warms our waking up
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Aaaawww🥰🥰🥰🥰. I’m glad that the song brightens your day!😊😊
@buza3449 Жыл бұрын
Hakika wimbo mziri umejaa unyenyekevu amiana pamoja sana
@maliuskasunga68413 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na hii Sala Mungu abariki kazi yako isonge mbele
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Amina🙏🙏🙏
@CharlesKasereka-cn3if6 ай бұрын
Mungu akuongezeye maïsha marefu.
@evafunda9323 жыл бұрын
🤔 Hongera sana kwa kazi nzuri,Mungu azidi kukung'arisha❣️
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Amina🙏❤❤. Barikiwa sana❤
@josephmwangingure32592 жыл бұрын
You inclines my heart to inner prayer God bless you always Anastasia muema
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amen🙏. May God bless you too Joseph🙏🙏
@dominickanoti59352 жыл бұрын
Very beautiful song
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much🙏
@annthugurikiarie5143 жыл бұрын
Amazing! Truly the day has broken with blessings. Thanks
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Amen. Thanks be to God❤❤❤
@danielcleopa22163 жыл бұрын
Congratulations Anne your voice has enlighten the day; I'm proud.🤗
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou so much Daniel Cleopa. Asante sana kwa kutunga wimbo mzuri. Kwa kweli unabariki, kufariji na kutia moyo. Mungu akuzidishie baraka uendelee na kazi yake bila kuchoka.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@danielcleopa22163 жыл бұрын
@@anastaciamuema Amen. Thank you
@guardyevarist3783 жыл бұрын
Waohh... An amazing piece of music for any who knows the importance of thanking his/her creator. Congs to my bro Dany and to you Anne...
@anastaciamuema3 жыл бұрын
@@guardyevarist378 much humbled🙏❤
@starvisionmediapro3 жыл бұрын
Ann Strikes again. Keep it up my dear.. Salimia Ray sana
@paultesha76443 жыл бұрын
Leo nimesali kwa raha sana na huu wimbo.. be blessed Anastacia, kazi nzuri ya mtunzi umeitendea haki..💪
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante na ubarikiwe sana.🙏
@indiremoses89793 жыл бұрын
Sala ya asubuhi....Wimbo mzuri sana,kazi ibarikiwe Ann
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante🙏❤Amina Amina🙏🙏❤❤❤❤
@murimi96453 жыл бұрын
My best line in this song: "Labda jana tulishidwa kutimiza majukumu ... siku mpya inaleta tumaini jipya."
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Amen🙏🙏
@fosquesasenga40653 жыл бұрын
Mungu akubariki sana dada. Hongera
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante. Barikiwa pia🙏❤
@nan87313 жыл бұрын
Cool as you like it. Kazi nzuri sana
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Shukran🙏🙏❤
@celestinemutindi76343 жыл бұрын
Sala ya asubuhi🙏🙏🙏 I love it❤️❤️❤️
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante sana dear🙏❤❤❤
@babaclinthoniushaki51213 жыл бұрын
Hongera sana Dada kazi nzuri
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thank you so much 🙏
@BernardoAbduelMsuyaTv3 жыл бұрын
Wow ❤ nimeamka asubuhi na huu wimbo.. Najisikia Amani Sanaa... Asante Anne!
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Karibu. Asante sana rafiki kwa kutazama🙏❤❤❤
@gatsjim3 жыл бұрын
👌👌👌Awesome keep them coming
@anastaciamuema3 жыл бұрын
I will. Thanks for watching🙏❤❤
@hillarykibet72643 жыл бұрын
Very nice song Anastasia toa zingine God 🙏🙏🙏 blessed you
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou
@judyshikuku62413 жыл бұрын
Wimbo mzuri Anastasia..... Asante Kwa kutu kumbusha kumshukuru Mungu Kila wakati.Asante.
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Karibu. Thanks for watching🙏❤❤
@nicolausdandagala62013 жыл бұрын
Niko sehemu yenye upweke mwingi but unanifariji sasa na unanibariki sana jamn dada angu Hongera sana kwa kipawa hicho
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati. Usife moyo dear. Tumtumainie kila siku. Asante kwa kutazama🙏❤❤❤
@nicolausdandagala62013 жыл бұрын
Amina Mungu akubariki sana dada ang
@anastaciamuema3 жыл бұрын
@@nicolausdandagala6201 Barikiwa pia🙏
@sabastianglober76533 жыл бұрын
Weee io nyumba ni kali
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou so much🙏❤
@giselegiram3 жыл бұрын
What a great house and materials. Very good 👏👏👏
@anastaciamuema3 жыл бұрын
@@giselegiram thankyou darling🙏❤❤
@despinamdende98103 жыл бұрын
Hongera sana Anastanzia umeimba vizuri sana👍
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante sana my sister🙏❤❤❤❤
@jpmunene3 жыл бұрын
Wimbo mzuri kweli kweli. This is a whole perfect prayer to bless my mornings and entire day. God bless you always Anna.
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou so much John Paul🙏❤
@epifanibekam34413 жыл бұрын
Umebalikiwa kwa sauti nzuri Dada utafika mbali sana
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante🙏. Amina🙏
@reubenmwala91962 жыл бұрын
i like the serenity in the song, encouraging words and the theme of the song furthermore the voices are so fine
@sheillacate7088 Жыл бұрын
I love this song. Excellent Job🥰
@christophermalusi42702 жыл бұрын
Beautiful song,well composed by a beautiful kamba girl.keep up
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Chris. Be blessed🤗🤗
@jude21683 жыл бұрын
Jesus is uplifting you. The goodness of the work you are doing is eternal. May you be blessed forever!!
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou🙏. Amen🙏
@madamehellenroman-ej4hq Жыл бұрын
🎉🎉😂
@januariesmulei9373 жыл бұрын
Hongera Anastacia.natuzidi kutuza Imani yetu.
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Amina🙏
@kitonyikomba755 Жыл бұрын
This touches one heart so much. Wat a good start for the day.
@APOLINARYSULLE-if4ff Жыл бұрын
Yeah it is very amazing ❤❤
@edgar-makori-sagero3 жыл бұрын
Good work Anne, beautiful voice and sweet melody. 👏
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou so much Edgar🙏🥰❤
@gregorysamike41753 жыл бұрын
¡Qué maravilloso canto recuerda el amplio sentido de nuestra vida mientras continuamos con nuestra peregrinación!
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Amen Amen🙏🙏
@mathildemwangaza1093 жыл бұрын
Pianist naye ako sawa. So beautiful
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thank you so much 🙏
@cornelmail34653 жыл бұрын
Amazingly done thank you and God bless you.
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou.🙏 God bless you too.❤
@georgenjugi34222 жыл бұрын
Thank you for this very beautiful and uplifting song
@josephabunde54803 жыл бұрын
You're blessed with a wonderful voice sister praise the Lord always. God bless you more.
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Amen🙏. God bless you too.
@fidelisgeorgesinsangoh72443 жыл бұрын
Well done lady.... be blessed and hello to Mr Swai💪❤🙏🙏
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou so much🙏🙏❤
@albertomsolansimbi15123 жыл бұрын
Yeyoooo... Thanks much sister for a new week gift... Be blessed in abundance (🎶🎶mng'ao wa asubuhi, ung'arishe nyoyo zetu...🎶🎶🎼) Am so much blessed.
@anastaciamuema3 жыл бұрын
AMEN🙏. Thankyou for watching❤❤❤
@hiramkariuki3183 жыл бұрын
Great morning prayer. A great way to start a day. 🙏
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Amen! Thanks for watching🙏❤❤❤
@japhetmkumbwa48643 жыл бұрын
Beauty and blessed soft sound be blessed sister for ure tarent
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Thankyou so much my brother🙏❤
@benmakinda30243 жыл бұрын
SAUTI NZURIII, NYIMBO NZURI NA SALA KAMILIFU KABISA. ASANTE SANA.
@anastaciamuema3 жыл бұрын
Asante🙏❤. Amina🙏.
@herfridtemba26703 жыл бұрын
Big up Anne, you never dissapoint. Mr. Daniel keep up, nice composition. Back vocal team safi sana you sound solemnly. Organ kwa utulivu kabisa, safi sana Swai.