Huyu ni mwanamke hodari sana,ile uwezo na nguvu mwenyezi Mungu alimpatia tangu kuzaluwa kwake, binadamu na viumbe vyote vya Mungu wako chini yake
@abrahamkimeliarapchebochok46457 ай бұрын
Amen ❤
@EstherNgugi-sn1fq6 ай бұрын
32 🎉@@abrahamkimeliarapchebochok4645
@QueenWlliam3 ай бұрын
❤🎉
@vivianvictor92673 ай бұрын
Mwezi wa rozari 2024 tukapate neema na maombezi kwa mama wa kanisa mama Maria🙏
@emmahmuthoni9029 Жыл бұрын
Pray For Us Oh Holy Mother Of God, That We May Be Made Worthy Of The Promises Of Christ ❤🙏
@elizabethgogo62892 жыл бұрын
🙏🤲HAKIKA kupitia kwa nyimbo za mama Bikira Maria ua nafarijika sanaa
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
Asante Elizabeth Gogo. Tumwendee Mama Maria Naye atatuombea kwa Yesu Kristo
@EricaPagali Жыл бұрын
Baraka za mwana wako tunazipata kweli Maria yote ni kwa ajili yako muombezi wetu Maria
@severimkatomutegeki69309 ай бұрын
Bikira Maria sisi ni wanao uzidi kutuombea.Mungu atujarie tuendelee kukuimbia nyimbo mzuri zaidi.
@leahkahuka6825 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo za mama bikra Maria
@ElizaKidolezi4 күн бұрын
Mliosikiliza hii nyimbo barikiwa sana mungu asikupite katika baraka zake
@nyalwalvictor9352 жыл бұрын
Proud to be a Catholic. Nyimbo nzuri za kumsifu Mama Yetu Maria.
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
ASANTE SANA
@KatelezuMalole-vg1cr Жыл бұрын
Ww unamsifu Mungu au unamsifu mariamu?
@MERCYKIPROP-j7j Жыл бұрын
Proud catholic,,,the songs are so touching..let's keep on praying rosary
@kemuntomartha97412 жыл бұрын
Am not a catholic but hizi nyimbo za mama maria najikuta naomba tu ubarikiwe sana
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
Asante Sana Ndugu kemuto Martha kwa ujumbe wako kwani inaniongezea Moyo wà kuandaa Tafakari nyingine Muhimu kuhusu mama Maria.🙏
@rosekiwale83023 ай бұрын
Mama aendelee kuwabariki daima
@AnnsimiyuAnnsimiyu Жыл бұрын
Proud of being catholic... please dear mother Mary answer our pray through this beautiful melodies we worship you 🙏🙏
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🤝
@JaqlineOdhiambo Жыл бұрын
L@@AloyceKipangula
@nellynaviranda6615 Жыл бұрын
❤❤❤ pray for us to your Son Jesus Christ to be strengthen during this time we mourn our beloved son James.
@Veronicamwongeli-h3m Жыл бұрын
Mama yesu tuombee na watoto wangu tuishi maisha mzuri
@sharonharon-pm4ht Жыл бұрын
Thank God He let me to the right place catholic church, Mother Mary pray for us sinners.
@ritaimboko9324 Жыл бұрын
Blessed Sunday 🙏. Don't forget a rosary a day keeps soul at peace
@floranyefwe3464 Жыл бұрын
Heri ya mwezi October 2023 mwezi wa Rosari. 🙏🙏 Utuombeee mama yetu Maria
@zukhailagodfrey1373 Жыл бұрын
Amina
@KatelezuMalole-vg1cr Жыл бұрын
Maria hana huwezo wa ww kukuombea mwenye uo uwezo ni yesu tu soma biblia kitabu cha 1Timotheo 2:5 ni yesu tuu ndiye mwenye huo uwezo wa kutuombea kwa Mungu na si mariamu kuwa mama wa yesu siyo sababu anakuombeaje mtu ambaye amekwisha kufa tafakari?
@zukhailagodfrey1373 Жыл бұрын
kila mmoja aamini kwa anachoamini nadhani maana huzuiliwi. Maria Mtakatifu Utuombee
@KatelezuMalole-vg1cr Жыл бұрын
Sio kila mmoja aamini anacho amini kwani ww biblia yako hiyo uliyo nayo unapo isoma kuna andiko lolote umewahi kusoma kwamba mariamu ndye anae tuombea kwa Mungu?
@zukhailagodfrey1373 Жыл бұрын
uwe unasoma na kuelewa nimesema kila mmoja aamin anachoamini ww kama unaamini biblia wengine tunaamini nyimbo wengine tunaamini rozali kwaiyo simamia imani yako ndug8
@kamuzungudeo16802 жыл бұрын
Nafurahi sana kwa nyimbo za Maria
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
🙏
@MFANOPETRO Жыл бұрын
Nice solemn . enjoying Mother Mary song from Tanzania Arusha
@sapientiamayaha97832 ай бұрын
Sisi wanao leo tunakusalimu salamu mama. Napenda sana hii nyimbo. Amani rohoni
@andreamissama1273 Жыл бұрын
Thanks for uploading this collection! May God keep blessing you and may you keep doing His work!
@annagodson6573 Жыл бұрын
Asante Mama wa Yesu! Tunomba utuombee kwa mwanao Yesu atusamehe makosa yetu! ❤❤
@nancymunyithya6659 Жыл бұрын
Wao. Beautiful prayers, mama Maria kindly intercede for my Family
@jusperabuonji49712 жыл бұрын
The songs are such healing, yatuliza ukweli. Bikira Maria Mama yetu, tuombee kwa mwanao hasa mimi na kazi mpya ya sales. Be with Dad too. pray for us and all the Christians'.
@faithcarol61182 жыл бұрын
3
@eunicemazinge51772 жыл бұрын
Mama Bikira Maria mama yetu utuombee kwa mwanao Yesu🙏
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
🙏
@KatelezuMalole-vg1cr Жыл бұрын
Huyo hna uwezo wa yye kutuombea mwenye huo uwezo ni yesu tuu 1Timotheo 2:5
@mariewilliams36627 ай бұрын
Asante mama Bikira Maria kwa kunipenda na kunihurumia...nitakupenda daima❤
@patrickrenemuamba50063 ай бұрын
Mama wa Mfalme wetu awa ombeye baraka na nehema tele...aksanti sana kwa nyimbo nzuri zaidi
@peterkimani7569Ай бұрын
Ni baraka tele kuita Mama wa Mungu Mama yetu, Asante Mama Maria ❤❤❤
@PatriciaJanet-nt8rc Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zake mama yetu maria amen
@sarikokiagape76853 ай бұрын
waliotembelea hapa october 2024 mbarikiwe sana❤❤❤
@EverlyneNdanu-ry2rf3 ай бұрын
Barikiwa pia❤
@AgnessVitalis-yn5bf3 ай бұрын
Ameen
@TanishaManiky-kp9xc2 ай бұрын
amina
@safaranimeso68792 ай бұрын
Amen 🙏
@jakjaku10172 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@BhBh-s9h2 ай бұрын
Listening to this touching songs on November 3rd Mary mother of God pray for us
@AGATHAKEITANYАй бұрын
Amen, I will dwell in the house of the lord forever,,,,,,praise the lord alleluiyah
@julietawataka49052 жыл бұрын
Pray for my..family Mama Wa Yesu
@paulnalami69 ай бұрын
🙏🙏🙏
@sixtusmomburi13322 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akubariki katika kazi zako zote za mikono yako na akili yako
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
Amina Tumshukuru Mungu kwa Yote
@readwithme64 Жыл бұрын
Thank you beautiful choir. I've been stressing out today so much but when I listened to this, this calm just engulfed and I said liwe liwalo, mother Mary I know you won't abandon me, I will accept any outcome that pleases Your Son, as I know you won't abandon me. I'm not perfect. Often times, I feel alone for this, but I know Mother Mary understands for she has worked this earth and even seen her Son suffering and through these songs I think she's heard my request for intercession and no matter the outcome , I know she won't abandon me on my life's journey.
@benjaminwabwire8291 Жыл бұрын
Be strong in whatever you go through...in prayer with you.
@shirohliz2 ай бұрын
Thank you ❤ so for this original Marian songs be blessed
@eveliusrwebangira-uv7ot Жыл бұрын
Hail Mary mother of God pray for us...🙏
@juliuskhan5134 Жыл бұрын
Nilipenda sana hyo nyimbo mama yetu Maria mamaangu mzazi pia anaitwa Maria kwahyo niisikiapo nyimbo za mama yetu Maria najisikia faraja
@marymulandi53102 жыл бұрын
Congratulations for the good songs. I love them.
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
Amina. Tubarikiwe sote
@tumainitemu707428 күн бұрын
Asanteni sana kwa hi production
@RoSe-yy2nf2 жыл бұрын
Proud to be a Roman Catholic🙏 Am blessed to have Mother Mary, Mother of Catholic Church Love from UGANDA 🇺🇬
@zuhurambonde3185 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana nyimbo hii
@jakjaku10172 ай бұрын
Baraka zina miminika kweli asante mama maria tuombe Sisi wakosefu Sasa Na SAA ya kufa kwetu Amina 🙏🙏
@HaronKandieКүн бұрын
The almighty God increase your boundaries at all level of serving him
@SheilaMoraa-pw8nrАй бұрын
My all time relaxing mix.the best sounds and praises to our beloved Marry.continue praying for us blessed Marry.. #Catholic for life
@readwithme64 Жыл бұрын
In need of Mother Mary's prayers and praying still, for the acceptance of Gods will regardless. Grateful for these uplifting songs. This life path can be hard.
@johnmiano5662 Жыл бұрын
Awesome Marian mix
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Thanks for listening🙏
@fetty1571 Жыл бұрын
Ee Mama yetu Maria tuombeee kwa mwanao Yesu kristo tuwe salama mpka saa yetu ya kufaa🙏🙏
@japhethrogasiano-hp3lj2 ай бұрын
Mtumishi aloyce MUNGU wetu akubariki sana
@AloyceKipangula2 ай бұрын
Amina
@RudolfNgalason-wz3zm Жыл бұрын
Hongereni sana, wimbo mzuri na mmeutendea haki. Hongera Aggy na wenzako
@lydianjoki-ze3wd Жыл бұрын
Happy Birthday mama Maria,mama waYesu,I love you always ❤
@joeopondo59162 жыл бұрын
I love Our dear Virgin Mother,The Immaculate Conception.
@zenobiakapere1379 Жыл бұрын
Asante mama yetu Maria,tuombee kwa mwanao atuepushe na shida za dunia hii hasa magonjwa.
@AntoniaLeonard-pm7zu Жыл бұрын
Mwenzi wa rozari takatifu tuombee mama wa yesu🙏🙏🙏Kwa mwanao yesu
@AmosBushoke-i9u Жыл бұрын
Bikira Maria tunaomba utuombee kwa mwanao yesu alie kufa msarabani kwa ajili yetu sisi amen
@bukandalubambo25892 ай бұрын
Mama Maria nakutolea familia kwa mwezi huu wako mtakatifu ili utuombeye neema na Baraka za Mungu.
@simonmosiane3786 Жыл бұрын
Atafazali Mama Maria usituache gizani,,kwa mwanao utuombee
@JulianaCelestine-o1f Жыл бұрын
Mama Maria mama yetu mwema utuomhee kwa mwanai Yesu tunakkumbana na changamoto nyingi maishani peke yetu hatuwezi mama tunaomha k msaada wako utusaidie.
@gumathomarleni2556 Жыл бұрын
Mama mwenye heri me as a mother i pray that you protect all mother's around the world your a mother you know well the pain we go through as mother's forgive us mother's ooh mother mary beloved mother mama mwenye hekima ya Mungu utuombee sisi kwa mwanao
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amina 🙏
@trissateddy99092 жыл бұрын
Nakumbuka mbali mnooo,tukiwa wadogo Sana.Hizi nyimbo tamu sana
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
Ni Kweli ni nyimbo za Siku nyingi Sana
@DanshowEvlyn2 ай бұрын
Asante mama wa yesu asante sana mama maria uliye muombezi wetu
Safii sana mungu akubari lugha yetu bana vingereza vyawenyewe uko hata kiswahili hawakijui hongera
@jamesgacheru24762 жыл бұрын
I love maria song so much,they heal my soul and find myself contemplating blessing to choirs
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
🙏
@HeldaX Жыл бұрын
Amina mama etu tuombee kwa mwanao mpendwa atusamee zambi zetu na atujalie afye njema na mafanikio mema yanayo kupendeza mbele zako Aminaa
@damasmgaya3859 Жыл бұрын
Asante mama malia kwakutuzalia mtenda miujiza kwenye maisha yetu
@monicakavete4931 Жыл бұрын
Mama Maria twakupenda utuombee Sisi wanao na Dunia
@veronicaatieno8580 Жыл бұрын
The power of virgin Mary,her purity,her holiness and graces,her immaculate conception still remains a mystery to many
@phennynyash3525 ай бұрын
Asante mama Marie uliye muombezi wetu...
@WilliamSENYE-yk8pb6 ай бұрын
Nashukuru mungu Kwa neema zake napata faraja sana nisikiapo nyimbo za bikra maria
@rosekiwale83023 ай бұрын
Naiombaee wajukuu wangu Gavin na blessiris ulinzi na afya njema roho mtakatifu awaongoze daima wawe kichwa na wasiwe mkia
@adelinelyaruu30368 ай бұрын
Bikira Maria afya ya wagonjwa muombee mama yangu ambaye ni mgonjwa Amina❤
@Heuln8 ай бұрын
Kweli nani kama maria,ni mama wetu daima nabarikiwa sana,tusisahau kuomba na kusali
@fawwazshamr19892 жыл бұрын
Amiina mama yetu tunakupenda kutuzalia mkombozi
@rweyemamurweyongeza48792 жыл бұрын
Nyimbo ni nzuri sana, natamani nipate saa ya ukutani yenye picha Mama yetu Bikira Maria, ila iwe memory card inayoimba nyimbo za Bikira Maria
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa Ndugu, Nyimbo za Mama zinagusa Sana
@irenegatiba84112 жыл бұрын
So beautiful so solemn. Mother Mary please hear our prayers through this very beautiful melodies
@millicentayugi3659 Жыл бұрын
❤ Mama Maria bikra. Utuombee kwa. Mwanao yesu
@dayneslyimo7100 Жыл бұрын
Ee mama mwema utuombee kwa mwanao Yesu kristo tujaliwe mema yote,hekima na Amani amina
@emilianmanda Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏. Tuombee eeh mama maria kwa mwanao
@jacintamuthinimaweu7026 Жыл бұрын
Amen pray for us sinners
@judithnguli7053 Жыл бұрын
5:38
@MuindiKavili-v2w2 ай бұрын
Mwenzi wa Rosari 2024 mama wa Rosari tuombee kwa mwanao atujalie neema ya maisha yetu
@stevemedard Жыл бұрын
Barikiwa sana
@theresiapatrick7860 Жыл бұрын
Asante sn Mama Bikira Maria muombezi wetu, uzidji kutuombea dunia imejaa madudu
@cyrilanalwelisie15314 ай бұрын
Mama maria tuombee baraka kwa mwana wako,mwezi huu wa Agosti ni mwezi wako na tunakusherehekea,Amina
@AloyceKipangula4 ай бұрын
Amina
@ShyliviaKerubo7 ай бұрын
Asante mama Maria Kwa kutuombea wote tunakupenda siku zote
@AloyceKipangula7 ай бұрын
Amina
@NeemaAlly-l1b Жыл бұрын
Utuombee mama yetu maria🙏🙏🙏
@JosephCosma Жыл бұрын
Nabarikiwa ninapo sikiliza nyimbo za mama bikira Maria
@ambikayves9899 Жыл бұрын
Mama Bikira Maria tuombeye kwa mwanawako Yesu christu atutoe gizani
@nathanngumi846710 ай бұрын
Amina. Ee Mbarikiwa Bikira Maria, utuombee sisi wanao dhaifu.
@marryjoseph73622 жыл бұрын
Naposikiliza nyimbo za mama Maria najikuta nafalijika sana natamani wasichana wote wapende kusikiliza nyimbo za mama Maria Mana Ni nzuri na zina ujumbe mzuri
@zuhurambonde3185 Жыл бұрын
Àmina kubwa
@NeemaMtavangu3 ай бұрын
Mama maria naomba niombeee niweze kuvuka mwaka huu salama 🙏🙏
@ALOYCIAALOYCE3 ай бұрын
Ee bikira maria mtukufu utujalie amani.Amina👋👋
@abrahamkimeliarapchebochok46457 ай бұрын
Am always blessed in listening to the songs of Mother Mary.. Hail holly Queen..
@MuindiKavili-v2w3 ай бұрын
These songs of mother Mary gives us courage of life especially when we pray Rossery
@joeopondo5916 Жыл бұрын
very refreshing dear Mother.Joe Opondo
@veronicamollel8179 Жыл бұрын
Mama Maria usiniache mama yang uwe nami daima nisaidie kwenye kazi zote
@CedricKivindyo Жыл бұрын
Good compilation songs, greatly blessed.
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amen
@fabianmwoshi2 ай бұрын
PF Mwarabu a great Divine inspired composer.
@Godson-e4h11 ай бұрын
Barikiwa Mama Wa Mungu na sisi. Uendelee kuombea ulimwengu ili tupate nguvu za kushinda maovu yote, tukae na nia ya kutakasisha kila wakati roho zetu, tuweze kustahili saa yoyote kuingia Mbinguni. Amen!
@AloyceKipangula11 ай бұрын
🙏
@carrenkemunto9303 Жыл бұрын
The songs are uplifting and a blessing to our souls.Mary Mother of God pray for us.
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@itchyfeetke Жыл бұрын
I love this songs because I remember when my life was in a terrible stage I ask Mary mother of g