Wimbo huu unatupa motisha na matumaini kwamba tusikate tamaa kwenye maisha yetu. Tumtumainie yeye kila wakati bila kuogopa yeyote au chochote. Karibuni tutangaze injili ya Bwana kwa mataifa yote ya ulimwengu kwa kutumia lugha zote maana sisi wote ni wake.🙏🙏 Please show love by sharing widely and Subscribing to my Channel.🙏🙏🙏 Wale hatukuwa tunajua kuzungumza kiNigeria, basi tujifunze kupitia wimbo huu😅😅. Translation Our God is good-Chukwuamaka Mungu wetu wa amani- Chukwubuudo Mungu wetu mwenye nguvu- Chukwudiike Mungu wetu ni wa msamaha-Chukwudiebere
@johngenda60002 жыл бұрын
Hongera sana dada Anna Kwa uimbaji mzuri Mungu akubariki💥🔥🔥🔥💥
@mosesmoticalukumay.30702 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Uzidi kubarikiwa
@anastaciamuema2 жыл бұрын
@@johngenda6000 asante sana John🙏🥰♥️
@moikisambu1492 жыл бұрын
Anatoa kwa haki kabisa great job dada Anne
@getrudawillison69292 жыл бұрын
Wow thanks dear nilikuwa naskiliza wimbo huu kwa muda mrefu sikujua kama ume translate tayari sasa Nimeelewa vzr sana, Mungu akubariki sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@moseti_official2 жыл бұрын
💯🙌🙌🙌🙌💫💥💥💥🔥🔥hii song ni kali sana
@moseti_official2 жыл бұрын
Kwanza the "our lord is guduuu oooh" part😅😅😅😅artistry
@anastaciamuema2 жыл бұрын
@@moseti_official 😅😅😅😅😅 Chukwuamaka!😛
@johnsadiki26572 жыл бұрын
Wimbo unaburudisha, mko smart, na producer 🔥🔥🔥. Soldier on Miss Anne 👍👍👍🤝🤝🤝
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much John🙏😍♥️
@kilangiih2 жыл бұрын
Nyimbo nzuriii Mungu akupe afya njema ili uzidi kumtumikia ili watu waongoke na kumjua Mungu kupitia nyimbo zangu @Anastazia_Muema #USIOGOPE_NJOO🔥🔥🔥
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina! Mwenyezi Mungu akubariki🙏🙏🙏🙏♥️♥️
@marymimina2 жыл бұрын
Sina comment ni kubambika kwanza tu🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Hahahaha! Jibambe to the fullest❤❤
@antoniizcarlow61602 жыл бұрын
Makinya AA me Sawa mwa...sauti nayo ulibarikiwa.. instrumentals🥰🥰🔥🔥🔥🔥...
@anastaciamuema2 жыл бұрын
😅😅 Thankyou so much wamusyi❤❤
@johnsononyereibe92152 жыл бұрын
Hearing my language in a beautiful song like this made me smile and my mind full of joy and gratitude to God. Chukwu amaka, Chukwu bu udo, Chukwu di ike, Chukwu di ebere. God is so good, God is peace, God is great, God is merciful. Thank you very much.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
The language is so beautiful! I like it.🥰🥰🥰
@johnsononyereibe92152 жыл бұрын
Thanks 😊
@getruda8384 Жыл бұрын
Hongera san dad Kaz yako yapunguz majuto ktk maisha yako
@laurentdoriye81172 жыл бұрын
Endless listening to this song, it should be sold at the pharmacy, it treat everything 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Aaaaawwwe🥰🥰🥰🥰🥰. Thankyou so much Laurent.🙏🙏
@elizabethadhiambo1567 Жыл бұрын
@@anastaciamuema byadha hizi nyimbo zako inaeza fanya mtu aende church hatakama hataki
@lopusingiromoses61092 жыл бұрын
Leo nimejua ki-nigeria,Asante Sana dada yetu,unatubariki Sana kila wakati,,na Mungu Aendelee kukubariki pia kwa kazi yako,Arusha Dancers wako mwaaah🥰
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Hahaha! Asante sana rafiki yangu🙏🙏♥️♥️ Share the link widely♥️♥️🤗🤗
@InnocentNduwimana-bh8zv Жыл бұрын
Nakukubali mama la mama. Unaimba vizuri kabiisa. Mungu akuongezee baraka popote ulipo. Nakufolo kutok burundi exactly bujumbura
@maryachia3673 Жыл бұрын
😅lollipop to be busy mukwano I have been 0
@neemasekalinga8052 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana hongera miss Anne
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Neema🙏♥️
@eaglestarmwendeisaac78822 жыл бұрын
Dada mrembooo❤️sauti ya kumtoa nyoka pangoni...Am blessed ✅
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Cess🙏🙏🙏
@bensonkiraga14592 жыл бұрын
Waaah au sure n mrembo kwl
@benisomjukuu16982 жыл бұрын
Hongera dada #254 watubariki
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana!🙏♥️
@jeniphapaul12707 ай бұрын
Mpiga kinanda haki umeuaaa❤❤❤from tz
@paulmziba10602 жыл бұрын
ANNE nakuita tena ANNE, asee hongera sana with your dancers, mmefanya kazi nzuri sana, wimbo mtamu, ujumbe murua, hongera kwa Mtunzi, sauti na picha zimenogesha sana, dancing style, kwa ujumla unaburudisha, unatafakatarisha.n.k
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Aaaaawwww❤❤❤❤.. Asante sana mwalimu wangu🙏🙏. Asante sana for this compliment. It makes me smile.😊😊♥️♥️
@NoteSacre4932 жыл бұрын
Wonderful, wimbo mzuri, mmependeza uvaaji, madancer, organist pia, kila kitu perfect, hata OGA pale Nigeria amekubali
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Alfred🙏♥️😍😘 Eti oga😂😂😂😂😂
@kawawambatha93472 жыл бұрын
Wimbo wakutupa matumaini. Love it 🥰🥰🥰"our God is good ooh"
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏. God is good all the time🤗
@AbibaMutanga-qg5et Жыл бұрын
❤❤❤Mungu akuzidishiye kipaji icho chawimbaji
@STEVE-zd7ou2 жыл бұрын
Boooom!!! another hit from my favourite ❣️❣️🤛🤛wueeh💯USIOGOPE NJOO💪💪
@anastaciamuema2 жыл бұрын
AMEN AMEN. Be blessed Steve🙏♥️♥️
@princedominic8776 Жыл бұрын
Nyimbo zako ni tamu sana utaenda mbali kwa jina la Yesu utakuwa Diamond wa gospel in future
@mariajilala70932 жыл бұрын
Woow!! Amazing!! Kazi nzuri sana sanaaaaa ❤️
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Maria❤
@bonnyboniface589211 ай бұрын
My favorite song wow i ril love your gospel music so so much Anastasia. Watching from Uganda 🇺🇬 the Pearl of Africa 🌍 much love Sister 💓
@rachelsanga53902 жыл бұрын
Hongera dada Kwa wimbo mtamu hakika nyimbo zako zinanibariki
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏🙏🙏 Ubarikiwe sana dear❤
@valleyrocktravellers20072 жыл бұрын
Hongera Sana Dada Anastacia kwa kuijilisha kwa nyimbo nzuri. Mungu azidi kukuongoza katika uimbaji 🙌🎉🎉
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏🙏. God bless you 🤗🤗
@georgemwangimiano52422 жыл бұрын
Keep up , Kuna score sheet ya song
@MsaniiRecordsEastAfrica2 жыл бұрын
Kazi nzuri kama kawaida. Go girl go. Mungu Mbele👏👏👏
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Msanii Records! Tuko pamoja my people.❤❤❤
@richardallengurisha8520 Жыл бұрын
I like this song but it voice and dancer mmmmhhh unaimba kinaijeria hongera my queen
@bonheurmutshikimo22972 жыл бұрын
wimbo huu ni tamu kabisa,ina nipa amu yaku komesha imani yangu ndani ya mama yetu eklezia katolika
@anastaciamuema2 жыл бұрын
AMINA🙏 We should all be proud to be catholics.💪💪💪
@bonheurmutshikimo22972 жыл бұрын
napenda ku pata number yako sa simu dada yangu🙏
@getrudawillison69292 жыл бұрын
Wewe Dada umenibariki sana 👏👏❤️❤️❤️❤️
@anastaciamuema2 жыл бұрын
AMINA🙏🙏♥️♥️
@getrudawillison69292 жыл бұрын
Nimetoka kanisan natumai tutakuwa live pamoja leo,
@ernestmagunus37882 жыл бұрын
Umetisha Dada Upo vizuri sana
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana🙏🙏❤
@kinyanjuicarlos88992 жыл бұрын
Ray ufunguo' everything he touches turns to Gold' man is a blessing indeed!
@choralesaintvincentdepaul95832 жыл бұрын
Very very good 👍👍 tamu sana kabisa ❤️❤️❤️
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Alexis🙏♥️♥️♥️
@zdy373 Жыл бұрын
Song perfect, dressing perfect. Sound perfect. Team perfect.
@st.gregorythegreatchoir8432 жыл бұрын
Anne hujawahi kosea, tamu sana aseee........ Hongera sana kwa kazi nzuri sana, tunaenda kwa Yesu
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana dear. Tumshukuru Mungu kwa yote🙏🙏🥰🥰🥰
@agnesmueni655 Жыл бұрын
Napenda song Zako sna my dear be blessed ❤❤❤❤
@marklinecherono33772 жыл бұрын
Congratulations dear nyimbo zako huwa zinabariki moyo wangu keep it up dear, sauti nayo wauw💐👏
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana dear❤❤ Amina🙏🙏🙏
@inyasgabriel6213 Жыл бұрын
Unatubariki sana sister ANA Mungu azidi kukupa maarifa zaidi
@jumaanthony49382 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Anastacia ❤️ na Ray Ufunguo,keep going , always my mentor
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Juma.🙏😘♥️🥰
@jumaanthony49382 жыл бұрын
@@anastaciamuema Humbly welcome❤️
@princedominic87762 жыл бұрын
Finally the song I have been waiting for is out thanks for good masterpiece God bless you Ann
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Aaaawww🥰🥰🥰. Thankyou so much for waiting! Be blessed dear🙏♥️🥰
@rodneyndege64012 жыл бұрын
The song is on fire . My favorite pianist Ray ufunguo ✍️ congratulations we are looking forward to reach One million view in few months let's just put God first
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amen Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏 From your mouth to God’s powerful ears!🙏🙏♥️♥️
@johnkamaugichingiri98812 жыл бұрын
Greetings, the song is Heavenly made and a masterpiece, classic with pleasant presentation, beautiful choir, blessed 💖🌹🙏
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much John🙏🙏
@scholasticaelias27942 жыл бұрын
Huu wimbo 🔥 mtamu sana hauchoshi kusikiliza aise nafarijika sana, hongera sana Mungu awabariki🙏🤗
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏. Ubarikiwe sana Scholastica🙏🙏
@scholasticaelias27942 жыл бұрын
@@anastaciamuema 🎼🙏
@ChisakaChris8 ай бұрын
nyimbo zako zimefanya nijue sauti yangu ubarikiwe ana
@israelm.14812 жыл бұрын
Wimbo mzuri,tuzidi kumtukuza Kwa nyimbo
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏🙏
@agatonngailo66322 жыл бұрын
Honger wimbo mzur mtumish wa mungu
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏🙏
@elfridaishengoma31452 жыл бұрын
Hongera hakika umebalikiwa
@dimitriosbyabato8812 жыл бұрын
Wimbo nimeusikilza tangu asubuhi hadi jioni siuchoki. Hongera sana dada kwa kazi nzuri
@davidkaviti2 жыл бұрын
Moto sana Ann Usiogope Njoo 😍💯💯
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana❤ Amina♥️🙏
@BisabavurikiLaurent Жыл бұрын
Mungu abariki kipaji chako, napenda sana nyimbo zako
@bernadettemwende88622 жыл бұрын
Eeeeiiish ❤💕💕💕💕 Hongera Ann kwa Kazi Safi. 😍 You never disappoint. Its always hit after hit. 😘 Mwenyezi Mungu akuzidishie neema ya kutangaza injili yake kwa uimbaji. 😍💞
@charlesomahe4622 жыл бұрын
Hujawai kutuangusha. Unaupiga mwingi sana katka kristo hongeraaa
@anastaciamuema2 жыл бұрын
AMINA🙏 Asante sana kwa kutazama!♥️
@assumptermwende5284 Жыл бұрын
Gracias por recordarnos que nuestro Dios es bueno hace falta recordarlo todos los días. Siga evangelizando con su música chica.
@kingofcassavachannel92272 жыл бұрын
Amen Amen 🙏, 🙏. 🙏 🙌 👏❤ 👏, wimbo mzulisana. Keep blessed all of you.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much and be blessed❤🎉🎉
@albinenjoroge6526 Жыл бұрын
Wow..i love your songs Ann❤️ The guy who is always smiling.😊 Mostly at the center, really inspires me♥️
@norbertnoel24292 жыл бұрын
Ubunifu mkubwa sana kwenye kinanda. Hongera Mr. Ray na timu yote
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu kwa kipaji alichompa RAJO.🙏🤗🤗🥰♥️♥️
@jeanbaptistebenecigwerheme61448 ай бұрын
Merci d'exister et pour le don et talent qu'Il a mit en vous pour sa gloire et le salut des hommes. Merci beaucoup
@mamaafricah85922 жыл бұрын
Asante Kwa wimbo nakupenda sasa dada unanifariji saaaaana
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana. Mwenyezi Mungu akubariki🙏🙏♥️♥️
@annewangui2197 Жыл бұрын
Angelic voice Annastacia. B blessed
@josephatmagangi3183 Жыл бұрын
Naja tena kwa upesi sana wala siogopi chochote! Nishakuja hata!! Twendee!!!
@estherkinya322 Жыл бұрын
Nice song much love be blessed 🙏🙏🙏🙏🥰🙏🥰 🥰🥰
@suzziekei20412 жыл бұрын
Another favorite added to my playlist.Beautiful voices🥰🥰🥰wimbo mtamu sana.Wacha nianze kuisambaza vilivyo 😊😊
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana dear. Naam nisaidie kuisambaza na utabarikiwa zaidi!🤗🤗🥰🥰🥰♥️♥️♥️
@NovitaMwenda-xp9nu11 ай бұрын
Mungu akubariki sana dada
@doreenchris89892 жыл бұрын
Nimengoja ii wimbo sana🥳Ubarikiwe sana🙏
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Doreen kwa kusubiria bila kuchoka. Ubarikiwe sana mami❤❤
@JeniferAlexlorryLorry Жыл бұрын
Waohhh mungu akubariki kuitikia wito wakewakuifanya kazi zake🎉
@wilkrifurwehabura94242 жыл бұрын
Amen Mwenyezi Mungu awabariki Kwa kuendelea kuwaleta watu Kwa Yesu, Nice Song keep Moving Dada.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana dear Wilkrifu🙏 Ubarikiwe sana.❤️
@frankyseklawi82932 жыл бұрын
AMEN and AMEN may God bless you all 🙏🏻🙌🥰🥰🥰
@getrudawillison69292 жыл бұрын
Ameni my dear siogopi nakuja, "sitashindwa tena" strong message lakini mbona ukisema God is good wale brothers wanaitikia wakiimba maneno ya lugha sielewi maana ya maneno hayo ni nini my dear friend ❤️❤️❤️❤️❤️🤝🤝
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Hayo ni maneno ya ki-Nigeria. Our God is good- Chukwuamaka Mungu wetu wa amani- Chukwubuudo Mungu wetu mwenye nguvu- Chukwudiike Mungu wetu ni wa msamaha-Chukwudiebere
@frankzacharia45262 жыл бұрын
Huu wimbo niliusubili sana.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Barikiwa sana❤
@mathewmule4332 жыл бұрын
Barikiwa sana
@elvirakombe83852 жыл бұрын
Daaah. Hatimae cku Imefika 🙏🙏❤️
@jontesherrif64522 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana hongera sana kwa wote waliofanikisha kazi hii
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Jonte🙏♥️♥️♥️
@jontesherrif64522 жыл бұрын
@@anastaciamuema Karibu sana from Kenya napenda sana nyimbo zako
@peterkesike5926 Жыл бұрын
Nyimbo zako huwa naeza watch the whole day aki zinanipeleka karibu na Mungu sana ,manze Mungu akujalie tu uishi ❤❤
@elivyusalvinus91552 жыл бұрын
mr.ray na ms.anna wanaupiga mwingii hawana kazii mbovuu big up Sana this is Catholic Church in the way of uinjilishaji kwa watu wote
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Elivyus🙏🙏🥰🥰🥰 Tumshukuru Mungu kwa yote.
@marynjeri5404 Жыл бұрын
We have seen your video's and music 🎶 we have enjoyed them we have subscribe them
@imaculatadominic7005 Жыл бұрын
my best catholic singer napenda nyimbo zako daily lazma nisikulize
@selektahiannoh2 жыл бұрын
Wimbo mtamu
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana 😊🥰
@sylvia4302 жыл бұрын
Wow,moto kama pasi❣️🔥❤️
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana🙏♥️
@MasikoHillary Жыл бұрын
God bless You
@JastinMassawe2 жыл бұрын
Woow Anastacia Nazipenda kazi zako always may God bless you 🙏🙏
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amen🙏🙏
@anastaciamuema2 жыл бұрын
To support my ministry Till Number: 9057903 Mpesa No: +254795457774
@jebetmatildasr.53262 жыл бұрын
Hongera Dada for the nice songs, keep the spirit burning.
@jebetmatildasr.53262 жыл бұрын
🌹🌹🌹🌹❤️❤️
@jumanneenos2481 Жыл бұрын
MPESA name?
@anastaciamuema Жыл бұрын
@@jumanneenos2481 Anastacia Muema
@SautiTamu2 жыл бұрын
Hongera sana Anastacia Una bidii kubwa🔥🔥🔥 🥂🥂 To greater heights
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana ST for the compliment.🙏🙏♥️🥰🥰😍 Blessings kwenu pia🎉🎉❤❤
@EstaJunnbosk Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤love ❤️ 😍
@annawanyonyi6855 Жыл бұрын
I like the moves of the dancers, the Nigerian part is just woow,,,, the harmony is wonderful,May God bless you abundantly
@benardmaina6319 Жыл бұрын
Great music, when can it be sang during the mass
@zingiyedeo9211 Жыл бұрын
I think it can suit communion time
@erizabeticharles88572 жыл бұрын
Aisee hongera Sana dada anastacia mamboo Ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana dear❤❤❤
@Alex-k6t2i Жыл бұрын
❤❤ l love you my dear you number one
@sylivesterkessy76442 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana i like it kazi nzuri sana
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Sylivester🙏♥️♥️
@MasikoHillary Жыл бұрын
Wonderful song
@ellyboy27452 жыл бұрын
Naenjoy sanaa kusikiliza nyimbo zenye ujumbe mzuri Ubarikiwe sana Mungu aendelee kuwa pamoja nanyi hongera sana🙏🙏💯
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Ubarikiwe zaidi na zaidi unapoendelea kusikiliza nyimbo hizi.🙏🙏🤗🤗♥️♥️♥️
@annastaciakilonzi3822 жыл бұрын
And by the way,@annastacia muema,wewe ni mkamba ama?😜🙈
@sylvia4302 жыл бұрын
Yeah 😂
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Half-Cast wa Ukambani ya 254 and 255.😅😅
@sylvia4302 жыл бұрын
@@anastaciamuema Ala😅😅😅
@JudyMash-h9z Жыл бұрын
Naomba mungu anijalie sauti kama hii yako mamaaa
@mathahphiri6361 Жыл бұрын
Nice song but try to lyrics in english please
@japhetielias43202 жыл бұрын
Waooooh mashalah 🥰 ubarkiwe Mungu akupe maisha marefu
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou🙏♥️♥️
@kelvinecheloti6881Ай бұрын
Uko fiti dada mungu azidi kuyapamba maisha yako uzidi kumtumikia yéyé nyimbo tam sana
@gregorywanzetse14972 жыл бұрын
Kwa hakika huu wimbo ni mtamu sana. Mungu akupe maisha marefu ili uendelee kumsifu kupitia uimbaji.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
AMINA🙏🙏🙏 Asante kwa kutazama na ubarikiwe zaidi🥰🥰🥰
@doreennzisa27412 жыл бұрын
on onother level keep winning dear 👏
@anastaciamuema2 жыл бұрын
AMEEEN🙏🙏🙏♥️♥️
@anastasembarushimana Жыл бұрын
Nyimbo zako ni tamu sana ni shabiki wako kutoka nchi ya Rwanda kabisa enderea Mungu akubariki🙏
@ozanasylvester36632 жыл бұрын
Kazi nzuri pongezi kwa wote mliofanikisha kazi hii. Your Internation
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana. Ubarikiwe sana🥰
@antipascann27972 жыл бұрын
Tangu jana hadi sasa hivi bado upo on repeat,i cant explain how i feel wimbo mtamu hvi ukiimbwa kwa sauti ya kimalaika na ubunifu wa hali ya juu kiasi hiki,am so proud of you anastacia......God keep blessing u
@felistusmbesa40532 жыл бұрын
So excited about the song too, a nice one🔥
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Aaaawwwww🥰🥰🥰. Thankyou so much Antipas Cann.🙏🙏🙏 May God bless you too😊😊
@anastaciamuema2 жыл бұрын
@@felistusmbesa4053 I’m so glad you love it.😍😍
@veronicanthemba55012 жыл бұрын
Congrats Ann 👏👏 wimbo wabariki kweli kweli.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana dear. Amina🙏🙏
@marianagregory66402 жыл бұрын
Ray na Anastasia , hongereni sana mnaiwakilisha vizuri Tanzania. Nikija Arusha nitawatafuta.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana. Ubarikiwe sana😊
@annastaciakilonzi3822 жыл бұрын
The flexibility,the gesture,tells it all....congratulations....continue blessing people darling...I can't get enough of your songs... wueeeeeh 🤔am in Love.....sauti nayo!si umebarikiwa!!God bless you❣️
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much namesie❤❤❤ Be blessed abudantly!😊🙏🙏😍😍
@michaelmuimi98112 жыл бұрын
Already 5.2K views in 7 hrs, thoughly 1k Views per hour. Magnificent singing with modern styles. Hakika kwa bwana kuna baraka na uzima furaha pia amani tele.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Michael for the compliment🥰😘♥️♥️. Hakika kwa Bwana kuna uzima na amani tele.🙏🙏🙏
@PrincesyMakoga8 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia nabarikiwa sanaaaa na nyimbo zako