Wimbo huu ni kwa ajili ya wana ndoa wote na wale wote ambao wana ndoto ya kuwa kwenye ndoa. Walioshiriki kama bwana na bibi harusi kwenye wimbo huu wamefanya maigizo tu. Mbarikiwe sana mpoendelea kutazama wimbo huu na mwenyezi Mungu alinde familia zote duniani nzima. Show Love by subscribing and sharing WIDELY. Nawapenda sana🥰🥰❤
@thepebrisfamilygracedbless66682 жыл бұрын
Na Kwa taarifa Yako, waigizaji wooote wamefanya kazi Njema Kabisa na ya Ziada Hadi ikakaa real Kabisa... Keep up the good job and more love to all who contributed inc. Ray, my Friend "Bwana Harusi", Arusha Elite D and all... Ndoa Zote zizidi kubarikiwa na huu wimbo especially yangu. Pamoja Kabisa in this Princess🙏💪
@agathaogola53092 жыл бұрын
Wonderful,may God bless you 🙏
@nzingamwanza55912 жыл бұрын
Ata kama ni wimbo ambia mark hakuchangamka vizuri kama mzee mzima😂🤣it should look like real
@OnesmusDM2 жыл бұрын
The work is blessed. Be blessed too
@yasinimwengwa57262 жыл бұрын
Asante Sister ubarikiwe
@frankzacharia45262 жыл бұрын
Wow...!!!! Nice song hakika hujawahi kufeli katika muziki, hujawahi kuniangusha kwakweli. Hongera sana my beloved dada anastacia.💞💕❣️
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Frank❤ Asante kwa kuniaminia😃😃 Nitajaribu tu polepole.🙏🙏
@michaellemoyan4592 жыл бұрын
Hakika 🙋♀️ Nimebarikiwa sana na wimbo huu! Hongera na Mungu akupe afya Njema Ili uendelee kutuletea mengi Mazuri
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏🙏 Unlbarikiwe sana🎉
@CatherineMartin-j6g14 күн бұрын
Nakupenda Despina mdogo wangu kazi safi kabisa
@otuke562 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana .Huu wimbo utakubalika kenya Tanzania na wote ambao wanapenda nyimbo za catholic
@anastaciamuema2 жыл бұрын
AMINA🙏🙏🙏🙏
@mutisyajohnmutuku25902 жыл бұрын
Kongole Tena mamaaaa. Wimbo uliotungwa kwenye mizani takatifu kweli kweli. Zidi kubarikiwa...
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina! Tumshukuru Mungu kwa yote🙏🙏🙏♥️♥️♥️
@Nikolausdminde Жыл бұрын
Wanandoa wanaskia ujumbe kupitia hii kwaya jaman tueshmu ndoa takatfu
@mkulimadigital2 жыл бұрын
Kazi safi , sauti tamu, ujumbe bomba
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Mkulima Digital❤❤
@roselyneachieng76382 жыл бұрын
Woo pongezi 🎓💫💫💝💞🎹🎹♩🎶🎵🎧🎤🎛🎺🎻📻📣📢 dada Ann kzi nzuri
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Roselyne🙏🙏🥰🥰
@martinnganga2 жыл бұрын
Hongereni sana Anastacia, Ray, Miller na wote waliofanikisha kazi hii nzuri. Inapendeza sana
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Martin🙏🙏🥰🥰
@stevenonyisi2042 жыл бұрын
Onyisi Steve from Kenya, nishapata wimbo imebaki tu huyo wangu sasa 😊🤩😍, this is excellent
@stephenooko93232 жыл бұрын
💕onyisi tufanye Ile kitu song isambae bro
@anastaciamuema2 жыл бұрын
😅😅😅😅
@anastaciamuema2 жыл бұрын
@@stephenooko9323 please share widely🙏🙏
@christine40722 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣
@muthoniephraimofficial9592 жыл бұрын
Nko hapa
@aneciavenance98612 жыл бұрын
Hongera saaana dada yetu....nimeupenda saaana
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana my dear❤
@spjr83812 жыл бұрын
God bless you Anastacia , it is a very good song🔥🔥🔥🔥🔥
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Fr. Peter♥️♥️
@julitamassawe30152 жыл бұрын
Mungu aendelee kukubariki dada yangu asante sana kwa nyimbo nzuri 👏👏👏❤🌹😍🙏
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Julita. Ubarikiwe sana❤❤
@evansileli16802 жыл бұрын
wow! congratulations 👏 my brother Mwalimu Mark na Anastasia Muema. huyu Ni mfano Bora kwenu na pia kwetu Sisi. this is blessed song. barikiwa Sana Ray Ufunguo Kwa Zawadi ya talanta yako.
@alexmusyoki91422 жыл бұрын
Novasongetwe....song ni nice I ipo siku itakuja kuskizwa kwangu
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏🙏
@josephokello59512 жыл бұрын
Ann mimi sijui nitakufanyia nini ili tuweze kupongeza hii talanta nzuri ambao ulipewa na mwenyezi mungu na unitimiza kwa kuitumia vizuri but first let me just begin by praying for you my dear sauti ulipewa mno salimia raymond pia
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Hahaha!!! Hata usiwaze sana rafiki yangu. Cha mno ni uniombee kwa Mungu anipe nguvu, afya na uwezo wa kuimba zaidi. Shukran sana❤🙏
@clarablantinakorir24262 жыл бұрын
@@anastaciamuema Nyimbo nzuri🥰🥰 mungu azidi kukubariki
@anastaciamuema2 жыл бұрын
@@clarablantinakorir2426 asante sana mamii♥️♥️ I miss you🤦♀️☺️☺️
@clarablantinakorir24262 жыл бұрын
@@anastaciamuema Hope to See you soon dear❤️
@stephenmutuku371427 күн бұрын
Nothing to give you,only to pray God to bless for your talent and leave long life in the earth..
@alicewacharo91102 жыл бұрын
Wooooow hadi nimempenda zaidi chaguo langu la moyo❤️
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Aaaaawwww❤❤❤. Asante sana my dear❤❤ Nitakuja kuperform kwa harusi yako for free😅😅
@augustinomkongwa5444 Жыл бұрын
Amazing song Anastasia Muema sijawahi kujjuta kusikiliza nyimbo zako👍
@anastaciamuema Жыл бұрын
Amen🙏. Ubarikiwe sana mpendwa!
@annekavata12 жыл бұрын
Wow...I really like your music..lazima nifanye harusi niimbee huu wimbo
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Aaaawwww… may that come to pass!♥️
@florencemusungu154 Жыл бұрын
Mungu niletee huyo Wangu Sasa nimengoja Kwa magoti miaka mingi
@anastaciamuema Жыл бұрын
Amina🙏🙏🤓🤓
@ambrosekilonzo7520 Жыл бұрын
Utapata in Jesus name
@edwinmurithi41132 жыл бұрын
Sauti nzuri mbarikiwe,,,kazi safi Ufunguo
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana na Ubarikiwe pia.🤗
@josemaxwelltheeactor2726 Жыл бұрын
Wimbo wakuimizana kwa mapenzi I love that song inanifanya nikumbuke my ex Claire aliye nipea penzi mwishowe akaniacha
@anastaciamuema Жыл бұрын
Pole sana!🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂
@BEATRISIAMANIMO-vi6rp Жыл бұрын
Hizo ni changamoto ambazo zipo, ukiona unaachwa jiachishe mwenyewe kabla mda wenyewe haujafika wa kuachwa
@nicholasmuema76212 жыл бұрын
Inapendaza ajabu. Zidi kutubariki kwa sauti tamu.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana🙏🙏🙏♥️♥️
@benedictanzilani86222 жыл бұрын
Wonderful one keep it up Anastasia
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Benedicta🙏🙏🥰
@johnwangari29552 жыл бұрын
wow wow beautiful and very nice song siz anna mungu azidi kukuinua
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏🙏🙏 Ubarikiwe sana kakangu❤
@DavidWekesa-iu1dw3 ай бұрын
Barikiwa kazi poa
@anthonykilosa61792 жыл бұрын
Hongera sana Dada yani hii Dunia kuna RAY UFUNGUO MMOJA TU🙌🙌🙌🙌 Bravo and super @RAJO PRODUCTIONS🔥🔥🔥🔥🔥
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Yaani haujakosea hata kidogo🙏🙏😊🥰. Ray please come here and see this good compliment!🤗🤗
@rajopro2 жыл бұрын
Asante sana Anthony. Tunamshukuru Mungu kwa vipaji alivyotujalia. Ubarikiwe sana.
@rajopro2 жыл бұрын
Ni Mungu aliyegawa vipaji. Tuzidi kumshukuru. Asante sana Anthony
@MasikoHillary Жыл бұрын
Wao.Its a nice song.God bless You.
@anesiehumaissa27372 жыл бұрын
Hongera sana dada kwa kipaji chako na nyimbo nzuri
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Anesie. Ubarikiwe zaidi♥️
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Karibuni kwenye channel yangu ya pili. Kwenye hiyo channel nitawaletea matukio mbali mbali. Please support me. SUBSCRIBE, LIKE, SHARE and COMMENT.👉👉kzbin.info/www/bejne/fYTQgqdrf9CmeZY
@joshuandege79942 жыл бұрын
Ahsante my dada, mungu azidi kukuinua ktk huduma yako, sauti tamu
@KalltuniClassics2 жыл бұрын
Amazing... Uolewe sasa🤓🤓🤓
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante. 😂😂😂😂
@KalltuniClassics2 жыл бұрын
@@anastaciamuema 😂😂😂😂
@sofiamfaramago3820 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi nzur
@st.gregorythegreatchoir8432 жыл бұрын
Jamaaani kazk safi Sana'a hoongera sana Anne na Rajo productions kwa kazi nzuriii aseee
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana. Baraka za Mungu ziwe juu yenu.❤
@winnieakinyi43372 жыл бұрын
I love it so much it doesn't seem like an act but looks like a real you and your husband. Good job keep it up my siz.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
It’s acting.😃😃😃 Thankyou and be blessed!
@Princemijele2 жыл бұрын
It doesn't look like an act😂😂
@dennismukhaya76062 жыл бұрын
Nzuri tena zaidi! Hongera kwa kazi safi ya kumtumikia Mwenyezi Mungu.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏🙏🥰🥰 Ubarikiwe sana Dennis🙏
@evamwambogolo31342 жыл бұрын
Congratulation my dear friend Anastacia.Uko vizuri dada.Mungu bariki kazi ya Dada yetu
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana dada Eva🙏♥️
@maggymbula5742 Жыл бұрын
Anastacia and Mark Miller ...... beautiful song there👏👏👏
@perisnyawira868Ай бұрын
Nmepata wimbo....... Sasa Mungu acheze kaa yeye
@despinae.mdende2 жыл бұрын
Safi Sana Anna.hongera Sana Kwa wimbo Mzuri.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana dadangu Despina.🙏🥰♥️♥️
@restitutadaniel61022 жыл бұрын
Anna may God bless you
@anastaciamuema Жыл бұрын
@@restitutadaniel6102 Amen. God bless you too
@catherinembabaz10312 жыл бұрын
Congratulation Dadaetu kwa wimbo huoo Mungu akuzidishie Imani
@AntoniaLeonard-m7h Жыл бұрын
Kuchunguzana ni jambo jema kabula ya. Kuingia katika. Ndoa😂😂😂❤
@MichaelGombeye-h3c21 сағат бұрын
Mung akubarik hakik amekup kipaj cha kutumikia utume.mungu"abarikiwe wimb mzr sana
@jacklineawuor14172 жыл бұрын
Amazing awwwwww 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 congrats girl finally my wedding song is here..sasa natafuta mtu 😂😂😂👏👏👏🥳🥳🥳🥳
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thanks alot dear!!🥰🥰🥰🥰 Huyo mtu na apatikane haraka iwezekanavyo.🤦♀️😅😅
@jacklineawuor14172 жыл бұрын
@@anastaciamuema kabisa namsaka 😅
@francnic8617 Жыл бұрын
Wimbo nishapata huyo sasa ndo amebaki..great song
@jeanbaptistebenecigwerheme61448 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu yenye ku jaa furaha, amani na nehema zote unayohitaji kwa kumtangaza katika nyimbo tamu. Vit longtemps pour nous!
@fidelismainga43472 жыл бұрын
Asanti sana Kwa wimbo Bora ubarikiwe naupenda sana wimbo huu
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Fidelis. Tumshukuru Mungu kwa yote🙏🙏🙏
@yvonnendinda3042 жыл бұрын
Beautiful song💜💜😊
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thanks gal❤
@agnatorkavengi24642 жыл бұрын
Duru za kuaminika zinasema congratulations....the song is sooooo nice
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Hahaha! Asante sana dear❤
@josephinewanjiku67538 ай бұрын
I pray that I will have this song played on my wedding day as our exit song. So God hear me🙏
@gosbertrutayega45462 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana, Mungu akujalie mme bora toka kwa Mungu. Mimi ni shabiki yako sana. Ubarikiwe sana
@anastaciamuema2 жыл бұрын
🙏
@frederickalloys63282 жыл бұрын
This is wonderful Anne, keep it up x🙏
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Alloys❤
@SautiTamu2 жыл бұрын
This is dope👌 awesome piece You nailed it.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Sauti Tamu♥️
@CharitySheryl-mi1tr Жыл бұрын
Can't wait to sing this song on my wedding day 😂😂🙈imebaki huyo man sasa 😂🙈
@neemaanyango Жыл бұрын
Mungu na akupatie
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Ukihitaji kutumia WEWE NI WANGU kama SKIZA TUNE yako send SMS “SKIZA 5968707” to 811.
@paulinendulu66262 жыл бұрын
Hongera Sana Classmate.Sauti ya Malaika.
@annieannie45142 жыл бұрын
Anastasia,somo,more love❤️❤️
@elishawema92192 жыл бұрын
Skiza
@joycetonya99722 жыл бұрын
Sijaelewa hapo unatumaje Dada Muhema?
@I.am.Mbinya2 жыл бұрын
A good song. I love it.
@barakakusa76062 жыл бұрын
Wimbo ni mzuri Sana,unanishawishi nianze kutafuta wangu wa maisha sasa
@anastaciamuema Жыл бұрын
Mungu akutangulie!🙏
@christinekeah18732 жыл бұрын
Wow congrats gal....nice song
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou Christine🙏😍
@bonifacesilvan3072 жыл бұрын
Nzuri afu nzuri Tena congrats madam
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana❤❤
@NuluRamadhani Жыл бұрын
nimefurahi sana kubarikiwa kupitia huu wimbo
@lusemejamesmatogolo85102 жыл бұрын
Aiseee unajua kujitabiria ipo siku.......!
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Hahaha!
@JenniferBenson-kp4hg Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu ana
@paulmziba10602 жыл бұрын
Hongeren sana washiriki wote, Mungu akubariki Anne kwa kuendelea kutuletea kazi nzuri sana ya kuinjilisha
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana mwalimu wangu❤ Asante kwa sapoti🙏😊
@st.gregorythegreatchoir8432 жыл бұрын
@@anastaciamuema Pamoja mamy
@noellamakemba11832 жыл бұрын
Mimi napenda sana kuimba and one day l will come to Tanzania to sing with see you.🇺🇸🇺🇸 mungu akubariki sana dada Anastacia ❤️❤️
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Noella. Ubarikiwe sana❤
@janethkavishe56002 жыл бұрын
@@anastaciamuema Hongera mamaa, one day it will be in reality when others will sing to you. Keep on praying to God
@janethkavishe56002 жыл бұрын
@@anastaciamuema Actually I like your talent, keep it up
@anastaciamuema2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏😅
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much🙏
@lwangakajembula80852 жыл бұрын
Hongera dada wimbo mzuri Mungu akutie nguvu
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana. Amina🙏
@stevekatumo63182 жыл бұрын
So touching 🔥🔥🔥🔥
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amen🙏♥️
@piussimon70622 жыл бұрын
Dada hakika we fundi wa kuimba katika nyimbo za mungu we umemaliza dahh nafurahi sana hata nikiamka usiku nasikiliza tu hii Ngoma duhh ray mmejaliwa sana tena sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🎈🎈🎈
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Pius. Tumshukuru Mungu kwa yote.🙏🙏Ubarikiwe sana😊
@piussimon70622 жыл бұрын
@@anastaciamuema Amina sana jamn ubarikiwe na wewe
@immmaculate28812 жыл бұрын
Beautiful ❤️
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou❤
@mceerickymbesa15972 жыл бұрын
Wimbo mtamu 🤗🤗🤗🤗 Mungu azidi kukubariki
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏 Ubarikiwe pia🎉🎉
@jacklineawuor1417 Жыл бұрын
Congratulations Annie.. finally we're at 1.1M views....kazi safi 👊👏👏👏👏👏❤️❤️❤️❤️
@janetomyonga89022 жыл бұрын
Anastacia, you have a very beautiful voice as always. very soothing music
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Janet🙏🙏🥰🥰
@carolinereuben22259 ай бұрын
My best song ever and finally was played as walked down the aisle ❤❤
@anastaciamuema8 ай бұрын
Wooow!! Congratulations 🎉❤
@didackybarasa33078 ай бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉❤❤❤
@patriciambithi49802 жыл бұрын
Excellent job, hongera dada Annastancis. 👏
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Patricia🙏🥰🥰
@sallyrotich72972 жыл бұрын
wow😍😍,Amazing song
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Sally🙏🙏🥰🥰♥️
@consalbakasuga36842 жыл бұрын
Wow!! Mungu anazidi kukuinua na kukupandisha viwango vya juu kila siku May Almighty God grant you more wins
@anastaciamuema2 жыл бұрын
AMEN AMEN to this prayer. Be blessed Consalba.🙏🙏
@consalbakasuga36842 жыл бұрын
@@anastaciamuema Amen dear ccy ur my role model nakupenda ❣️
@okudraalfred16692 жыл бұрын
Such a wonderful piece, i feels like wedding by listening to this cool piece, may the Lord bless u Dear Anastacia- My daily meal from Uganda. Big ups from my choir in Adjumani (CAC-Choir)
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Okudra🙏 Be blessed abundantly!😊
@villazpiuz9416 Жыл бұрын
ii imeenda ii....blessed the guy who won the heart of this beutiful creature...nyimbo tamuuu
@clementkinyua46552 жыл бұрын
Tamuuu...
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Clem❤
@jordanlanga38532 жыл бұрын
Kazi nzuri kabisa kwa yote ,mkono wake mungu baba yetu imi bariki
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏 Ubarikiwe sana Jordan😊
@BenedictusJuniorKE2 жыл бұрын
Ann am closely following all your songs and i can say, you are doing alot of evangelising, na nengi niiw'a muyo noona ann witu aendeeye o nesa, keep up my sister😍🥰
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Ni muvea muno Benedictus. Baraka tele kwako.🤗🤗
@michaelmumo12 жыл бұрын
Tamu sanaaa... Congratulations 🎉🎉
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Michael🙏🙏🥰🥰
@OrganistjamesKtZ2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Wimbo Mzuri sana@Annastacia Muema
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Munene🙏
@maryjcharles23062 жыл бұрын
Hakika kabisa....na Ray huwa habahatishagi
@charitymuingo28102 жыл бұрын
Awesome . You should sing at my wedding I love this song
@anastaciamuema2 жыл бұрын
I will sing for you. Thankyou so much♥️
@michaelshayo1872 жыл бұрын
Wimbo mzuri sanaaa Hongera kwa kazi nzuri unazidi kupanda viwango
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Michael. Tumshukuru Mungu kwa yote.🙏🙏🙏
@robertmjomba82202 жыл бұрын
If you talk of good music talk of Anastasia. pure talent keep it up
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Aaaawwww😊. Thankyou so much Robert.😊
@davidmacharia31942 жыл бұрын
Haiya, endelea kuihubili injili dadangu. I love the song.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina kaka David❤🙏
@anniebonnie25782 жыл бұрын
My girl at it again🥰🥰🥰
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much❤
@theodoreitambu79772 жыл бұрын
Asante anastacia kutuwekea dedication wanandoa ubarikiwe sana
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Karibu sana! Mwenyezi Mungu abariki ndoa zote alizozianzisha yeye.🙏🙏🙏
@JanuariDodo-j8q Жыл бұрын
I play this song in my weeding day god bless my prayer 💐🌹🌷🌸🌿🍃☘️🌴🌲💮🌻🌾🍁🍂🍀🌵🌱🌼🏵️🌺🥀
@thepebrisfamilygracedbless66682 жыл бұрын
What a Great Job Miss Anne..👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏📯🎉
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Thankyou so much Peter🙏🙏. Be blessed😊
@mercykavaya52842 жыл бұрын
NA MWENYEZI MUNGU ATUJALIE SOTE SACRAMENTI YA NDOA
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Amina🙏🙏
@evedamianimwashiongo Жыл бұрын
@@anastaciamuema I'm
@urbanusmutua34972 жыл бұрын
Kazi safi sana. Hongera.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana. Ubarikiwe wewe na nyumba yako!🎉🎉
@urbanusmutua34972 жыл бұрын
@@anastaciamuema Asante nawe pia
@Nikolausdminde Жыл бұрын
Jambo Landon sio jambo dogo ndoa inaitajita uvumimlivu ndio maana wazazi wetu waliweza kutulea wamevumilia mengi na sisi tuige mifanno kwao
@BEATRISIAMANIMO-vi6rp Жыл бұрын
Umenena kabisa
@bridgetmunyiva95862 жыл бұрын
How I love love your songs.i usually listen continuously, repeat,repeat!what a talent. Anna you're going far. God bless you for blessing us withsongs. Tamu sana!tamu sana.
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Bridget. Asante sana kwa matamshi mema kwangu. Ubarikiwe mno dada yangu.🙏🥰🥰🥰
@engineamwayi58579 ай бұрын
Tunaomba ata sisi tufuke hapo tupate sacrament ya ndoa Kam wakatoloki
@hellenngula30012 жыл бұрын
Go go girl,🥰🥰🥰 We r proud of you....sweet song Harusi ninayoooooo💖💖💖
@anastaciamuema2 жыл бұрын
Asante sana Hellen❤
@kingcyrus782 жыл бұрын
Mtu Yuko tayari, wimbo ndio huu Imebaki harusi takatifu. Anastacia muema ndie atakuwa mgeni wa heshima apaform huu wimbo