Bongo kuwafikia wenzetu bado sana. Wenzetu wanatumia ubunifu, maarifa, peza nyingi na juhudi. Sisi tumejawa ubinafsi, pupa ya pesa za sanaa, uzinzi na hatuna bajeti wala ujuzi wa sanaa... 😢
@ShedrackRajabu-g1cАй бұрын
Japokuwa umetupanda wabongo lakini umesema kweli ndivyo tulivyo ❤❤
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
@ShedrackRajabu-g1c sio kuponda ndio ukweli. Kwanza wenzetu huwezi kukuta kila msanii anamiliki channel ya KZbin kama wasanii wetu Bongo. Ukifanya nao kazi bila kuwaruhusu wafungue channel zao wanasema ni unyonyaji wakati nchi za nje huwezi kukuta kila msanii anachannel
@NailaMickeyАй бұрын
Kweli mtu movie mbili tuu ashavimba kujiona anahela alafu wengine wakishirikishwa wanajitoa kwenye makundi kutaka kutengeneza channel yake shida tupu
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
@@NailaMickey Tz inatia hasira sijawahi kuona. Kuna watu hawajawahi kuigiza hata siku moja na hawana vipaji vya sanaa, unawaita njooni tuigize wanakuuliza utatulipa shilingi ngapi 🙆♂️ Akija umfundishe, umrekodi, umpe usteling, nahuli, chakula na anataka kulipwa tena... WaTz ayseee