Wazungu 😂 huwa wanaumiza vichwa ktk kuandaa filamu zao 😂 Mbongo hawezi kuandaa filamu ya namna hii
@BabyCappuccinoBabyCappuccino10 күн бұрын
Wabongo sio kwamba hawaumizi kichwa kuandaa filam zao tatizo pesa hawana wanaandana kitu kikubwa bajeti ndogo unakuta movie episode one had inafika episode ya Kumi watu hao hawajala wala hawajaoga movie ni mchana tu haina usiku inaonyesha ata nyumba wanazochukua kufanyia kazi zao hawaruhusiwi kushoot usiku watu wanataka walale bas mtihani wenzetu comedy tu mtu anaweka pesa za maana kama movie vile sisi uku comedy watu wapo kijiweni wanaongea ongea tu tukitoka apo tunasifia aaah jamaa wanajua sana ukicomment unaambiwa haya igiza wewe tuone😂😂😂😂😂 bas mtihani wanajitaidi sana shida hawana pesa