ANGALIA BUSU LA ZUCHU KWA DIAMOND UTAPENDA /FULL MAHABA

  Рет қаралды 152,462

BONGO 24

BONGO 24

Күн бұрын

#diamondplutnumz #zuchu #rayvanny

Пікірлер: 216
@AishafuzAbdou
@AishafuzAbdou 4 ай бұрын
Zuchu we nimwanamke jasiri ongera mdogo wangu. i am Aisha from Comoro . I give you Big up dada zuchu
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Zuchu umependeza sana na Bro naye pendeza sana❤️❤️❤️
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 Жыл бұрын
You made my day Zuchu na Diamond, l cant help smilling ❤❤❤❤❤❤ from Holland
@hawajuma3561
@hawajuma3561 Жыл бұрын
Mungu awalinde jmn nawapenda sana zuchu ft mond❤❤❤
@sadahgullam8228
@sadahgullam8228 Жыл бұрын
Ivi we unajielewa yaani unaomba dua kwa vitu vinavomchukiza Allah, maana yake unaombewa watu walindiwe kufanya zinaa huoni unaingia ktk makosa huu ujinga wa kujitakia
@neemamustafa
@neemamustafa Жыл бұрын
Haya wenye Makalio na sura nzuri wako wapi😂😂😂😂😅
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Hahahhahah mapenzi hayachagui uzuri wa sura walaa makalio
@الرمضانيوكليفخر
@الرمضانيوكليفخر Жыл бұрын
Washatiwa kwenye dasmini😜😂😂
@safiniadilunga480
@safiniadilunga480 Жыл бұрын
aaaaaaaa alooooo dunia ina mambo
@irenebeddah6524
@irenebeddah6524 Жыл бұрын
Hapo ndo tunapo feli wabongo. Wamekazana kupigwa visu kila siku. Kutengeneza shep.. 😀😀
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 6 ай бұрын
Hahahaha
@muntueric-oy1ty
@muntueric-oy1ty Жыл бұрын
Hollywood wedding.... Simba is in the house...👏👏👏
@NaomiBupe
@NaomiBupe Жыл бұрын
I love you zuchu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@PolyneKhalende
@PolyneKhalende Жыл бұрын
Am happy to see this I love it 🎉🎉
@alisaidahamed8065
@alisaidahamed8065 Жыл бұрын
C'est dé l'amour beaucoup d'amour ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ machallah 😍😍😍😍😍😍🇫🇷💐💯🦁🦄 je vous j'ador j'ador 👍👋👋👋👋👍❤️😍🇫🇷
@aishaz1
@aishaz1 Жыл бұрын
Mashallah..nawapenda..zuu..n.diamond❤❤❤❤❤
@NelsonDaniel-ou2fg
@NelsonDaniel-ou2fg Жыл бұрын
SIMBA,,VVANI BOY,MOZE IYOBO,DIAMOND PLATNUMZ,BABU TALE,ZUCHU,FAYMA GOOD BLESS PATY.
@themicbandforeveryone19997
@themicbandforeveryone19997 Жыл бұрын
Unioni lavalava
@HarounMavoco
@HarounMavoco Жыл бұрын
Union romy jones
@lulually5209
@lulually5209 Жыл бұрын
Mmh lini tena au ya siku nyingi
@jamilamsafiri2501
@jamilamsafiri2501 Жыл бұрын
Bado yule mwanampotevu alie potea hapo hayupo 🤣🤣🤣mbosokhan
@Omah_lay_music
@Omah_lay_music Жыл бұрын
Jamani fahvanny unapendeza Sana unamrusha rohopaula ❤❤❤❤❤
@FiFi-q9z
@FiFi-q9z Жыл бұрын
Duuuuuuu..ongel. Saana. . Zuuu. Tunawapend. Saana tu❤❤❤❤haakika. Wambea mushone. Mdom yenyu
@hildarwebangira1085
@hildarwebangira1085 Жыл бұрын
Zuchu Congratulations ❤❤❤❤
@alexanderjey257
@alexanderjey257 Жыл бұрын
DIAMOND KAPENDEZA MNOOOO DAAA JAMA ANAJUA KUVAA AISEEEEEEEE
@consolathamartini-mh8hu
@consolathamartini-mh8hu Жыл бұрын
Zuchu ww ndio wifi yetu wengine wote tupa kule mwanamke kujiambini mashaalah
@marciabrown1172
@marciabrown1172 Жыл бұрын
Mbona Zuchu umejua kuwaaumiza siwasikii leo kabisa eti wanajifanya hawaoni mmependeza bwana kwa raha zako dada
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
Kabisa
@shomvi2645
@shomvi2645 Жыл бұрын
Hawaja pendeza Wala Nini tuliza shobo zako
@jescatebuye2287
@jescatebuye2287 Жыл бұрын
Wamependeza mno nawapa maua yao ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@asyakhatib7942
@asyakhatib7942 Жыл бұрын
​@@shomvi2645mshawii😅😅🤣😝😝😝iloooo
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
​@@asyakhatib7942😂😂😂😂
@sheedahmbaziira1447
@sheedahmbaziira1447 Жыл бұрын
Fayma looks so packed not comfortable at all😂😂
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 Жыл бұрын
Nimeona hilo… vany nae pia…
@kantai737
@kantai737 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@AjabuNaKweli
@AjabuNaKweli Жыл бұрын
ooh nice , much love!
@kantai737
@kantai737 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️ zuuh looks beautifull
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy Жыл бұрын
I love zuchu diamond fahymah rayvanny ❤❤
@fatumahaji5635
@fatumahaji5635 Жыл бұрын
Zuchu uenoga mpz na chibu wako❤❤❤
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
Diamond muoe Zuchu ni mvumilivu sana anapitia mengi lakini hajali, ongera ddangu Khadija kwa kumfunda bint yako
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Unachochea zinaa😂😂diamond haoi maisha yake yaan ataendelea kupiga kla mwanamke asojielewa tu😂😂😂😂😂😂lkn haoi abadan😂😂😂😂😂😂sahau kabisaa diamond kuoa asaaa
@benedictakinawiro-ht1wf
@benedictakinawiro-ht1wf Жыл бұрын
❤❤❤❤mungu aendelee kuwatunza ktk mikono yake
@lillamwadini7315
@lillamwadini7315 Жыл бұрын
Inshaallah katika njia inayomfurasha mwenyezi mungu
@babycherokal1229
@babycherokal1229 Жыл бұрын
Huwezi hata siku moja kumfurahisha daimond hizo kama amezoa kama Hana wakuongea naye atakutumia akili zimelala kwa penzi lake Kuishi itakuwa shida
@FettyBeby
@FettyBeby Жыл бұрын
Mashanllah😊nawapenda
@neemamustafa
@neemamustafa Жыл бұрын
Mmependeza mashallah mashallah
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Жыл бұрын
Mashallah ???????? Zinaa mashallah
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Hivi kijana huyu amemuoa zuchu ila hizi dhambi mnazoziendekeza watanzania ipo siku mtasimama mbele za Mungu mnaojipendekeza katika dunia kuipenda sana kama mliiumba nyie mwisho wa siku mtakuja kuaibika vibaya baada ya maisha haya yapo mengine oooooo wa mama wa sasa wanakubali watoto wao wajiachie na wanaume bila kuwaoa wamama Mungu anawaona kisa hela. Kumbukeni kuwa uzima tulionao haumo.ndani ya pesa tulizo nazo umo.mikononi.mwa Mungu
@christinemapenzikubambanya1917
@christinemapenzikubambanya1917 Жыл бұрын
Zuchu mmmmmh❤
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Jamani mtaniua mie😳sio kwa mahaba haya😳😳😳
@ianbaraka6005
@ianbaraka6005 Жыл бұрын
happy to see vanny boy
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
Ndo tumeshawapenda sisi fans hao wengine roho ziwaumeeee walokuwa wakishindanisha Hilo couple na couple ya mvutabangi leo wako wapi? 😂😂😂
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 Жыл бұрын
Ninapo wanna Zuchu na Dimond wakiwa pamoja nafurahi sanaaaa
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 Жыл бұрын
Yaani Hadi Raha Mwanaume Ajua kupenda Zuchu hana baya
@adamapollo9859
@adamapollo9859 Жыл бұрын
Rey kaamuwa kurudi kwenye kiti safi sana achana na hiyo midangji😂😂
@tidybway2411
@tidybway2411 Жыл бұрын
Mose iyobo anaona aibu kuenda kwenye matukio na Masha love
@AmosMchiwa-ub8qq
@AmosMchiwa-ub8qq Жыл бұрын
Lavalava diamond platnumz
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Жыл бұрын
Kumbe alikuwapo diva na mganga wake wa kienyeji!😁
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Жыл бұрын
😂
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 msiniuee kwa kucheka
@rosejoely4518
@rosejoely4518 Жыл бұрын
Simbaaaa
@louloubika8603
@louloubika8603 Жыл бұрын
C'est magnifique ❤❤❤❤🎉🎉
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Hahaha hahaha hahaha hahaha nimemuona juma kwambari😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@RatifaHamisi-oe9py
@RatifaHamisi-oe9py Жыл бұрын
Kupendeza nayo ❤❤❤❤
@furahazawadi-q8x
@furahazawadi-q8x Жыл бұрын
Wamepedeza❤😂
@kigomiss4178
@kigomiss4178 Жыл бұрын
Mahaba ❤❤❤❤
@MariamBakari-c1q
@MariamBakari-c1q Жыл бұрын
Razak na diva nawapenda
@jacklinemueni1336
@jacklinemueni1336 Жыл бұрын
Wallai zura wewe❤❤
@NelsonDaniel-ou2fg
@NelsonDaniel-ou2fg Жыл бұрын
Mi narspect full mzuka chib and reyvanny
@aminaasia-jl8fk
@aminaasia-jl8fk Жыл бұрын
Huyo zuchu minaona kama anjipendkeza tu juzi tu ilamke wareivani nimzuri saana
@lillamwadini7315
@lillamwadini7315 Жыл бұрын
Kazi unayo
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
​@@lillamwadini7315😂😂😂😂 uwiiiiiiiiiii
@MamaSada-f5b
@MamaSada-f5b Жыл бұрын
Wenye midomo ya kubenuka wako wapi sasa walitaka kuharibia watu na mapenzi yao
@sylviembirize
@sylviembirize Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️🔥
@Fayma-ru4fz
@Fayma-ru4fz Жыл бұрын
Fahyma ❤❤
@Omah_lay_music
@Omah_lay_music Жыл бұрын
Zuchu anapendwa unamrusha rohozarry
@NaifinMohamed
@NaifinMohamed Жыл бұрын
Uyo diva nae kiwigi kama😂😂😂
@rechaelmabruk6547
@rechaelmabruk6547 Жыл бұрын
Love u ppl ❤❤❤❤❤
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 Жыл бұрын
Jamani faima kawapiga bao kapendeza zaidi
@saumumasha4900
@saumumasha4900 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@Jasminiomary
@Jasminiomary Жыл бұрын
Iyomq ajajq na maxhalove
@pendochimammy5013
@pendochimammy5013 Жыл бұрын
Umependeza zuhura
@mercymwabonje9953
@mercymwabonje9953 Жыл бұрын
Fahima na vany
@MwasitiOmary-m1l
@MwasitiOmary-m1l Жыл бұрын
ILa vany kapauka au macho yangu
@HalimaHamisi-r3g
@HalimaHamisi-r3g Жыл бұрын
❤❤❤❤❤xuchu
@fatimasaid5795
@fatimasaid5795 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰
@AnitaAnn77
@AnitaAnn77 Жыл бұрын
😲😲😲😲NYIE kumbe mapenzi bado yapo ?? Eeeenh KWANI sisi tulimkosea Mungu wapi , SIO sira kiwembe kinaniuwa NYIE watu mumependeza halafu , munatamanisha mushindwe sana , but naona single bubu kama Mimi ni wengi tu
@nininahazwedonavine3349
@nininahazwedonavine3349 Жыл бұрын
😂😂😂
@rauhiaiddi8049
@rauhiaiddi8049 Жыл бұрын
Dada na kaka 🫣
@AngelPhillemon
@AngelPhillemon Жыл бұрын
Hahaha we fayma umeua
@aysherkhamis3338
@aysherkhamis3338 Жыл бұрын
diva mmbea😅😅
@azizamohammed583
@azizamohammed583 Жыл бұрын
zuu nakupendraaaaaa ❤
@mimarhasanaliponelaponela1175
@mimarhasanaliponelaponela1175 Жыл бұрын
Sasa mbona moze uko mwenyewe masha love yuko wap ??🤣🤣🤣🤣 Na kaka angu lavalava mzungi vp jamani??🤣🤣🤣🤣 Ila umbea huuu
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
Amependeza Zuchu sana na mchumba wake
@AishaAthuman-xx4wq
@AishaAthuman-xx4wq Жыл бұрын
Kiukwel hapa naona upendo kwa diamond 2 shoga yangu anafos tofauti na Paula
@puritykanana2701
@puritykanana2701 Жыл бұрын
Mbna hajawahi pelekwa kwa any event ama mbeya ama kuprotectiwa in public,, tofautisha upendo na kiki vanny anampenda fay tena sana pau ni wa kiki tu
@anjelojr
@anjelojr Жыл бұрын
Kua na mahusiano na mtangazaj shida sn mda wote unatakiwa kua mpenzi msikilizaji
@ubaladyubaomar8220
@ubaladyubaomar8220 Жыл бұрын
Yani utapenda walivyo endana mungu awalinde jamani
@liliansalum9285
@liliansalum9285 Жыл бұрын
Diva yupo km muandaa dawa za mganga wake
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uwiiiiiiiiiii usiniue kwa kucheka
@tudijama8427
@tudijama8427 Жыл бұрын
Nc
@rudiaeliakim2172
@rudiaeliakim2172 Жыл бұрын
pau jamani mbona simuoni na maliooooo
@KhadijamuhamedyMhamedy
@KhadijamuhamedyMhamedy Жыл бұрын
Zuchu anaona anapendwa mwanaume wenyewe kisu
@silvain2173
@silvain2173 Жыл бұрын
👌 *PromoSM*
@AngelPhillemon
@AngelPhillemon Жыл бұрын
Zuchu tafuta mume uolewe wee mdada acha kupoteza mda
@lillamwadini7315
@lillamwadini7315 Жыл бұрын
Katisha kumhudumia
@Rajiboyc
@Rajiboyc Жыл бұрын
Simba diamond plathumz
@jescatebuye2287
@jescatebuye2287 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰
@Odama-dn7xy
@Odama-dn7xy Жыл бұрын
Wanawake waloumizwa na mapenzi wako Meza kuu yaani VIP.
@AsiaA-is5fd
@AsiaA-is5fd Жыл бұрын
Zuchu kifua anacho tena cha chuma
@aminaabdallah5950
@aminaabdallah5950 Жыл бұрын
Daaa kila mtoto wa kiume amevaa eleni aya ongelen
@happyjoshua448
@happyjoshua448 Жыл бұрын
Jamani jamani hayo manong'onezo
@AsiaA-is5fd
@AsiaA-is5fd Жыл бұрын
Sasa busu lenyewe nihilo kwann asiende kwengine
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 Жыл бұрын
😂😂😂Nyiee
@saidimafu9524
@saidimafu9524 Жыл бұрын
Diamond alikuwa akitaka mtu wa kuifinyia kwa ndani na zuchu ameweza kufanya ivyo mond lazima achanganyikiwe kwa zuu
@shinunamohammedali
@shinunamohammedali Жыл бұрын
Kw wazanzibar iko n kitu cha kawaida t kwetu
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 Жыл бұрын
Mnependeza ila sasa fanyeni nanyinyi mkwmilishe
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 Жыл бұрын
Halaf kuna mayatima wa mapenzi kwenye meza wakiongozwa na babu tale mose iyobo lavalava😂😂😂
@priscahmutambuki1974
@priscahmutambuki1974 Жыл бұрын
Haaahaa 😂😂😂
@rukaiyaramadhani4879
@rukaiyaramadhani4879 Жыл бұрын
Umeonaaaeee
@jescatebuye2287
@jescatebuye2287 Жыл бұрын
Nimecheka😂😂😂
@pillyolsen6346
@pillyolsen6346 Жыл бұрын
Mbona mose hakuja na masha lov😂😂😂😂😂?
@peaceelisha
@peaceelisha Жыл бұрын
Afu anavyoangalia wenzake Kwa kuzuga 😂😂😂😂
@erickzephania1030
@erickzephania1030 Жыл бұрын
Mziki umeshakua mgumu
@AnneOtieno-hi8uj
@AnneOtieno-hi8uj Жыл бұрын
Alafu niskie mara hakuna busu amewai pata kama ya fantana ama Fan what
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
Mitambo ziro
@alantonio855
@alantonio855 Жыл бұрын
Yule mwanaume anava shanga kichwani anaitwa nani?
@zeinabhassan2032
@zeinabhassan2032 Жыл бұрын
Rayvanny
@chisaid3999
@chisaid3999 Жыл бұрын
mose iyobo amekosa confidence kaabisa
@habibaomarykiponda4036
@habibaomarykiponda4036 Жыл бұрын
Ndo huyu alipasua vt
@NiceBiscuit-qo4dq
@NiceBiscuit-qo4dq Жыл бұрын
kwan wameludian???!!!!!!!😮😮😮😮
@pengefeza2563
@pengefeza2563 Жыл бұрын
Hawajawahi kuachana
@kantai737
@kantai737 Жыл бұрын
Kwani waliachana 🙄🙄
@theresialfredybugalama5850
@theresialfredybugalama5850 Жыл бұрын
Kocha wetu wa viuonga wa yanga anafanya nini huko
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Diva na abdurazak mlituahidi mtt yuko wapi
@HIDAYASAID-ue1df
@HIDAYASAID-ue1df Жыл бұрын
Mwanamke amenyesha msimamo san leo watu kmy uyo ndo mke sasa
@kigomiss4178
@kigomiss4178 Жыл бұрын
Mahaba ❤❤❤❤
@aliceirankunda3779
@aliceirankunda3779 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@jescatebuye2287
@jescatebuye2287 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰
@NjumaMussa
@NjumaMussa Жыл бұрын
MBONA huyu mmoja anaona aibu
@asumptersalvatory9993
@asumptersalvatory9993 Жыл бұрын
Yaan kama upo single unaweza ukakosa wa kumunongoneza 🤣😂😅😆
@mesaidikazungu4299
@mesaidikazungu4299 Жыл бұрын
Zuchu kapendeza kwa kweli ❤❤❤
@KasimNgakomboka-mf3yl
@KasimNgakomboka-mf3yl Жыл бұрын
Ila hawa watu jaman wanapndana sana❤❤❤
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 37 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 21 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,9 МЛН
🔴LIVE: DIAMOND AFUNGUKA MAZITO KWENYE NDOA YA DON FUMBWE
38:10
NEXT EMPIRE FIRM (NEF)
Рет қаралды 71 М.
Zuchu - Utaniua (Behind The Scene Part 2
18:32
Zuchu
Рет қаралды 501 М.
ZUCHU "DIAMOND UNANIUMIZA KICHWA MWANAUME WEWE ACHA UMALAYA"
14:48
VITUKO Vya Diamond na Zuchu wakifanya PHOTOSHOOT ZUCHU AGOMBANIWA
11:21