ANGALIA KILICHOMPATA MDADA HUYU BAADA YA KUACHWA NA BOYFRIEND WAKE.

  Рет қаралды 163,186

CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI

CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI

Күн бұрын

Пікірлер: 196
@acepionage23
@acepionage23 5 жыл бұрын
Ubarikiwe zaidi chief apostle! Neema izidi. Nikija Tanzania nitahakikisha nimekupata
@EmilyNyakundi-k6b
@EmilyNyakundi-k6b 7 күн бұрын
Amen apostle l will like you to prophecy for me when l will be married l have struggled a lot in life
@gm7045
@gm7045 4 жыл бұрын
Kind of movie
@preciouspeter6126
@preciouspeter6126 6 жыл бұрын
Nimewahi kupita alipopita huyu dada, I totaly understand her pain. Mungu amfungulie mlango, ampe mume mwema na amponye majeraha yote ya moyoni. Mungu amsaidie kusemehe pia.
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 4 жыл бұрын
Mungu nilinde na watu wa aina hii
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 5 жыл бұрын
Dah sijasikia anatajwa Yesu wa Nazareti hata mara moja hakika MUNGU wa mbinguni awahurumie watu wake
@munahmirumbe7536
@munahmirumbe7536 4 жыл бұрын
Napekeaaa barakaaaaa profesaaaaaaaaa 👏👏
@antusamkende5774
@antusamkende5774 6 жыл бұрын
duh! Ee Mwenyezi Mungu tunusuru na watu kama hawa!
@leonoragwerino1627
@leonoragwerino1627 6 жыл бұрын
Mungu hadhihakiwi kila mtu atatoa hesabu ya matendo yake.
@dxbfd8156
@dxbfd8156 7 жыл бұрын
be blessd too pastor, inspired me here, also pray for me on side of marriage,
@ladymontana4375
@ladymontana4375 5 жыл бұрын
Mxeeeew msenge tu we tapel shukur mungu sjawa rais mim yan nngefunga hyo kanisa ako dk mbl em kwendraaa uko na utapel wako ustukaushe uzazi wengne watu wamungu uku mxeeew endelea kuwaibia hao hao makunguru wako Mana nao hawaelew kitu na kunguru tu kama we nyokoooo😏😏😏😏😏
@alembelutengyalesimple419
@alembelutengyalesimple419 4 жыл бұрын
Ni rahisi sana kwa nguvu za Giza kutenda hayo . lakini ingekuwa kwa nguvu za Mungu , hata wewe unayejiita Prophet, ungetubu
@bablasam3970
@bablasam3970 4 жыл бұрын
Jamani ili kanisa lipo wapi? Mbona tunateketea jamani? Wa mungu kweli wapo hivi mnawamix hao wenye shida ya waume.kama mfalme zumaridi
@mgedzirpm1541
@mgedzirpm1541 4 жыл бұрын
Movie,,, god help us!
@JanetNjobvu-xf4vq
@JanetNjobvu-xf4vq 3 ай бұрын
Eee mungu niweke mbali na hawa watu waaina hiii
@geraldlumanyika723
@geraldlumanyika723 5 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumish wa Mungu,tupo pamoja
@theodorychristopher4795
@theodorychristopher4795 4 жыл бұрын
Poa Chief Mutalemwa kweli wee ni chief.
@prosperjuma905
@prosperjuma905 6 жыл бұрын
Ndipo Bwana akaniambia, Hao manabii wanatabiri uongo kwa jina langu mimi; mimi sikuwatuma, wala sikuwaamuru, wala sikusema nao; wanawapeni unabii wa maono ya uongo, na uaguzi, na neno la ubatili, na hadaa ya mioyo yao. Yeremia 14:14
@samwelndiletelevisionc3385
@samwelndiletelevisionc3385 2 жыл бұрын
Shaka Zulu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimechekaaa aiseee na walikua wanazimukaaa hapo
@ndaserwatelele2563
@ndaserwatelele2563 4 жыл бұрын
Nataman kukuona dady
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 8 ай бұрын
Ameeen.
@moseskipchumbasang9522
@moseskipchumbasang9522 3 жыл бұрын
God is father or human being
@halpajordan7117
@halpajordan7117 4 жыл бұрын
Kanisa la hivi unipeleki Bora nisali nyumbn unabii gan wa ivyo unajitembeza kanisa zima umtabilie kuolewa wakat mama ako ajaolewa
@rosekadope7700
@rosekadope7700 4 жыл бұрын
Unapatikana wapi mkoa upi
@evelynjohn2706
@evelynjohn2706 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Chief
@phinaringo7083
@phinaringo7083 7 жыл бұрын
I connect the mirracle
@annajustine5104
@annajustine5104 5 жыл бұрын
True
@卢文秀
@卢文秀 4 жыл бұрын
Asie kubali atajuana na mungu wake ila Mungu akuongeze mafuta mtumishi wa Mungu.
@belysenibitanga2786
@belysenibitanga2786 4 жыл бұрын
Mungu atupe macho ya kiroho kwa maaana wanabii wanakua wengi hatujui kam ni waukweli,na wanajiita majina yakiajabu,lakini watu wengi watapotey kwa maana wanapend saana unabii kuliko mafundisho.
@dainessmalekela968
@dainessmalekela968 4 жыл бұрын
Mungu atusaidie tunaangamia kwa kukosa maarifa...ndg zangu zichunguzeni hizo roho kama zatoka kwa Mungu...nakerwa sana na wanaojiita mitume kumbe ni waganga wa kienyeji
@JanetNjobvu-xf4vq
@JanetNjobvu-xf4vq 3 ай бұрын
Ameni
@earlymanhamza5018
@earlymanhamza5018 6 жыл бұрын
what a movie,can someone plz give the name of this movie.hahahaha
@deboramichael8234
@deboramichael8234 6 жыл бұрын
siamini imani hiii mitume na manabiii nyinyi mnapotosha watu mungu anawaona mungu hayuko hivoooo acheni uongo
@gracemapunda9783
@gracemapunda9783 6 жыл бұрын
Mwenyez Mungu akupe maono ,Niombe na mm nnamatatizo
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 5 жыл бұрын
Ndg piga goti uombe Mungu atakusikia ni nyakati za mwisho
@luvmo04
@luvmo04 6 жыл бұрын
ndoa ni imekuwa issue sana sasa munatumia huo udhaifu huo kuwachanganya akili zao
@sharoombay8997
@sharoombay8997 4 жыл бұрын
Kizazi cha ishara.
@pennystang6065
@pennystang6065 6 жыл бұрын
Emanuel ndio amemwambia yoye
@liyanakarzan182
@liyanakarzan182 4 жыл бұрын
Sijawahi ona uongo kama huu watu sikuhizi wanatafuta ulaji na sio kuhubiri hapari za wokovu wa yesu
@odilinadonard7936
@odilinadonard7936 4 жыл бұрын
Uongooooooooo jamani mpaka aibu
@maidofhonourintegrityhouse440
@maidofhonourintegrityhouse440 6 жыл бұрын
watu wajue neno la mungu wajue ukweli kuhusu maisha
@annajustine5104
@annajustine5104 5 жыл бұрын
Kwann anajisifu yeye badala ya Mungu??,
@thevoiceofdeliverance6061
@thevoiceofdeliverance6061 6 жыл бұрын
Hakuna mtu aliye na sifa ya kuitwa Mtume mkuu ama Chief Apostle huu wote ni uchanga wa kiroho na mbinguni hatuendi kwa kutabiriwa tu bari tuwahubirie watu kuokoka wawe na Yesu.
@نايفالشمري-ط3د
@نايفالشمري-ط3د 4 жыл бұрын
U nailed it sure
@neemamlali9337
@neemamlali9337 4 жыл бұрын
Kweli kabisa Mungu atusaidie
@yusufusepe3669
@yusufusepe3669 4 жыл бұрын
Wakiristu wenzetu umuwamini sana awo ndio mana wanakuwa matajiri kira kukichi
@emanuelmchili840
@emanuelmchili840 4 жыл бұрын
Be quite Kama hujui na uabarikiwa kufika hapo shut up pambana na huduma yako
@Zaka1TV
@Zaka1TV 6 жыл бұрын
Mambo ya Mungu huwa hayana ushabiki namna hii maana watu wa Mungu huwa hawajitukuzi. Hawa watu wanatafuta utukufu wao wenyewe, hii ni bandia kabisa. Waangalie huduma ya TB Joshua haina mambo kama haya.
@rosesaimon5273
@rosesaimon5273 6 жыл бұрын
Huchoki kutembeatembea mnafiki wee
@sarahnjenga1032
@sarahnjenga1032 6 жыл бұрын
Iyee
@maluludickson6822
@maluludickson6822 7 жыл бұрын
Am real blessed!
@wemasarwat6182
@wemasarwat6182 4 жыл бұрын
Mwasongwe ameona hii kweli
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 2 ай бұрын
Lazima aone.
@卢文秀
@卢文秀 4 жыл бұрын
Ameeen
@ayoubjafari1615
@ayoubjafari1615 6 жыл бұрын
sasa kila siku aina moja habadiliki jamn hawaoni hawo
@lugayilajohn6269
@lugayilajohn6269 4 жыл бұрын
Mchungaji upo good
@dollerbrown6591
@dollerbrown6591 6 жыл бұрын
Ikiwa ni mapenzi ya Mungu na yatimie
@PaulineImujaro
@PaulineImujaro 7 жыл бұрын
It's true prophetic connection imenigusa sana ata mimi nafanyiwa hivyo kama huyo ndada😭😭😢
@evvajohn9209
@evvajohn9209 6 жыл бұрын
neno La mungu lazima litimie.
@sudymgeni701
@sudymgeni701 4 жыл бұрын
Sasa kama unajua utabiri kwanini ulize wako hai. Tabiri wapo hai. au.
@hassansouzha915
@hassansouzha915 4 жыл бұрын
Aisee pesa inatafutwa xn mpk watu watakua machokoh kbx
@maidofhonourintegrityhouse440
@maidofhonourintegrityhouse440 6 жыл бұрын
mtu kunielezea kuhusu maisha yangu haimanishe yeye ni na bii
@dianaemmanuel9525
@dianaemmanuel9525 5 жыл бұрын
Utabiri upo sawa hatukatai lkn hao waumini wanakusifu na kukushangilia ww kwann kila SAA apostle apostle utafikiri apostle ww ndo mungu hilo sijapenda watangulizie waumini wamsifu na kumshangilia mungu kwanza Amen.
@calelisatalia3821
@calelisatalia3821 7 жыл бұрын
where is your branch in Kenya I am blessed more
@chiefapostlemtalemwabushir9613
@chiefapostlemtalemwabushir9613 7 жыл бұрын
ECG Pastor in KENYA +265 999560001 whats app number
@queenmariana5887
@queenmariana5887 7 жыл бұрын
CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI hii ndo number yke
@ponojames9728
@ponojames9728 4 жыл бұрын
Chief anatabil ukwel
@fatshayyfatshayy1084
@fatshayyfatshayy1084 6 жыл бұрын
Hao wanaigiza wanawapiga changa la macho tu kwanini achaque watu yeye ? Hao ameshapanga nao kama ni kweli angeuliza nani anataka kutabiriwa akajitokeza mtu yeyote
@teddykimatare9320
@teddykimatare9320 6 жыл бұрын
Muogopeni mungu
@teddykimatare9320
@teddykimatare9320 6 жыл бұрын
Tena mtafuteni mungu kwa njia ya pekee
@eunicemassawe4592
@eunicemassawe4592 6 жыл бұрын
Fatshayy Fatshayy nais
@williammbwambo344
@williammbwambo344 4 жыл бұрын
Nabii kichaaa mbona anajisifia na mbwembwe nyingi
@fatumachagudadui7369
@fatumachagudadui7369 4 жыл бұрын
Nabii wa uongo kweli watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa jamani Mungu wetu hayuko hivi ni Mungu wa utaratibu ushauri kwa jamii watu wasome biblia wasije potea jamani mambo gani Mungu wangu watu wanatakiwa kusoma neno la Mungu et waumini walivyonuna hata ukiolewa watu wananuna sory Mungu nisamehe kwa kufungua Chanel ya ajabu kama hii
@abedimfaume375
@abedimfaume375 6 жыл бұрын
KULA VYA RADI TAZAMA MAWINGU BWANA YESU YUWAJA NINYI NDO WALE AMBAO M'MESEMWA MATHAYO 24:1...... ILAJUA IPO SIKU MAANA WEWE MWENYEWE MOYO UNAKUHUMA KUTOKANA NA HILO ULITENDALO MAANA WENGI UMEWAPELEKA KUZIMU KWA TAMAA YAKO SOMA KATIKA BIBLIA TAKATIFU WAGALATIA 5:16-17, YAKOBO 4:4 BWANA YESU YUPO KARIBU KUJA .
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 5 жыл бұрын
Hakika
@saidkinganuarykingazi2012
@saidkinganuarykingazi2012 6 жыл бұрын
Mmh
@breackychangwe5887
@breackychangwe5887 6 жыл бұрын
Yan hawa wamepanga kabisa mungu hajalibiwi,,
@marthanjemu6057
@marthanjemu6057 6 жыл бұрын
kwanini tuhubiri miujizaaa,,,, please and please y tusimuhubiri Mungu wetu watu wamjue yeye mtumishiii wa Mungu tafadhali muhubiri yesu hubiri watu waache maovu na sii miujizaaa wapendwaa tusomeni bibilia tumjue Mungu HII miujizaaa tena isiyofunza haitotusaidia kuziona mbinguni,, Roho wa Mungu akupenafasi ya kutafakari mpndwaaa mtukuze Mungu na usijiinue ww y tumdhihirishe shetan na kulitukana jina LA bwanaa,,, wapendwaa kweli kunajambo La wokovu wenu hapo sipondei but napenda mng'amueee.
@roseemmanuel4492
@roseemmanuel4492 7 жыл бұрын
Go Deeper papaaaa
@salummuhija4435
@salummuhija4435 6 жыл бұрын
Utapeli tu huo.
@zubedajuma5607
@zubedajuma5607 6 жыл бұрын
Yaani mambo blaa blaa tu kama ametumwa na Mungu anajisifia nini yaani wadanganye hao tu, we ni nabii muongo mbona hujamwambia huyo dada hatima yake inakuwaje umemuacha gizani tu, unajisifu sana sifa na kazi ya Mungu tofauti
@malongojoel7030
@malongojoel7030 4 жыл бұрын
Manabii haooo
@PaulineImujaro
@PaulineImujaro 7 жыл бұрын
Postar huyo mdada anataka kuolewa leo Mimi kesho nitabiriye na Mimi usinifiche
@obedphilipo3940
@obedphilipo3940 5 жыл бұрын
Big up sana chief usiache kuprofesai hata kwangu
@jofreyjafety138
@jofreyjafety138 6 жыл бұрын
Bado auja nibarik kabisa bado sanaaaa
@ZawadiZawadi-if2sv
@ZawadiZawadi-if2sv 6 жыл бұрын
huyu. mchugaji. kiboko. 😍😍
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 5 жыл бұрын
Hapa ndipo Mungu anapouzika hamumuoni Mungu mnaona bnadamu
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 4 жыл бұрын
Saikolojia
@fatshayyfatshayy1084
@fatshayyfatshayy1084 6 жыл бұрын
Mimi wanachoniudhi wakiristo kujifanya wanaombea watu na kufanikiwa kuwaponya Lakini cha ajabu ni kwamba hawaendi hospitali wakawaponya wale wagonjwa waliorundikana kule mpaka wanalala chini huo mchezo nilishaugundua siku nyiiingi sana kwani kuna mtu alikuwa ameenda kanisani akawaanatoa ushuhuda nikashangaa kuja kumuuliza akasema wamepewa pesa na huwa wanapangwa ndipo nilipogundua na ndio maana yeye mchungaji ndio anaochagua watu aliowapanga sasa kama hamuamini nenda wewe ukiwa unaumwa au ndugu yako kiwete uone kama atapona au kutembea
@emanueljohn3044
@emanueljohn3044 6 жыл бұрын
Sio Wakristo hao ni wapiga dili wanatumia tu Ukristo kuwatapeli watu! akitoka hapo atamwambia huyu dada njoo ofisini utoe umtolee sadaka Mungu ya milioni ili ubarikiwe, mimi mwenyewe Mkristo lakini sikubaliani na upuuzi huu!!
@emanueljohn3044
@emanueljohn3044 6 жыл бұрын
Angalia kuanzia dk 10:18 anamuuliza unafanya kazi ati atamuongeza mshahara dada kajichanganya akasema anafanya biashara!! sasa cha kujiuliza mtu nafanya biashara na mshahara unakujaje hapo? ni kwamba ni mipango ya kitapeli ishapangwa hapo!! na hao mashabiki wanaoshangilia wote lao moja.
@jacobmsule5191
@jacobmsule5191 6 жыл бұрын
iman yako ndo inakuponya kma unavyoamin mamb ya mganga
@raymondkipipi516
@raymondkipipi516 5 жыл бұрын
Kwenda hospital si lazima miujiza inatendeka ili Mungu ajitukuze, hata kipind Cha Yesu si kila mgonjwa aliombewa Yesu alichagua kadhaa ili jina la Mungu litukuzwe, kuhusu manabii ni kuwa na macho ya kiroho friend wahuni wataonekana sema siku iz watu hawana macho ya kiroho ni ushabiki tu, manabii wa uongo wanatukanisha ukiristo ambayo ni dini Safi ya mwokoz Yesu kristo
@fundijumakimbaru7622
@fundijumakimbaru7622 2 жыл бұрын
Uyu nganga
@secyliambata5375
@secyliambata5375 4 жыл бұрын
namimi chif
@sharoombay8997
@sharoombay8997 4 жыл бұрын
Wizi mtupuuuu.
@restsenkondo4565
@restsenkondo4565 6 жыл бұрын
Wizi mtupu
@paulinasemindu1498
@paulinasemindu1498 4 жыл бұрын
kwakwel.ntakufa kwenye imani yangu romani katoriki nyie wengine waganga wa kienyej mara machifu mara profesa mana manabii dah😭
@edwinndundulu7348
@edwinndundulu7348 6 жыл бұрын
Mhmm!!!
@saidakitisaida5969
@saidakitisaida5969 5 жыл бұрын
Amen
@flyhigher5393
@flyhigher5393 6 жыл бұрын
Wizi huoooooo mnaibiwaaaa na ujinga wenu
@wilbrodmwabulanga1628
@wilbrodmwabulanga1628 6 жыл бұрын
mungunimwema
@yusraalsein3274
@yusraalsein3274 7 жыл бұрын
mungu akuongoze babaangu wa kiroho
@godlove20
@godlove20 7 жыл бұрын
POWERFUL
@henerikomussa7373
@henerikomussa7373 6 жыл бұрын
hizo nibiashara tu
@fatshayyfatshayy1084
@fatshayyfatshayy1084 6 жыл бұрын
Godove Mgongolwa changa la macho hilo
@queenmariana5887
@queenmariana5887 7 жыл бұрын
niconnect na hyo poster plz am inspired
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 6 жыл бұрын
Mavaku awo wajinga ndio wali na ubwabwa waoo
@joharijohn2492
@joharijohn2492 6 жыл бұрын
duh
@mariamukingazi3668
@mariamukingazi3668 4 жыл бұрын
Hana hata biblia halaf anatabiria wadada tu
@newbornhaule1635
@newbornhaule1635 6 жыл бұрын
Hivi huyu Mutu hana hata biblia akaacha ushehe Yahya
@samwelsarakikya3532
@samwelsarakikya3532 6 жыл бұрын
I connect
@aminaluttu8339
@aminaluttu8339 6 жыл бұрын
mchungaj na waumin wote wanaitaj maombi mapya
@maidofhonourintegrityhouse440
@maidofhonourintegrityhouse440 6 жыл бұрын
this is not prophecy every prophecy that is from God must be a lined with the word of God
@eunicemassawe4592
@eunicemassawe4592 6 жыл бұрын
Kama Ni kweli mungu atukuzwe
@prophetjacksonibrahim7075
@prophetjacksonibrahim7075 7 жыл бұрын
amen
@imanimwashilindi8615
@imanimwashilindi8615 3 жыл бұрын
Mwasongwe ambene unabii huu unakuhusu
@Zaka1TV
@Zaka1TV 6 жыл бұрын
Mungu wetu ni Mungu wa utaratibu. God never shares His Glory with a human being or anything. After all that is not prophecy at all, IT IS SPIRITUAL DISCERNMENT karama ambayo Mungu anagawa kwa watu wake
@sababuwewe4254
@sababuwewe4254 6 жыл бұрын
mipango2 wamesha panga kilakitu
@larsonniyintunze9469
@larsonniyintunze9469 6 жыл бұрын
Sababu Wewe ahahahahahahahaahahahahahahahaaahah. eti wamepanga
@omanioman8952
@omanioman8952 6 жыл бұрын
Nishaipata no kumbe imeandikwa mwisho
@نايفالشمري-ط3د
@نايفالشمري-ط3د 4 жыл бұрын
Rubbish am sorry Jesus to open this link Plz forgive me lord Let me go back to tb Joshua
@aronbanda4484
@aronbanda4484 6 жыл бұрын
Usaniii
@Pmo1995
@Pmo1995 6 жыл бұрын
Kanyari wa TZ
@daudi1bashite48
@daudi1bashite48 6 жыл бұрын
Kama vile waganga wa kienyeji
@sigorijoseph4977
@sigorijoseph4977 6 жыл бұрын
Daudi1 Bashite haya mazingaombwe anamtega na maswali anamwambia amuongeze mshahara wakati ni mfanyabiashara anabahatisha
@breackychangwe5887
@breackychangwe5887 6 жыл бұрын
Uyu ndo hajui ata kudanganya,,yan uyu ndo muongo kabisa yan
@gullaalex6590
@gullaalex6590 5 жыл бұрын
😂😂😂
@mariamukingazi3668
@mariamukingazi3668 4 жыл бұрын
Hahahha hahahha
@lonahagnes5703
@lonahagnes5703 6 жыл бұрын
una patikana wapi mchungaji??
@jacobtuvana8244
@jacobtuvana8244 4 жыл бұрын
Lonah Agnes makongo juuu
@desmondrogasian9948
@desmondrogasian9948 7 жыл бұрын
Prophecy
JE UMEZUNGURUKA KUTAFUTA MSAADA
15:09
CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI
Рет қаралды 15 М.
NJIA NZURI YA KUMPATA MWENZI SAHIHI WA MAISHA HII HAPA : HOW TO GET A RIGHT LIFE PATNERS
11:15
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 41 МЛН
CHANZO CHA UMASIKINI - Part 1
13:47
Success Path Network
Рет қаралды 325 М.
SIO KILA MTUMISHI WA MUNGU AMETUMWA KWAKO.
12:41
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 29 М.
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
Martha Mwaipaja - Amenitengeneza (Official Music Video)
6:42
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 15 МЛН
TAMKO LA MAKANISA KUHUSU MFALME ZUMARIDI ALIYEFUNGIWA KANISA...
6:44
Global TV Online
Рет қаралды 180 М.
KUSHINDA ROHO ZA MADENI
50:20
CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI
Рет қаралды 14 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН