We mwenyewe haumutumikii Mungu, halafu unasema si Kila mtumishi wa Mungu hajatumwa Kwako..... Hakuna ulichokizungumza....Mungu unaemtumikia si Mungu bali mungu(shetani)
@felistermohamed8414 жыл бұрын
BABA LAO wa ECG Mungu akuinue daima📖❤🙏
@mashauripaul28124 жыл бұрын
Mafundisho maridhawa 💪
@raphaelsalimenya38684 жыл бұрын
Amen power full message Man of GOD
@highzacknnko40024 жыл бұрын
Broo nakupata vizuri
@leerimoy54774 жыл бұрын
Hallelujah!🙏🙏🙏🙌 What a Devine Revelation!!!👏👏👏👏
@neematesha19914 жыл бұрын
Kweli umebarikiwa mungu akubariki chify apostle prooooooooooofecy
@gracekwila56744 жыл бұрын
Ha ha ha shikamoo mzeeee yany kwenye mafundisho ECG NI BABA LAO aiseee nimekuelewa sanaaaa mentor wangu
@fatumasaleh94912 жыл бұрын
That's very powerful, thank you apostle for the message
@ramaamfaume29004 жыл бұрын
Ameeeeeen barikiwa kwahuduma nzuri
@jacquelineelly66844 жыл бұрын
🙌🙌🙌 oh yes... this is deep Apostle 🙌.
@Forester__2 жыл бұрын
TOO POWEFUL, 10G+
@gracedacid50324 жыл бұрын
Mh! Haya Baba Apostle Nashukuru Sana kwa Ujumbe Mzuri,Umenifanya kujitambua.Mungu akusaidie kwa Jina la Yesu Amen
@godianmande49204 жыл бұрын
Nimebarikiwa sn na somo la leo,Mungu wa Major1 azidi kukuinua Chief Apostle.
@mikemrosso56794 жыл бұрын
So powerful man of God umenisaidia kitu kikubwa sana
@vickymahanga77343 жыл бұрын
Nimekuelewa chief
@benardwankoka3447 Жыл бұрын
Uko sahihi
@erickkuyanda8084 жыл бұрын
Mafundisho mazuri lakini iyo kelelesijui ni keyboard ama ni nini? Inaudhi
@janetkahada52064 жыл бұрын
Very true amen thank you may God bless you and your family in Jesus name amen
@framsirona4 жыл бұрын
Super Powerful...............
@vailethywalter56744 жыл бұрын
chiiiiiiiiiiief Apostle mtalemwa thank you and God bless you and your family.
@evelynjohn27064 жыл бұрын
So powerful apostle 👏🏽👏🏽
@THEONEDEWILO4 жыл бұрын
Wa kwanza Leo kula chakula Cha uzima. Chief wa watu.
@cleverjuma51272 жыл бұрын
still najiuliza kwa nini nmechekewa kumjua huyu pastor
@josephndali95844 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa mafundisho mazr
@mugenzimugenzi82414 жыл бұрын
Powerfull
@sostenesswai7784 жыл бұрын
Napenda sana mahubir yako
@pamelanabokolweojuma19644 жыл бұрын
haleluhya haleluhya nakweelewa mtumish
@emmawilson19803 жыл бұрын
Kweli mafundisho yako baba Yana nigusa kabisa
@franciscamajorone4724 жыл бұрын
ameen chief nimekuelewa vzr....
@usisahaunahii65013 жыл бұрын
Kweli kabisa
@studentagency21854 жыл бұрын
I love you my Apostle.
@immamwangasi29344 жыл бұрын
Powerful
@Banyezakojesca4 жыл бұрын
So powerful
@saldakltl76114 жыл бұрын
Amen Amen
@emanuelmfyomi15644 жыл бұрын
God bless you nimeelewa
@shaibalikhamis12864 жыл бұрын
Shikamoo Apostle
@thomasngisa74522 жыл бұрын
Hi
@rehemawilliam35824 жыл бұрын
Amen
@liberathalaurian80664 жыл бұрын
Ninaitaji kukuona wewe chief mtalemwa
@teddyeyembeeyembe43364 жыл бұрын
Ameen nimekuelewa
@elizabethlujabiko89944 жыл бұрын
Asante chief. Hata mimi sielewagi hii unatoka wapi Gari mmoja linakuaje na staring mbili?Ndiyo maana kunawatu wana receive sana lakini mikono inachoka bure tu.Siku zote penda cha kwako cha jirani hakikuhusu.
@josephclemencejoseph21344 жыл бұрын
Mafundisho yako Mtumishi nimazuli sana nayapenda
@moseschoma77164 жыл бұрын
Wewe kabisa ni mtumishi wa MUNGU alie hai. Safiiiiiiiiiiii
@maryestherkiusa12834 жыл бұрын
Asante Mtumishi 🙏
@nongolijonas23124 жыл бұрын
Kwakwer nimekuelewa sana mtume mtalemwa
@prochesikavishe91174 жыл бұрын
Hii nimeikubali hkika nimepona kabisaaa
@uwrtvuwrtv35754 жыл бұрын
True
@sullecom4 жыл бұрын
Ukweli ukweli kbs
@ndenitoriakimaro96314 жыл бұрын
AMEEEN baliķiwa mno
@sarahmsangi72434 жыл бұрын
Iyeeeeeee
@bettyoluoch97744 жыл бұрын
Na kelele nayo mmmmmmm
@maombiicyimpaye75294 жыл бұрын
Jambo mutumishi wamugu naomba namba za wasthap kama unazo
@twilumbakabelege34264 жыл бұрын
Naomba mawasiliano ya hapo
@cambiassoellyjonz13544 жыл бұрын
Tusisahu kushare jamani nawakumbusha tu.
@stanleyrububura40004 жыл бұрын
Mafundisho mazuri na yanajenga hasa kwa yule aaminiye au aliye tayari kuamini. Ushauri tu ni hiyo playback mngeitoa ingependeza, usikivu ungekua mzuri zaidi.
@arihanie74204 жыл бұрын
NDUGU Stanley mimi nina maoni tofauti kidogo,play back music inavutia sana kusikiliza ujumbe la msingi sauti ya mziki isiwe juu kuliko sauti ya mtumishi japo kwa video hii maneno yanasikika vema tu.
@georgiamkwaya26414 жыл бұрын
Oh Yes Chief,so powerful,we love youuuuuuuu
@trophainamagogwa79664 жыл бұрын
Wote kanisani mmesoma kiingereza?
@jacquelineelly66844 жыл бұрын
@@trophainamagogwa7966 ndio
@Mo_shoes_perfume4 жыл бұрын
,
@doreennkya55244 жыл бұрын
Powerful teaching
@elisantennko82224 жыл бұрын
Hio ilikuwa transition tu hata hivyo wanafunzi wa kwanza wa Yesu walikuwa ndio waliomfata Yesu.Yohana alijuwa anafanya nini tofauti na akina mfalme zimaridi wa mwanza na wengine. Nakubaliana na huduma zote kama unavofafanua lakini cheks and balance ni Bible.Shalom Mutalemwa.
@elisantennko82224 жыл бұрын
I mean wanafunzi wa kwanza wa Yesu ni wale wanafunzi waliokuwa wa Yohana mbatizaji.
@jamesmtalemwa33394 жыл бұрын
Elisante Nnko uko sawa lakini Yohana kabla ya kufa wanafunzi waliomfuata Yesu ni wawili tu kama livyoeleza mtumishi wengine walibaki na Yohana mpaka alipokufa,ila alipwabatiza wengi walimfuata Yesu ila hawakuwa wanafunzi wa Yohana ila walikuwa wamebatizwa nae. Disciples(Thenashara) wa Yohana wawili tu ndo walimfuata Yesu Yohana akiwa hai ndo maana akiwa gerezan aliwatuma Kwa Yesu na wakarudi kwa Yohana
@jamesmtalemwa33394 жыл бұрын
Elisante Nnko Na pia hapa Mtumishi hatetei huduma za ajabu za mwanza ulizotaja anataka watu watii huduma tano, na sio kama ya Yule zumaridi mana yeye ni mfalme na hakuna huduma ya ufalme wala umalkia
@elisantennko82224 жыл бұрын
Asante sana mtumishi Mungu atudumishe tuwe na umoja nimekuelewa. Shalom.
@gracekwila56744 жыл бұрын
@@jamesmtalemwa3339 umeshamaliza sina cha kuongeza hapo