Angalia Simba ilivyoitungua Yanga 4-1 nusu fainali ya ASFC

  Рет қаралды 1,372,961

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 420
@OmarKombo-q3b
@OmarKombo-q3b 2 ай бұрын
Aisee sichoki kuludiA hii mech kam na wew pia huchoki like❤
@nehemiatesha5763
@nehemiatesha5763 6 ай бұрын
Ambao wamerudia kuangalia hii highlight mwaka 2024 gonga like hapo
@albertlaizer8464
@albertlaizer8464 4 ай бұрын
Me nimerudi tena na leo
@ZalhathamohdSaid-qn4jj
@ZalhathamohdSaid-qn4jj 3 ай бұрын
​@@albertlaizer8464 mm nimerudi tena leo😂
@PhilipoMassawe-z1i
@PhilipoMassawe-z1i 3 ай бұрын
Again
@oraphndunguru1674
@oraphndunguru1674 3 ай бұрын
Hiyo ndo simba
@tvtapo
@tvtapo Ай бұрын
Kwani tukiangalia inakuhusu
@halimanassor7309
@halimanassor7309 4 жыл бұрын
Wewe kama ni simba 🦁🦁🇵🇱🇵🇱🇵🇱🇵🇱like hapa
@meshacksungi6110
@meshacksungi6110 4 жыл бұрын
Watukome jaman
@Matayoabduly
@Matayoabduly 4 ай бұрын
Simba
@Matayoabduly
@Matayoabduly 4 ай бұрын
0:00
@georgesemwali3238
@georgesemwali3238 4 жыл бұрын
Hongera sana simba kwa kutupa laha mshabiki wenu
@shakuru12suleman59
@shakuru12suleman59 4 жыл бұрын
Safi sana simba
@mutalemwagabrie9791
@mutalemwagabrie9791 4 жыл бұрын
Leo Mimi ni wa kwanza nilikuwa ninasubiri kwa hamu sana❤️❤️❤️❤️❤️
@lizzyshoo8084
@lizzyshoo8084 4 жыл бұрын
HONGERA
@khanrashidi394
@khanrashidi394 4 жыл бұрын
😂😂💪
@shinunaally4723
@shinunaally4723 3 жыл бұрын
Vizuri Sana Simba🤗🤗🤗🤗🤗
@JoyceElia-r6m
@JoyceElia-r6m 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@gustiwambali8327
@gustiwambali8327 4 жыл бұрын
Hapa bongo hakuna timu kama simba angalia humupambano kisha like bs
@bahatimwembe893
@bahatimwembe893 Жыл бұрын
Ambao tumeludia kuiangalia Ii mechi 2023 ganga like Kam zote apa
@LindaMbilinyi
@LindaMbilinyi 5 ай бұрын
Wangekuwa yanga hapa bas haya magoal yashawekwa kwenye jez😂😂😂😂😂
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 5 ай бұрын
Nyuma mwiko hawana akili 😅
@Jumamaduka240
@Jumamaduka240 4 жыл бұрын
Highlight mbaya kabisa editni vizuri
@david88.92
@david88.92 4 жыл бұрын
Best performance ever see in any eastafrican team🙌🙌🙌🇹🇿🇺🇬
@sachilindijuma8472
@sachilindijuma8472 4 жыл бұрын
Qwtuo
@salummayoga8229
@salummayoga8229 4 жыл бұрын
Wangapi hii mechi wanaorudia rudia kama mimi like za kutosha
@khadijahali4837
@khadijahali4837 4 жыл бұрын
Wanasimba wezangu tutambe km alivyosema tunda man 😁😁😁 wanasimba mpo wapi mbn siwaoni 🔥🔥🔥🔥
@mussashingashinga7120
@mussashingashinga7120 4 жыл бұрын
Kwata
@richardgadu397
@richardgadu397 4 жыл бұрын
Pwpw
@joselule9345
@joselule9345 4 жыл бұрын
😄😄😄😄🤙
@beatricezacharia1737
@beatricezacharia1737 3 жыл бұрын
Tupoooo
@marcojuma6907
@marcojuma6907 4 жыл бұрын
Ndevu za karantin...utauwa bro baraka mpenja
@annamadanyila3325
@annamadanyila3325 2 ай бұрын
❤❤❤atar
@palomamathias495
@palomamathias495 4 жыл бұрын
Hatar sana simba baba lao
@hekimanyaludzi324
@hekimanyaludzi324 4 жыл бұрын
Wa kwanza leo😂😂😂😂😂😂
@alexjeremiah8389
@alexjeremiah8389 4 жыл бұрын
Wanangu wa Simba sport Tambeni, tambeni Simba haina mpinzani. Wanasimba Tujuane kwa like tunaocheki hii mechi kwa mara ya pili
@marawihamissi1541
@marawihamissi1541 4 жыл бұрын
Marawi
@shakuru12suleman59
@shakuru12suleman59 4 жыл бұрын
Heyy
@ashamgalike3318
@ashamgalike3318 4 жыл бұрын
Tupoooooooo Mnipiqe mpaka mniue mim Simba siamii siamii nasema siami
@marcobatholomeo
@marcobatholomeo 2 ай бұрын
Utopolo mnaikubuka hii❤❤
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 4 жыл бұрын
BARAKA MPENJA nakuelewa sana.YNWA
@jamillahpaul4735
@jamillahpaul4735 4 жыл бұрын
Mzamiruu yasini 19 I lovyuuuu babaa
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv 4 жыл бұрын
utopolo fc kapokea kipigo cha mbwa mwizi, ndo wajue Simba Sc sio level yao #NguvuMoja💪💪
@shaibudaudimhina9201
@shaibudaudimhina9201 4 жыл бұрын
sana
@shakuru12suleman59
@shakuru12suleman59 4 жыл бұрын
Simba ni baba lao hawawezi jilinga nisha
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 4 жыл бұрын
Nani anaangalia marudio kama mim muda huu?? Gonga like twende sawaaa
@rehemabakali494
@rehemabakali494 4 жыл бұрын
Mimi hapa
@Riziki.boniphace.sabore1234
@Riziki.boniphace.sabore1234 Жыл бұрын
Mimi hapo
@Boytzlukaslodupo
@Boytzlukaslodupo 9 ай бұрын
Tupo pamoja
@SichaliJuan
@SichaliJuan 4 ай бұрын
Yanga wanajisahau sanaa😅😂😂😂
@davidaugustino4190
@davidaugustino4190 4 жыл бұрын
Gonga like Kama umesikia ndevu za karantin
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
Asante Sanaa chama langu la SIMBA 🙏 kwetu soka kwao majungu 😂😂 😂
@mwajumaally9250
@mwajumaally9250 3 жыл бұрын
Simba Sisi ya ncezo
@lwitikophilipopelela1891
@lwitikophilipopelela1891 4 жыл бұрын
Daah Azam hamtaki tusave offline 😀😀😀
@robertmshana5514
@robertmshana5514 4 жыл бұрын
kikkkkk ndevu za karantini marhaba alihabibi
@ChrispinNyasi
@ChrispinNyasi 2 ай бұрын
Aaaaaaah inaweza ikatokea
@AlawiJohn
@AlawiJohn 3 ай бұрын
Tukooo pamoja❤
@JosephineBrown-vq6in
@JosephineBrown-vq6in 11 ай бұрын
Hii mechi nimerudia 2024
@michaelmujjugumbya8747
@michaelmujjugumbya8747 4 жыл бұрын
Congratulations simba
@amoscharz5606
@amoscharz5606 4 жыл бұрын
Camera zenu sio HD
@barakasam4553
@barakasam4553 4 жыл бұрын
Love simba forever
@nelsonmanga9073
@nelsonmanga9073 4 жыл бұрын
Hii ndo tofauti yetu na wao
@naomycharles9266
@naomycharles9266 4 жыл бұрын
Oooooooh yanga wambayaaaaa oyooyoooo simba ushindi ni wetuuuuuu
@BARAKAMWINGWABarakaMWINGWA-g4k
@BARAKAMWINGWABarakaMWINGWA-g4k 4 ай бұрын
Saffiiiiii chama langu simbaaaaa
@gwamakaandersson5260
@gwamakaandersson5260 4 жыл бұрын
azam mnazingua highlight gani mnaluka baazi ya matukio muhimu?
@samflavour3099
@samflavour3099 3 жыл бұрын
Safi sana
@joelsaulo6526
@joelsaulo6526 4 жыл бұрын
Good job
@munchandehassan260
@munchandehassan260 4 жыл бұрын
Asanteee simba
@erickelia9826
@erickelia9826 3 жыл бұрын
Kwa mpira huu Simba wanasitahili pongezi
@yohanamasombe1267
@yohanamasombe1267 4 жыл бұрын
4g mtandaoo wenye kasi ya ajabu 🦁
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 4 жыл бұрын
Rudieni kutengeneza highlight vizuri
@FurahaMussa-mq2wk
@FurahaMussa-mq2wk 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 4 жыл бұрын
Pole sana sasa unaumia hadi unaedit unafuta goli la pili na latatu hamjalioneshaa ila simba juu
@emmanuellybaraqah5885
@emmanuellybaraqah5885 4 жыл бұрын
🇰 🇮 🇰 🇴 🇸 🇮 Cha 🇲 🇦 🇳 🇬 🇦 🇲 🇮 🇿 🇮
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 4 жыл бұрын
SIMBA BABALAO🦁🦁🦁
@salummgunda9122
@salummgunda9122 4 жыл бұрын
Hii gemu ilikuwa noma sanaaaaaaa
@mlayinosent6157
@mlayinosent6157 4 жыл бұрын
Unaikumbuka ?
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq 4 ай бұрын
Im here 2024
@omarihasani3035
@omarihasani3035 4 жыл бұрын
Simba juuuuuuuuuu
@NaimaNuhu
@NaimaNuhu 2 күн бұрын
😂ila yanga wanajisahulishaga snaa dahh,🙌🙌🙌
@mutalemwagabrie9791
@mutalemwagabrie9791 4 жыл бұрын
Ila tangu Leo nimeona kwamba Azam tv ni wanafiki sana,sijui niwatukane tusi gani Hadi muumie, michezo yote ambayo ajacheza Simba mnaonyesha magoli yote Ila kwa mchezo wa Simba ni taabu, hata Kama yanga ni team yenu! Isaidie Basi hata kwa usajiri. Ila kwa mnacho kifanya sio poa aisee😭😭😭😭😭
@kazimiljoseph9424
@kazimiljoseph9424 4 жыл бұрын
Sikujua kama na nyie ni mashabiki wa utopolo Mmeyakata magori yote mawili la chama na la Luis ili iweje bora msingeweka kabisa hii replay ya kinafiki @azam TV #azamtv
@elickmaendeleo1141
@elickmaendeleo1141 4 жыл бұрын
Wasenge
@bensonashery2360
@bensonashery2360 4 жыл бұрын
Nilisikia wakisema azam ni team mbovu na wao azam wakasema tulipuliza dawa kwenye vyumba ivi xx sijuwi wanasemaje
@abdullaabdullahmpakanjia2336
@abdullaabdullahmpakanjia2336 4 жыл бұрын
Ila ww mpenja umenishinda tabia MORISON na ndevu za carantin
@omarihasani3035
@omarihasani3035 4 жыл бұрын
I yo nimeielewa
@kulwamadaha1613
@kulwamadaha1613 3 жыл бұрын
4G vibe jmos na8 may 2021........
@annadonad4251
@annadonad4251 4 жыл бұрын
Yani simba 👏💞
@nzukimarco2783
@nzukimarco2783 4 жыл бұрын
Simb noma.
@Boytzlukaslodupo
@Boytzlukaslodupo 9 ай бұрын
Niko hapa
@mkamasabai7177
@mkamasabai7177 4 жыл бұрын
Ndevu za karantine 😀😀😀😀😀😀😀
@FundiiAlly
@FundiiAlly 5 ай бұрын
Simba ni moto jaman
@cityhunter6858
@cityhunter6858 4 жыл бұрын
tunahitaj center forward mmoja tu tumalize kazi ...GGSSC
@aminaside7218
@aminaside7218 4 жыл бұрын
Mnyamaa
@emanuelmalimi4887
@emanuelmalimi4887 3 жыл бұрын
Diamond
@minaside6717
@minaside6717 4 жыл бұрын
Kitu cha 4G 😁😁😁
@cellyjoseph5382
@cellyjoseph5382 4 жыл бұрын
Lile goli la 3 la kondeboy 😂😂😂😂msikiti umeuzwa sheikh dah dah nachekaga mpaka machozi 😂😂😂😂😂
@salummgunda9122
@salummgunda9122 4 жыл бұрын
Hatariiiii
@RahmaRamadhan-u1r
@RahmaRamadhan-u1r 5 ай бұрын
Wew.mzuri.nmekupend
@saidbarawa9096
@saidbarawa9096 4 жыл бұрын
Simba hooeee
@BarakaWaya
@BarakaWaya 4 жыл бұрын
Highlight gani hii sasa ?? Upuuzi goli la 2 na 3 lipo wapi
@swalehayoub4816
@swalehayoub4816 4 жыл бұрын
Tuachieni tupate kudownload, mbona sio kawaida yenu kutubania, au kipigo kimewauma, tuachieni tudownload!
@santinachaula9902
@santinachaula9902 3 жыл бұрын
Naipenda simba inanipa furaha kila saaa
@SalumFundi
@SalumFundi 6 ай бұрын
Ivi hii inaweza kujiludia eti
@patrickmkoma6960
@patrickmkoma6960 4 жыл бұрын
Chama ni balaa
@geofreylutayuga2008
@geofreylutayuga2008 4 жыл бұрын
Tanz tunn
@palomamathias495
@palomamathias495 4 жыл бұрын
Chama nomaaaa
@badmanvibees
@badmanvibees 10 ай бұрын
2024 nacheki zangu
@stephanomnyonaki1724
@stephanomnyonaki1724 2 ай бұрын
Ile simba kali iko wapi tena jaman
@Tekashiixine-xz2wt
@Tekashiixine-xz2wt 4 жыл бұрын
Highlight gani ya ajabu hii mbona mmeruka sasa hamjaonesha goli la pili na latu..😎
@masoudseif4962
@masoudseif4962 4 жыл бұрын
Yanga hao
@gilbertvicent4229
@gilbertvicent4229 4 жыл бұрын
Yaani wanambeba yanga hadi huku? Hata pale Morrison alipotoka akazuiwa na akatupa maji chini hamtuonyeshi?
@mahadshekh398
@mahadshekh398 4 жыл бұрын
Wewe ulisikia wapi?4G
@AwadhiAli-d6w
@AwadhiAli-d6w 6 ай бұрын
Washaisahau hii
@mwanahamisakumbukile7223
@mwanahamisakumbukile7223 4 жыл бұрын
Sasa mbn magoli mawili hayaonekani wa wengine hatujaangalia mpila tukisubili huku tuone jamani
@bernardchibwana9411
@bernardchibwana9411 4 жыл бұрын
Aliesikia Bernard Morrison ndevu za karanteen twende sanaaa.
@edhitaonesmo8590
@edhitaonesmo8590 4 жыл бұрын
😁😁😁😂😂😂😂😂😂eti ndevu za karantiin
@uwesugogotv3208
@uwesugogotv3208 4 жыл бұрын
Bora tungecheza na mtibwa
@aslaykarumuna1140
@aslaykarumuna1140 4 жыл бұрын
Sinema zetu
@usajiliusajili6511
@usajiliusajili6511 4 жыл бұрын
Simba show Vyura why they must stay inside their dams/rivers
@yusuphsadick8435
@yusuphsadick8435 4 жыл бұрын
yanganasimbs 8
@shakuru12suleman59
@shakuru12suleman59 4 жыл бұрын
Juece by simba
@shairanadam1443
@shairanadam1443 4 жыл бұрын
Kipondo sahihi safii snaa
@ommybrain9607
@ommybrain9607 4 жыл бұрын
mbona goli la pili na la3 hujatuonesha
@PendoCharles-q3z
@PendoCharles-q3z 5 ай бұрын
Mmmmmm!lete mzungu lete mzungu hatujamaliza Wana Simba mlete mzungu aaah mlete mzungu!mnaikumbuka hiyo wataniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
@barakamadelem1292
@barakamadelem1292 4 жыл бұрын
Usaji Wa Simba
@edj4379
@edj4379 4 жыл бұрын
Mpeja et morison ana ndevu zakarantin
@juliussangaya3652
@juliussangaya3652 4 жыл бұрын
Dah pole watani zangu this is not a yanga BT the is mnyama kamanda poli...
@htephaniajaksoni9780
@htephaniajaksoni9780 4 жыл бұрын
Safi sans mnyama
@jaladollar7745
@jaladollar7745 4 жыл бұрын
leo Mmezinguwa Highlight gani hii.
@hamisirashidi3518
@hamisirashidi3518 4 жыл бұрын
Huuu niuzalilishaji
@milemberuhula8983
@milemberuhula8983 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@amanimaenda3624
@amanimaenda3624 4 жыл бұрын
Simba Baba lao
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 4 жыл бұрын
mpaka mnarusha hiyo Clip hamkujua kuwa bao la pili na tatu halipo? achen kukurupuka.
@alphersolly9003
@alphersolly9003 3 жыл бұрын
Utopolo wanakosea sana watafungwa magoli mengiiiiiiiiii
@FrankKomba-y8w
@FrankKomba-y8w Ай бұрын
Jaman simba mwamba angekuwa yanga apa
@paulbutta2363
@paulbutta2363 4 жыл бұрын
Simbaaaaaaaaaaaaaaaa
@geophreyadrian1374
@geophreyadrian1374 4 жыл бұрын
Nimekuja kujikumbushia jinsi tutavyo mfanya uto jumamosi hii😆😆😆😆
@divamrembo8788
@divamrembo8788 4 жыл бұрын
mbona hamjaweka goli la 2 na 3?
@robertoljohn4553
@robertoljohn4553 4 жыл бұрын
Mkuki wa March 8 2020; umepotelea wap
@goodlucklinus141
@goodlucklinus141 4 жыл бұрын
Kama boss wako yuko Yanga hebu kesho jitahidi uwahi kazini huko ...Pumbafu 😁😁😁
@mtindamtinangi346
@mtindamtinangi346 3 жыл бұрын
Narudia leo hii ila nimecheka kwa sms yako kaka
Highlights | Simba 1-0 Yanga | ASFC Final 25/07/2021
24:28
Azam TV
Рет қаралды 2,6 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН