Harusi ya mtu meengine lakin walotren dai na zuchu
@hanifamziray277 Жыл бұрын
Zuchu unajua kupenda humuachii mond kbs
@productivityprogressprince5156 Жыл бұрын
Kwenye 0:14 wote mikono imeenda sawa. Afu ma haterz watasema zuchu anafosi. Mxiuuuuuuu. Awa wawili wanapendana alafu wanapendezeana hmmmm ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@yusternyirenda7231 Жыл бұрын
Diamond anmpenda mno zuchu kuliko walimwengu wanavyozani, diamond mwenyewe alikiri kwa boss wake babu tale akamwambia hata yeye anajishangaa amejikuta amempenda sana zuchu kuliko alivyozani yan amekufa kameoza kabisa hana namna hajiwezi labisa amefika akamwambia zuchu ana heshima, adabu, msikivu, mtii, anajali, ana mapenzi! mkarimu diamond alimwambia boss wake babu tale akamwambia yan mtoto nimejikuta namuelewa kinoma ana dini pia ni mtulivu sana nampenda mno zuchu kuliko watu wanavyozani, babu tale akabaki mdomo wazi, babu tale akamuuliza diamond mara tatu ni kweli unampenda zuchu kwa dhati sio kumchezea una uhakika, diamond akajibu ndio nina uhakika na moyo wangu nampenda sana zuchu babu tale akamwambia diamond hakikisha iwe hivyo maana mimi binafsi sitaki kabisa umuumize zuchu maana nampenda sana huyu mtoto sitaki aumie wala mapenzi aondoke wasafi kwa sababu ya wewe kumvuruga kwenye mapenzi! diamond akamjibu boss usiwe na wasiwasi nampenda mno zuchu kuwa na amani
@louloubika8603 Жыл бұрын
Magnifique 💋 ❤❤❤❤❤
@aminamgendi5121 Жыл бұрын
Zuchu we fundi nakupenda bureee mond atazunguka lakin lazima arudi kusain kwako❤❤❤❤
@elizabethchabluma-zw5qz Жыл бұрын
Hatari ndugu penda Sana Hawa watu
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Hata wapiga picha wamekuwa bizy na dai na zuchu kuliko wahusika
@ashaali7154 Жыл бұрын
Diamond ni kivuruge tu anapenda kuwa mbele ya kila kitu he is selfish ignorant bully.
@OlgaAmboulou4 ай бұрын
@@ashaali7154hummm même si on déteste quelqu'un 😂
@meselemanihamisi3905 Жыл бұрын
Hii imeenda❤
@suzanmairy2638 Жыл бұрын
Iyo pete ya chumba inavaliwa mkono wa kulia
@PolyneKhalende Жыл бұрын
Nimecheka kama mwendawazimu,Raha jamani 🥰🥰😅😅😂
@RabiaWahadh Жыл бұрын
Raha Zuch 🔥🔥🔥
@yusrakaonekayusra7634 Жыл бұрын
Jamani rahaaaa❤❤❤❤❤❤
@eshymohammed8837 Жыл бұрын
hawa kaka watatu kwa kusengenya😂😂😂😂kha😅😢😢😂😊
@rosejoely4518 Жыл бұрын
Zuchu🥰🥰🥰🥰🥰
@citynews5611 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@HalimaHamisi-r3g Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@TRIZA22-m1i Жыл бұрын
zuchu shikilia apo apo mpz much love from kenya ❤
@JeniphaEdward-w2b Жыл бұрын
Nawaomba msiachane endeleeni kuwakela
@loreenochiko-w4l Жыл бұрын
♥♥♥♥♥♥♥
@aishanassor-wf8vq Жыл бұрын
Biharusi aache ushamba 😂kumwangalia zuchu na mdomo ubanwe kwa kibanio
@eshymohammed8837 Жыл бұрын
umeonaaaae😂😂😂
@RabiaWahadh Жыл бұрын
😂😂😂😂
@ashaali7154 Жыл бұрын
Atabaki na Pete kidoleni danganya mjinga wenziwe wamevaa Pete na kuzalishwa na wameishia barabarani. Diamond anajua kudhalilisha wanawake na wanawake wenyewe wanampa hiyo nafasi kwa ujinga wao wa kufikiri wanapendwa. Huyu hana apennines na mtu zaidi ya nafsi yake. Wanawake why give him the chance to humiliate you? Please please don't let him get away with all this rubbish.
@aishanassor-wf8vq Жыл бұрын
Kama si harusi vile jamani munaotowa matamgazo ya harusi zenu au maaonesho ktk midya kwanza wachukulieni mazoezi maharusi ndio mtowe
@TajiriHalisi-ez1tf Жыл бұрын
Nomaah aiseeh sana
@saidemuamedeali2678 Жыл бұрын
Wee umizwa tu
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Wakudereeee
@richardk.kataliko8935 Жыл бұрын
Vanity
@naimarishedy1523 Жыл бұрын
Dai tangu apende hakuna anafit kama Zuchu. Mke msikivu wivu kidogo haangalii pesa anaupendo wa dhati
@miriamchoto7990 Жыл бұрын
The two men in brown/tan suits should have brought dates/partners to this beautiful wedding 🙊🤷🏽♀️