Angel Benard - Salama (Official Video)

  Рет қаралды 2,550,709

Angel Benard

Angel Benard

Күн бұрын

Пікірлер: 968
@worshiplibrary7157
@worshiplibrary7157 2 жыл бұрын
I have struggled with heroin addiction for 30 years, I'm 52 years old and have been clean for 3 year and half years and I accepted Christ 3yrs ago. I had never been to Church and had been leaving under an overpass in the city of Boston for 2 years- Jesus is in the waiting. I now go to Bible college, I have not been in school for decades. The LOD keeps me. You all have gifts thank you!!!!
@maureennganga7161
@maureennganga7161 2 жыл бұрын
The Lord will perfect all that concerns you. Cast your worries to Him for HE cares. You are a testimony
@andrewmukuru6357
@andrewmukuru6357 Жыл бұрын
Seek,serve & follow CHRIST,FREE IN JESUS HOLY PERFECT NAME!!!!!!
@marnityam1558
@marnityam1558 Жыл бұрын
Can you understand this song?
@AngelBenardWorship
@AngelBenardWorship Жыл бұрын
Thank you for taking time to share this testimony. God is amazing! May He who sees truth, purity of intentions, transparency of the heart , minister to you and take you deeper into knowing His grace and love for you. May His grace keep you.
@floramasai2720
@floramasai2720 Жыл бұрын
😂😊😂🎉😂😊❤😂😊😂😊😂❤😂😊❤😂😊😂😮😊
@AngelBenardWorship
@AngelBenardWorship 8 жыл бұрын
Asanteni Sana, Sana! Kwa support mnayoonesha kwa comments na kwa ku share. Mmenionesha UPENDO WA HALI YA JUU... Nawapenda wote. Blessings!
@MamaTeeOnlineTV
@MamaTeeOnlineTV 8 жыл бұрын
Salama 👏👏😍👏
@paschaljulius2787
@paschaljulius2787 8 жыл бұрын
salaaamaa
@lilianfrank5282
@lilianfrank5282 8 жыл бұрын
Angel nakupenda sana wew dada...nyimbo zako zinanibariki na kunifariji mnooo..ubarikiwe sana jmn
@scoviarobert235
@scoviarobert235 8 жыл бұрын
Dada Angel nnaomba uje chuon kwetu kuhudumu ktk sherehe ya Fellowship,,,,,kama utakuwa tyr nnaomba tuwasliane 0763779569
@aminaelinazi609
@aminaelinazi609 8 жыл бұрын
barikiwa Dada angu mung azid kukuimarish katik kumsif
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 жыл бұрын
Dhambi zangu zote ziliwekwa msalabani..Wala sichukui laana...Ahsante Yesu...Rohoni mwangu ni salamaaàaaa..🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@iddimoshi8459
@iddimoshi8459 4 жыл бұрын
LYRICS 1. Nionapo amani kama shwari, Ama nionapo shida; Kwa mambo yote umenijulisha, Ni salama rohoni mwangu. Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu. 2. Ingawa shetani atanitesa, Nitajipa moyo kwani Kristo ameona unyonge wangu, Amekufa kwa roho yangu. 3. Dhambi zangu zote, wala si nusu, Zimewekwa msalabani; Wala sichukui laana yake, Ni salama rohoni mwangu. 4. Ee Bwana himiza siku ya kuja, Panda itakapolia; Utakaposhuka sitaogopa Ni salama rohoni mwangu.
@haggaijames6841
@haggaijames6841 8 жыл бұрын
Dear whoever took the time to read this, I just wanted to remind you that you are beautiful, amazing and smart, because sometimes you forget, I did for quite some time. If you're having a bad day or things just aren't going to how you planed, you keep in mind there is always tomorrow, and to start fresh. Do let anyone else validate your opinions about something, and don't let them control you, learn how to standup for yourself, and find a way to let go of the thing, you so dearly want to hold on to, but deep down you know you just have to let go. Please stay strong, because there is someone out there who will take the time to listen to you, to tell you everything is going to be okay. You chose who you want to be, and the way you should be living your life, and you chose the way you react to things that are happening around you. I really hope this long comment will brighten you day xx 💗
@wanguithumbi8964
@wanguithumbi8964 8 жыл бұрын
Thanks,you just made my day. God bless you
@nditchienditchie5533
@nditchienditchie5533 7 жыл бұрын
Haggai James 🙏🙏🙏🙏 it was worthy Reading
@gracefigur8642
@gracefigur8642 7 жыл бұрын
thanks a lot may God bless you brother
@middyirene1345
@middyirene1345 7 жыл бұрын
Haggai James wow...beautiful comment..thank you
@lornaakoya9662
@lornaakoya9662 7 жыл бұрын
Haggai James nice advice
@kellyoketch2254
@kellyoketch2254 5 жыл бұрын
Still listening in 2020 and finding alot of hope in the finished work of Jesus Christ
@gkalu6176
@gkalu6176 4 жыл бұрын
SURE 💯
@_make_upbykanyambu4007
@_make_upbykanyambu4007 Жыл бұрын
These song will never end here in 2023 ,,,,it gives me hope ♥️♥️♥️♥️
@kaybuzohera8112
@kaybuzohera8112 7 жыл бұрын
this woman is more than talented. she sings from the heart.. her vocals cannot be easily compared. May God bless you Angel.. it's been a long time coming I KNOW
@calebjunior5977
@calebjunior5977 Жыл бұрын
This song still hits me in 2023.....nice one Angel Bernard
@MrFamm
@MrFamm 3 жыл бұрын
In the year 2021 and i cannot explain how i feel when i listen to this song. Amazing vocals, even more anointing!
@mwende5348
@mwende5348 3 жыл бұрын
2021 anyone??Am still blessed.Reminds me I listened to this song in 2018,was jobless,had lost hope in life,but our God is merciful,am not where I used be,my life changed. It's the THE POWER OF WHAT GOD CAN DO.🙌
@AngelBenardWorship
@AngelBenardWorship 3 жыл бұрын
GLORY BE TO GOD! HALLELLUYAH!!!
@PaschalMasalu
@PaschalMasalu 8 жыл бұрын
Angel Benard umekuwa mfano wa kuigwa kwenye mziki wa Injili, ubunifu wako na kazi yako kwa ujumla inagusa mioyo ya wengi. UMEUGUSA MOYO WANGU... Mungu akubariki kwa kazi hii nzuri| #Salama
@annahmwakipesile6611
@annahmwakipesile6611 7 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri Angle kila nisikiapo nyimbo yako yoyote nasikia kubarikiwa
@sammabula7359
@sammabula7359 8 жыл бұрын
Dada nakuombea Mungu alikuze jina lako na upate kibali na pesa nyingi kulingana na kipajichako. illa ukifanikiwa usije ukamsahau Mungu nakusema nikwanguvu na akili zako ndiyo zimekufanya ufikeie Mafanikio yako. We are behind you Praying for you. tunajivunia kuwa na kipaji kikubwa namna hii ktk taifa letu la Tanzania
@jacklinejackson8462
@jacklinejackson8462 8 жыл бұрын
nice comment
@noelmakala7406
@noelmakala7406 7 жыл бұрын
dada mungu Zidi kukupa uponyAji ili uendelee kutupa ujumbe mzuri ubarikiwe
@gloryjeremia7886
@gloryjeremia7886 7 жыл бұрын
Sam Mabula naa oak
@rosenyakarungu6218
@rosenyakarungu6218 7 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia sister Angel. i love yu
@hildamlay5926
@hildamlay5926 6 жыл бұрын
Nice song, unanibariki Sana
@peterkool2616
@peterkool2616 4 жыл бұрын
This song is all seasonal. Even now it gives hope and encouragement to the faint. Thanks @Angel Benard keep soaring higher
@estercheyo5371
@estercheyo5371 8 жыл бұрын
"KRISTO uliuona unyonge wangu ulikufa kwaajl yangu" ooh MUNGU azd kukutumia dada Angel kweli ni salama rohon mwangu ur the best of the best
@mengichirebo8982
@mengichirebo8982 4 жыл бұрын
Mungu, akulinde,nazipenda nyimbo zako, kiukweli
@priscillawaihwa8308
@priscillawaihwa8308 3 жыл бұрын
verse 1] Nionapo amani kama shwari Ama nionapo shida Kwa mambo yote umenijulisha Ni salama rohoni mwangu [chorus] Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu [verse 2] Ingawa shetani atanitesa Nitajipa moyo kwani Kristo ameuona unyonge wangu Amekufa kwa roho yangu [chorus] Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu [verse 3] Dhambi zangu zote wala si nusu Zimewekwa msalabani Wala sichukui laana yake Ni salama rohoni mwangu [chorus] Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu [verse 4] Eh Bwana himiza siku ya kuja Parapanda itakapolia Utakaposhuka sitaogopa Maana ni salama rohoni mwangu
@calvo8071
@calvo8071 4 жыл бұрын
This is what I call 'singing from the heart'. One of my all time favourites!
@margaretlubwama3804
@margaretlubwama3804 6 жыл бұрын
I'm here in 2019. Powerful song! Thank you for the music! Blessings!
@lydiahmumoOfficial
@lydiahmumoOfficial 8 жыл бұрын
salama rohoni mwangu...singing aloong....wonderful soooong....kwa mambo yote umenijulisha ni salama rohoni...may the Lord always remind our hearts to sing it is well.....it is well
@AngelBenardWorship
@AngelBenardWorship 8 жыл бұрын
ameen ameen.
@thandefiona2033
@thandefiona2033 4 жыл бұрын
This girl blesses me soo much. Her ministry with her music is everything
@hancychriss721
@hancychriss721 4 жыл бұрын
This song i'll keep on remembering through all the times of my life, today i was really sick in the morning n admited to hospital due to complicated Maralia but atleast for now am doing great and this song came to my mind that made me to realize even prayers can handle all the problems i have😊 SALAMA ❤️ i love you Angel Benard 🙏🏽
@kellyoketch2254
@kellyoketch2254 6 жыл бұрын
Can never have enough of this song, glory be to our faithful Lord and savior Jesus Christ.
@BrendaCleopa
@BrendaCleopa 8 жыл бұрын
Beautiful angel my husband keeps kukusifia for ur awesome song its my prayer ur ministry grows Internationally kwa ajiliya utukufu wa Jehovah. The melody and harmonies are superb..
@angelinakarengi8293
@angelinakarengi8293 8 жыл бұрын
Angel Bernard kupitia wewe najifunza Mengi Sana Mungu azid kukuinua Zaid na Zaid
@liethlizer1190
@liethlizer1190 7 жыл бұрын
Angel Nakuombea kwa Mungu kipaji hiki kikue zaidi na zaidi Mungu aendelee kuku tumia katika kazi yake na watu wa mjue yeye kupitia uimbaji wako.
@leutnatmisana5164
@leutnatmisana5164 5 жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu, Nice voice dadaa, Mungu akubariki na kuzidi kukuinua.
@jkasindi
@jkasindi 8 жыл бұрын
there are talents in God's kingdom. highly appreciated Angel Benard
@lapaix3507
@lapaix3507 8 жыл бұрын
The video, the energy, the Holy Ghost flow just left me speechless and replaying the song. more blessing your way Angel.
@brofreddytv1743
@brofreddytv1743 4 жыл бұрын
I definetely need to do featuring song with you... You put smile on my face today with this fantastic song of yours...Is there people listening to this in 2021 ? Bless everyone and each of you ❤💯🙏🏻
@Kanisaletu
@Kanisaletu 8 жыл бұрын
Nimependa sana huu wimbo. Hakika Mungu amekuinua kwa wakati husika hasa katika kizazi hiki cha sasa. Mungu wangu katika Kristo Yesu azidi kukutumia siku hadi siku katika viwango vya juu kabisa.
@veronicaussiri7204
@veronicaussiri7204 8 жыл бұрын
you made me cry..you are blessed and many are gonna be blessed through you..glory to God..it is real well in my soul. salama
@georgegoyayi5544
@georgegoyayi5544 3 жыл бұрын
Heal Me Lord Kwa Yesu Kristu wa Nazaret Aliye hai ni salama zaidi.
@samuelgustol1870
@samuelgustol1870 6 жыл бұрын
This rendition made me love this hymn.Asante
@maryanneimani
@maryanneimani 3 жыл бұрын
Not only is she one if my fav top gospel artists E. A, This is my song for the season I listen to it daily.
@snsbackup-b2j
@snsbackup-b2j 8 жыл бұрын
Hii si video bora ya gospel tu bali miongoni mwa video bora toka Tanzania mwaka huu. Salama ni wimbo mzuri na ambao nakosa maneno yanayofaa kuuelezea ukubwa wake lakini nasema @angelbenardofficial ni hazina Mungu ametupa Tanzania
@mdudukiller2812
@mdudukiller2812 6 жыл бұрын
amen mtu wa mungu
@israelpoles5796
@israelpoles5796 6 жыл бұрын
vyema sana dada Mungu azidi kukutumia vyema
@denismabeyo3350
@denismabeyo3350 6 жыл бұрын
Siku ya mwisho kuonana na wewe ulinijibu kuwa Gospel umewaachia vijana,nilijisikia vibaya ila nafarijika kuona maendeleo yako ktk huduma hii,naendelea kukuombea mtumishi.
@gerydavies7579
@gerydavies7579 8 жыл бұрын
I like most the way ulivyo ibadilisha chorus ya pili from FUTURE tense kua PAST tense! Yes it was past, now we're free. Inatoa picha ya namna gani UNAMAANISHA na Unajua inachokiimba. God bless you
@superiorsucces5388
@superiorsucces5388 5 жыл бұрын
gery davies be blessed servant of god amen
@bxsportshd7923
@bxsportshd7923 3 жыл бұрын
2021 bado naamini ,,,Afanye au asifanye,kwenye shida au kwenye raha bado yeye ni Mungu ,najua ana sababu ..Ombi langu kubwa:Kristo yaimarishe maisha yangu ya kiroho.Maisha ya dunia na changamoto zisinitenge nawe nikumbushe wewe ni Mungu si kwa sababu unaokoa bali kwa sababu uliumba mbingu na nchi..Niimarishe kiroho unikumbuke ujapo tena🤲🙏🙏🙏
@soundsofjacobkenya
@soundsofjacobkenya 5 жыл бұрын
this is still our favorite song even in this mess and darkness.it is well.
@Jordan_g9
@Jordan_g9 7 жыл бұрын
nakumbuka ckuyakwanza nasikia hii nyimbo ilikuwa niasubuhi nilipowasha TV tu nikakuta inaishia kila siku ikawa hivyo nikawa natamani sana nimjue anaeimba hiinyimbo kiukweli nilikuwa natembea na ton moyoni mwangu nilipenda niwe naisikia kila Mara nashukuru Leo nimekujua naninaenjoi kwakuwa naisikiliza kila mda mungu akuongoze sana #Angel
@subiramwanjabala4513
@subiramwanjabala4513 8 жыл бұрын
when you think the previous songs were your favorites and she comes with this sweetest song.. Am blessed.Thank you Angel.. ni salama rohoni mwangu.
@jeremybobares3047
@jeremybobares3047 7 жыл бұрын
Subira Mwanjabala gv I.
@jullyjoseph6428
@jullyjoseph6428 5 жыл бұрын
Anaye kibali uimbaji wa angel bernad gonga coment hapa
@DorcasShekinah
@DorcasShekinah 8 жыл бұрын
I praise Holy Spirit for using you my sis.....something has changed today
@gerraldbukelebe5152
@gerraldbukelebe5152 7 жыл бұрын
Salama hata me nimebarikiwa na kazi nzuri hii kutoka kwake malkia angel, maana inatukumbusha ya kuwa kwa mungu mambo yote ni shwari ...asante sana dada nipo nchi jirani hapa kenya
@ruthmasong630
@ruthmasong630 8 жыл бұрын
ukiwa na Yesu kila kitu ni shwari...Barikiwa mpendwa
@emmanuelngadaya1412
@emmanuelngadaya1412 8 жыл бұрын
ANGEl unanibariki sana dada angu, Bwana akufanye chombo bora cha ibada siku zote. Amina
@AgapeTunzoMnzava
@AgapeTunzoMnzava 8 жыл бұрын
Ni salama rohoni mwangu. Tutaimba leo kwenye sala nyumbani...and hongera for the baby...Be blessed
@sisteragnesmwangi2637
@sisteragnesmwangi2637 4 жыл бұрын
You never disappoint Angel
@gaitukombe685
@gaitukombe685 7 жыл бұрын
MUNGU akuinue katka Kipawa chako azid kukutumia ili watu wamuone MUNGU kupitia ww""UBARIKIWE SANAA""
@PelegreenNgonyani16
@PelegreenNgonyani16 8 жыл бұрын
Najisikia amani sana naposikia GOOD MUSIC Unajua sana yani Dah Salama kweli.
@marydivineosujaki9188
@marydivineosujaki9188 3 жыл бұрын
Am here October 2021 feeling down and tired almost giving up but then finds this song can't stop crying😭😭🙏
@carolinemwaniki819
@carolinemwaniki819 5 жыл бұрын
Angel you are really talented, your songs are inspiring and comforting. May God bless you and your family.
@maymheta3708
@maymheta3708 7 жыл бұрын
Kuna wakati nakuwana simanzi moyoni mwangu kuna wakati nakuwa na huzuni kubwa kuna wakati nakuwa nimekata tamaa ya maisha lakin kila nisilizapo nyimbo zako napata faraja kubwa na kutambuwa uwepo mkuu wa mungu atupaye uzima na nguvu asante sana .
@raymondnyamwihula7384
@raymondnyamwihula7384 8 жыл бұрын
Hongera sana Angel. Salama ninaupenda sana. Ubarikiwe zaidi kwa talanta hii.
@cynthiamuriithi4678
@cynthiamuriithi4678 Жыл бұрын
Such a blessed song, Hallelujah 🙌, thank you 🙏 Angel Bernard for the beautiful song, may Almighty God continue being with you and guiding you 🙏
@zachariajackson481
@zachariajackson481 7 жыл бұрын
Nionapo amani kama shida,moyoni ni salama rohoni mwangu'pure inspirational
@doricemasembe7961
@doricemasembe7961 7 жыл бұрын
I do feel much better through this song, your so perfect my sister let you not give up God is with you,Stay blessed.
@emmanuelsanga7811
@emmanuelsanga7811 8 жыл бұрын
Asante kwa wimbo mzuri...hakika ni salama rohoni mwangu...
@securite8893
@securite8893 11 ай бұрын
still listening in 2024
@deysonwikungu8139
@deysonwikungu8139 8 жыл бұрын
bwana yusu akupe maisha malefu zaidi uendelee kutubuludisha nyimbo nzuli zaidi..
@naomiwilhard1315
@naomiwilhard1315 8 жыл бұрын
wow.da Angel hongera mno kwa.wimbo mzuri my role mode
@joanstephen8365
@joanstephen8365 7 жыл бұрын
May God be wid yu alweys just as how he said katika 1 Petro kuwa atakayeliendea jiwe lilekataliwa ambalo ni Yesu hatatahayarika ....letit be pia kwako pia....Amen ...yu keep blessin me na nyimbo zako ...I am the Righteousness of God in Jesus Christ ...his grace is amaizing to us ..
@a.githaiga9322
@a.githaiga9322 8 жыл бұрын
Oh My Goodness, the chills .... WOW!!!! this gal is just amazing. Thanking you for the uplifting song
@emanuelissaya1079
@emanuelissaya1079 7 жыл бұрын
amen! ni salama rohoni mwangu angel Bernard ubarikiwe sana naguswa na nyimbo zako na nazipenda Mungu azidi kukuinua dada angu
@shadrackkikoti8813
@shadrackkikoti8813 8 жыл бұрын
Kweli ni salama rohoni mwangu!!!!
@maryjustapeter5430
@maryjustapeter5430 6 жыл бұрын
Mungu akubarki sana kwakazi ya Mungu najua siraisi ni Mungu amekuwezesha endlea kunyenyekea ili akukweze yehova
@rosemwakabatika4347
@rosemwakabatika4347 8 жыл бұрын
can't get enough of this song n hio back voice iko njema sana... be blessed
@alolafweda6107
@alolafweda6107 4 жыл бұрын
Mungu akupe kipaji zaid katka kaz ya uinjilishaji napenda unavyoimba kwa hisia barikiwa sana Dada Angel
@iantall0474
@iantall0474 5 жыл бұрын
Very powerful song God knows how many time I have repeated this song,,I can't get enough of it ,,ni salama Rohoni mwangu ,it always blesses my awful days ,when I feel that the world is against me it makes me calm knowing all is well as the message says ni salama rohoni mwangu ..thank you for the song
@consolathakimaryo3798
@consolathakimaryo3798 8 жыл бұрын
Ila Mungu hapendi nywele za bandia, ukiwa natural Mungu atafurahi zaidi na mbingu utaiona kwa hakika
@liopkienliog9466
@liopkienliog9466 8 жыл бұрын
Whenever i get to listen to this song, i always feel like frying to heaven. I love it ,it blesses and refreshes my soul,heart and spirit too!!
@anniefrancis9923
@anniefrancis9923 8 жыл бұрын
Angel Benard, God has a big PURPOSE in you.Keep going ...NEEMA ya Mungu imekufunika na itakuwezesha katika hili. damu ya Yesu ikulinde na Roho Mtakatifu akuongoze. this video is perfect.....wow...barikiwa !!
@rachelmusafiri1671
@rachelmusafiri1671 8 жыл бұрын
What an angelic voice! Your name says it all. Beautiful song.
@zahrasizya650
@zahrasizya650 7 жыл бұрын
❤❤❤
@floramkina2740
@floramkina2740 7 жыл бұрын
Rachel Musafiri 😍😍😍😍😍😍😍
@onesmomatias8565
@onesmomatias8565 7 жыл бұрын
ubarikiwe sana.
@amossonelo5405
@amossonelo5405 7 жыл бұрын
Rachel Musafiri she is so blessed
@anoldwiston6230
@anoldwiston6230 7 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupigania katika huduma yako, Ameen
@sarahwaigi1607
@sarahwaigi1607 8 жыл бұрын
Angel nyimbo zako zanibariki kila wakaa.Mungu akufungulie njia Zaidi unapomtumkia nasi tubarikiwe....hallelujah
@josephngimba8816
@josephngimba8816 8 жыл бұрын
Hongera angel
@pendodavid6448
@pendodavid6448 7 жыл бұрын
Angel wimbo wasalama Rohoni mwangu unibariki Sana Mungu akubariki zaidi na zaidi
@vickykimonge9264
@vickykimonge9264 7 жыл бұрын
SARAH WAIGI u
@elinabrayton4440
@elinabrayton4440 7 жыл бұрын
na barikiwa na nyimbo zako pia zinanipa nguvu mpya pale napokuwa na hofu , be blessed
@francismurusuri5536
@francismurusuri5536 7 жыл бұрын
I never get tired of this song, I can repeat it on my device over and over.. Keep up the good work Angel.. Bless you!
@rachelrichard4170
@rachelrichard4170 8 жыл бұрын
Now this is my best song....yaaani hapa najikuta namtafuta MUNGU haswa...Angel Bernard...i just love u..Mungu unaye mtukikia ni MUNGU ANAYEISHI!
@emmanuelathanas7725
@emmanuelathanas7725 8 жыл бұрын
hongera sana Dada Angel,be blessed!
@WinnieMsamba_africa
@WinnieMsamba_africa 8 жыл бұрын
i am truly blessed! i found this song in the most perfect time. though troubles will come in my ways it will always be well! NI SALAMA ROHONI MWANGU.
@winniekimuyu118
@winniekimuyu118 7 жыл бұрын
Am just in tears as I was reading Isaiah 49:1 and I conclude this song is anointed.....love you Angel Bernard so so much
@stewartrwambazi
@stewartrwambazi 8 жыл бұрын
Thanks for the nice song Dada Angel may God bless you in your ministry.
@aishakitundu97
@aishakitundu97 8 жыл бұрын
Nina barikiwa sana kwa uimbaji wako,Barikiwa zaidi dada Angel Bernard!Hakika umechagua fungu jema kumtumikia Mungu.Mungu wetu aliye hai akuongezee thamani katika uimbaji wako.
@bahatibuhoma5329
@bahatibuhoma5329 8 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sanaaaa...Be blessed dada Angel
@gabrielokey8207
@gabrielokey8207 8 жыл бұрын
You Are Such A Blessing, May GOD Lift U Up..
@janethjkavishe589
@janethjkavishe589 6 жыл бұрын
Angel Benard. ubarikiwe mama. unasauti unamuujiza ktk nyimbo zako. ubarikiwe tena
@joshuakiplagat2680
@joshuakiplagat2680 7 жыл бұрын
Sinks deeper to my spirit, Blessings upon blessing.
@danielmpigasupi2212
@danielmpigasupi2212 6 жыл бұрын
Mwenyezi Muungu aendelee kukupa maarifa na ujuzi wa kutunga nyimbo nzuri ambazo zinagusa mioyo na hisia kupitia injili yako. Be blessed #AngelBenard
@kennethkihongosi9415
@kennethkihongosi9415 8 жыл бұрын
one thing i love about you, you know how to use the gift Almight God has invested in you to feed his people..the first time i saw you at christmass eve at Mlimani City (2015/2016) in knew that was coming, a lot more...and i assure you, that was my first ever live performance tht not only led to a spiritual growth, but also revealed that there is something in me also that God wants to reveal to His people..Yo ARE doing a great service and that backup u gat,.well ts amaizing. God bless you and your Ministry/team and all the hard work you are putting to produce such quality videos..this shows how serious you are. This one is my best...WELL THANK YOU FOR SUCH A NICE SONG.
@irenehaoteamsoul4379
@irenehaoteamsoul4379 8 жыл бұрын
Bless you mwalimu etuuu...nzuriiii hakika Mungu anakutumia kwa Viwango vya juu
@elvisongeti
@elvisongeti 8 жыл бұрын
I really love this. Amazing mellow worshipful music. God bless you.
@asnatimagreth4541
@asnatimagreth4541 7 жыл бұрын
angel Mungu akubariki kwa kuonyesha kwamba ni yeye tu na hakuna mwingne.... I love the song n this version!!!
@samgitonga6797
@samgitonga6797 8 жыл бұрын
Beautiful song. Continue being a blessing.
@sallysal5595
@sallysal5595 8 жыл бұрын
gd
@epainethowanjara6546
@epainethowanjara6546 7 жыл бұрын
Asante sana kwa wimbo wa salama rohoni mwangu naupenda sana MUNGU akutangulie kwa kazi yako ya uimbaji@@@@ by the hand of the MASTER we will come
@saramoses2731
@saramoses2731 8 жыл бұрын
I feel the Lord's glory in your songs. Madam you are a blessing...... And for sure ni salama.
@robertkalulu6281
@robertkalulu6281 8 жыл бұрын
the song inspires me.ubarikiwe sana Angel. ..!
@geremankulujira1036
@geremankulujira1036 8 жыл бұрын
Ni salama rohoni mwangu ..wimbo mzur Mungu akubariki
@saphiaramadhan532
@saphiaramadhan532 8 жыл бұрын
Dada angel mungu akuinue zaid hakika ni salama rohoni nabarikiwa sana ns nyimbo zako sjui nsemenin kwako but mungu akuinue zaid dada love you jaman daaah mungu akubariki
@monicayungu8402
@monicayungu8402 8 жыл бұрын
Mungu zaidi kukupandisha ktk viwango vya tofauti unaugusa sana moyo WANGU kwa uimbaji wako. Mungu akuinue zaidi na zaidi
@vailetmercury9364
@vailetmercury9364 6 жыл бұрын
I really like u keep it up my sister
@gilbertsalvatory9590
@gilbertsalvatory9590 7 жыл бұрын
ahsante sana kwa udhubutu wa kuonesga kipaji mshukulu mwenye mungu na kwa kukupa wazazi waliokulea na kukufikisha hapo,I, appreciat
@varkeizemotema297
@varkeizemotema297 8 жыл бұрын
amazing song. I cannot get enough of it. May God bless and expand your ministry. May He birth in you fresher music for this generation
@sarahmoshi5928
@sarahmoshi5928 6 жыл бұрын
I love u Angel,
@lucasmyinga9827
@lucasmyinga9827 7 жыл бұрын
Roho yangu ya tulia sana pindi nisikilizapo nyimbo zenye amani ndani yake. hakika ni chakula halali kwa roho yangu
@ericknkyalu3791
@ericknkyalu3791 8 жыл бұрын
Good work, may the Holy Spirit keep on using you for His Glory.
Angel benard - Nikumbushe wema wako (Official Video)
7:21
Angel Benard
Рет қаралды 19 МЛН
Angel Benard - Kiu Yangu (Official Video)
5:11
Angel Benard
Рет қаралды 2 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Ushoboye vyose by Terry Junilla & Eloge Irambona
7:57
Terry junilla
Рет қаралды 3,4 М.
Angel Benard - Abba (Official Live Video)
12:51
Angel Benard
Рет қаралды 66 М.
Neema Yako
12:49
Rehema Simfukwe
Рет қаралды 1,1 МЛН
Angel Benard - Need you to Reign (Official Video)
3:55
Angel Benard
Рет қаралды 428 М.
Barnaba feat Joel Lwaga - SAYUNI (Official Music Video)
3:56
BarnabaClassic
Рет қаралды 3,8 МЛН
Nita Amini (Live)
13:00
Israel Mbonyi
Рет қаралды 2,2 МЛН
Jane Misso - Usikumbuke (Gospel Official Video)
8:20
JANE MISSO
Рет қаралды 126 М.
Nikumbushe (Cover song) - Nandy
5:05
Nandy - The African Princess
Рет қаралды 16 МЛН
Agape Gospel Band - Shuka Yesu (Live Music Video)
16:15
Agape Gospel Band
Рет қаралды 150 М.
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 74 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН