Dr suzan nampenda sn natamani nimwangalie tuuu maaan kakaa kidocta kiongozi kweli kwel kazi nzur dada
@khadijamatar394511 ай бұрын
Hata mie nampenda yaani yupo makini kwa kazi yake
@irenemwenda637411 ай бұрын
Pia mm nampenda ju anaweza katika hii movie
@sirfabiano76711 ай бұрын
Mbona mnarudia sehemu kubwa sana ya vipande mko na shida gani
@HawaHussein-hq1lj11 ай бұрын
Umeona neeee wanazingua
@alinanisimbeye951211 ай бұрын
Watkua hawajashoort ila kigosi ameanza kuferi
@MALCOM_TV60211 ай бұрын
Mama Jenn sura ka kitunguuu na Bado roho mbaya dah 😂😂😂
@m.mmarckus629811 ай бұрын
Haki tena 😂😂😂
@pandokitsaocute219711 ай бұрын
😂your very funny walaah
@KwekweChimammy11 ай бұрын
Ray lete tandiiii❤❤❤❤
@UpendoMichael-p1z11 ай бұрын
Chuchu Hans nimependa sana kichaa chako hapo. Jamani SI Kila kichaa ni kinaya Kuna watu wengine hawahitaji utimamu wa mtu ndo huyo doctor can na huyo mwamamke mpumbavu. Chuchu Hans nimependa hiyo
@NeemaJoseph-mm9zh7 ай бұрын
Najifunza mengi sana 🎉🎉🎉
@samyabahatialhiani40111 ай бұрын
Wakwaza1 ❤❤❤🇧🇮
@husnabilali309911 ай бұрын
😢😢😢😢😢bro ray tumekukosea nn lkn mbona ivi 😢😢
@SeaPower-pu1mq11 ай бұрын
Why
@clariszawadi201011 ай бұрын
😂😂😂😂
@tausifautini40711 ай бұрын
Mnaonaje tuandamane mpk watuelewe
@SalumKitogo11 ай бұрын
Suzi dokta makini na anajiamini na kazi yake❤❤❤
@SalmaMarselino11 ай бұрын
Together sema mnachelewesha sio poa ka Rey
@HawaHussein-hq1lj11 ай бұрын
Hyo mama jen nae ana roho mbaya kama sura yake
@SarahLish-q3s11 ай бұрын
Safi sana jene 😂😂😂umefanya vyema kumutimua huyu doc ken
@AminaMwavita10 күн бұрын
Nice ❤
@ekiliangoliga64411 ай бұрын
Doctor Suzanne yupo vizuri, na yupo makini jamani nampenda hatari
@NeemaHashim-c2p11 ай бұрын
😢😢😢😢😢haya ndo madhara ya kumsifia cna mgema pombe yake yan sasaiv unatufanyia unavyojiskia daaah ngoja tukupe 🎉🎉🎉🎉yako unaludia bipande mno
@ShahzadBabashahzad11 ай бұрын
Mzee baba kuwa makini na vipande unavyo weka tunaomba ufidie mda wetu epsd ijayo😂
@consolatamakonjo327111 ай бұрын
Susan ❤❤❤ kazi nzuri sana 🙏❤️
@ZuwenaKabisu11 ай бұрын
Dr Suzanne nakupenda sana
@marthaelias342211 ай бұрын
Mama jen roho mbaya ndo maana walikupaka mekap ya mabaki🤣🤣🤣
@annenamtuma971711 ай бұрын
Hiki kipindi kimenikunywa❤🎉🎉
@AshaHamis-u4b11 ай бұрын
Mama jenn anasura mbaya kama tabia zake
@georginanamanya233711 ай бұрын
Hizi likes watu huomba n za kazi gani? Big up Ray the Great
@saumodzumbo967111 ай бұрын
😂😂😂😂 pia mm nashangaa
@Smart7-b5e11 ай бұрын
Wa nne jamani 🥰🥰🥰
@frankmichael196811 ай бұрын
Mbona mumeanzia mbali sana ndio nn tunarudiarudia mushatuchoka tayari
@sammychansa179711 ай бұрын
Saiv mmezidisha kujipodoa hd sura zinapoa
@JosefoMateusLikongo11 ай бұрын
I like this 🤞🤞👀💪
@saumodzumbo967111 ай бұрын
Dokta suu love you so much My sister ❤❤❤❤
@DanielSalum-oo2kl10 ай бұрын
Ray hap xaxa unatuzingua mbm mnarudia nyuma xn
@AnethJoseph-m5i11 ай бұрын
Ray kipenzi chetu kazi nzuri sana sema nini fup saana😂😂😂
@UwimanaZainabu11 ай бұрын
Yan bro unazingua snaa
@rajabhassan696611 ай бұрын
Babuu fidia mzigo ujao ❤
@lyrics_forum11 ай бұрын
DOCTOR SUZAN NI MSANII AMBAYE NADHANI BONGO MOVIE SI LEVEL YAKE NI VILE TU HAJAPATA TOBO 🏅🏅🏅
@muddyhamza960611 ай бұрын
Sure 🎉
@MariamSekwao8 ай бұрын
Kabisa
@francistadayo15693 ай бұрын
Unajua sana🎉🎉
@MwanasaadaAsha-es6ov11 ай бұрын
Dr. Kenny simpendi 😏😏
@levinaernest436411 ай бұрын
😁😁😁mjuaji
@dengahmediatz311311 ай бұрын
Mi nampenda😂
@CateAg-z3q11 ай бұрын
Na kweli mama jane hehee wacha tu ni mbaya
@NasriyaYussuf11 ай бұрын
Vizur sana jeni sana
@EzekielLokereyan11 ай бұрын
Hii kipengele ni mkubwa sana
@EzekielLokereyan11 ай бұрын
Sasa rey tuna rudia episode iliyo Pita jana😮😮😮
@NsabimanaFlorida-gp1cx11 ай бұрын
😮😮😮😮acha washidwe kuwaamini maana muna mambo ya hovyo😢😢😢
@FatumaNjowa11 ай бұрын
Mbona nusu nzima n marudio jaman😢😢
@HafsaHaimar11 ай бұрын
Ray please kama umetuchoka tuabie please. Naoba ulete episode 2 badae ili kufidia mda wetu please.
@evalyinesalama253511 ай бұрын
Good job
@Lathifa-zl8hg11 ай бұрын
Jameni mbna ndipo wengne twamaliza bundles na kuwai na mapema mbna watuletea Marudio😢😢
@zahraali511311 ай бұрын
Kikweli wanarudia wengine mabado ya mkopo😂😂😂😂😂
@davidyaa388511 ай бұрын
Hizi sio marudio huwa haijatolewa rasmi ni premier tu
@Lathifa-zl8hg11 ай бұрын
@@davidyaa3885 we uwa wangalia wapi unae sema sio marudio uoni.kma ni marudio ya episode 30 wewe io..tushawai iona
@RAMADHANHASSAN-j3t11 ай бұрын
amazing
@chellauwimana319711 ай бұрын
Dr Suzan ❤
@ggfwtgg165211 ай бұрын
Jeuni leo maua yako 🎉🎉🎉maana mma yako haeleweki 😅😅😅
@ዚዱጋልትግራይ-አ7በ9 ай бұрын
Mbona mwakoroga ndipo mwarudiarudia
@everlinekenga43711 ай бұрын
My happiness ❤❤
@MwanaMisi-v3r11 ай бұрын
Mbn umerudinyuma Sana 🙄🙄🙄
@fatumabakari264011 ай бұрын
Sehemu ua mwanzo imerudiwa si poa😢😢😢
@cetrickmwori978211 ай бұрын
Umeanza kurudia epsote bn
@heymct386611 ай бұрын
Mm kila siku nachelewa😂😂 wa 16
@Ambaryeh11 ай бұрын
Much luv to Dr suzy
@risperbonareri94211 ай бұрын
Watching from Kenya
@Baudouin-Tv11 ай бұрын
Nimechelewa saaana leo wa 50😢😢😢 from Congo 🇨🇩
@ElizabethShukulani-fd1cx11 ай бұрын
Hii nn mbona munatukosey 😢😢😢
@pridencians122711 ай бұрын
Mumetupatia yenye tushaona jamani 😢
@albastoalifrasisco73389 ай бұрын
Mashabiki tupo maana👟
@pudensianaosward11 ай бұрын
Ndio Nini hii Sasa Tena?? Mbona tumechokwa vibaya sana😅😅
@princehenry711311 ай бұрын
Hivi ray unajua kuwa tunatumia mb? Sasa kama epsod moja tutakuwa tunaangalia mara mbili ndo nini sasa? Jitathimini
@mishiabdul283411 ай бұрын
Next plzz ya 32
@abdallahassan637811 ай бұрын
Mda mchache sn alafu mnarudia Sehem kubwa sana iliyopit😢
@SuleimanUstadh-g2z11 ай бұрын
Niliwafwatilia mpka nikawapata
@HoneyBakari11 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@fatumaselemani380711 ай бұрын
Jamani jamani mbona ivyo
@نجمةكينيا11 ай бұрын
mmh naona uyo dj kachoka
@NanaMilfath11 ай бұрын
Mbona zinaludiwa 😢
@HawaHussein-hq1lj11 ай бұрын
Naona mmeirudia tena hii syo ya 31 bana msifanye hivo coz tunaifatilia san hi move
@KhamisAsaa-b5i11 ай бұрын
Team RAY tumeimiss Tandi
@barakambise588211 ай бұрын
Yani huyu mama amependezeya sana na vile sura yeke ngumu