ANGEL FACES .EP.. 32 .STARRING..RAY KIGOSI, MARIAM ISMAIL, WELU SENGO, NEEMA MALITY.

  Рет қаралды 35,067

RAY THE GREATEST

RAY THE GREATEST

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@MurekeziDeogratias
@MurekeziDeogratias 10 ай бұрын
Tunapenda sana iyi Movie Murekezi Deo from Rwanda
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 11 ай бұрын
Imeniuma sana kuona dakika 4 nzima zimetumika kurudia vipande vilivyo pita
@HenryGuillaumesinguranayo
@HenryGuillaumesinguranayo 11 ай бұрын
Pamoja bro waache vasi kutufanyia ivio 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@dalmusomaeogaro9090
@dalmusomaeogaro9090 11 ай бұрын
Hata mm naona hivyio bro
@iliasachogogwe409
@iliasachogogwe409 11 ай бұрын
Wanazingua kwenye hili
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 11 ай бұрын
@@iliasachogogwe409 tena sanaa yaani
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 11 ай бұрын
@@HenryGuillaumesinguranayo sahihi kabisa kaka
@ZedMsuya
@ZedMsuya 3 ай бұрын
Kali hii
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 11 ай бұрын
Ukweli ni kwamba mnatukera mashabiki wenu,, mnatumia dakika nyingi sana kuonyesha vipande vya nyuma sio vizuri
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 11 ай бұрын
Suzan nakupenda sana sitaki ukutwe na matatizo uhangalie Ken vizuri atamuua huyo mugonjwa upate lawama wewe kazi nzuri ❤❤❤
@lilianjohnson9469
@lilianjohnson9469 11 ай бұрын
Na ndo kilichopo maan mwanzo wa movie ilionekan suzan anatolewa gerezani
@consolatamakonjo3271
@consolatamakonjo3271 11 ай бұрын
Much love 💕💕 doctor 💊💊 Susan and Ray the greatest 👏👏💗
@ZedMsuya
@ZedMsuya 3 ай бұрын
Hii kali
@HoneyBakari
@HoneyBakari 11 ай бұрын
Naielewa sana hii move❤❤
@PembaWimbi-w2c
@PembaWimbi-w2c 2 ай бұрын
Hi movie nimzuri sana♥️♥️♥️
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 11 ай бұрын
Mashallah Mashallah ❤❤❤❤❤
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 11 ай бұрын
Watatu3 ❤❤❤🇧🇮
@Baudouin-Tv
@Baudouin-Tv 11 ай бұрын
Wa 13 leo ❤❤❤from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ReginaRichard-r6b
@ReginaRichard-r6b 11 ай бұрын
Move ni nzuri, ila fupi sanaa❤❤
@Mtumweusi76
@Mtumweusi76 11 ай бұрын
wa7 leo big san kaka
@SarahLish-q3s
@SarahLish-q3s 11 ай бұрын
Doc suuu mach love❤❤❤
@ancillarneema
@ancillarneema 11 ай бұрын
Hongereni sana🎉🎉🎉❤❤❤
@bramwelmunialo5075
@bramwelmunialo5075 11 ай бұрын
Good work 🎉🎉🎉🎉
@mynahlove7
@mynahlove7 11 ай бұрын
Ray embu fanya kutu episode Moja iwe hata na30 jaribu kutoa at episode tatu kwa cku au nne please
@achangomaitambae1229
@achangomaitambae1229 11 ай бұрын
wahusika waangali color iko juu sana mpaka inaharibu picture
@MirriamWaithera-b9z
@MirriamWaithera-b9z 11 ай бұрын
Huku vipi lkn bona mnataka kufanya tuboeke N hii movie 😢😢
@MALCOM_TV602
@MALCOM_TV602 11 ай бұрын
Epsode fupi fupi fupi fupi fupi fupi jaman ubunifu uongeze
@NiggarNelly
@NiggarNelly 11 ай бұрын
Ray mimi naomba utusukumiye épisode ata 3 au 4
@asmatabdallah1368
@asmatabdallah1368 11 ай бұрын
Sema Kime umana Mrs mkamba Kime mkuta kitu Leo 😂😂
@HoseaVyizigiro
@HoseaVyizigiro 11 ай бұрын
Nmeshafika jamani 😂😂
@MussaDaud-r2v
@MussaDaud-r2v 11 ай бұрын
Jamani move zuli matangazo yamezidi
@ramadhaniramadhani8483
@ramadhaniramadhani8483 11 ай бұрын
Anazingua sas dakik nying matangaz ya kuanz bad marudio ya nyum alf unatoa fup mov inaker
@MALCOM_TV602
@MALCOM_TV602 11 ай бұрын
Itoke 33 jaman ooooooh utamu umezid
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 11 ай бұрын
Me from Zambia today iam the finst 9 asking for your likes
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 11 ай бұрын
Za nn hizo like
@HawaHussein-hq1lj
@HawaHussein-hq1lj 11 ай бұрын
​@@esterkimalio8846😂😂😂😂
@Nahdiya-nr3de
@Nahdiya-nr3de 11 ай бұрын
Mmmmh mbona wamtishia maisha Suzy km mm namchukulia hatuma 😢😢😢😢
@RahilLyakurwa
@RahilLyakurwa 11 ай бұрын
ray nafikiri unasababu wakufanya hivi lakini angalia usipoteze watu humu unatuumiza mb zinaisha bila sababu tutachoka
@fatumabakari2640
@fatumabakari2640 11 ай бұрын
Hawa somi comment za mashabiki zao
@mwanashakhalfanmwanashakha5278
@mwanashakhalfanmwanashakha5278 11 ай бұрын
Mbn kwakugu nifupi sana jamani 😢😢😢
@pilimwanja
@pilimwanja 11 ай бұрын
Wakwanza jamani Maya yangu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 11 ай бұрын
Doctor keny anataka huyo mzee mkamba afe😂😂😂 ili atawale vizuri
@MALCOM_TV602
@MALCOM_TV602 11 ай бұрын
Daaaah am sheck
@FurahaDada-z3z
@FurahaDada-z3z 11 ай бұрын
Wayine
@rahabumjwanga-w6g
@rahabumjwanga-w6g 11 ай бұрын
Wa pili
@amoldlishela5166
@amoldlishela5166 11 ай бұрын
nampenda sana Dr Suzy ana character za kua leader yuko vzr mno
@AminaMwavita
@AminaMwavita 11 күн бұрын
Mashallah ❤️
@Umu1875
@Umu1875 10 ай бұрын
Ka Sonia kalembo😊
@mishiabdul2834
@mishiabdul2834 11 ай бұрын
Next plzz ya 33
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 11 ай бұрын
Simpendi huyu kenii😢😢😢😢
@clianmtalima3069
@clianmtalima3069 11 ай бұрын
Hawa jamaa wanazngua sana
@BeatriceWillison
@BeatriceWillison 10 ай бұрын
Daah ray mnazingua mno 😂😂😂
@Fbmovie254
@Fbmovie254 11 ай бұрын
Wah doctor Suzy nnapenda ulivyo mfanyia KENI 😂😂😂😂😂 lazima atakoma tu
@sirfabiano767
@sirfabiano767 11 ай бұрын
Nashauri kwa kuwa tunatumia MB, naomba kwanza msionyeshe yaliyopita pamoja na kutumia zaidi ya dakika 3 kurudia vipande vya nyuma naomba kuwasilisha
@SelemaniNtobi-lz8lp
@SelemaniNtobi-lz8lp 11 ай бұрын
Mzee rukamba na ugonjwa umemzid
@AminaMaulid-rd2cx
@AminaMaulid-rd2cx 11 ай бұрын
Mbona mnaludia
@Hasson-qr4mb
@Hasson-qr4mb 11 ай бұрын
Hey ❤❤❤❤
@JumaKona-i2b
@JumaKona-i2b 10 ай бұрын
Nimependa sana mikwala ya KENI na suzani
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 11 ай бұрын
Kwenye movies za bongo kumebaki wa simba 2 Ray kigosi vs cram vevo
@MwinyiSalim-d4j
@MwinyiSalim-d4j 11 ай бұрын
Bailamu na mbwela
@RAMADHANHASSAN-j3t
@RAMADHANHASSAN-j3t 11 ай бұрын
awesome
@isaacmumba8818
@isaacmumba8818 11 ай бұрын
Wadau vip huko
@bwalyaSunday-e5c
@bwalyaSunday-e5c 11 ай бұрын
Tandi iendeleee
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 11 ай бұрын
Mama ana adabu una watoto wakubwa
@rajabhassan6966
@rajabhassan6966 11 ай бұрын
Kigoc kuwa muelewa au maoni yetu unayapotezea kama vp uctoe kabisa episode maana unarudia rudia vipande unapunja mda...
@clariszawadi2010
@clariszawadi2010 11 ай бұрын
Wacheni kuchukua mda mrefu kurudia episode iliyopita,hio inatoa ladha ya movie 😢
@shaznillah3599
@shaznillah3599 11 ай бұрын
Uyu mmke na Godfrey ana fanana na mangi kimambi macho yng🤭
@mishiabdul2834
@mishiabdul2834 11 ай бұрын
Me napenda zuzani
@RizikiMunyithya-dv5yj
@RizikiMunyithya-dv5yj 5 ай бұрын
Na Kwan hii nayo haiishi ama mnagoja tuboeke
@hilder210
@hilder210 11 ай бұрын
jmn umu mbon mda kidg ivoo
@furahamanju
@furahamanju 11 ай бұрын
Kipindi filam hii inaanza ilikuwa inamaliza dakika 21 hivi mmeshusha imekuwa 19,jamani
@user-gb3fk1yt8n
@user-gb3fk1yt8n 11 ай бұрын
❤❤❤
@munamuna3921
@munamuna3921 11 ай бұрын
Mume chachuka na like wala hamuoni epsd ilivyo fupi
@Agyy628
@Agyy628 11 ай бұрын
Ndo mjue watu wanaingiza kuomba like na sio kuangalia movie 😅😅😅😅😅😅😅
@munamuna3921
@munamuna3921 11 ай бұрын
​@@Agyy628😂😂😂😂umeona eeee
@emelyneirakoze484
@emelyneirakoze484 11 ай бұрын
Sanaa yaniiii
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 11 ай бұрын
Mm nashangaa mtu anaomba like na haoni kasoro ya anachoangalia
@heymct3866
@heymct3866 11 ай бұрын
❤❤❤😊
@sarahjidiku
@sarahjidiku 6 ай бұрын
Nimefurahi huyo mwanamke kuwa mnyonge
@MariaJackson-p2n
@MariaJackson-p2n 11 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@deboraezekiel5966
@deboraezekiel5966 11 ай бұрын
Simpendi Dr K😂😂😂
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 11 ай бұрын
Mnatupa fupi sana sasa kigosi umeenda wapi
@MussaDaud-r2v
@MussaDaud-r2v 11 ай бұрын
Natamani niumwe nitibiwe nadk sonia
@GervasWikedzi-mn3jy
@GervasWikedzi-mn3jy 11 ай бұрын
Wa 67 leo
@HenryGuillaumesinguranayo
@HenryGuillaumesinguranayo 11 ай бұрын
Brother kigosi plz vipande vilivio pita don't repeat it
@HassanKhamiss-m1g
@HassanKhamiss-m1g 11 ай бұрын
Nmkubl sn dkta suza
@kinananyuni9732
@kinananyuni9732 11 ай бұрын
Mkamba atauliwa na Dr keny then msala uangukie Susan maskin
@munamuna3921
@munamuna3921 11 ай бұрын
Hata mm naona kitu kama hiyo
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 11 ай бұрын
Ni kweli itakua hivo mbona hii tamthilia ni ya muda mrefu
@levinaernest4364
@levinaernest4364 11 ай бұрын
😳😳😳
@pandokitsaocute2197
@pandokitsaocute2197 11 ай бұрын
Yaani 😂 chakufurahisha nkwamba wale wanatoa coments sioni hata wakipata likes nt wale wamengangania likes dooh😂😂
@zahraali5113
@zahraali5113 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😅😅😅 hatari
@celineerick7740
@celineerick7740 11 ай бұрын
Mwanzo tulionyeshwa suzan kakamatwa je ndio itakuwa uko mbele ya hii tamthilia nadhani
@Rosemaryhamisi
@Rosemaryhamisi 11 ай бұрын
Mbona mnarudia kipande kwa muda mrefuu
@rehemamakame5100
@rehemamakame5100 11 ай бұрын
Wa 28 today
@FabriceHatungimana-qd7th
@FabriceHatungimana-qd7th 11 ай бұрын
Mmi6
@ardykakule927
@ardykakule927 11 ай бұрын
Tayari
@SantosNdayishimiye
@SantosNdayishimiye 11 ай бұрын
🥰🥰💝💝💝💝💝💝🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@munamuna3921
@munamuna3921 11 ай бұрын
Sibora musinge weka kuliko kueka fupi
@FatumaNjowa
@FatumaNjowa 11 ай бұрын
Sas marudio ya nn jaman na tushaona
@omanbahla1511
@omanbahla1511 11 ай бұрын
❤❤❤
@Mtumweusi76
@Mtumweusi76 11 ай бұрын
wa6 leo big san kaka
@annamnyazi8206
@annamnyazi8206 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@hafsaaman908
@hafsaaman908 11 ай бұрын
❤❤
MY DAUGHTER | final chapter |
29:18
CLAM VEVO
Рет қаралды 343 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
SIKU YA NDOA [07]
3:57
QUEEN DRAMA
Рет қаралды 648
URITHI WABIBI FULL MOVIE
1:17:38
Steve Mweusi
Рет қаралды 977 М.