Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, Wala maasi yangu. Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako, Ee BWANA kwa ajili ya wema wako. Zab 25:7
Пікірлер
@anisetbutati Жыл бұрын
Tunapo anza mwaka tunakila sababu ya kumwambia Mungu atukumbuke kwa Yale mahitaji tuliyo nayo . Imba pamoja nami wimbo huu ,tumsihi Mungu afanye jambo
@belvinmakin3536 Жыл бұрын
Amen
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Nami nikubuke ni. Nikubuke mungu. Wangu. Video ni safi Amina😴😴😴
@kellybonface4039 Жыл бұрын
Wimbo mtamu sana wenye mafunzo bila shaka. Mungu akubariki,akulinde na kukuongoza Kwa mema ndani ya 2024🎉❤
@GideonPriestGlobalTv Жыл бұрын
Barikiwe sana
@samuellameke6410 Жыл бұрын
Amen
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Mungu akubariki mdogo wangu Bwana akukumbuke unapoanza mwaka huu ,Atembee na wewe
@settytweve2345 Жыл бұрын
Amin mtumishi mkubwa Sana
@damarisbira1406 Жыл бұрын
Ooooooh waoooooh Ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@EverlynKenneth Жыл бұрын
Ooh ❤ NAKUPENDA SANAA MAMA , Zabur 133:1 Tazama jinsi ilivyo vyema nakupendeza NDUGU wakae PAMOJA kwa UMOJA
@katondostudio652 Жыл бұрын
Wakanza kuona. Like zangu jaman
@katondostudio652 Жыл бұрын
Waoooooh
@katondostudio652 Жыл бұрын
Wapenzi wa Aniset tujuwane ndan hamu❤❤🙏🙏🙏🙏
@komandowayesu3642 Жыл бұрын
Wimbo ni mzuri sana ndugu yangu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kassebo Жыл бұрын
Nice song
@EverlynKenneth Жыл бұрын
Waaaoooooh zabur133:1
@EverlynKenneth Жыл бұрын
UNIKUMBUKE BWANA YESU 😢 MWAKA HUU NIKUJUE ZAIDI NANIKUTAFUTE KWA BIDIII😢😢😢
@genevievesunday9 ай бұрын
Pokea maua yako🎉🎉🎉❤
@carolinelubeka4048 Жыл бұрын
Nashukuru Kwa ujumbe huu wa nguvu,Hilo ni ombi langu Mungu anikumbuke mwaka huu
@paulmanana2865 Жыл бұрын
Asante. Mungu nikumbuke na Mimi. Nakungoja wewe😭😭. Nipe ushuhuda this year 🎧🎶🎶🙌
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
Amen
@butatv6961 Жыл бұрын
Ooh hareruja
@aarpp490711 ай бұрын
Ameeen
@kassebo Жыл бұрын
Unikumbuke na mimi Bwanaaaaaa! 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@hellenchepkemoi7730 Жыл бұрын
Amina aniseti naomba pia nikumbukwe na mungu,what a blessing song my brother ❤❤❤ mungu naomba nijibu kuyapitia ndoto alisonionyesha
@givenbyamungu3766 Жыл бұрын
Kiukweli baba unajuwa imba mungu akuone ❤❤❤ thanks you
@givenbyamungu3766 Жыл бұрын
Usiniache bwana unikumbuke bwana❤❤❤❤ mwaka mpya Mambo mpya nyimbo mpya
@mrnickmusician7139 Жыл бұрын
Amen mtumishi keep it up 🇰🇪😭😭😭😭❤❤❤🙏🙏
@alicekerry992211 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@CalmGolfBall-lf5pd Жыл бұрын
Mungu mi iri mugisa
@liznzembi5906 Жыл бұрын
I pray mungu atuweke wazima tuione siku kama ya leo mwaka ujao,kila mtu akiwa na ushuhuda🙏🙏. Be blessed @anisetibutati AND Happy new year to you all❤
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Amen amen napokea
@liznzembi5906 Жыл бұрын
@@JosseeNaftari-zg4nf 🙏🙏🙏
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Amen amen🙏🙏🙏🙏
@liznzembi5906 Жыл бұрын
@@zakariakayanda8732 Happy New year
@RachelKalumo-iy5um Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kweli anikumbuke anipe ushuhuda endelea kunyenyekea Kwa Mungu akupe mafunuo zaid
@Gidawetz-egno11 ай бұрын
Barikwa sanaa
@Mikeallyradjubu Жыл бұрын
Wakanza kuona like zangu jaman🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MichaelAyubu-c8o Жыл бұрын
Mtumish wa mungu .mungu tayar ameshafanya jambo hata kabla ya kuomba nimebarikiwa sana na wimbo huu
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Amen amen
@richardjumaofficial Жыл бұрын
Jamani Kenya wangapi tunausikiza wimbo huu,bwana na Mimi unikumbuke mwaka huu🙏
@nellieachieng1791 Жыл бұрын
Powerful
@GwankoTv Жыл бұрын
GOD IS REAL.
@charlesjacksontz267 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kamanda wangu kwa kazi nzuri ya kutia moyo wangu nguvu MUNGU amesikia kilio changu hallelujah hallelujah 🙏
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Kabisa Mungu amesikia maombi yetu
@joyceanzemo8222 Жыл бұрын
My prayer now God nkumbuke kwa yale magumu napitia
@Ipael1 Жыл бұрын
Jamani Mungu akufikishe mbali huu wimbo imenibariki saana
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Kwangu huu ni zaidi ya wimbo kwa hii ni ibada Mafunuo haya ni kama mtu kaambiwa yale naptia kisha atoe wimbo yote juu ya yote Maobi yangu ni kukumbukwa naona Kama nimesahaulika mwenzenu jamani Yesu nikumbuke😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@neemadickson4068 Жыл бұрын
Mungu atukumbuke na sisi kweli❤❤ wimbo unagusa sana, Ubarikiwe kaka yangu
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Kabisa
@kennedymulli6069 Жыл бұрын
Huu wimbo umekuwa ukiimba Kwa roho. Asa nte Mtumishi wa Mungu Kwa huu wimbo. Neema ya Mungu izidi kukutosha. I love your ministry @aniset Butati. Kenya ❤
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
😭😭😭Sina Cha kusema wimbo huu wimbo ni maombi yangu
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Hakika ni maombi ya Kila mtu
@rechelabisay2873 Жыл бұрын
Amina kubwa Dady yesu Anikumbuke Ni maombi yangu
@gapablessgadison6863 Жыл бұрын
Hapo na Mimi BWANA anikumbe,maana si maadui tu lkn pia maisha haya Ramani hakuna,🎉be blessed butati karb FPCT MKOMBOZI KASULU utoe huduma
@AMINAJASTINI Жыл бұрын
Baba yangu sikia Maombi yangu kwamba Mwaka huu usipite YESU naomba unikumbuke mtoto wako😭😭😭😭😭😭😭🥲
@butatv6961 Жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@ShukuruMakasi Жыл бұрын
Asanteh sana bro kwa ujumbe mzuri na strong kwakwel umenibariki mnoooh God bless you so much huduma yakO ni njema sanaah.
@OliverGodwinzakaria Жыл бұрын
Kazi nzur Sana inatupa nguvu hasa ktk mwaka huu mpya
@barasaclinton2113 Жыл бұрын
Wonderful song
@jonathanvyaranse2668 Жыл бұрын
Haya nimaombi yangu naomba unikumbuke mwaka huu
@DominicBwanali-xl4wj28 күн бұрын
Naendelea kuufurai uwepo wako kwani nazipenda sana nyimbo zako zina mengi cha kujifunza
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Hakika haya ni maombi Yangu nikumbukwe na Mimi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@NaomNaom-pi5nd Жыл бұрын
Amen yesu uniondolee giza mbele yangu
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
Hakika
@winfredbarasa6095 Жыл бұрын
God may you remember me this year,, I trust in you Lord 🙏 my haters are behind me but through you Lord all shall be well on my side
@mcswatch7848 Жыл бұрын
Wewe ni wa Baraka sio Tanzania tuu bali kwa ulimwengu mzima connected from Kenya
@evansragira12094 ай бұрын
Waa well composed gaki
@duncanmulu2450 Жыл бұрын
Aminaaa kaka🎉🎉🎉
@AMINAJASTINI Жыл бұрын
Ile bdo uliyo niotesha Bwana ya kuniniinua wakat wake ndio sasa Mungu wangu🙏🙏🙏🙏🙏
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Mwenye namba ya Butati anisedie Mimi jamani nitoe hata kitu kidogo nilicho nacho kiwe Kama sadaka yangu maaana naamini kupitia wimbo huu naenda kukumbukwa mimi😭😭😭😭😭😭
@dicksonkirere3832Ай бұрын
ile wimbo inasema maisha yangu walio ndani ya roho ndio watayaelewa plz unaitwa aje nimetafuta siupati
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
Kat ya wale utakao wabariki unikumbuke na Mimi Bwana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Paulsinger7930 Жыл бұрын
naungama na nyimbo hii Bwana unapo mkumbuka mtumishi wako butati na Mimi unaikumbuke Bwana
@kagoziprotv Жыл бұрын
NYIMBO YA MWAKA 2024 BARIKIWA SANA
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
Haya ni maombi yangu pia🙏
@chrismwaluficho Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana kakangu Butati
@NesterPeres6 ай бұрын
Mungu anazidi kukuinua kakaangu kwaujumbe mzur wenye kugusa mioyo yawatu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@janethmollel406 Жыл бұрын
This is my prayer too may God remember me😌😌😌😌😌😌😌
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
Amen
@RichardMuteke Жыл бұрын
Haya nimaombi yangu bwana unikumbuke na mimi katika huduma yangu niimbe kama brother Butati🙏🏼🙏🏼
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
Amen amen🙏🙏🙏🙏🙏
@AngelShedrack-q4u9 ай бұрын
Jamn sjui nseme nn ila naomb mungu ankumbuke mwak huu wa 2024 ee mung kumbku kuomba kwangu
@jamilamwangangi6199 Жыл бұрын
Powerful song keep up the great work 👌🙌🙌🙌🙌🙌 congratulations 👏
@DAFAMILY-dp4zu Жыл бұрын
Prayer for all. Yote n kwa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
@stellahokworo39477 ай бұрын
Nikumbuke nami Yesu Kristu mnazareth mungu aliye hai❤❤❤❤
@patrickkimeu8116 Жыл бұрын
Maombi mazuri sana kupitia kwa wimbo huu, Mungu akubariki na akukumbuke Butati
@FestoNelson-og2mt Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi nyimbo zako hakika ni za kufufua matumaini
@defrosanelson6605 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mtumishi nashindwa kuandika mungu azidi kukuinua juu 💪 akupe maisha marefu tuzidi kusikiliza nyimbo zako 😭😭🙏❤️🌹
@josephngara4275 Жыл бұрын
Hata Mimi mungu wangu unikumbuke mwaka huu 🙏😭😭
@aronmvembezi4375 Жыл бұрын
Duu hilo koti umetupa nimitaa gani Mtumishi. But congratulations to you my brother yoo did it. Mungu akutunze zaidi.
@yustinadyunze20 Жыл бұрын
God bless you abundantly man of God
@Christiananeema Жыл бұрын
Mungu akukumbuke na Mimi pia anikumbuke mwaka huu , barikiwa mtu wa Mungu
@NabutuBeatu Жыл бұрын
Our enemies remember that you're defeated by Jesus of Nazareth,thx bro ,God may bless you for us who are enjoying this testimony/hearing, Amen 🙏🙏🇺🇬❤🎉🎉
@RAYBOUY Жыл бұрын
Glorious song butati..God remember me and grant me a mighty testimony 🙌🙏
@musaliaeugene7975 Жыл бұрын
Ndugu kwakweli nyimbo zako nazipenda sana much love from 🇰🇪
@paulkn-Blessed2405 Жыл бұрын
Ombi langu tu mwaka huu..Mungu wangu nikumbuke🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
Hakika
@JeremiaMwasomola Жыл бұрын
Hujawah niangusha mtumisha nina nyimbo zako kwenye usafir wangu
@TuelewaneSemahoro Жыл бұрын
baba unatufuraisha sana namimi nikuwe mwana wako katika uduma nakuitadisana
@minzasamweli7163 Жыл бұрын
Unikumbuke Bwana,unipe ushuhuda,Kwa wewe unayesoma comment hii Mungu akukumbuke
@EverlynKenneth Жыл бұрын
AMEEEN
@IreneKhaoya Жыл бұрын
Maombi yangu pia kwa mwenyezi mungu,muumba ardhi na mbingu.
@polynenkirote6007 Жыл бұрын
Nyimbo zako zenye maneno mazito mno dugu yangu ,nehema ikubebe siku zote
@maryblasi2751 Жыл бұрын
Mungu aubariki Utumishi wako! Akuinue zaidi, Asante kwa wimbo mzuri
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
Amen much love the song from kenya be blessed servant of God
@lacintaanjila979 Жыл бұрын
Unikumbuke Bwana.....mwaka huu usipite Bwana🙏🙏🙏
@Phoebenafula Жыл бұрын
Unikumbuke na Mimi bwana 💃💃💃💃💃💃💃👏👏👏👏👏🥁🥁🎷🎷🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MichouMiracle-m2l Жыл бұрын
Asante saan ❤from Burundi
@Rachel-n8i Жыл бұрын
Incroyable Aniset BUTATI j aime t écouter parce que tu m inspire. MAOMBI YANGU pour 2024
@joelmaige407 Жыл бұрын
huu wimbo unagusa sana kaka yangu🔥🔥🔥🙏🙏😊
@methodmeshack5164 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu very nice✊🏻✊🏻✊🏻✊🏻
@judithlejalearnmore2236 Жыл бұрын
Mungu tu ndiye wa kumueleza hoja za mwiyo yetu
@InamahoroJuliette11 ай бұрын
Asante kaka yangu nyimbo hiyo yanirudishia matumaini ubalikie sana
@daviswanyonyi1357 Жыл бұрын
Am among the first,,Ooh Lord remember me this year
@254NOMAD11 ай бұрын
This is one of Tanzania singers who I feel like he's not much appreciated,I don't know why with all the informative songs he has.
@AdonaiLipilili-fv5xr11 ай бұрын
Balikiwa sana Baba kazi yako ni njema sana Baba❤❤❤
@nchilima_dcj Жыл бұрын
God bless you and your work, I love this song 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Unikumbuke na mimi bwana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@AminaJustin-sh7es Жыл бұрын
Unikumbuke na mm Bwana 🙏🙏🙏 ubarikiwe mtumishi Kwa ujumbe mzuri
@egbertcharles Жыл бұрын
Mungu akubariki Kaka Aniset Kwa kazi nzuri akakukumbuke pia katika kazi na maisha yako. Kheri ya mwaka mpya 2024
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Kabisa
@sharonchelangat1810 Жыл бұрын
This my prayer too huu mwaka bwana nikumbuke na mimi
@JoyceElias-t3q Жыл бұрын
🙏🙏 unikumbuke na mm.
@Mikeallyradjubu Жыл бұрын
Eeh mungo wangu unikumbo ke🎉🎉🎉🎉🎉
@AntonioCuimbraCuimbraАй бұрын
Muito sinceramente Deus abençoe você meu irmão louvado seja Deus nas alturas, lembre-se de nós, peço o teu like vindo de Angola
@desaumwaweza Жыл бұрын
Mwaka huuu usipite yesu naomba unikumbuke
@samwel_laurent Жыл бұрын
It's terrific amazing song ever 🎉🎉🎉🎉
@brotherkevin4380 Жыл бұрын
amen ame sikiya mana ni mungu anaye jibu maombi❤❤❤❤
@miliamalice Жыл бұрын
Amen Mungu Atubariki huu mwaka uwe wamafanikio kwetu kbs MUNGU Asante
@Lizzmolly12 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ the best song 🎵
@godfreymatikoo Жыл бұрын
Ameen mwaka huu Mungu atufundishe kumwamini ili tukishamwamini atukumbuke