Goodluck Gozbert - WAONYESHE (Official Video)

  Рет қаралды 309,533

Gozbert Ministries

Gozbert Ministries

Күн бұрын

NEW RELEASE: Goodluck Gozbert - Waonyeshe(Official Video)
Goodluck Gozbert presents his brand new Video Waonyeshe
Audio by Wulan TAG/Asante Music Studios
Video:Asante Videos (MR.LIGO)
Saxophone:Eme Sax
Location Set:Omara
Watch the USHINDI EP: • Goodluck Gozbert - Kin...
Follow Goodluck Gozbert:
Instagram: / goodluckgozbert
Subscribe to KZbin Channel: / @gozbertministries
Digital Branding & Marketing By:
Asante Music Africa:
#GoodluckGozbert #Waonyeshe #Waonyeshe

Пікірлер: 2 200
@agathemichelle238
@agathemichelle238 5 күн бұрын
Wanao ona kuwa nyota ya Yesu ina power kuliko zote gonga like tukishuka ❤❤
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU .
@patrickmfune8277
@patrickmfune8277 5 күн бұрын
😮😮😮❤❤
@BranhamMugingi
@BranhamMugingi 4 күн бұрын
Wewe sio Mungu uwezi kumukatia hukumu #Goodlike
@masheyn
@masheyn 4 күн бұрын
Nguvu ya mungu ipo juu saaana
@PamelaMaghuwa
@PamelaMaghuwa 6 күн бұрын
Hii sasa ndio fireeeeee much love❤❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪 alafu watu 20 mnipitie na mimi nitawapitia
@yvonne_here
@yvonne_here 6 күн бұрын
Done, pls nipitie
@PamelaMaghuwa
@PamelaMaghuwa 6 күн бұрын
@yvonne_here done✅️
@walubi254music9
@walubi254music9 6 күн бұрын
​@@PamelaMaghuwadone
@everrealeuginia75
@everrealeuginia75 6 күн бұрын
Done! Nipitie pia
@johnmichael-yp9zb
@johnmichael-yp9zb 6 күн бұрын
😘
@AminaMgisa
@AminaMgisa 6 күн бұрын
Wakitubebea nyota tunatumia ya YESU 🎉🎉🎉
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 6 күн бұрын
Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@MhinaLwassa
@MhinaLwassa 6 күн бұрын
Tunatumia ya YESU!!!! SUCH A GREAT REVELATION!
@Melissa_Kanini
@Melissa_Kanini 6 күн бұрын
Kabisa
@agathemichelle238
@agathemichelle238 5 күн бұрын
Ya Yesu kali kuliko zote🎉🎉🎉
@James-be5pk
@James-be5pk 5 күн бұрын
tangu alipochoma ile gari ndio amerudi tena Kwa nguvu mpya kutoka Kwa mungu jamani God bless you and your family Amen amen 🙌🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@BelindaNgowi
@BelindaNgowi 3 күн бұрын
Wanaoamini mwaka huu adui zao wote watanyamazishwa like hapa 😊❤
@SebastianSebis-q7h
@SebastianSebis-q7h 2 күн бұрын
Amina
@MulababazOG
@MulababazOG 4 күн бұрын
Jamenii natumaini leo nitapata hata like mbili hapa Asante watu wa Mungu
@JefuChaula-bm5pe
@JefuChaula-bm5pe 6 күн бұрын
toka nianze kumufatilia mtumishi wa mungu sijawahi pata like hata kumi basi
@Dj2nyi
@Dj2nyi 6 күн бұрын
Pata leo
@JefuChaula-bm5pe
@JefuChaula-bm5pe 6 күн бұрын
@Dj2nyi sijapenda
@epeakscreations
@epeakscreations 6 күн бұрын
@@JefuChaula-bm5pe kzbin.info/www/bejne/a2q3hGybgJJ4jqc
@AnnaSilvn
@AnnaSilvn 6 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@EddyTz-jd3kr
@EddyTz-jd3kr 6 күн бұрын
Bado ujasema
@happynessdaudi1597
@happynessdaudi1597 6 күн бұрын
Unaesoma comment hii mungu atuoneshe anavyotupenda🎉🎉🎉
@epeakscreations
@epeakscreations 6 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/a2q3hGybgJJ4jqc
@arique5962
@arique5962 6 күн бұрын
Mungu na ianze kwa herufi kubwa tafadhari😮😊
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 6 күн бұрын
Ameen
@ImmanuelWilliamAyo
@ImmanuelWilliamAyo 6 күн бұрын
Amina
@ChristopherPamphily
@ChristopherPamphily 5 күн бұрын
Sahihi upewe maua yako​@@arique5962
@RebeccaMuhimba-m7w
@RebeccaMuhimba-m7w 6 күн бұрын
Wanaoamini kama mimi very soon goodluck anakuwa zaidi ya mwanzo❤❤ like hapa
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU
@HappyShirima-k9t
@HappyShirima-k9t 5 күн бұрын
Ameen 🙏 in Jesus name 🙏
@BranhamMugingi
@BranhamMugingi 4 күн бұрын
Wewe sio Mungu ili umukatie hukumu #Goodluk Mathayo7:1
@onesmotz
@onesmotz 5 күн бұрын
Ambao tumeitazama video hii ya mtumishi wa mungu goodluck gozbet zaid ya mala 3 tujuane kwa kulike hapa🙏🤝
@NabiiApolo
@NabiiApolo 2 күн бұрын
Hii nyimbo ni ya kidunia tu, tofauti maneno. Kweli tunamchezea na kumtania MUNGU
@Abcdefghijjjjjjjj
@Abcdefghijjjjjjjj 2 күн бұрын
amesema MULAN... HILI NENO LINA MAANA GANI NI KAMA SIO LA KIMUNGU KABISA NA PENGINE LINA MAANA MBAYA
@michaelezekiel4297
@michaelezekiel4297 Күн бұрын
Mungu kataniwa wapi na mi nitambue labda mi sina maskio
@saninobless
@saninobless 6 күн бұрын
I told huyu hawaezani naye, ni Mungu amemshikilia. Congratulations Goodluck 🎉
@callmekalay
@callmekalay 5 күн бұрын
Next ailotu kuna kiwangoni trust
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU .
@yonajemsi-j6n
@yonajemsi-j6n 5 күн бұрын
Sanino tupe remix mkuu 😅
@sefaniambuba7133
@sefaniambuba7133 6 күн бұрын
Mimi ni WA kwanza, kama wimbo huu umekubariki gonga like hapa🎉
@epeakscreations
@epeakscreations 6 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/a2q3hGybgJJ4jqc
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu 4 күн бұрын
Excellent ❤❤❤
@SARIFUSTEVEN
@SARIFUSTEVEN 6 күн бұрын
Baada ya kuchomea tunguri kubwa songa Mbele shujaa Bwana yesu Kristo akulinde na akutegemeze KakA mtumishi milele amina
@ym_ngoteboy
@ym_ngoteboy 23 сағат бұрын
Tunguli lazima zichomwe
@peterzebedayo
@peterzebedayo 6 күн бұрын
na Bado mpaka waseme huyu ndo mwana wa Mungu mwenye ujasiri na nguvu za Mungu. hakuna kufeli.
@benOfficial36
@benOfficial36 6 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/oaXCiKOomNl7bqMsi=CNGDNjbUd8yTPTEf.
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU .
@Vayler-d4d
@Vayler-d4d 4 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/eKuciYtjf6qbZposi=fMI1qwK0i1Uu9gvj
@stephenmwanzake
@stephenmwanzake 4 күн бұрын
Duh❤. Mwenyezi Mungu amejionyesha wazi! Tena Tesla ya kwanza East Africa na Mtumishi wa Mungu!❤🙌. Nitamwabudu mungu milele
@dennissiriwa2233
@dennissiriwa2233 3 күн бұрын
Majina ya magari au farasi si kipimo cha matendo ya Mwenyezi Mungu. Dhabihu za Mungu ni roho iliyopondeka, moyo uliovunjika, huo Mungu hataudharau (The Psalmist). Waimbaji wetu wana majaribu mengi sana, yapasa tusimame pamoja nao wasipotee.
@yohanamahundi4230
@yohanamahundi4230 5 сағат бұрын
Barikiwa sana mtu wa Mungu, God massage ​@@dennissiriwa2233
@ElizabethJohn-b9c
@ElizabethJohn-b9c 6 күн бұрын
Wow wee nani ametabasam kuanzia mwanzo wa nyimbo adi mwisho wee mungu akuinue viwango vya juu🎉🎉🎉🎉❤
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 6 күн бұрын
Mm hapa nimeona gar limeandikwa gozbert
@epeakscreations
@epeakscreations 6 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/a2q3hGybgJJ4jqc
@KephnetRovert
@KephnetRovert 6 күн бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri
@JosephAmos-v9d
@JosephAmos-v9d 4 күн бұрын
Ndugu yangu umeimba vizuri snaaa mungu akuinue watashagaa wao mungu tu hakana kingine❤❤❤
@timothykengere2535
@timothykengere2535 Күн бұрын
Amina penda sana kazi safi neno la Mungu lazima lisimame ....
@isaacwabomba9153
@isaacwabomba9153 4 күн бұрын
Hii comeback nayo ni noma joh, wacheni mungu abaki kuwa mungu🎉
@yahomeshopllc5950
@yahomeshopllc5950 6 күн бұрын
Mbona sijaona PRAY FOR CONGO 🤦🏽‍♂️😭🇨🇩 INGEKUA KWA WAZUNGU Mungeli andika to much Pray pray.God bring peace to my Country 🙏🇨🇩🙏🇨🇩
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 6 күн бұрын
Tunawaombea 😢❤🇨🇩 Congo nawapenda sana Tanzanka tunawapenda forever nyie ni ndugu zetu🇨🇩🫂🇹🇿❤️🙏 Mungu awatete sana
@francjose9596
@francjose9596 6 күн бұрын
peace and love all over the world AMEN🤲🏽🙏🏽
@ElimwemaSarwat-nb2fg
@ElimwemaSarwat-nb2fg 6 күн бұрын
Tunawaombea jaman
@victormosses7244
@victormosses7244 6 күн бұрын
🇨🇩
@aviosilona316
@aviosilona316 5 күн бұрын
Kutoka Kenya 🇰🇪 😍 tunawaombea Mungu alete amani in Jesus name ♥️
@Erickomondtz08
@Erickomondtz08 6 күн бұрын
Mungu aibalikiwa kazi ya mikono yako naa alie ona huu ujumbee abalikiwe amen🙏🙏❤❤❤
@idrisaabdala6522
@idrisaabdala6522 6 күн бұрын
Sijawai kukufuatilia ila kwa hu mziki mbona nitakusiliza kila saa ❤❤❤
@UpendoMtavangu
@UpendoMtavangu 6 күн бұрын
Kaka YESU akutunzeeeee nakufurahia sanaaaa katika BWANA
@Lillian-qt6gi
@Lillian-qt6gi 6 күн бұрын
Hata tunenewe mabaya gani, ila hatupoteyari kumwacha Yesu wetu ndie ufunguo wetu milele 🙌💪❤️❤️
@WingleddJoshua
@WingleddJoshua 6 күн бұрын
Kazi safi halafu kachoma chuma mungu ka bless kapata gari nyingine god is good every time amen
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU .
@ThomasShilole-i4l
@ThomasShilole-i4l 2 күн бұрын
🤣😂🤣ety kachoma chuma
@BeatriceBusienei
@BeatriceBusienei 6 күн бұрын
Nyimbo zako zinatia nguvu kwa kweli asante kwa kurudi tunakupenda sana
@mariagadiye-t7m
@mariagadiye-t7m 5 күн бұрын
Ashukuriwe Jehovah kwa kumrudisha mtumishi wake
@furahaneema920
@furahaneema920 6 күн бұрын
Waoooooo kwasababu umechoma gari ya nabii mku ivi nitasikiliza nyimbo zako unajuwa ulikuwa umepotea sasa umerudi kwa yesu waoooooo good luck yesu akulinde my brother 👍
@LoycePeter
@LoycePeter 4 күн бұрын
Mungu akutunze mtumishi wa mungu
@mweleurio7960
@mweleurio7960 4 күн бұрын
Jamani jina la Mungu Lina andikwa kwa kuanza na herufi kubwa Yaani Mungu na sio mungu. Kwa Biblia ina tafsiri. Mungu ni Mungu Mwenye enzi na mungu ni miungu.
@JosephMtambo-j4i
@JosephMtambo-j4i 6 күн бұрын
Ongeza nyingine nyimbo mtumish tuzidi kubarikiwa huku marawi
@princeclyde414
@princeclyde414 6 күн бұрын
Wakenya kama mnakubali Goodlack ni mpakwa mafuta onesheni upendo hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU .
@janeatjaneat6599
@janeatjaneat6599 5 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@ErickNgoda-gh9sm
@ErickNgoda-gh9sm 3 күн бұрын
@@jeanvatistesony7407 Kiswahili broken
@SpuzVilan
@SpuzVilan 6 күн бұрын
Apa tuna uhuru sasa acha tuwaoneshee❤
@dianasamson9311
@dianasamson9311 4 күн бұрын
Yesu aendelee kukuinua Gosbert..... Bwana waandaa meza machoni pa watering wangu.
@NchembaNchemba-of7db
@NchembaNchemba-of7db 6 күн бұрын
Zao la wewe ni wewe najua una kipawa kikubwa kijana trust on God ziba vinywa vya maadui kwa maombi all the best Gudluck 🎉🎉🎉🎉
@laxmajor
@laxmajor 6 күн бұрын
Wanyamazishe mtumishi wamungu 😍🇹🇿 pop
@epeakscreations
@epeakscreations 6 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/a2q3hGybgJJ4jqc
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU
@prophetjeremiahmwaisaka1
@prophetjeremiahmwaisaka1 6 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ namimina upendo wa Kristo kutoka Kenya 🇰🇪 Huyu jamaa ni PROPHET
@KenedMolel
@KenedMolel 5 күн бұрын
Hakika huyu jamaa ni simba wa gospel kwa East AfrAfrica au nyie mnasemaj❤
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU .
@YustaMfugale
@YustaMfugale 5 күн бұрын
Israel mbonyi je
@lagrangeukuri3277
@lagrangeukuri3277 5 күн бұрын
Kabisa❤️
@ElishaKamnde
@ElishaKamnde 5 күн бұрын
Kabiisaaa!!🎉❤
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 күн бұрын
Kweli kabisa
@gospelmediaafrica9801
@gospelmediaafrica9801 5 күн бұрын
Mwenye anajua bei ya Tesla ya mtumishi atujulishe pleaaaaase, we love you MOG Goodluck ❤
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU
@JediaBenison
@JediaBenison 6 күн бұрын
Tumia nyota ya yesu kijana❤
@Bernardmedia6
@Bernardmedia6 6 күн бұрын
AKHSANTE FROM KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪... AFTER ULICHOMA GARI ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ #WAONYESHE
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 6 күн бұрын
🙌🙌🙌BEST VIDEO TENA FROM THE GOSPEL ARTIST..UTUKUFU KWA YESU KWAKWELI🙏🙏
@Abcdefghijjjjjjjj
@Abcdefghijjjjjjjj 2 күн бұрын
SAMAHAN..................... HIVI GOODLUCK HUIMBA NA NENO MULAN MULAN MULAN MULAN HII INA MAANA GANI MWENYE JIBU TAFADHALI ANIJIBU MAANA YA MULAN🙏🙏🙏🙏🙏
@faithmwendemusau-eh8zs
@faithmwendemusau-eh8zs 6 күн бұрын
Mungu nibariki washangae "wimbo ni moto 🙏🙏"
@faridafredy
@faridafredy 6 күн бұрын
Wow hongera sana Mtumishi wa Mungu. jamaniiii Yote yalikwisha pale msalabani Goodluck atabaki kua juu kwakua Yesu ashakufa kwajili yake. Hata mseme nini ameshamkubali Yesuuuuu na Yesu hageuki kama wanadamu so hatashushwa kamwe. Mungu azidi kukuweka juu Mtumishi wa Mungu tunakupenda sana
@MAJIYAUTULIVU.BIBLIA
@MAJIYAUTULIVU.BIBLIA 6 күн бұрын
Kunamahali binadam anahis anaweza kuwa Mungu kwa watu wa Mungu. Tumepewa sili tunamjua Mungu. Imeandikwa msujudie Mungu pekeyake sio binadam.....
@emmanuelchilimo
@emmanuelchilimo 5 күн бұрын
Goodluck hakika wewe NI zawadi tosha kutoka kwa Mungu, nyimbo zako toka Ule Ipo siku, hakika kuna upako WA mafuta ndani yake ambapo Huruma mwanga na Kujiamn katikati ya msitu Wa watesi.
@KennyJuma-k4t
@KennyJuma-k4t 6 күн бұрын
Pongezi kwako mtumishi🎉 ujumbe mzur
@jmlsengech6760
@jmlsengech6760 6 күн бұрын
Tutakusapot mpka maadui washngaeeee much love to you Goodluck from Kenya gonga like kama unamkubali Gozbert
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 6 күн бұрын
Amen
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU .
@FelisterJames-u3e
@FelisterJames-u3e 6 күн бұрын
Sijawahi kuchoka kusikia nyimbo za huyu mtumishi jmni Mungu awe pamoja nawe ❤❤❤
@winfredmueni3281
@winfredmueni3281 6 күн бұрын
Kijana good luck mtumishi wa Mungu ua unanipamba sana tena ushujaa wako wampendeza Mungu, keep going, usizikirize makelele za wale walishindwa na kufuata mungu, ishitoshe kelele na macho ya chula haiwezi mnyima ng'ombe kunywa maji , songa mbele❤❤❤❤❤❤🎉🔥🔥🔥🔥
@DobroHenry3442
@DobroHenry3442 5 күн бұрын
Hatimae Role model wangu karejea duuh 🎉🎉🎉🎉
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU .
@lillyanneimeche3174
@lillyanneimeche3174 5 күн бұрын
From Kenya ...wacha Mungu azidi kuwaonyesha how each and everyone is loved by Him...nothing God cannot do and none can press undo#waonyeshe unavyonipenda
@AnnaMinja-n8r
@AnnaMinja-n8r 6 күн бұрын
Haiwezi kubadilisha aliyonipangia mwenyezi mungu
@IreneMiena
@IreneMiena 6 күн бұрын
Weweeeee waonyeshe baba yakwamba unampenda mtumishi wako my goodness nice one.much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
@ElishaJohn-j3j
@ElishaJohn-j3j 6 күн бұрын
Kwa KENYA hapa 🇰🇪
@NeemaEzron
@NeemaEzron 4 күн бұрын
Barikiwa mtumishi 👉 waonyesheee mungu tuonyeshe wabaya wetu kwa imani zetu
@NasraFatuma
@NasraFatuma 6 күн бұрын
❤❤❤huyu ndo mtumishi wa mungu ambae nikimfuatilia sichoki nampenda sana god bless my mtumishi goodluck°❤❤
@bronzehke
@bronzehke 6 күн бұрын
This is what we call ministry, kama unakubali gonga likes from 254 🇰🇪
@visionstudios6804
@visionstudios6804 6 күн бұрын
Hivi ministry ndio wizara!?
@bronzehke
@bronzehke 6 күн бұрын
Kazi safi , Mungu aitwe Mungu ​@@visionstudios6804
@PiasonSalum
@PiasonSalum 6 күн бұрын
Sijawahi kuuchoka muziki wa huyu kaka , keep it on , Kilichonifurahisha zaidi Your interview " huko nilikopambana kupromote nyimbo sasa inatosha MUNGU huku kulikobaki sitainua mguu wangu kufanya vile Tena ila wewe MUNGU nakuachia " umenifurahisha sana
@kelvinjosee-u3e
@kelvinjosee-u3e 6 күн бұрын
Jesus is first every day muamini atakuongoza watu hawana mambo
@samwelindimbo0
@samwelindimbo0 6 күн бұрын
Goodluck tunaye na tunatamba naye 🕺 Ni wakati wa maadui kuoneshwa na Bwana 🔥🔥💥
@sarafinasteven6920
@sarafinasteven6920 5 күн бұрын
Kitu nitakacho sema nikwamba kama jins wimbo unavyo sema nsivyo mungu hakakuinuwe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 mahadui zako wakashangae unajua unajua tena unajua tena mungu hakuinuwe zaid 🙏🙏🙏🙏
@PeterMzola
@PeterMzola 6 күн бұрын
Amen mungu azidi kukuinua zaidi ya jana
@Kulindwa
@Kulindwa 5 күн бұрын
Umetumwa na Mungu wa Abraham kuwapa elekezi za namna za kuimba bongoflava bila kumpatia shavu shetani na wakala zake, ubarikiwe sana Mtumishi
@ChanceClaudine
@ChanceClaudine 6 күн бұрын
Welcome back, nice to meet you again, gooluck gozbert, I had missed your songs, but now you are back again. Nina mushukuru yesu Kristu, bwana Mungu wa majeshi, amekurudisha.🙏🙏🥰🥰🙏❤
@neemajohnson7508
@neemajohnson7508 3 күн бұрын
BANGER🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ MEZA IANDAE MUNGU, WAJUE NLIPAKWA MAFUTA,,,,, aiiyayayayyayayaya❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Coolcoverskoo
@Coolcoverskoo 6 күн бұрын
He seems like a happy guy rightnow, Godbless you
@Petro0100
@Petro0100 6 күн бұрын
Waonyeshe unavyo nipenda balikiwa saana mtu wa mungu🔥🔥🔥🔥
@GurutheAfricanTraveller
@GurutheAfricanTraveller 6 күн бұрын
hili ni ombi langu kwako, waonyeshe unavyonipenda. wacha Mungu ajionyeshe kwetu
@petromagesa8211
@petromagesa8211 6 күн бұрын
Mimi nipo na wewe Goodluck hujawahi kosea hata siku Moja mdogo wangu keep hoing
@JamilaKonje
@JamilaKonje 2 күн бұрын
Hii kali sana....hongera goodluck
@maishamapenzimikasa7149
@maishamapenzimikasa7149 5 күн бұрын
Pray for D R Congo 🇨🇩 Goodluck Godzbert uko fire 💥💥 utapata magari mengi kuliko lile ulilochoma. May God bless you.
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 6 күн бұрын
Na ametuonesha kweli kupitia wewe kuwa yeye ni mkuu, kikubwa usimsaliti kutumia boosta za kidunia, kwenye mziki wako sisi kwa uwezo wake muumba wako tutakuja kushuhudia Neno Mungu kwenye nyimbo zako. Bwana Yesu apewe sifa Gozbert wewe ni icon ya Yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@LoveOffial
@LoveOffial 6 күн бұрын
nakupenda san MUNGU akurejeshee❤❤
@godfreymatikoo
@godfreymatikoo 6 күн бұрын
Kwakweli umetisha saana brother, imetubariki saana hiii nyimbo, uende hivi hivi na speed ya light mwaka huuu 🔥🔥🔥🔥
@peninagreyson2897
@peninagreyson2897 3 күн бұрын
Kweli kabisa
@harmohindi7756
@harmohindi7756 3 күн бұрын
Kwakweli ametisha
@alexkabuka18
@alexkabuka18 3 күн бұрын
🙏
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 2 күн бұрын
Ole wake akwasaye mwenzaka kumbuka kama nikikwazo kwa watu wa mungu haufai maana unafaa kufungwa jiwe la kuzagia na kutupwa baharini.
@walubi254music9
@walubi254music9 6 күн бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hii ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@luckiestmeckson2222
@luckiestmeckson2222 6 күн бұрын
Mungu nimkuu Hakika waoneshe God bless you mr Good Luck
@LuckyTemu
@LuckyTemu 6 күн бұрын
Mwaga likes nyingi kwa Goodluck Gozbert ❤❤❤
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU .
@MariamuAthumani-f2u
@MariamuAthumani-f2u 12 сағат бұрын
Moto moto ni moto ndo kwanza tuna anza shetani jiandae kwa vita.by maiko Benjamin
@EmanuelMiyonjo
@EmanuelMiyonjo 5 күн бұрын
Mungu ni mwema Kila wakati Kila wakati Mungu ni mwema 🙏🙏🙏🙏🙏
@Bancetv
@Bancetv 6 күн бұрын
Goodluck is back Thanks almighty God
@SamweliHaali-q6t
@SamweliHaali-q6t 5 күн бұрын
Jamani daaaah Jesus is really alive🙏🙏🙏kaka Gozbert your talent and anointing is back ❤❤
@GiftAbduly
@GiftAbduly 6 күн бұрын
Ad umepata nuru jmn vifungo sio vizur atukuzwe Allah 🎉❤
@MiriusEliudi
@MiriusEliudi 6 күн бұрын
Allah 😂😂 ndo nani yake
@GiftAbduly
@GiftAbduly 6 күн бұрын
@@MiriusEliudi kma humjui muumba mbingu na nch jishikirie!!
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 6 күн бұрын
​@@MiriusEliudimungu wake aliemuumba yy na vilivyomo ardhin na mbinguni
@Beckyk9
@Beckyk9 5 күн бұрын
Beautiful song may God keep fighting for you my brother, dunia imejaa shida lakini Yesu alishinda yote na wewe utashinda kupitia Yeye. God bless you
@godfreymabula1487
@godfreymabula1487 5 күн бұрын
Nakupenda, Mungu Bado Yuko nawewe sikuzote , wakijaribu kukuchafua ndio wanazidi kukung'ara zaidi Mbele za Mungu.
@ChanceRiziki
@ChanceRiziki 6 күн бұрын
Wow nani naye anarudiliya mara pili pili saa miye ❤❤🎉🎉🎉🎉
@HamisiBakary-y1s
@HamisiBakary-y1s 5 күн бұрын
Atali sana tumeona ngoma kali sana naitafika mbali 🎉🎉🎉
@brownla32official7
@brownla32official7 6 күн бұрын
🖤🖤Much respect Mungu akuinue 🙌
@bessygakii7087
@bessygakii7087 4 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉thanks God kwa urejesho wa mtumishi wetu .nyimboo kweli inateremesha nguvu Za wanganga popote walipo
@WilliamDaudi-p1t
@WilliamDaudi-p1t 6 күн бұрын
😢😢 asande mungu wangu kwa kurudisha mutumishi wako🎉🎉🎉
@josestudio4534
@josestudio4534 6 күн бұрын
Daah Kaka Gozbert nimechelewa kidogo tu Mungu Asimame na wewe Mwanzo Mwisho
@kevohthavocalist6785
@kevohthavocalist6785 6 күн бұрын
Acha waone makuu ya MUNGU juu ya yako Mtumishi ❤💯🙏
@auchphilip
@auchphilip 3 күн бұрын
Waonyeshe Agape love from kenya bro, wakimye kabisa
@GeofreyJones
@GeofreyJones 4 күн бұрын
Barikiwa mtumishi wa MUNGU akika uyu Bwana ni wa ajabu🙏🏽
@emmanueljohn7
@emmanueljohn7 5 күн бұрын
Huu ndio wimbo sijui kwa nini natabathamu naona Mpaka Maneno ya Yesu kwenye Wimbo 😂😅 sio zile nyimbo za Gospel hazimtaji hata YESU wala Neno la Mungu zinapigwa na kufanyiwa collabo na watu huku wanavuta Shisha. Be blessed Goodluck
@TheRedmarktv
@TheRedmarktv 6 күн бұрын
hongera kwa wimbo mpya Bro
@jeanvatistesony7407
@jeanvatistesony7407 5 күн бұрын
😭🇨🇩🇨🇩 aventurier utapele mwaibaji wa MUNGU eko navaa sa daimond wewe ni daimond siyo muibaji wa MUNGU .
@IrakozeReponse-mf2nk
@IrakozeReponse-mf2nk 6 күн бұрын
Nilimbali nimetoka...... Nipeni likes kwa wanao kumbuka hiyo song
@MwembambawaYesu
@MwembambawaYesu 6 күн бұрын
Kaka hujawahi kufeli kazi njema sana hii Mungu waonyeshe
@AbdallahSudy-t4s
@AbdallahSudy-t4s 5 күн бұрын
Waonyeshe kaka kwamba yesu nimkuu kuliko wao
Goodluck Gozbert - Usinipite (Official Video) SMS SKIZA 6983633 TO 811
6:05
Gozbert Ministries
Рет қаралды 406 М.
Paul Clement Ft Victor Maestro - Baraka (Official Video )
14:44
Paul Clement Official
Рет қаралды 1,7 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
NABII MKUU NA GOZBERT, NIMEKUSAMEHE KIJANA
9:52
PRINCE GEORGE TANZANIA
Рет қаралды 2,3 М.
Agape Gospel Band - Simuachi (Live Music Video)
14:05
Agape Gospel Band
Рет қаралды 124 М.
Diamond Platnumz - Nitafanyaje (Official Music Video)
4:55
Diamond Platnumz
Рет қаралды 2,1 МЛН
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 3 МЛН