Waheshimu Sana wanaosikiliza wimbo nawakaamua kupoteza muda wao kukoment wengine hawana uwo Moyo wakukbali kusapoti wenzao MUNGU awabariki kwa ujumla na MUIMBAJ wetu🎉🎉🎉🎉,🙏
@RehemaKomba-d6t18 күн бұрын
Amen mwaka wa viwango barikwa sana
@MATEOJOSEPH-nc8gf23 күн бұрын
Kama ww unamkubali huyu jamaa weka like hapa
@StanleyMuthenya-qu6gj17 күн бұрын
Wow May God bless you man of God,,,,Mungu nibariki mwaka huu🙏🙏🙏
@childofgoddorsila533820 күн бұрын
Mungu niwezezee mwaka wa 2025🎉🎉🎉🎉
@Innocentswai12015 күн бұрын
Nyimbo nzur sana mtumishi ubarikiwe na bwana
@abinelywillson24 күн бұрын
Ndio nausubili mwaka wanuru # Mungu azidi kuwa nawe mtumishi🎉
@AthamanRamadhani23 күн бұрын
Mtumishi ulipotea sana takribani miezi minne kama si mitano.Kazi nzuri mtumishi Butati ubarikiwe ww na huduma yako
@lumosinewton933324 күн бұрын
❤❤❤ napenda sana hapo Kwa nitafanya bidii💪💪💪
@PapaIbrahim-z7t23 күн бұрын
Barikiwa Sana kaka
@josephalfonce449323 күн бұрын
Naamin mwaka 2025ndo mwaka kufanikiwa kwngu haleluya
@Muhindoferdina21 күн бұрын
Mungu ni mungu tu hii mwaka yote yatatimia❤
@glorysungura318023 күн бұрын
Ameeeeeeeeen, hakika wimbo MWAKA ni wa baraka kwangu. Barikiwa sana mtumishi Butati
@AntonioCuimbraCuimbra22 күн бұрын
Glória, glória a Deus nas alturas este ano será o ano de muitas vitórias e benção e conquistas Deus abençoe
@emanueldaudi-ec6xt21 күн бұрын
Hakika mwaka huu razima nikamilishe nipango yangu ya miaka mingi
@KONGWAFAUSTINPHILANTHROPE21 күн бұрын
FROM DRCONGO UVIRA 🇨🇩 C'EST TJR PHILANTHROPE Nou sommes ensemble ASANTE SANA GOD KWA MWAKA
@marysiasawaki369823 күн бұрын
Aiaeeee 2025 ni mwaka wangu wa mafanikio daima............i feeel so blessed to hear this from butati ...Mungu akuinue mtumishi hii nyimbo imenigusa sana yaani 2025 ni mwaka wangu wa kuinuka na kumiliki na kutawala ❤
@euniceachola-rx4sf4 күн бұрын
2025 naomba mugu anitie nguvu na awe mratibu wa kila kitu.
@LydiaNakhumicha4 күн бұрын
Mwaka wangu wa kubarikiwa
@kinsleyjeff317124 күн бұрын
Safi sana mtumishi
@nellyshivere426724 күн бұрын
Ameen mimi mwaka wa2022 2023 2024 niliomba nikafunga sana, nilijitahiti mahusiono yangu na Mungu yawe mema ..sasa najua bila shaka mtihani niliita hu mwaka 2025 natoboa
@VeronikaAmosi21 күн бұрын
Barikiwa sana kak
@johnnymsani671824 күн бұрын
Nice one bro GOD bless
@duncanmulu245021 күн бұрын
🔥🔥🔥🇰🇪
@DusengeIradukunda-f2b24 күн бұрын
Mwaka wakubalikiwa na kuinuliwa.
@SilibwaHaggai24 күн бұрын
Huu mwaka lazima nibariwe hallelujah 🙏🙌
@jeanmariemuco113224 күн бұрын
Amen barikiwa saana
@johnmwongela776124 күн бұрын
2025 naomba uwe mwaka wangu wa mafanikio kwa familia yangu,huduma yangu na pia Mungu anisaidie niwe na bihashara zangu.Natia bidii sana na kumtemgemea Mungu wa baraka
@Johnclaude91624 күн бұрын
Duuu wimbo huuu hatali namimi nitajenga huu mwaka😃 From #Claudeofficial