Kikwete Aitwa Kuingilia Suala la Kumtangaza Rasmi Samia Mgombea CCM 2025, Atoa Msimamo: 'Wanakutaka'

  Рет қаралды 26,667

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 146
@mburuumbe5659
@mburuumbe5659 Сағат бұрын
Huyu mzee nitakuja kumtafuta tu anipe Siri ya kuwa na furaha muda wote maana nadhani ndo maana hazeeki duh kichwa bado kinafanya kazi actively❤
@paideacram
@paideacram Сағат бұрын
Alie sikia wachawi wameshakufa anipe like zangu
@PaschalBoi-z8h
@PaschalBoi-z8h Сағат бұрын
Hamna haja ya uchaguzi tanzania,maana ni majeshi ndo yanafanyaga uchaguzi kwa niaba ya ccm wala cyo wananchi
@salahhddindasuvic6447
@salahhddindasuvic6447 25 минут бұрын
Hongera ❤ mh Kikwete .
@zephaniamkondya9977
@zephaniamkondya9977 8 минут бұрын
Hongera Rais mstaafu Kikwete kwa hotuba nzuri sana!
@EdithaNyambo
@EdithaNyambo Сағат бұрын
I really appreciate and admire this retired president of our Nation. Mungu akuweke sana kwa kizazi cha sasa na kijacho, hekima na busara nyingi naziona ndani yako ni wachache walio nazo
@KostaJoseph
@KostaJoseph 3 сағат бұрын
Mzee Kikwete Mungu akujalie afya njema na maisha marefu ni pamoja na Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan
@omuze1290
@omuze1290 Сағат бұрын
Mzee Kikwete akili nyingi sana. Hongera sana baba!
@RajabuMhina-x2p
@RajabuMhina-x2p 2 сағат бұрын
Hongeara sana mzee kikwete munguazidi kukubariki katikakazizako hongera mama samia kwa kuupigamwingi uzidikuendeleakuijenganchiye hongera dokta mwinyi kwajitihadazako hongereni viongoziwetuwote munguawazidishie kilalaheri asnteni
@GeorgeMwita-i8o
@GeorgeMwita-i8o 2 сағат бұрын
Mzee ni Mzee, uzoefu ni uzoefu, hekima na busara hii ya Rais Mstaafu Mzee Kikwete haitasaulika kamwe. Hongera. Mzee Kikwete.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 2 сағат бұрын
Mngetulipa tunataabika sana wakandarasi
@lilyjones3584
@lilyjones3584 2 сағат бұрын
Rais Samia anamalizia muhula wa mtangulizi wake baada ya kutangulia mbele za haki. Katiba haikupindishwa, akaingia madarakani. Sasa huu utaratibu wa kumtangaza kuwa mgombea pekee bila kufuata mchakato wa kumpata mgombea upo kwenye Katiba au ni mabavu yanatumika?
@MS.independent8934
@MS.independent8934 Сағат бұрын
Wame tumia mabavu tu apo, maana kauli ya kike siuna iskiaa apo yn kiufupi hawaja fata katiba ya CCM kwenye kumpata mgombea,, ndiomanaa ukiona wajumbe wengii hawaja simama kuunga mkono kwenye jambo hilo😂😂😂
@PaschalBoi-z8h
@PaschalBoi-z8h Сағат бұрын
Uongozi mzuri kwa nchi yetu uliishia kwako kikwete wengine hamn kitu
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Сағат бұрын
Uwe na shukrani tuu ata kwa AMANI iliyodumishwa ndani ya nchi yetu,mpaka sasa
@jafarimzalamo1922
@jafarimzalamo1922 Сағат бұрын
Ila ccm mhhh!!! mmeshindikana kwenye siasa ya bongo na east African hii au African nzima hamuwezekani
@mohdseif1659
@mohdseif1659 2 сағат бұрын
Samia mitano tena nampenda snaa
@StoneLiyanga
@StoneLiyanga 2 сағат бұрын
Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sasa hatuhitaji porojo nyinyi munaeludisha nchi nyuma
@richdsr3517
@richdsr3517 Сағат бұрын
WAPENI WATU HAKI YA KUGOMBEA URAIS KWA CCM, MKITEUA BILA KUWAPA WATU HAKI YAO YA KUTANGAZA NIA NI KUHARIBU DEMOCRATIC PROCESS. JE WANA CCM WOTE WANAMTAKA HUYU?? WAPENI WATU UHURU WA KUGOMBEA
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 28 минут бұрын
Mavi ya demokoradia
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p Сағат бұрын
Yaani huyu Mzee mungu anamuonatu eti wachawi wameshakufa
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki Сағат бұрын
Mwenye akili timamu hawezi mchukia huyu mama anae mchukia ni mvivu wa kulima na kufanya biashara masna hakuna chama Wala serekali yake kitawaletea chakula nyumbani ewe kaka ew dada wote mmekimbilia mijini Yale mashamba mlivyo yaacha kijijini yalimwe na nani
@tuntufyecharles1647
@tuntufyecharles1647 Сағат бұрын
Rais wetu samia ametulia kwa sura mpaka moyoni. Hana papara huyu mama. Hii ni ishara kuwa kiongozi wetu ni mcha mungu. Eeeh Mola mpe maisha marefu.
@saidiwitika1517
@saidiwitika1517 2 сағат бұрын
CCM ni chama cha watu makini sana kwa moyo wa dhati nimependa sana speech ya Rais mstafu mzee Kikwete na imani kubwa sana na Rais Samia na viongozi wote.Sisi tuliopo chini tunaona yanayofanyika mazuri.
@tashone7884
@tashone7884 2 сағат бұрын
Mzee Kikwete bingwa wa speech- bingwa wa fasaha
@erickmsigala138
@erickmsigala138 2 сағат бұрын
Ccm ni chama cha watu wajinga na masikini wa kufikiri ccm inawatu mia nne tu wanao kula na kusaza machawa furaha yao ni kuwaweka hao mianne madarakani
@syliverTV5G
@syliverTV5G Сағат бұрын
Uongozi wake ulikuwaje hakuna kitu
@RamadhanMiyimba
@RamadhanMiyimba Сағат бұрын
​@@syliverTV5GWako un akitu ?
@EvaristaMhagama
@EvaristaMhagama Сағат бұрын
Acheni uchawa wakushabikia kila jambo nchi inafurahiwa na watu wachache tena wale wa juu
@zakarialuhemeja444
@zakarialuhemeja444 Сағат бұрын
Kura zote kwa Dk Samia. Hao wa upande wa pili wakalale na wanyamaze
@LucyJMtitu
@LucyJMtitu 2 сағат бұрын
Hongera sana na Mungu akusaidie
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 Сағат бұрын
ULE UTARATIBU WA KUCHUKUA FORM VIPI? HAUPO MWAKA HUU?
@SaidNassor-xj6yp
@SaidNassor-xj6yp Сағат бұрын
Tatizo sio uchaguzi. Kwa bara ccm swa, Lkin Zanzibar ccm haija wahi kushinda isipo kuwa wanaiba kura. Na kila njama za wizi ilimradi ishinde.
@DiorJr-ko1ps
@DiorJr-ko1ps Сағат бұрын
Mungu awatangulie
@ChumHamza
@ChumHamza 15 минут бұрын
Asanteni
@MbarakSoud
@MbarakSoud Сағат бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE alhaamdulilaah mungu ibariki Tanzânia yetu amin AMIN AMIN yaarab AMIN mama Samia oyeeeee hongera mamã Samia oyeeeee hongera sana alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah mungu akupe afyaaa na Armani Tanzânia yetu alhaamdulilaah
@ChumHamza
@ChumHamza 14 минут бұрын
Tuna mpenda sana mama samia
@SultanAlly-b7s
@SultanAlly-b7s Сағат бұрын
Mama samia wewe mwanamke shujaa sana komaa usisikilize maneno ya watu
@jimushijoseph2408
@jimushijoseph2408 2 сағат бұрын
Awami hii uongozi wa serikali ya Tanzania utawatambua MADOKTA ambao hawajapata appointment kwenye uongozi au nafasi
@RAFAELMOLLEL-q9z
@RAFAELMOLLEL-q9z Сағат бұрын
Hungera sana jk na mama samia
@salyali7807
@salyali7807 2 сағат бұрын
Nahisi kutapika kusikiliza majambazi wa Tanzania
@DavidLucas-ke8hc
@DavidLucas-ke8hc 2 сағат бұрын
Chama chenye misingi hii na mihimili imara ni ngumu sana kutetereka❤❤
@robertphilip385
@robertphilip385 2 сағат бұрын
Nakweli ndomaana Kiko madarakani Kwa nguvu ya police
@mwalimukatapala3325
@mwalimukatapala3325 50 минут бұрын
pamoja na kuipenda ccm naomba na itutezame sisi wastaafu tumeomba mkopo TCB bank tangu mwezi wa 10 - 2024 lakini hadi leo hatujapewa chama na serikali ilione hili sisi ndiyo wapigakula kumbukeni hilo
@PaschalBoi-z8h
@PaschalBoi-z8h Сағат бұрын
Rais kikwete we ni mwongo,ccm mnaporaga na kuiba kura alafu mnaua raia wanaotetea ushindi wa upinzani,mungu tu ndo anajua hatma yenu
@nicodemusngwala2079
@nicodemusngwala2079 2 сағат бұрын
Yaani tayari wameisha mpitisha kugombea Urais naye anakubali huo utaratibu ili kilichobakia iwe ni kuhakikisha wanahalalisha kisheria ,...na wajumbe wanashangilia mmmmmh hivi hawa wajumbe kweli hawana uwezo wowote wa kujenga hoja kupisha demokrasia ya kweli ndani ya chama chao kuhakikisha kuna kuwako na ushindani wa kweli ....kweli tuna safari ndefu kujenga demokrasia ya kweli katika nchi hii
@tashone7884
@tashone7884 2 сағат бұрын
Pole,Sami Ni Raisi tena 10 yrs
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 2 сағат бұрын
Afrika Africa africa especially Tanzania
@HamisiKitalika
@HamisiKitalika 2 сағат бұрын
Sasa siku zote jina uwa linaletwa kwenye huo huo mkutano na wanaopitisha ni wao kutokana na katiba yao wewe unachokasirika ni nini, andaa na wewe chama chako weka utaratibu unaoutaka, shida mnashindwa kuelewa huo ni mkutano wa wana CCM na wana katiba yao hawafati ya kwako au ya kwangu
@Nabopolassar-q2q
@Nabopolassar-q2q Сағат бұрын
Wachawi wenu mmeshauwa
@JoshuaLusimba
@JoshuaLusimba Сағат бұрын
Oyooooooo, mama huyo, tuko nyuma yako mama, wababa wameongoza tumeona mazuri na udhaifu wao,tunakutaka tena mama , miaka 5 tena.
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 24 минут бұрын
Kikwete mafia....kuna harufu huenda aliisikia sikia akaona amalize mchezo mapema... Kumchinja kobe kwataka timing...mwamba kashawachinja makobe😂😂
@moddy8744
@moddy8744 2 сағат бұрын
Mashallah Samia ni best President
@robertphilip385
@robertphilip385 2 сағат бұрын
Nakweli na bandari imeuzwa
@allykwaya
@allykwaya 2 сағат бұрын
Camon Niger, Best prezda?
@fredrickkaaya6287
@fredrickkaaya6287 Сағат бұрын
Mbona Bado mnaogopa kwenda kwenye sanduku la kura? Ni kweli ujanja ujanja unawadhalilisha sana bila sababu za msingi.
@PaschalBoi-z8h
@PaschalBoi-z8h Сағат бұрын
Hamjawahi kushinda
@DeviceKalekayo
@DeviceKalekayo Сағат бұрын
Ccm juuuu
@JoshuaSamson-x9n
@JoshuaSamson-x9n Сағат бұрын
Fire
@mochemba
@mochemba 3 сағат бұрын
Mh Rais mstaafu Mungu akutangulie na azidi kukupa afya njema na maisha marefu. My lovely President
@vinitomagrelo4634
@vinitomagrelo4634 Сағат бұрын
Wakuu wa wilaya wote mikoa wote wakurugenzi wote wako hapo nani atapiga kura ya hapana
@binsherbal6089
@binsherbal6089 2 сағат бұрын
Kikao Cha Mazombi.
@Sahlomon-jp4jr
@Sahlomon-jp4jr 2 сағат бұрын
Utatokwa na hedhi bila kutarajia dada'angu
@thomthegotti
@thomthegotti Сағат бұрын
Acha usenge wewe ​@@Sahlomon-jp4jr
@BarakaSagamba
@BarakaSagamba 38 минут бұрын
Chunga kauli zako utauponza msenge mtombwaji ww
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 3 сағат бұрын
Mama hana baya wanaosema vibaya hizo ni shida zao ukweli ni kwamba hakuna binadamu asiye na mapungufu ,nakumbuka mdogo wangu 2016 alipojiunga na chuo kikuu alipata mkopo kiasi kidogo sana ila mdogo wangu huyu mwingine mwaka Jana amepata kiasi Cha kutosha Tena yule wa 2016 alifaulu vizuri kuliko huyu wa mwaka Jana
@raymondmjebe2412
@raymondmjebe2412 3 сағат бұрын
hakili zako wewe ni ndogo sana ok saw wamepata mkopo baada ya kumaliza elimu ya juu wapi wataelekea ?
@raymondmjebe2412
@raymondmjebe2412 3 сағат бұрын
sio kwa ubaya wote tunajuaa kazi zinazofanyika lakini usisifu kila kitu utakua mjinga
@westserengeti5608
@westserengeti5608 2 сағат бұрын
😂😂😂😂,tulia wewe hatusomi kupata ajira, hiyo sio sere ya elimu ya Tanzania.
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 2 сағат бұрын
Mambo.mengine ya ajira n kupata au kukosa ni ya Muumba wetu
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Сағат бұрын
We unadhani elmu ni kuhusu kuajiriwa na serikali pekee? We ndo ambaye akili hazikutoshi tafakari kabla hujazungumza kwani we ndo wale wale?
@rashidisaidi8535
@rashidisaidi8535 40 минут бұрын
Hapo kwenye jesh sasa dah sawa kweli ulikuwa mjeshi
@wilisonsamwelongolo3822
@wilisonsamwelongolo3822 Сағат бұрын
Kikwete wewe ni kiongozi wangu wa hekima lini nisikisie sauti nikiongea nawe sauti yako naomba tu hata number
@wilisonsamwelongolo3822
@wilisonsamwelongolo3822 Сағат бұрын
Kikwete nina watu 270 naomba number yako niwapiga kura
@PaschalBoi-z8h
@PaschalBoi-z8h Сағат бұрын
Kwnz msile bando yangu
@chawallamathew505
@chawallamathew505 13 минут бұрын
Mama tumekukubari na bado tunakuhitaji kazi IENDELEE 5 Tena piga stater 2025 mpaka 2030 hakuna mwingine
@wilsonwafulachebokati4933
@wilsonwafulachebokati4933 Сағат бұрын
Ngekuwa na something ile inajulika hapa ninge finished kumalo
@johnlfuluge2055
@johnlfuluge2055 2 сағат бұрын
CCM mbele kwa mbele.
@yasintakiluswa6053
@yasintakiluswa6053 Сағат бұрын
Viongozi Hawa MUNGU anajua Siri yao
@FrankDaniel-oi1ki
@FrankDaniel-oi1ki Сағат бұрын
Wachawi walisha kufa niwakina nani hao wachawi mungu wa Haki yupo hasinzii wa Halali atatenda
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 Сағат бұрын
gunia la mpunga kila siku shilingi 70000 lumbesa
@syliverTV5G
@syliverTV5G Сағат бұрын
Ccm kwisha hakuna kila za mgombea
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 15 минут бұрын
CCM OYEEEEEEEH
@RamadhanKichele
@RamadhanKichele 9 минут бұрын
Duh! Hamna wachawi Tena, maana wachawi wameshakufa!!!! Mbon sijamuelewa
@ip_header
@ip_header Сағат бұрын
Vijana wa oyaoya hawawezi kusikiliza kwasababu hakilizao hazipo hapo
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj Сағат бұрын
Huwa nasema, Mzee huyu ni busara na hekima tupu. Kwanza anafikisha ujumbe akiwa na bashasha
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 57 минут бұрын
CCM ya Ukweli zilikuwa za awamu ya kwanza, na ya tano. Kama hizo zilikuwa za Wachawi ni sawa tu.
@bakarimzee5008
@bakarimzee5008 11 минут бұрын
Samia Suluhu Hassan Mitano (5 )tena 2025-2030
@yasintakiluswa6053
@yasintakiluswa6053 Сағат бұрын
Tena mwaka huu kwa vile ni wa mwisho ndo wanatuliza bamkubwa🙆
@JumaKatara-r2b
@JumaKatara-r2b 2 сағат бұрын
Rip magufuri
@Sahlomon-jp4jr
@Sahlomon-jp4jr 2 сағат бұрын
Shauri Yako! Maisha yanaendelea, KAZI IENDELEEEEEE
@ALIkhelefengineer
@ALIkhelefengineer 2 сағат бұрын
❤🎉🎉🎉🎉🎉
@abdullahabdull3172
@abdullahabdull3172 4 минут бұрын
Mh Kikwete nakuheshimu.. we kama nani ktk CCM ukatangaza mgombea wa Chama.trap...scam..
@beinafuu6219
@beinafuu6219 2 минут бұрын
Sio ya wapinzan walikuja wengi kutoka upinzan hii ndo ccm sasa
@AndreaNzunda-f7o
@AndreaNzunda-f7o 34 минут бұрын
Acheni hii sio nchi ya kifalme acheni kila mmoja achukue form ya urais Kwan samia Ndo nn
@vinitomagrelo4634
@vinitomagrelo4634 Сағат бұрын
Hauziki labda mtumie jeshi
@vinitomagrelo4634
@vinitomagrelo4634 Сағат бұрын
Mtaenda kuangukia pua huyo hauziki
@newtonnyembe8228
@newtonnyembe8228 20 минут бұрын
Wachawi wameshakufa JK😅
@AminaMkumba-f7v
@AminaMkumba-f7v 2 сағат бұрын
Mimi I love Samia so much❤
@saidimpako5186
@saidimpako5186 9 минут бұрын
kwaiyo kanuni zikiukwe ili agombee pekeyake hatakutetea hiyo hoja kumekua na kigugumizi
@AndreaNzunda-f7o
@AndreaNzunda-f7o 35 минут бұрын
Huo ndo uchawi sasa mnaogopa nini watu wengne wachukue form bn
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 Сағат бұрын
Eti ccm ninayoijua,inamaana kuna wakati gani ccm iliondoka katika sura yake
@KostaJoseph
@KostaJoseph 3 сағат бұрын
MADAM SAMIA NI KIONGOZI DHABITI , ANAJUA KUTULIZA NA KUPOOZA NYOYO ZA WANANCHI KWA KUTULETEA MAENDELEO WANANCHI WAKE , MADAM SAMIA MITANO TENA
@saidameir8965
@saidameir8965 3 сағат бұрын
This is CCM!JK ni mtondoo huo haufi maji!
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 2 сағат бұрын
😢😢😢😢😢waziiii
@syliverTV5G
@syliverTV5G Сағат бұрын
Kikwete nchi ilimshinda kasi mpya nguvu mpya hali mpya wapi sasa wanyama walienda wapi
@shabaniduduma8885
@shabaniduduma8885 54 минут бұрын
wanyama gani,mbona wamejaa porini mzeee?
@syliverTV5G
@syliverTV5G 50 минут бұрын
@shabaniduduma8885 twiga kwenda kwa obama
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 29 минут бұрын
KIKWETE YUPO SAWA... MAMA MI5 TENA!! Hivi wewe ndugu unayemshambulia huyu Mzee wa watu wewe hauoni mema yake unaona mabaya tu au vipi? Hivi ukiulizwa ulete ushahidi kwa hayo unayoyadai dhidi ya hyu mzee utatoa?! au ndiyo una hamu ya kula maharage ya bure kilazima halafu watokee wale waona sheria upande mmoja wapaze sauti za kusiliba wakutetee?!kama kweli Mzee Kikwete hakufanya lolote la maana ktk nchi hii ya Tanzania kama hivyo unavyodai wewe, hivi barabara za mwendo kasi na mabasi yake tunayojivunia leo na kujitamba mbele ya jirani zetu kaleta nani bongo kama si Mzee Kikwete?! shule za sekondari za kata kajenga nani?! Uwanja wa kisasa wa ndege wa Dar es Salaam tunaowachapia wakenya JKN Terminal 3 ni nani aliyeujenga kama si Mzee Kikwete?! daraja la Kigamboni lilijengwa wakati wa awamu gani kama si ya Mzee Kikwete?Magorofa makali na marefu mjini posta yaliyoingia ktk top ten ya majengo marefu zaidi barani Afrika yamejengwa awamu gani kama si ya Mzee Kikwete, madaraja yaliyotapakaa kila kona ya nchi na barabara zilizounganisha nchi nzima vyote vilijengwa wakati wa nani? Ni wakati gani mtanzania aliishi maisha mepesi zaidi, matamu, rahisi na mazuri na kula bata kwa sana huku pesa zikiwa mifukoni kwa wanyonge na wakubwa kama si wakati wa awamu ya Mzee Mwinyi na Mzee Kikwete?! Tambua anachosema Mzee Kikwete ndiyo uhalisia wenyewe, hii 2025 Mama anapita bila ya kupingwa tena kwa kishindo kikubwa sana, kwa sababu wapinzani wameshapasuka tayari wanavurugana wenyewe kwa wenyewe, hivi unavyofikiria kuna ushindi unaopatikana kwa kugombana na kufarakana?! pia lazima ujifunze kusoma alama za nyakati, mpaka sasa watanzania wengi wamemuelewa Mama, yote aliyoachiwa na Mzee Magufuli ameyaendeleza kwa ufanisi mkubwa kiasi kila mtu anaishangaa Tanzania namna inavyozipiga gep nchi nyengine hasa majirani zetu, leo siyo stori tena kila kitu kipo wazi Dodoma hapo hayazidi hata masaa matatu ushafika treni za umeme zinatiririka kama maji ya mafuriko na tena Mama anazidi kuzileta kila uchao, bwawa la umeme Rufiji ndiyi hilo limeshakamilika, ndege zinanunuliwa kila leo, na miradi yote ya kimkakati inaenda vizuri, mabasi mapya ya mwendo kasi yanakuja tena siyo ya dizeli ni ya gesi halafu na Scania siyo mchina china tena, leo biashara zinashamiri kila kona ya nchi tena mijini kote fremu za maduka zinaota kama uyoga, hayo majengo mapya ndiyo usiseme... Tembelea kuanzia Posta uone Mama anavyoisuka Dar es Salaam, ingia Moroko, Kijitonyama Makumbusho mapaka Mwenge uone maajabu ktk maendeleo ya kimaeneo, leo maisha ya watanzania yamezidi kuwa rahisi na bata limerudi tena... Mama anajitengenezea rekodi ya aina yake... kila mwenye macho haambiwi tazama, au wewe peke yako ndiye usiyeona mazuri ya Mama kwa watanzania, unayejitoa fahamu kwa chuki zako binafsi?! Ndugu chuki hazisaidii wala hazibadilishi uhalisia, mwema ni mwema tu hata umsilibe mavi, jivunze kuwa na shukran!! Mama mi5 tena na kimaendeleo Tanzania mbele kwa mbele...
@DanielMwendapole-i1b
@DanielMwendapole-i1b 2 сағат бұрын
Nimekwelewa hakili Yako haifanani na watu wenye akili
@OmaryMwande
@OmaryMwande 2 сағат бұрын
Samia mitano tena mwinyi mitano tena
@DavidLucas-ke8hc
@DavidLucas-ke8hc 2 сағат бұрын
❤❤❤
@LinusKyando
@LinusKyando 2 сағат бұрын
NIMEPENDA MIFANO YA KIJESHI YA JAKAYA
@LadislausyStanislausy
@LadislausyStanislausy Сағат бұрын
Safari njema yenye heri,olugendo ruhire
@khatibumakame6014
@khatibumakame6014 2 сағат бұрын
Je katiba yetu ndio inasema hivo
@NamiriNamiri-oz4xs
@NamiriNamiri-oz4xs 2 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@geofreyanania1108
@geofreyanania1108 3 сағат бұрын
Kwa mfumo amna mjadala mtashinda tu
@JAKODAMO
@JAKODAMO Сағат бұрын
Nimebaini CCM yangu watu HAWANA AKILI. Kwanini mnakwepa kumpitisha Samia kwenye Vikao Rasmi za Chama sawa na Katiba ya CCM? Mnaogopa nini? JK mwenyewe nchi ilimshinda, ndo amekuwa Wakili wa Chama??
@AllyMasud-b9w
@AllyMasud-b9w Сағат бұрын
Wananchi hatuwatak nyie wazee wa goli la mkono
@BarakaSagamba
@BarakaSagamba 35 минут бұрын
Kwani ninyi chadema tundu lisu mkundu Nani anawataka
@marthamungure1777
@marthamungure1777 18 минут бұрын
Hawakufuata utaratibu wa mikatiba
@salmaramadhan2725
@salmaramadhan2725 2 сағат бұрын
Wenyeviti wapewa mishahara tumesimama Na hili,
@FadhilMberwa-j5v
@FadhilMberwa-j5v 2 сағат бұрын
CCM ushindi lazima
@Chemba67
@Chemba67 2 сағат бұрын
Ni shikizo , hila na ubabaishaji , hilo azimio ni kama kiapo, tena anafundisha mpaka jinsi gani liandikwe...........hatoboi huyu mama kama asingekuwepo Kikwete.
@SiyahiSiyahi-y7v
@SiyahiSiyahi-y7v 2 сағат бұрын
Kikwete wewe ni jinias
@Samoninyanda
@Samoninyanda Сағат бұрын
Watu mnawatekea
@mohdseif1659
@mohdseif1659 2 сағат бұрын
Nina imani na samiaa
@Samoninyanda
@Samoninyanda Сағат бұрын
Wezi nyie
@richardhosea8827
@richardhosea8827 Сағат бұрын
Ccm hatuna dogo
@gidongailo7174
@gidongailo7174 3 сағат бұрын
Hivi CCM, kwanini hamuongezi muda ili Samia akamilishe kwanza miaka yake mitano ya mwanzo badala ya kuanza kusema mitano mingine kwa Samia, wakati mitano ya awali ilipaswa kumalizika June 2026😂😂😂
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 2 сағат бұрын
Ndio inatakiwa.Mh. Samia amalize 2035
@NgacheMark
@NgacheMark 2 сағат бұрын
Nchi ya ajabu hii yaaani wajinga ni wengi sana eeeeh mungu baba kama basi Fanya taifa ili tufe sote kizaliwe kizazi kingine maana hawa sasa hawasaidiki
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 2 сағат бұрын
​@@NgacheMarkNgedere wewe tangulia wewe mwanaaharamu mkubwa wewe
@Sahlomon-jp4jr
@Sahlomon-jp4jr 2 сағат бұрын
​@@NgacheMarkutaumia sana mamamamamama'ko
@RamadhanMiyimba
@RamadhanMiyimba Сағат бұрын
​@@NgacheMarkkufa peke yako na familia yako mpumbavu mkubwa wewe
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 801 М.
Harmonize Ashushwa Jukwaani kwenye mkutano wa CCM Dodoma
3:04
Ophoro Tube
Рет қаралды 10 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН