SIMULIZI FUPI: KUPENDA KUBAYA; 1/3 By Ankojay

  Рет қаралды 29,909

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Kazala Ni Kijana Ambae Anajutia Kupenda, Hii ni baada ya kuingia katika mahusiano na Binti Suzy, Je Ni Yapi Yaliyomkuta basi karibu uweze kusikiliza

Пікірлер: 183
@pamellamigarusha7434
@pamellamigarusha7434 Жыл бұрын
Pole saana kazala wewe ni mwanaume waina gani toa ujinga kwa kichwa chako Bwana
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Inasikitisha na na kuchekesha
@TatyntihebuwayoUmmulawi
@TatyntihebuwayoUmmulawi 9 ай бұрын
Nihatari kweli wanawake mungu awe anatusame kbs,
@RoseWairimu-t7d
@RoseWairimu-t7d 7 ай бұрын
👍👍👍🌹🌹❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪 very peaceful Love 🎉🎉🎉
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c Жыл бұрын
Big up huyo muanaume Ana moyo😮😮😮
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Moyo wa ajabu sana
@SalomeMeshackMabilika
@SalomeMeshackMabilika Жыл бұрын
Watu tunawatafta wanaume weny mapenz ya kwel kwa tochi lakn suzy hajal jaman
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Yaaan,mim naumia
@fjggoxfh9502
@fjggoxfh9502 Жыл бұрын
Jaman. Simuliz hii inamafunzo tena.makali kwawale wanandoa ANKOJAY ansante saan
@FatmaNassor-ml4mm
@FatmaNassor-ml4mm 3 ай бұрын
Jaman wk wzr wngn wp amsahau t suzan
@KuvunaGonda-l4f
@KuvunaGonda-l4f 7 ай бұрын
Hii nimoto 🎉
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Moto wa mawe au wa chuma
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Huyu John ni mshenzi jamani,anaiba mke wa mwenzie halafu anamwita fala!Mungu anamuona
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Mmmmhhhh
@nurafedrick378
@nurafedrick378 Жыл бұрын
Nacheka 😂😂😂kama maxuri vile eti nyoka wa plastck loo shikamoo mapenzi marahabaa kuumizwaa ndo mm niliamua hisia zangu nizihamishie kwa kazi ya yamwarabu kuosha ukuta na choo mana najua mwisho wamwezi napata riziki wanangu mapenzi niache mie..ogopa watu wapole hao ndowabayaa
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Saaana
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Jamani jamani jamani ,,unampata mwanaume anakupenda kwa dhati ya moyo wake alafu unadiriki kumsaliti kisa hana kipato ,,jua mungu ndio mgawa wa riziki ,,ipo siku yatakutokea puani kwani mwanaume anakutoa kwenye ndoa yako hawezi kukuowa kwa sababu anajua na yeye litamkuta kama lililomkuta mume mwenzie,,,wanawake tujifunze kuwa waaminifu kwa wenzetu😭😭😭😭WHAT A SAD STORY,,THANKS ANKOY JAY FOR EDUCATES US ,WE ARE APPRECIATE🙏🙏🙏🙏🙏MAY GOD BLESS YOU AND PROTECT YOU❤❤
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 Жыл бұрын
Ulimppa nafasi yakumtawala,kuhusu usalit,alikua hamkazi vivuri,Kwa Nini kama niwakati watendo mpaka mwanamke ndio aanze,
@sophiahassan-kn7ov
@sophiahassan-kn7ov Жыл бұрын
Mmmh 😢😢😢Anko j yaani ntk ,kuna time watamani hizi simulizi unafeel vibaya sana ,mmmh we Acha tu
@FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI
@FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI 11 ай бұрын
Hii kali
@linahmeena
@linahmeena Жыл бұрын
Hii mbona sio mpya anko nafikir ilisha postiwa kitambo Sana ila ni kule kwengine
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Labda zimefanana tu
@pilishazycounterog8200
@pilishazycounterog8200 11 ай бұрын
​@@ankojay_kwel hii mbn imepostiwa Ata mm nilishasikiliza ya mda
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Mara nyingi mmoja wa wanandoa akiwa mwaminifu mwingine anakuwa mbaya
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Jaman inaumiza saaana
@berthamarandu9577
@berthamarandu9577 Жыл бұрын
Mbona hii simulizi inakaa kufanana na yenye zimeshapita, achaniendelee kusikiliza
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Napenda kupendwa na mume wangu lkn kwa huyu kaka mateso anayoyapata kwa mkewe hapana jaman
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 9 ай бұрын
Hii story imenigusa kiasi kikubwa mungu atupe subra na moyo wenye kukinai tusiwe wenye usaliti😢😢😢
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Mhm?inaweza kutokea kama hivyo kweli kama kwa Kazara
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 9 ай бұрын
Wapo watu wanapitia hayo mimi mume wangu mke wake wa kwanza alikua akimfanyia ivyo km hiyo story mbaya zaidi Kazaa na watoto wa nje ya ndoa😢😢😢 Mungu atulinde kwa tamaa kwakweli
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Mmmh sijui kweli kwa kizazi hiki chetu
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Mhmm!Kazala!kweli kupenda kubaya
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Jaman hata kama hajasoma hata picha haoni??.
@jilanievans6876
@jilanievans6876 Жыл бұрын
Masala aliinamishwa
@Zakhas
@Zakhas 10 ай бұрын
Anko Jay the background music is tooo loud. Can you turn it down or off?
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Ubaki tu hivyo hivyo
@mushken65
@mushken65 Жыл бұрын
Somo kubwa. Lakini tuombe mungu tuwe na jicho la Tatu tuweze kuona michezo tunachezewa. Poa sana ankoJ 🇰🇪
@samsungoman5626
@samsungoman5626 Жыл бұрын
Ww baba zawadi ni mjinga wa mwisho
@Zakiya-z8c
@Zakiya-z8c 7 ай бұрын
Hapana mimi najiuliza hivi wanaume kama hawa bado wapo
@RehemasiryaKabahasha
@RehemasiryaKabahasha 3 ай бұрын
Wanawake tuko wengi basi usumbuliwe na mjinga mmoja mwenye hajielewi😢😢😢
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Du!Suzi ni kituko
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Mshenz wa tabia
@janetkazungu7795
@janetkazungu7795 Жыл бұрын
Wakwanza leo
@ThomsonYona-wn7fg
@ThomsonYona-wn7fg Жыл бұрын
Big up san Anko Jay🤛🔥🔥🔥
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Kajala hiyo sio ndoa ,mwanamke atakuua huyo,tena kifo kibaya saana
@RAMLATU-i3y
@RAMLATU-i3y 5 ай бұрын
Muke wa mtu mtamu hahaha kazala tafuta na wew mke wk jon iwe bwayi mbwayyy
@catherinekadima
@catherinekadima 11 ай бұрын
Hii simlizi inaumiza ndio maana nayachukia mapenzi na niko na amani zaidi yaani stress free
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Mmmmmhhh
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Wanawake ni kama weingi hizi poteza muda na moja
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 Жыл бұрын
Waiting to know what's inside the letter more love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ❤❤❤ big up Anko J
@linahmeena
@linahmeena Жыл бұрын
Aje mtu aseme yeye ni wakwanza nitamvunja mguu nasema
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂uuuuuuwiiiii
@anastaziasanga
@anastaziasanga Жыл бұрын
Asante Anko jay kwa furaha unayo tupa🙏🙏
@FunnyClownfish-uc6ye
@FunnyClownfish-uc6ye 6 ай бұрын
Anateseka kama hana wazazi kijana watu
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
😂😂😂😂 wanawake wengi wanaochepuka wana maneno yenye sukari kama Suzi
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Lakin ni tabia mbaaaya sana
@NeemaNeem-ex2oi
@NeemaNeem-ex2oi 5 ай бұрын
we suzi. wew utalaaniwa na mungu na malaika wake asant anko jy
@GisellKamikazi-hv1lj
@GisellKamikazi-hv1lj Жыл бұрын
Jaman jamani nasemaje nasemaje huu mwanaume alikuwa kam zuzu kweli
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
😂😂😂😂kupenda
@salmaedwin5641
@salmaedwin5641 Жыл бұрын
Mapenzi
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Mapenzi hayoooooo
@milhamariam7105
@milhamariam7105 Жыл бұрын
Wadau awawanaume wakokweri awo nimafunzo kwetu wa kongo wanakwambia we mario😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 Жыл бұрын
Waoh.....wakwanza..lets go.much love uncle from kenya🇰🇪🇰🇪
@alineumutoniwase9667
@alineumutoniwase9667 5 ай бұрын
Hivi hawa wanawume wangali au ni hadithi tu
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Aaaaah wapo kwenye hadithi tu
@zuenahz5514
@zuenahz5514 Жыл бұрын
sio kupenda kubaya ila umaskin mbaya
@tabiasalum3381
@tabiasalum3381 Жыл бұрын
Sana tu
@matibayajumah5327
@matibayajumah5327 3 ай бұрын
Siyo poa duwa tu
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Ningempata mwanamume wa kunipenda hivyo jaman ningemheshimu,ninyenyekee mpaka yey mwenyew anionee huruma
@RehemasiryaKabahasha
@RehemasiryaKabahasha 3 ай бұрын
😂😂😂
@RAMLATU-i3y
@RAMLATU-i3y 5 ай бұрын
Siyo mke huyo kadhala hilo danga
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Daaaaah
@victoriangasa
@victoriangasa 11 ай бұрын
Ahsanteee Anko J kwa simulizi nzuri ❤❤❤🎉🎉
@MaSI-p5o
@MaSI-p5o 3 күн бұрын
Yaani mwanaume gwege
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 Жыл бұрын
Mm namshukuru mungu nimevuta wanangu wote kwenye dini yangu Yani wanaamini dini yangu Mimi kama mama woyoooooo
@innocentnshimiye8468
@innocentnshimiye8468 9 ай бұрын
Ankojay hongera Sana tunakukubali Sana Uganda❤
@linahmeena
@linahmeena Жыл бұрын
Oooh kumbe me nimewah Leo
@Eshamwata_Christine
@Eshamwata_Christine Жыл бұрын
Anko vipi kuhusu rehema😢😢😢.....
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Inauzwa
@Eshamwata_Christine
@Eshamwata_Christine Жыл бұрын
@@ankojay_ inauzwa wapi basi
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
@@Eshamwata_Christine wasiliana nami kwa number +255684689541
@dashuushu6883
@dashuushu6883 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Dashuu umejifunza kitu hapo?
@linahmeena
@linahmeena Жыл бұрын
Thanks Anko J mavoice ubarikiwe sanaaa
@LizaLiza-v2m
@LizaLiza-v2m Жыл бұрын
Hongera anko jay
@josphinesagina6909
@josphinesagina6909 Жыл бұрын
Nitumie ya pili
@dalilaamiri
@dalilaamiri Жыл бұрын
Asantee ankojay kwa furha unytup Mungu akubirki uzd kutufrhsha zaidi ❤❤❤
@haleemahooir3009
@haleemahooir3009 11 күн бұрын
Hodi
@رحيمةتنزانيا
@رحيمةتنزانيا 7 ай бұрын
Ubalikiwe anko jy
@moajaki8566
@moajaki8566 Жыл бұрын
Nimefika
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Karibu
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Kinachonishangaza zaid huyu mama mkwe wa kajala hajui nyendo za binti yake kweli?
@speciozamikole2194
@speciozamikole2194 Жыл бұрын
Wazo la kuachana na mke wako hulitaki ivi una kasoro gani. Hii ni story na movie tu lkn Sasa hivi ni natoa machozi kwa sababu mimi ni mama Tena wa wavulana wengi kuliko wasichana ninaumwa sana km mzazi
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Inaumiza sana saaana
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Kupenda gani ya mateso hivyo????utumwa kbs
@LoveKanuya-mv2iw
@LoveKanuya-mv2iw Жыл бұрын
Asante kwa story anko
@RusyJackson
@RusyJackson 7 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Kupenda kubaya kweli kimemkuta nini na kapenda nini tunasikiliza ili tujifunze kitu tunainjoi na simulizi tamuu🥰🥰🥰🥰🥰
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Kuna mambo makubwa dear
@shanikiwele3111
@shanikiwele3111 Жыл бұрын
Ankooo morning
@racheluwda6552
@racheluwda6552 8 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@salmasulleykrl71
@salmasulleykrl71 Жыл бұрын
Ankojay wee kiboko kwakusimulia hongera sna kwa simulizi nzur tunakupenda sana ♥️🔥🔥🔥
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Saaaana
@mwajumasila9486
@mwajumasila9486 Жыл бұрын
Ubarikiwe Anko J
@joykatakana1099
@joykatakana1099 Жыл бұрын
Haki kupata mwanaume kama ww yaan mwanaume unampeleka vyenye unataka yaan ni kama TV 📺 unatumia remote
@FunnyClownfish-uc6ye
@FunnyClownfish-uc6ye 6 ай бұрын
Mama ake ndio. Walimpa kitu kijana watu
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Ni vibaya sana
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Mke atakutoa roho huyo🤔
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Nashangaa alivyong'ang'ana kumbeba
@saraasatenisanasimlizimixc9232
@saraasatenisanasimlizimixc9232 Жыл бұрын
Asate sana ako j
@elizabethfrank271
@elizabethfrank271 Жыл бұрын
Asanteeee anko jay kwa hii simulizi japo nimewahi kuisikiliza hapo nyuma kidogo 🤗🤗🤗🥰🥰
@maryworkman635
@maryworkman635 Жыл бұрын
Masini Kazala, Anko Jay hebu nitumiye namba za Kazala nimpigiye aje mimi ni mke muwaminifu tu hapa 😂😂😂, ndoa bila maombi sio rahisi kudumu ju shetani yuko kazi masa 24/7 ni lazima wake kwa waume kujuwa kuombeya ndowa zao bila MUNGU sio rahisi kudumu. Any way ni simulizi zuri sana Thank you Anko Jay 😉
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Upofu gani huo jaman
@marierosendayishimiye2920
@marierosendayishimiye2920 Жыл бұрын
naporekazara
@dashuushu6883
@dashuushu6883 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@judyauko8134
@judyauko8134 Жыл бұрын
Maskini Kazala....haya tupe uhondo sehemu ijayo 😢😢😢😢
@leahmajaliwa6575
@leahmajaliwa6575 Жыл бұрын
Mmmh hivi nyie mnalala humu? Ankojay mbona unanitisha? Kweli kupenda kubaya?
@marthasonia5005
@marthasonia5005 Жыл бұрын
🇨🇩😭
@shamimsakina
@shamimsakina Жыл бұрын
Thanks 🙏 anko J
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Ahsante Anko Jay
@alicelohrmann2917
@alicelohrmann2917 2 ай бұрын
Kweli yeye ni zuzu Sana 🥵🥵🥵🥵🥵
@linetnyairabu9493
@linetnyairabu9493 Жыл бұрын
we enjoy ur voice
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Wacha nisikilize kwanza nitarudi kucoment tena baadae,,ahsante sana Anko jay kwa kitu kipya😊😊
@MaryChido-kp9br
@MaryChido-kp9br Жыл бұрын
Kupenda huku hapana kwakweli unakuwa kama zuzu khaaa
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
😊😊😊
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Khaaaaah
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Namuonnea huruma kazala jaman
@ElizaSada
@ElizaSada 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@LissaBosh
@LissaBosh 2 ай бұрын
Amenaaa
@matibayajumah5327
@matibayajumah5327 3 ай бұрын
😅😅😅
@echawekab3796
@echawekab3796 Жыл бұрын
Huyu kazala fala kupenda gani uko
@ThomsonYona-wn7fg
@ThomsonYona-wn7fg Жыл бұрын
Hjawahi kupenda???🙂🙂
@satwanthoogan6429
@satwanthoogan6429 Жыл бұрын
Ila Kazala! Bonge la Boya!😁 ayo mapenzi mabaya Sanaaaa..😑
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
😂😂😂 mkipendwa, mnatuita maboya, sijui mnataka tuwe vipi
@satwanthoogan6429
@satwanthoogan6429 Жыл бұрын
@@ankojay_ Na sie wakati mwengine tunapenda,ila mwanamme anazinguwa!☹️
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Khaaaah,sijawahi ona,atakufa vibaya kwa mzigo wa moyo masikini
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
​@@ankojay_hiii ya huyiu kaka jaman huu ni upendo au mateso?
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
​@@satwanthoogan6429saaana
@mercymusundi8779
@mercymusundi8779 Жыл бұрын
On dot 🪑🪑🎧🎧🇸🇦🇸🇦
@ZinaTanzani
@ZinaTanzani Жыл бұрын
Mashallah anko j unatuondolea mawazo mana tuko mbali atuna ndugu uku ugaibuni tunafalijika sana Allah akubarik
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Amin
@isabellachizi4346
@isabellachizi4346 Жыл бұрын
Am here Anko to enjoy your voice 😂❤❤❤
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
Jmn mbona kuna wanawake wana Bahati hivyo alf wanachezea bahati yao namna hii?? mbona wengine hatukubahatika kama huyu kicheche maanani hapa anachezea shilingi chooni???kweli kupenda kubaya ila nampa heko huyu mwanaume maana alikuwa na upendo wa dhati
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Wenye upele hawapewi kucha
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
Upendo wa dhati lkn ni mateso makuuu
@annakinyi218
@annakinyi218 Жыл бұрын
Nimekungoja sana jay 🔥🔥
@nailamimi20
@nailamimi20 Жыл бұрын
Alaf mnarudia story jmn 😢
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Hapana
@nawmijdodk733
@nawmijdodk733 Жыл бұрын
Anko j mahela🙏🙏🙏🙏🙏
@AbduhKareem-hi7sg
@AbduhKareem-hi7sg Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 4 ай бұрын
🫀🫀unaounguza moyo
SIMULIZI FUPI: KUPENDA KUBAYA 2/3 By Ankojay
2:00:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 18 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 60 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 55 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 30 МЛН
WAIT FOR ME - SIMULIZI MPYA
2:13:12
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 28 М.
Rose and Ivan engagement party: MCHUMBA Series Story
0:35
PK Entertainment
Рет қаралды 6 М.
MY DREAM - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
3:06:25
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 64 М.
MR. LOVE - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
3:00:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 38 М.
SIMULIZI MPYA - BALAA LA MKE MDOGO
2:04:51
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 30 М.
Kimeumana: Breaking News from UDA party
12:52
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 10 М.
AGNESS: SIMULIZI TAMU YA SAUTI.
3:06:15
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 8 М.
WAIT FOR ME - PART 02 - SIMULIZI YA MAPENZI
2:05:04
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 14 М.
Black Wukong or is it?... #trollface #viral #shorts
0:12
Troll Reaper
Рет қаралды 19 МЛН
Black Wukong or is it?... #trollface #viral #shorts
0:12
Troll Reaper
Рет қаралды 19 МЛН
😨 Китаянка ИРИС пробует НАШУ ЕДУ @petya_english
0:46
Настя, это где?
Рет қаралды 9 МЛН
😂😂😂 #humor #прикол #юмор
0:22
trilimon
Рет қаралды 1,8 МЛН