Maisha yalikuwa magumu, miaka mitatu ilikuwa imepita tangu Gureni alipomuoa Caro, japokuwa kipindi wanaoana, Gureni alikuwa na maisha mazuri sana lakini ghafla baada ya ndoa, biashara zilianza kukwama na kushindwa kuzimudu.
Пікірлер: 154
@oman621910 ай бұрын
Wa kumi na 4 nàomba like zenu😂😂
@saumunyadzua10 ай бұрын
Leo wa 20 imejaribu🎉🎉🎉🎉 mama yangu basi hata kumi
@user-cr1nk1zc5s10 ай бұрын
Leo nimekua wa kwanza Naomba likes zenu na pia Asante sana anko J Mungu azidi kukubariki Kwa kila kitu
@rehemahassan48610 ай бұрын
Shukurani sana Ankoj kwa utamu wa mke mdogo
@sumeiyamaddy9510 ай бұрын
Kwa mm nashukru nimeolewa na mtu wa dini yngu tumelingana ki Imani lkn kua tofati Kii Imani mtihani wallah pia kubadil dini kisa mapenzi daaaah haya kila mtu na maisha yke
@ladyt147110 ай бұрын
Mwanaume haruhùsiwi ķubadili dini kisa mwanamke mwanaume ndio kichwa cha nyumba mamulaka yote hapa duniani Mungu aĺimpa mwanaume
@rizmwMwriz-mf2cu10 ай бұрын
Yaan unajua kutufuraisha aiseee👌👌ndo maana tunakupenda
@medinahsamita398110 ай бұрын
Siwezi ankojey
@hidayamanda-gk7nf10 ай бұрын
Siwez kwakwer mungu aniepushie
@miriamkanini980810 ай бұрын
Ndiyo naweza sivibaya kubadilisha dini
@aumuelly290910 ай бұрын
Siwezi kubadili kwaajili ya mke ila moyo
@lucykarii686010 ай бұрын
Mie siwezi badili dini kisha mapenzi
@AshaAbedi-nw9xd10 ай бұрын
Mungu nimmoja nakinachompeleka mtu peponi sio dini nimatendo yamtu kwaupande wangu mm nabadili tuuu🥰
@saraasatenisanasimlizimixc923210 ай бұрын
Asate sana ako Jay ubalikiwe sana
@JacklineWisiko-pi4xp10 ай бұрын
Mbona kinyerezi 😄😄
@shalunasor212310 ай бұрын
Anko j sisi tupo Burundi tunafatiliyaa 100 ya 100 kbs Mungu akulipa kwakila Kazim zako kbs
@fahmimohd26110 ай бұрын
Wakwanza msukuma ❤❤
@user-jl7ho8ih6h10 ай бұрын
Mm na amini Kila mja ana riziki zake hapa Dunia siezi badili dini kisa mapenzi ❤❤❤❤
@priscillahsirya654410 ай бұрын
Kabisaaaa
@samsungoman562610 ай бұрын
Kweli kabisa
@aishadotto36409 ай бұрын
Kabsaa
@salmasasha10 ай бұрын
Nmewahi leo,, anko jay asante❤❤❤
@agnesagnes528810 ай бұрын
Ubarikiwe xn ankoj ❤❤❤❤❤
@tabiasalum338110 ай бұрын
Kwa kwel watu noma
@FatakiFabien-co2qs10 ай бұрын
Dini siyo kitu ila mungu tu nimumoja siwezi badili dini kisa ma penzi Niki taka naweza badili
@anjelinandambuki-fi4ip10 ай бұрын
Wow ongera❤❤❤
@fatimafoaani226310 ай бұрын
Mimi ni mchaga damu siwezi abadani kabisa ata apa nilipo wananiimbia kila siku niwe mwislamu lakini siwezi I'm kkkt Lutheran church na naipenda dini yangu sana BWANA asifiwe kwa sana mungu akubariki sana anko Jay
@nyanjomjoseph518710 ай бұрын
Continue with that spirit my dear hata mimi siwezi badili dini yangu Christian forever
@fatimafoaani226310 ай бұрын
@@nyanjomjoseph5187 ok my dear friend tuko pamoja anko Jay family
@madagascar88739 ай бұрын
🙏 Amen
@RehemaSaid-ud2je10 ай бұрын
Jamn hiyo last bony ndo tunakutafta vp mi mmesha nitesa sana jamn
@user-qw7un1nf2f10 ай бұрын
Mashallah anko Jay wacha tuone uwo utamu wake mke mdogo
@binthassan919110 ай бұрын
Nienjoy kwanza 😊..nitarudi baadae kucomment
@jokhajj10 ай бұрын
Nimechelewa😂
@user-ch7rq7dt1v10 ай бұрын
Wanaume wengne hawajitambui kwakwel
@shadyasalum19210 ай бұрын
Kumbeeeee teyari haya tujuwe UTAMU WA MKE MDOGO upi hup UTAMU🌹🥰
@elizabethlucky820010 ай бұрын
Asante sana Ankojay tayari nimeipokea simulizi kuinjoy
@omanoman870010 ай бұрын
❤❤❤ tuko pamoja anko jay
@bettywayera85019 ай бұрын
Siwezi fanya hivo .kubadili dini aaaah no no .simuliz nzuri ankoj.
@RaifaMbarouk-wx1kq9 ай бұрын
Jaman sisi wake wadogo tunamitihan mungu atusaidiya 🤲🤲🤲
@YassinKatukwa-cn3kv10 ай бұрын
Nipeni maua yangu mapema tu🎉🎉
@jojojeje897810 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@saumunyadzua10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@user-qz3gs3dd2j10 ай бұрын
Nyie nimewahi kidogo😊❤
@user-wq7nl3pc1j10 ай бұрын
❤😂❤😂🎉😂🎉😂🎉😂🎉😂❤asante sana anko jay kwasimulizi nzuri kabisa, masha allah Mungu akubariki😊
@ashaabdalla92410 ай бұрын
Nice one Shukran Anko J ❤❤❤
@judyauko813410 ай бұрын
Mtu kuamuwa kubadilisha dini inatakiwa aamue kutoka moyoni wala si kumfurahisha mwenzi wake
@hawasaid528610 ай бұрын
siwezi
@yusufuheri652410 ай бұрын
asante sana my brother from another mother
@violetmulya10 ай бұрын
Top twenty 😢😢
@nadhifamohammed77499 ай бұрын
Asant anko j tupo 🙏
@girukwishakaclaudine537410 ай бұрын
Yan ukweli nimechelea lakini ❤ naomba like Zen ata 1🙏🌹💯 ahsante Ankojay acha ni 🪑🎧
@Salma-zi6hn10 ай бұрын
Kaz nzur
@stellahrobert510 ай бұрын
Tuko pamoja
@christinekanza539410 ай бұрын
Ankojay ❤❤❤❤
@EsherMacha10 ай бұрын
Wakwnz like Jamn🎉🎉🎉
@user-on6xx8xw4h10 ай бұрын
❤❤❤❤
@zenaathumani814410 ай бұрын
Asante sanaa ankojay kwa simulizi hii moto moto kweli ❤️❤️❤️❤️😂😂
@aminakhamis50789 ай бұрын
Wallaaah sijamuliza hii story ila Misha ya Maira ni kama mm na ex wagu watu wegine unapo kuwa nao wana barak zao na wakiodok huodoka na barak zao
@aminanuranassor66010 ай бұрын
Very stor so much ❤❤
@user-pj2zs2dh7i10 ай бұрын
❤utamu wa muke mudogo
@PiliKhamis-mb6ty10 ай бұрын
Etiee nipo pia jamani
@AmaniNangerembe8 ай бұрын
Ankojey naipenda sana iyo good
@speciozamikole21942 ай бұрын
Naomba tumalizie na binti Mina 😊
@NawMi121-lj8cf10 ай бұрын
Shukran we❤❤❤
@rizmwMwriz-mf2cu10 ай бұрын
Waah Ma Shaa Allah Anko J ubariiwe na baraka tele ×2 kutoka kwa Allah
@tabiasalum338110 ай бұрын
Kwa kwel mm siwezi jamani
@Pretty227509 ай бұрын
😂😂😂 jibu langu ni hapana mm mkristo mpaka end mapenzi ni ya hapa Duniani tu mbinguni ni mapenzi ya muumba tu ❤❤
@user-yg9et7mp7i10 ай бұрын
Anko jay Allah ni moja lakini kwa upande wangu mie l am a Muslim in blood l can change my dini because of marriage nooo hiyo nimekata
@shamilakalinga43710 ай бұрын
daaah bora hata umeleta simulizi maana nilikuwa nazurula tu huko mitandaon mpaka nimeenda kuangukia kwa nabii 😂😂😂
@avelinabaluhya280410 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂pole
@Salma-zi6hn10 ай бұрын
Haha 😄 pole my
@shantellekwamboka74449 ай бұрын
N hivo huyo mke mdg kuliendaje
@user-rg4zo1nr7u10 ай бұрын
Waooo
@Sabinajosephndunguru-xq9lc10 ай бұрын
Wow ❤❤❤❤❤❤
@RoseMbuya-cn5dg5 ай бұрын
Jay tengeneza simulizi yaalvnlisa part14 pooooh wanaume na tamaa😂😂😂😂
@user-gu8wr1jn7q10 ай бұрын
Mimi siwez kubadili dini kisa mtu
@Jasmeni-ns9dg10 ай бұрын
Ahaa mm ilinishida nikakushanya virango na kuondoka kurudi kwetu 😂😂😂😂
@YassinKatukwa-cn3kv10 ай бұрын
Good 💪
@samsungoman562610 ай бұрын
Mm siwazi kubadili dini kwa sababu ya mapenzi anko
@RahelIbrahim-id2li3 ай бұрын
Nasikiliza kwanza halafu nitarud kucoment maana coment sizielewi
@aumuelly290910 ай бұрын
Mke baadae
@sumeiyamaddy9510 ай бұрын
Jamani wa5 c haba
@user-pb1ug4zr1j10 ай бұрын
Kwaio hapa mnatufundisha nn waume zetu wakitaka kuowa twende kwa mganga
@wilkisteradhiambo30729 ай бұрын
Wanaume kama G ni wazimu kweli,hongera Caro kwa kujiamini, nasema Asante Anko Jey na AB
@josephphilipo911410 ай бұрын
Ancko Unajua chukuwa Maua yako
@beatricendarurinze666510 ай бұрын
Mini siwezi
@user-yc2ez3kt1m4 ай бұрын
gureni ni mjinga Sana
@rizmwMwriz-mf2cu10 ай бұрын
Hahaha kwaiyo Maira lkuwa unashtuka na kuitwa ilo jina bibi
@yusrambodze380410 ай бұрын
Kheeeh my zangu jamani si kwa kunitangulia huko alafu anko jay tunakutafuta kupitia nn kwa hio simulizi ya Tonny jamani❤
@mariamathuman645010 ай бұрын
❤
@rosalienahimana628710 ай бұрын
Inatokana na vile ariishi na yule mwanamke
@NawMi121-lj8cf10 ай бұрын
Mapenzi bwana Anko Jay yananguvu sana 😂😂😂😂😂
@zariminihucnabby63189 ай бұрын
❤❤❤❤🥰🤭
@zawadtwahirusuleyman139210 ай бұрын
Tuko na utamu wa mke mdogo
@eliakusiluka239010 ай бұрын
Hatari
@dianandabirorere636510 ай бұрын
❤❤❤
@aminasaidi267310 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@omerrashed908010 ай бұрын
❤❤❤🎉
@jamilarimo554610 ай бұрын
Hii sauti ya mbuu yasumbua
@heriethmozes81519 ай бұрын
❤❤❤Anko j sikwaraha hizi unazotupa no stres
@magrethjohn492910 ай бұрын
🙏❤
@medinahsamita39819 ай бұрын
Asante sana ankojey kwa simulizi nzuri
@suzanachambo420610 ай бұрын
Safi
@FatmaMohamed-ej4mf9 ай бұрын
Mashallah kwa simulizi zako
@GraceBakari-wo8ly10 ай бұрын
Asante anko
@vickysawalla2829 ай бұрын
Ankojey naomba kupata hitimisho la simulizi ya LAST BORN