MTOTO WA DOCTOR: part 03 ( MWISHO )

  Рет қаралды 62,421

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Пікірлер: 331
@CeciliaChuwa-q2k
@CeciliaChuwa-q2k Жыл бұрын
Jamani yatima umeniliza sana mungu awasimamie yatima wote❤
@fatmahmkuzi
@fatmahmkuzi Жыл бұрын
Ameen yauma nikifikiria nami wazazi sina na wandongo zangu maisha tunao pifia naumiya ile baya yani tangu niaze kusikiliza hii sitoria naumia ile bay😭😭😭😭😭
@DalinaSamweli-ji3fc
@DalinaSamweli-ji3fc Жыл бұрын
Jaman nmechelewa lakn tunanaendelea anko jay king of udabw mungu akup miaka buku uzid kutupa roho unapenda ❤️♥️♥️♥️♥️
@Rummy4871
@Rummy4871 Жыл бұрын
Mapenz ni ujinga hamna lawama hata ukicheat mana hujui utampenda nani na mda gan Kama mm nilivyozama kwenye penz la Ankojay Kwa sauti yake tu siku haipit bila kuisikia nipen huruma zenu❤❤❤
@jinaanhkareem3650
@jinaanhkareem3650 3 ай бұрын
😂😂😂Tuko wengi dear huruma zetu zinahitajika 😂😂😂
@loycemahenzo3986
@loycemahenzo3986 Жыл бұрын
😅😅ww msimulize utakuja kuniua huku😅aki maneno mazur😍😍
@elinakithi6978
@elinakithi6978 Жыл бұрын
Hongereni sana🎉🎉japo machozi yamedondoka ila nimepata faraja nawapenda bure tuu😅😅😅😅
@jacklinekwamboka6245
@jacklinekwamboka6245 Жыл бұрын
Asant sana ajanikea sasa kutoka sauidi nakupata aswaaa❤❤❤
@mildredalivitsa1186
@mildredalivitsa1186 Жыл бұрын
Pole sana miramy God 🙏 we bless you 🙏👏💚 so much for your good simulizi lenye mafunzo❤❤ from Kenya 😊😂😢
@nellylewa4457
@nellylewa4457 Жыл бұрын
Ak simboeki na hizo story za ankojay nazipenda sana ❤❤❤
@everlynesafari1527
@everlynesafari1527 Жыл бұрын
Anyone jay utaniuwa na presur siku moja khaaa sio kwa hali 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka kama mwehu aki wee kiboko penda sana ww
@percyerick7254
@percyerick7254 Жыл бұрын
Ahsante sana Anko Jay Mungu akuzidishie afya
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 11 ай бұрын
Daaah Anko umetukosha kweli kweli 😂😂😂😂😂 hapo mwisho yani tulidhani inaendelea kumbe minongono ndio inaishia we kiboko 😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@janethdaud201
@janethdaud201 Жыл бұрын
Lisa hii simulizi inamafunzo ,andaa nyingine
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i Ай бұрын
hii simulizi ni ya kufundisha na kuelimishaa ingawa inaumiza ❤❤❤
@florencekanze
@florencekanze Жыл бұрын
Mila😂😂😂😂wanifurahisha sana yanimtumzima kumbe hamna nguvu kabebwa kamfuko😅😅😅😅❤ mila
@rashidkhamis9159
@rashidkhamis9159 Жыл бұрын
Dah miraa bhana
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Ama kweli ukimuombea mwenzio baya jua kua litakurudia mwenyewe,,ni sawa na kumnyooshea mwenzio kidole na ilhali vidole vinne vyote vinakuelekea wewe mwenyewe..Ahsante msimuliaji maarufu Mr.Anko jay 😊na mwandishi mahiri LISSA MWALLA ❤
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Mwenye roho mbaya habadiliki,isipokuwa hali tu ndiyo inambadilisha kwa muda
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
@@avelinabaluhya2804 yeah 🤔
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
💯% true
@AbdulHqim27Juma
@AbdulHqim27Juma Жыл бұрын
​❤❤
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Nimechungulia sana jamani nimechelewa haya tunaendelea kuinjoi na simulizi tamuu na kujifunza vingi sana 🥰🥰🥰
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Hogera sana kwa kufata mahamusi wa. Moyo wako kuolewa ni mipako ya mungu si mwanadamu. Biblia hunasema huta wacha baba na mama yako hutapatana na mumeo na mutakuwa kitu kimoja si waweli tana. Kizazi ni cha mungu husilipe mbaya kwa mbaya.
@MaryamMasudi-n3v
@MaryamMasudi-n3v Жыл бұрын
😂kwahiyo ankojay umeamuwa kunivunja mbavu kwenye miro gross na pita kwa mara ya kwanza😂 daaaah weeeh Hatari ❤❤❤
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Waooooh anko Jay ahxante mtt mzur ❤🙏👌
@fatumamuhoma5902
@fatumamuhoma5902 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ tunakupenda
@zuhuranadahhinda1366
@zuhuranadahhinda1366 Жыл бұрын
Asanteee saaana anko j simulizi nzuri saaaana
@EditaJoseph-zo9dv
@EditaJoseph-zo9dv Жыл бұрын
Ankojay na mwalla so mwaaah mwaaah 🥰 kwa sehemu ya tatu
@maryrungwe
@maryrungwe Жыл бұрын
Aisee anko unatukomoa sokwakutochafuria tuchupi 😂😂😂 asante kwa simulizi nzuri
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@MalaikaCloud
@MalaikaCloud 24 күн бұрын
😂😂😮
@oman6219
@oman6219 Жыл бұрын
Haaaaaa haaaaaa nimecheka Sana eti Sura yako utatia mfukoni😂😂
@jennytugara9470
@jennytugara9470 Жыл бұрын
Amelia Mmhh shida za kujitakia uongo mwanzo mwisho ndio maana uliandamwa na machungu ya dunia hii.
@JawahirMadar
@JawahirMadar Жыл бұрын
Kweli huna fahamu binti wazazi wako wazungu watakushangaa kweli huna msimamo aibu 😢
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Aibu sana
@ShukuruSudi-uh5mx
@ShukuruSudi-uh5mx 10 ай бұрын
Kweri maisha yanabadilika . Na malipo hapa hapa Dunia
@ShakiraMtiga
@ShakiraMtiga 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Stry nzuri san
@floranahashon4180
@floranahashon4180 Жыл бұрын
Aisee pole sana mila kwa mapito uliyopitia
@fatmahmkuzi
@fatmahmkuzi Жыл бұрын
Hapo kwa kunyonya baba waniacha hoi mana we so. Powa. 😂😂😂😂🥰🥰
@AnneChari-ld4pl
@AnneChari-ld4pl Жыл бұрын
Nilikuwa nasubiria kwa hamu kazi nzuri sana anko jay and lisa mwala ❤u
@oman6219
@oman6219 Жыл бұрын
Mh anko j nakupata vizuri nikO omani hongera Sana
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
Shukran my love Lissa mwala na steling wetu Jay mbarikiwe sana tunawapenda sanaa 💞🥰ila jmn mwambieni Mila apunguze atakinaiwa soon na huyo Peter
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Mmanuel ni katoto hatari😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 ай бұрын
Nilisema. Jensen. Huyo. Ndoowako mpe vyotee❤❤🎉🎉 mmmmm. Kwaraha. Zenuu
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Hi Lissa Mwalla?Leo nakuwa wa1 Acha 🪑🎧naomba link zenu❤ Ahsante AnkoJay?
@kurusumunassoro1657
@kurusumunassoro1657 Жыл бұрын
Nimechelewa 😢anko j Love asante kutufuza
@dianabrownie1829
@dianabrownie1829 Жыл бұрын
Nyiee jmn ❤❤❤❤
@slyla2565
@slyla2565 Жыл бұрын
Jaman asante ank J maana nilikuwa boadi mno
@anastaziasanga
@anastaziasanga Жыл бұрын
Eti kama mfuko jamani mbavu zangu 😂😂😂😂
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Asante Anko ❤ Hongera Lissa wee noma hakuna story mbaya niliyoyosikiliza kutoka kwako Zote ni motoooo 🎉
@LeylaSaid-s2q
@LeylaSaid-s2q 11 ай бұрын
Dah jaman hawandugu tusiwaendekeze mpaka wakatujua hadindan imeniliza nyie
@MwanamkuuOmar-n5r
@MwanamkuuOmar-n5r 10 ай бұрын
Umechemsha sn ulikosea sn n pia unge kaa n kulea mwanayo lkn ukaona wanaume ndo wamana kaaa ulee mwanyo
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Kaniudhi sana
@ZuhuraHassan-i2i
@ZuhuraHassan-i2i Жыл бұрын
Simulizi nzuri sana jamani
@victoriajulius5239
@victoriajulius5239 Жыл бұрын
Mashoga Kama zawad tujuane yan Shem ukitupa pesa Kama mligombana lazm jimbo lirudi 😂😂
@asuminahassani6913
@asuminahassani6913 Жыл бұрын
😂😂😂
@Emmy20233
@Emmy20233 Жыл бұрын
😂😂😂anko j nimekuvulia kofia😂😂😂😂😂😂
@mwapendosultan887
@mwapendosultan887 Жыл бұрын
wa Kwanza Leo asante anko jay wangu 😊
@janetkazungu7795
@janetkazungu7795 Жыл бұрын
Bonge la simulizi ❤❤❤
@MwanamkuuOmar-n5r
@MwanamkuuOmar-n5r 10 ай бұрын
Mila ulichemsha dada angu wanaume wawill kweli
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Amechemsha mpaka vikaungua
@moonekeenei9783
@moonekeenei9783 Жыл бұрын
Asante sana Anko jay wee kiboko n simulizi zina mafunzo sana, wakati w MUNGU ukifika hkna mwenye anaweza zuia
@CeciliaChuwa-q2k
@CeciliaChuwa-q2k Жыл бұрын
Anko j kwakweli unaifundisha mambo mengi na pia unanitoa upweke sana.
@SalhiaSaid-i1h
@SalhiaSaid-i1h Жыл бұрын
Kaziii nzur anko j
@NoelahShadrack
@NoelahShadrack 6 күн бұрын
Jamani hii simulizi imejua kuniliza😅
@TinahAdhiambo
@TinahAdhiambo Жыл бұрын
Thanks nmekesha nkigoja hii part 🙏
@shantellekwamboka7444
@shantellekwamboka7444 Жыл бұрын
Oyeeeee wa kwanza basi tuendeee
@RosemaryChemli
@RosemaryChemli 6 ай бұрын
kiukweli uyu dada anajua kutunga simulizi zake ninzuri ukiweka nasauti ya ankojei ndio inanoga sanaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@lulusenzia4807
@lulusenzia4807 Жыл бұрын
Simulizi nzuri sana
@monicashame2433
@monicashame2433 Жыл бұрын
WOW so much good ♥️♥️♥️🌹💯
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Mhmm!miziki mzito huo Milla,utajibeba na huo uhuru usio na mipaka 😮😮😮😮
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Tena sijui atajibeba na mbeleko gani
@aumuelly2909
@aumuelly2909 Жыл бұрын
Ahsante Anko Jay na Lisa mwalla ❤❤❤
@aumuelly2909
@aumuelly2909 Жыл бұрын
Bye bye
@RadegundaChambi-ec7yw
@RadegundaChambi-ec7yw 10 ай бұрын
Wewe Dada ni malata mno
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Saaana
@AminaHusseni-yd7nm
@AminaHusseni-yd7nm Жыл бұрын
Leo wakwanza🤸🤸🤸
@متجرجهاد-ذ3ث
@متجرجهاد-ذ3ث Жыл бұрын
Everything goes round comes round let the name of the LORD be glorified
@angelantinda1009
@angelantinda1009 Жыл бұрын
Weeweeeee iyo tamu jamni uwii
@HappyMshanga-xx1ob
@HappyMshanga-xx1ob Жыл бұрын
Lisssa ni mtu mpuuzi sanaa 😂😂eti niwasimulie tulivyo tianaa😂😂😂
@lissamwalla501
@lissamwalla501 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@EditaJoseph-zo9dv
@EditaJoseph-zo9dv Жыл бұрын
Mpuuzi sanaa anaonekana yupo charming sana
@HappyMshanga-xx1ob
@HappyMshanga-xx1ob Жыл бұрын
@@lissamwalla501 yaani nakupentaa 😍😍🤣
@DeboraMwasweba-ij4qf
@DeboraMwasweba-ij4qf Жыл бұрын
❤❤❤❣️❣️❣️mpewe ulinzi hakika tuna enjoy mbarikiwe
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 ай бұрын
Ukipata. Mba. Hujuwi. Ni. Peter. Au. Ya. Jensen. Dada. Weee. Huwezekan❤❤
@nasrarajabu4260
@nasrarajabu4260 Жыл бұрын
Asante anko j ❤❤❤maana kila mda nachungulia umu
@fjggoxfh9502
@fjggoxfh9502 Жыл бұрын
Duuuuu kumb kipenz cet ametukumbuka asant anko kwakutujali
@ayishaayi5205
@ayishaayi5205 Жыл бұрын
Anko sikamooo wallah unavituko ww kaka 😊
@lenardmlunga7353
@lenardmlunga7353 Жыл бұрын
Lissa mwalla 😂kwereee
@norahwilliam8116
@norahwilliam8116 Жыл бұрын
Woyooo, mmb nkama hya ssa❤ Lissa Mwalla n Anko Jay congrats
@baireshehe1414
@baireshehe1414 Жыл бұрын
Anko jay asante kwa burudani zako yani watuburudish kwa simulizi zako 😊😅😊
@patriciakyalo3454
@patriciakyalo3454 Жыл бұрын
Ankol jay nko mataani natamani kujua kama alipata muaji wa familia yake????
@salmahasani5169
@salmahasani5169 Жыл бұрын
Mambo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@MaryamMasudi-n3v
@MaryamMasudi-n3v Жыл бұрын
Iv humu Kuna MTU Amelia kwenye hii simuliz kama mim daaaah me huwaga Ninamachoz Kam Maji vile😭😭 daaaah asant ankojay bila kukusahau Lissa mwala❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Eldaheliya-zl5to
@Eldaheliya-zl5to Жыл бұрын
we me ndo nimelia hadi kwikwii ila nmecheka kweli anko janaongea kichina
@farimbuya7568
@farimbuya7568 Жыл бұрын
Mi nimelia jamani Mira kajua kuniliza mweh
@ZeynepZyna
@ZeynepZyna Жыл бұрын
Pacha wako mimi apa nimeyamimina atari
@Halima-x9x
@Halima-x9x 11 ай бұрын
Yap mm nimelia mbaya yni imeniuzunisha juu mm sina baba ela mma niko nae
@stephenmwema3245
@stephenmwema3245 11 ай бұрын
Hata usiulize
@jacklineMwawasi-u3e
@jacklineMwawasi-u3e 3 ай бұрын
😂😂😂😂hapo kwa kubebws na mgongoni kichwa kikiwa cha ning'inia😂😂😂😂
@atusajilemahenge2328
@atusajilemahenge2328 Жыл бұрын
Hongera sana lisa mwala bila kukusahau anko jei❤❤❤❤❤❤❤❤
@bettywayera8501
@bettywayera8501 Жыл бұрын
Kweli ankoj,,,unanipa nyeke
@dinahwafula2538
@dinahwafula2538 Жыл бұрын
Mira acha kuwa kama fisi utapasuka mbona usiwe na msimamo😅unatuaibisha
@MsChocoFlava
@MsChocoFlava Жыл бұрын
Anko Jay Hivi sisi wengine tulikosea wapi kupata wanaume mazuzu 😂😂 ambao Hata hawajui kumsemesha mwanamke
@everlynesafari1527
@everlynesafari1527 Жыл бұрын
Loll😂😂😂😂😂
@khadijahamisi6558
@khadijahamisi6558 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anko j tuache jmn utakuja kutuuwa na kucheka😂😂😂😂mbavu zangu mimi😂😂😂😂😂
@EsterKamese
@EsterKamese 10 ай бұрын
Nice simlzi jmniii nimejifunzaa vituu vingiii na nimefraiiiii piah ubariwee uncle j🎉🎉
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Manuel uuuuiii hapo kwa mimba Ahaaa ndo ukome sasa
@MaryamMasudi-n3v
@MaryamMasudi-n3v Жыл бұрын
Nyie ankojay alivosema mnajuwa Nani me nakasema pita Kwa Sauti 😂😂Ulivyosema nikachek to
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
😀😀😀😀
@sarahhagai8191
@sarahhagai8191 Жыл бұрын
No 1❤❤❤
@rizkimw1301
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Jaman Anko J ii smlz ina uzuni na ina furaisha yaan inachekesha adi mbac🤣🤣
@beatricesemiti5997
@beatricesemiti5997 Жыл бұрын
Ubaya hauna kwao
@Fazel-t3c
@Fazel-t3c Ай бұрын
😂😂😂😂 We anko Jay acha ujinga Kuna wa2 tupo Omani ujuwe afu mizagamuano hiyo tutakuita uje uko. 😊😊
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 ай бұрын
Nawewe. Unaumalaya. Hutongozwi. Mwrambili. Loo. Sijapenda.
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Kuna watu wanaabudu fedha kuliko Mungu,tamaa mbaya jamani,huondoa utu nakubakia kama mnyama kabisa daaa😮😮😮😮
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 10 ай бұрын
Yaan,kutokana na mapito aliyopitia sikudhan kama atajirahisi hivyo
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 10 ай бұрын
B
@mishelygodlisten1171
@mishelygodlisten1171 Жыл бұрын
Kam kawaida yangu mwendo wa kuchelew tyuuu
@LovelyneMinayo
@LovelyneMinayo 10 ай бұрын
Simulizi nzuri sana ❤
@NdayishimiyeLadislas-jv9ee
@NdayishimiyeLadislas-jv9ee Жыл бұрын
Tunayipenda.simurizi.zako.siko.nasawuti.zuri.tumezifuza.tu
@nismaali2982
@nismaali2982 Жыл бұрын
Simuliz nzuri lakin matusi mengi hadi wasikilizaji tunaona aibu🤭🤭
@akothsewe734
@akothsewe734 Жыл бұрын
Anko J, ni matumaini yangu ya kuwa hujaongea kiingereza hapa... Nilikwambia hiyo lugha haikufai kamwe yakhe ... uwaachie wakenya😂😂😂
@everlynesafari1527
@everlynesafari1527 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
Asante sana anko j nimewahi mapema kweupe😊😊😊😊
@nellylewa4457
@nellylewa4457 10 ай бұрын
Waaaaa inafurahisha sana ❤❤❤❤
@godsfavour5665
@godsfavour5665 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂wewe msimlizi utakuja kututia kwa dhambi huku nje😂😂😂😂uliamua tu tujitengenezee mbingu yetu sawa tu...mapenzi tamu jamaniiii
@hdhjdh775
@hdhjdh775 10 ай бұрын
❤❤❤ daaah malipo nihapa hapa
Непосредственно Каха: сумка
0:53
К-Media
Рет қаралды 12 МЛН
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
MTOTO WA DOCTOR: part 02 By Ankojay
3:00:38
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 52 М.
SIMULIZI MPYA: MISS ABBY part 01, By Ankojay
2:00:07
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 35 М.
KABURI LA NATASHA:SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
3:58:29
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 15 М.
BINTI ANGEL - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
2:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 60 М.
SIMULIZI MPYA - BINTI CINDERELLA
3:08:43
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 93 М.
ERICKA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
4:16:09
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 35 М.
SIMULIZI FUPI: MTOTO WA DOCTOR, By Ankojay
3:15:33
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 84 М.
SIMULIZI MPYA - MUUZA KUKU
3:30:14
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 98 М.
SIMULIZI MPYA: MY SUGAR, By Ankojay
3:08:04
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 71 М.
Бұлбұлды таңдаған Ержігіт ханзада!
1:4:32
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 420 М.
Oh no😱 EPIC Kissy Missy broke her teeth SITUATION by COOL TOOL
0:39
Арсен & Мереке | 1-серия
20:51
Арс & Мер
Рет қаралды 65 М.