SIMULIZI FUPI: MTOTO WA DOCTOR, By Ankojay

  Рет қаралды 79,891

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Kwa majina naitwa milagros Manuel, ni mtoto wa pili katika familia ya mzee Manuel. Iliokua na watoto watatu wa kwanza akiwa kakangu Michael kisha mm na wa mwisho akiwa ni mdogo wangu moreen.

Пікірлер: 385
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Mtoto Wa Doctor Part 02 Bonyeza Hapa kzbin.info/www/bejne/jZvFepR6Z9WBe5o
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c Жыл бұрын
Asante nimepata
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c Жыл бұрын
Asante nimepata
@SophiatembaTemba
@SophiatembaTemba 10 ай бұрын
Pt 2 mtoto wa doctor
@FatmahJailani
@FatmahJailani 9 ай бұрын
😊
@SifaMukundabandi
@SifaMukundabandi 7 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭 iyi simulizi inaniliza saaana
@mishymorgani5828
@mishymorgani5828 Жыл бұрын
Ila ndugu!!!!!! Nyie, ujue katika haya maisha tunatafuta ela kwajasho Sana lakini kuisha zipata ndomaadui wanajitokeza, katika hili umakinibunaitajika Sana,
@hanifahanifa1010
@hanifahanifa1010 Жыл бұрын
Sana my
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 Жыл бұрын
Huyu mrembo hakusikia hisia tofauti but ukimpenda mtu huaga unamfill pole ❤❤
@ZakhiaLevocatus
@ZakhiaLevocatus Жыл бұрын
Daaah pole sana my dear wapndwa 2waombe wazazi wetu waishi maisha mareef pole sana simlz yako imenigusa sana shukuln sana ankojay kuifkisha simliz hii kwe2 2mejifunza vingi namna gani yakuishi nawatoto we2,
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Saaana saaana
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 ANKOJAY wetu na venye anajua kujisifia....kizungu jamani 😂😂😂😂 you made the simulizo worth listening...nakupenda bure❤❤❤❤
@elizabethkigava7453
@elizabethkigava7453 Жыл бұрын
Twashukuru kwa simuliz nzuri anko j MUNGU aendelee kukujalia uzima uendelee kutufunza
@uwimanaantoinette6417
@uwimanaantoinette6417 Жыл бұрын
Asante sana anko jay kwa simulizi nzuri inahuzunisha mara unatuchekesha 🥰🥰
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante sana
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
​@@ankojay_umejaliwa kipaji cha ajabu
@dinahwafula2538
@dinahwafula2538 Жыл бұрын
Huyo babako mdogo anausika mbona ana panic hivo anajishuku pumbavu zake mali inafanya umuue nduguyo kwa kweli dunia haina huruma😢
@alliymohamed6018
@alliymohamed6018 6 ай бұрын
Hongera sana ni simulizi nzuri sanaaaa🌹🌹🌹🌹🌹🙏
@ashaalii4484
@ashaalii4484 Жыл бұрын
Waaau anko j nice story naipenda tuuù sana
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 Жыл бұрын
Itabidi nilale nikingoja simulizi..na bila shaka ya lisa mwalla na msimulizi Ankojay they never fail ....comment baadaye
@dianadiana2958
@dianadiana2958 Жыл бұрын
Simulizi nzuri anko ila umekawia sanaa part two hadi tutaisahau
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Diana , Part 02 ipo, ila inauzwa
@IreneFuraha-y6z
@IreneFuraha-y6z Жыл бұрын
Asante Sana madam Lisa pamoja na anko jay kwakutuburudisha
@ataamansi8941
@ataamansi8941 Жыл бұрын
Mmm kumbe mtu nyumba yao ni ya nne tokea hapo, bila hofu ameruhusu mtu aingie ndani wafanye mapenzi gizani, hivi hata sauti hakuijua, pia huyo msomi kwao ni karibu tu nyumba ya nne,huyo yatima kwa mateso anayopitia alipata wapi ujasiri wa kumwingiza usiku mwanaume ,je sauti haijui,** haya tuendelee kusubiri kifuaatacho Tujue, maana sielewi kama vipengele viwili hivi 🧏katika hii simulizi, kwa vile ndiye mtunzi bora sana kwangu ngoja niwe na subira sehemu ijayo huenda 🤷🤌
@MaliamAntony
@MaliamAntony 5 ай бұрын
Eeeh Mungu wanabariki mama na baba yangu maisha marefu na hata wazazi wawatu wengine maana bila hii dunia ukiishi una amani eeeh Mungu sikia maombi yangu
@BiubwaMo
@BiubwaMo Жыл бұрын
Mtihni hii simulizi inahuzunisha ya rabbi nipe umri mrefu pamoja na afya niweze kuwalea wanangu amiin amiin Allahumma amiin
@moonekeenei9783
@moonekeenei9783 Жыл бұрын
Anko jay simulizi moto sana,but part 2
@elizabethfrank271
@elizabethfrank271 Жыл бұрын
Hatimae imeanza jamn kaaaaa😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌tuliisubiri sana asanteeee anko jay ❤️❤️🥰
@StellaMalando
@StellaMalando Жыл бұрын
Jamn nimelia sana imenkumbusha mbali sana ..
@ritaisaya1424
@ritaisaya1424 Жыл бұрын
Asante sana Anko Jay, nitarudi badae 🏃
@muhammedsalum726
@muhammedsalum726 5 ай бұрын
😭😭😭😭😭 daaaah inauzunisha Sana Sana . M/mungu atulinde waja wakee
@Shuu.A
@Shuu.A Жыл бұрын
Shukran anko J pat 2 pls ❤
@rizkimw1301
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Pole dda kwa maumivu unayo pitia
@fawzialmaashari9857
@fawzialmaashari9857 Жыл бұрын
Naomba sehemu ya pili ya mtoto wa docta
@MudySalah
@MudySalah 6 ай бұрын
Me wa mwisho nasubili mpaka zitoke zote ndo nasikilixa staki story nusu Asante sana ankojay
@carolinemwakagali3909
@carolinemwakagali3909 Жыл бұрын
Aaaaaa anko j hicho kiingereza tumepigwa 😂😂😂😂😂😂
@zenahasan7603
@zenahasan7603 Ай бұрын
HAYA. JAMANI. HAWA. WANAUMEE. MMM. MASKINI. BIKRAYAKE. KAITOWA. NA. KUMKASHIFUU. JUUU. HEEE😊😊😊 MUNGU. ZTAKULIPIA. 😊😊😊
@RebekaSanga-p9p
@RebekaSanga-p9p Ай бұрын
Mungu mpe mama yangu kipenzi maisha mazuri
@zenahasan7603
@zenahasan7603 Ай бұрын
Mila. Huyo ginsen. Ni. Wako. Usiogope kulanae. Sahani. Moja. 🎉❤
@PurityOmari-s8k
@PurityOmari-s8k 15 күн бұрын
Hapo Kwa kingereza anko unatulisha matango pori😅😅😅
@Sumaiya-h7m1p
@Sumaiya-h7m1p 3 ай бұрын
Eeemwenyezi Mungu wape faraja mayatima wote ,😢😢😢😢😢
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Mbona story inaniusu mimi
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Pole dear kama ulipitia hayo
@hafsasaid9666
@hafsasaid9666 14 күн бұрын
Mungu jaalia kher yatima wote wanaopitia magum
@jacklynmwarabu8211
@jacklynmwarabu8211 9 ай бұрын
Ankojay una sauti nzur san
@zenahasan7603
@zenahasan7603 Ай бұрын
Inasikitisha. Ewemola. Mnusuru. Huyo. Yatima😊😊😊
@mumjay911
@mumjay911 Жыл бұрын
😂😂😂 nilijua tu ikifika kujisifu anko we wakwamza😂😂ana sura kaa anko jay
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Anavyojua kujisifia jmn
@demetrebyabure6257
@demetrebyabure6257 2 ай бұрын
😢😢 ank ume niliza kweli umenikumbusha mengi😢 utazani ni mimi unae ongele😢😢
@ashajumashaban2071
@ashajumashaban2071 Жыл бұрын
Sehemu ya pili jamn Jay ❤❤❤
@MwanamkuuOmar-n5r
@MwanamkuuOmar-n5r 7 ай бұрын
Huyu mama ana roho mbaya sana natamani niko hapo nipige pige huyo mama n mnyama
@vailethmwakipesile6698
@vailethmwakipesile6698 5 ай бұрын
Ank ubalikiwe san unasauti tamu Sana sio tu unajusifia ila saut Yako ni tamu tunakupebda bule
@NeemakenethwmalukoKenethmwaluk
@NeemakenethwmalukoKenethmwaluk 5 ай бұрын
Simulizi.nzuri.jamani❤❤❤❤🎉
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 Жыл бұрын
Mungu tupe umri mrefu tuweze kulea watoto wetu wenyewe😢
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 11 ай бұрын
Amiina🤲
@ChristinaAlex-oi3yd
@ChristinaAlex-oi3yd 8 ай бұрын
Hongera sana. Ankoj penda sana weeeeee
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Habaliako Lissa Mwalla?kwakweli asante.
@khadijaaliissa1205
@khadijaaliissa1205 Жыл бұрын
Nimeipenda san hadi nanikuta kila nikiamk naseach part 2 😂
@JumaMpemba-r8z
@JumaMpemba-r8z 6 ай бұрын
Astteee kwa simuliz nzuriiii
@clinton4286
@clinton4286 Жыл бұрын
Simulizi ya uzuni sana😢😢😢
@MsChocoFlava
@MsChocoFlava Жыл бұрын
Eti chupi imekomaa nimecheka halafu niko supermarket wazungu waneniangalia kama vile niko zezeta 😂😂😂
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
😀😄😄😄
@ZainabuSamodo
@ZainabuSamodo Жыл бұрын
😂😂😂
@MsChocoFlava
@MsChocoFlava Жыл бұрын
@@ZainabuSamodo 😂😂😂😂
@laweluagustino6703
@laweluagustino6703 Жыл бұрын
😍😍😍😍
@ZakhiaLevocatus
@ZakhiaLevocatus Жыл бұрын
Ankojay hy englsh niya nichi gan mbona kama ume2uuz jaman😂😂 uuuh😮 haya bn
@hdhjdh775
@hdhjdh775 7 ай бұрын
😢😢😢 nimelia San hii simulizi jamn daaah 😭
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Duuuh,simulizi ina maumivu sana jaman
@zenahasan7603
@zenahasan7603 Ай бұрын
Akojei. Msaidie. Hu.yo Mila
@nindymuruga4798
@nindymuruga4798 Жыл бұрын
😂😂😂😂eti shimo gumu kha!!
@madreedsulaiman401
@madreedsulaiman401 Жыл бұрын
Ango j humekalisha sana sehemu ya pili
@LonahKeziah
@LonahKeziah Жыл бұрын
Nice❤❤
@EditaJoseph-zo9dv
@EditaJoseph-zo9dv Жыл бұрын
Mwelezo lini ankojay 😢😢
@EditaJoseph-zo9dv
@EditaJoseph-zo9dv Жыл бұрын
Mwendelezo sorry
@HawaMilanzi-o8l
@HawaMilanzi-o8l 7 ай бұрын
Yan ukiikaza iyo saut namkumbuka edi jaman
@cimpayeriziki6680
@cimpayeriziki6680 Жыл бұрын
Tupe sehemu yapili
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Dah! Imezidi sasa
@MariamWilliam-qx9ge
@MariamWilliam-qx9ge Жыл бұрын
Vipi sehem ya pili bado
@EmmaKagesh
@EmmaKagesh 2 ай бұрын
Wee anko umeniliza😢
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Nisikilize kitu kipya 😊
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 2:36:20 kizungu hicho😅😅😊
@SheladSalum
@SheladSalum 8 ай бұрын
Nimeipnd lkn ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@nsabimanaesperance600
@nsabimanaesperance600 Жыл бұрын
Vip party 2 mbona inakawa Ankojay? Nachoka subra inanishinda
@rosalienahimana8425
@rosalienahimana8425 Жыл бұрын
Leta party 2 anko Jay please
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
Maskini mtt wa doctor mbona ndo shida zimemuanzia tena maana hapo kitu kimesha nasa
@MwanamkuuOmar-n5r
@MwanamkuuOmar-n5r 7 ай бұрын
Bado ujasema hicho kingereza
@mwajuirene7210
@mwajuirene7210 Жыл бұрын
Wow simulizi nzuri
@ZainabuSamodo
@ZainabuSamodo Жыл бұрын
Sana ❤❤❤
@aminahassan3588
@aminahassan3588 Жыл бұрын
Lisa lisa mtunzi mahir kabisa na msimuliaji wake masta mwenyewe
@dianahelisha2785
@dianahelisha2785 Жыл бұрын
jmn....part 11.. anko plzzz.😥😕😥😥😥
@oman6219
@oman6219 Жыл бұрын
Aloo tutake radhi wazanzibari hatujaregea
@mwajumamahatanemisana190
@mwajumamahatanemisana190 11 ай бұрын
Ichi kizung cha anko jay jmn😅😅😅 hii imeenda
@jackieswalehe7290
@jackieswalehe7290 Жыл бұрын
Mbona part 2 mi sioni jamni
@laymallya178
@laymallya178 Жыл бұрын
Mwendelezo lini anko
@ashamenza2212
@ashamenza2212 Жыл бұрын
Mm hua nabakia kucheka tuu yaani Lissa na ankojay huu sio utani Kama naangalia movie vile
@Grace-xh6zq
@Grace-xh6zq Жыл бұрын
❤❤❤❤
@ivonaadiventina7990
@ivonaadiventina7990 Жыл бұрын
Ank jj ivi hii simulizi ina seemu ya pili mana nimetafta ila sijaipata
@AliBadi-p4i
@AliBadi-p4i 11 ай бұрын
Dah nimelia jamn😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@sadikituji-rd5od
@sadikituji-rd5od Жыл бұрын
Sawa Asante
@MmmZzz-zj4cf
@MmmZzz-zj4cf Жыл бұрын
Waniuwa anko na kiingereza
@fentafesh9790
@fentafesh9790 9 ай бұрын
❤❤❤💯
@ghanimajongo7817
@ghanimajongo7817 Жыл бұрын
Asant ya 2 ip wap
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Du,mbona majanga😮😮😮
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Majanga tena majanga tena
@kurusumunassoro1657
@kurusumunassoro1657 Жыл бұрын
Mh lakini na ww umedorora sana miaka kumi 15 una wezatoroka kabisa unatafuta kazi mitaani huko pole sana lakini
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
Mm naona kama huyo baba mdogo anahusika na hicho kifo yeye na huyo dada ake
@nismaali2982
@nismaali2982 Жыл бұрын
Yarrab wajalie wazazi wangu maisha marefu 😥😥 ama kweli mapenz ya kwel n ya wazazi pekee 😭😭🙏🙏
@furahafuraha9760
@furahafuraha9760 8 ай бұрын
❤❤❤
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
M,mungu akikuondolea hiki anakupa kile Utapata tabu sana sana lkn kwa uwezo wa mungu utakuwa sawa
@ladyt1471
@ladyt1471 Жыл бұрын
Jamani simulizi inahuzunisha sana
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Saaana jamn
@anastaziasanga
@anastaziasanga Жыл бұрын
Asante Anko jay na madame Lissa kwa mambo mazuri mnayotupa 🙏🙏🙏
@carolinemwakagali3909
@carolinemwakagali3909 Жыл бұрын
Hivi kuna shepu ya kuombea vocha cku hizi 😂😂😂
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
😁😁😁
@richiefortune3363
@richiefortune3363 Жыл бұрын
Ningeuuuaaaaa baba mdogo kavu kweli
@dayanaamoit6951
@dayanaamoit6951 Жыл бұрын
Jamaniiii patamu apooooo, eeeh mwendelezo jamani😢😢
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Jensen ataamini kwa kumpima mimba inamuda gani
@lulusenzia4807
@lulusenzia4807 Жыл бұрын
Kuna wanaume Wana maneno mazuri jamani
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 7 ай бұрын
Na kwa dunia yetu ya sasa ni wa kutafuta kwa darubini,,,maana usaliti ni mwingi,unafiki kwa sana
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
😢😢😢popote mahali yatima wapo mungu awafungulie neema yake
@maryammaryam5503
@maryammaryam5503 Жыл бұрын
🙏🙏😭
@deogratuskakuru
@deogratuskakuru Жыл бұрын
Simulizi za anko j zinanitoa machozi Sana maana hata mm napitia magum Sana kwahyo nikisikiliza nafarijika Sana naona Kama yangu afadhali kidogo
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
@@deogratuskakuru believe in God coz he is everything to whom is depending on him he never fails us I feel pain for dear but every time every moment God is in control 🙏🙏🙏
@violetmulya
@violetmulya Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰
@sososonia1956
@sososonia1956 Жыл бұрын
Amiin 🙏🤲😭
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 Жыл бұрын
Akojay hebu rudiya tena hiyo sentence ya kizungu mana imenikosha sna 😂😂😂❤❤❤ napend sn simulizi mm kwa kweli
MTOTO WA DOCTOR: part 02 By Ankojay
3:00:38
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 49 М.
SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA. APPLE
2:32:04
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 18 М.
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 9 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,9 МЛН
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
NERIA: SIMULIZI FUPI
3:07:59
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 106 М.
MTOTO WA MCHUNGAJI. PART 01.
1:03:37
simulizi za motto
Рет қаралды 9 М.
MTOTO WA DOCTOR: part 03 ( MWISHO )
3:05:19
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 58 М.
SIMULIZI MPYA: SISTER GRETA By Ankojay
2:23:55
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 33 М.
EDNA PART 64 |ROMA AJISHUSHA KWA EDNA | NAIRA WA ATHENA KUJISOGEZA KWA ROMA
2:46:07
DADA ROSE | SIMULIZI FUPI
1:57:05
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 28 М.
BIKIRA YA MGONJWA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI
1:18:02
Simulizi Mix
Рет қаралды 26 М.
SIMULIZI YA MAPENZI - BUSU LA SHEMEJI
3:08:15
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 51 М.
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 9 МЛН