SASHA - [ PART 03 ]

  Рет қаралды 30,136

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Mimi nikatoka zangu kwa G nikaenda kwa rafiki zangu, niliwakuta basi tukaagiza vinywaji huku tunajadili biashara zetu.

Пікірлер: 300
@ankojay_
@ankojay_ 3 ай бұрын
PART 04 HII HAPA ISIKILIZE kzbin.info/www/bejne/oXOWY5uLhbeZqKcsi=YXTw7v50oNcdztZl
@BraydenLyimo
@BraydenLyimo 3 ай бұрын
wow`asantekwakazizur
@masonalronaldo3043
@masonalronaldo3043 Ай бұрын
Ila anko jay bwana et 😮😮 unaweza kakaa nashetan ndani bila kujua kabisa hii simulizi nirikuwa naipuzia kumbe nzuri hv atari
@rebeccazagabe
@rebeccazagabe 3 ай бұрын
aisée Mungu wa kwetu sote 🙏 asante mungu kwaku tupa tena nafasi kama hii kusikiliza simulizi kwa njioni ya leo 🤲
@YashAbduh
@YashAbduh 3 ай бұрын
Hakikaa uko sahii
@Suburo767
@Suburo767 3 ай бұрын
Ww unae soma comment hii mungu akufungilie milango ya rizkii,akupe na afya njema❤....asante anko j kwa mwendezo 😊
@nismaali2982
@nismaali2982 3 ай бұрын
Amiin🤲🤲
@LydiaJoseph-st4sg
@LydiaJoseph-st4sg 3 ай бұрын
Amen 🙏
@Bintiali-kg3xe
@Bintiali-kg3xe 3 ай бұрын
Aaamin
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 3 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@NsimireMurumbi
@NsimireMurumbi 3 ай бұрын
Mungu wawapi wewe akupe Riziki, akose haiko wa mbinguni. Riziki ngani Mungu akupe wakati ulisha musha hivo, jina lake haliandikwi kwa herufi ndongo. Mungu nimubwa haupashwi kuwa na andika jina lake hivo.
@halimandele-n6u
@halimandele-n6u 3 ай бұрын
jamani mi sikua na amani kisa sasha ank jay asant sana na pia nakupenda sana ♥️♥️♥️
@NoelaDonald
@NoelaDonald 3 ай бұрын
Aaaahweeee umeweza ankooo💪🏻😂 hatimae nauli imepatikana tunakupenda sana anko wetu ❤
@aumuelly2909
@aumuelly2909 3 ай бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤usijali michomo sote tunachomeka
@usterbae
@usterbae 3 ай бұрын
Ahsante ankojay may God bless you 🙏❤❤
@EsteriaMahimbo
@EsteriaMahimbo 3 ай бұрын
Mm wa kwanza jamani leo🎉❤❤
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 3 ай бұрын
Asante sana ankojy kwa mwendelezo wa simulizi hii bomba kweli kweli 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 3 ай бұрын
Aisee simulizi hii inasisimua kweli jamani yaani huyu Sasha yupo kama jini khaaah 😮😮😮
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 3 ай бұрын
Asnte sana ankojay nikuombe urudi dar utupe simulizi kila siku mbili mbili mana daaaah haya mambo ya simulizi za usiku mm sijazoweya kabisa🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂enjoy from kenya 🇰🇪
@RahmahMasaood-pb1wm
@RahmahMasaood-pb1wm 3 ай бұрын
Ila watuu 😂😂😂 sio mnawah... enewei ngoja tuskizee😂❤
@JacquelineClement-c9d
@JacquelineClement-c9d 3 ай бұрын
Wakwanza leo asantee anko jay❤❤
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 3 ай бұрын
Mambo ni moto kwakweli anko jay hongera sana Leo umetufurahisha tunakupenda acha twendeleye team riza tunasonga mbele usiku mnono ❤❤❤❤
@FatmaHassankhamisi
@FatmaHassankhamisi 3 ай бұрын
Asante anko anko jay naona mambo moto Hadi ulimi unafuraha yakusimulia 🔥🔥🔥🎧🎧🎧🪑🪑
@judikadzo8712
@judikadzo8712 3 ай бұрын
Thanks ankojay hatimae Leo nimekuwa wa pili ❤❤
@ReginaBenjamin-ij2ec
@ReginaBenjamin-ij2ec 3 ай бұрын
Waooooh Asante mungu kwa kutukutanisha Tena apa anko tuko pamoj
@LizaLiza-v2m
@LizaLiza-v2m 3 ай бұрын
Wa 41 mm ndio shabiki no 1 wa Lisamwalaaaaa Lisa wangu pekeangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤umechapia Leo Anko jay 😂😂ila kwakuchapiatu ankoy jay🇴🇲🇴🇲
@Saida-tv2vj
@Saida-tv2vj 3 ай бұрын
Wakwanzaa jmn mbn sipati like za kutosha wadau 🎉🎉
@halimahemed8389
@halimahemed8389 3 ай бұрын
Ahsante Anko🎉🎉🎉mzigo mtamu sana uslaze damu anko tupe sehemu ya nne tusipolee❤❤❤❤
@jamilarimo5546
@jamilarimo5546 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉maua yako anko kwa kujizatiti ili tufurahi
@sephrinewarenga2745
@sephrinewarenga2745 3 ай бұрын
Kazi nzuri kaka,much love from Kenya,
@Lilian-k4s
@Lilian-k4s 3 ай бұрын
Kazi nzuri bro jukua maua yako 🎉🎉🎉🎉
@marryofficial9143
@marryofficial9143 3 ай бұрын
Tusikanyaganee tuu kwaio leo hakuna kulala jmn asantee ankoo❤kwajili yetuu
@marryofficial9143
@marryofficial9143 3 ай бұрын
Yaan hii simulizi sjui ni bint yupi mwenye k mbaya maan wotee k zao ni tamuu 😂😂
@aishawhite1107
@aishawhite1107 3 ай бұрын
Familia ya Anko J wetu nawapenda wote 🥂🥂♥️kazi iendelee mitano tena kwa Anko J Mavoice 👏👏👏❣️
@hellenwanjiku9891
@hellenwanjiku9891 3 ай бұрын
herii kukesha haba belele ya ankojeii weee sibebeshi jicho🎉zidisheni like zenyuu haba
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 3 ай бұрын
❤❤Mh wandau nani alimsi binti Sasha like apa tujuwane, ankojy umekaa sana uko umezoea kingoni Swahili Iko chenga wewe😂 shangaa! Ucherewe ndio Naingia🙄🪑🎧🏃
@soniakadir6959
@soniakadir6959 3 ай бұрын
Wow wakwanza leooo like zenu jomon
@HawaSweedy
@HawaSweedy 3 ай бұрын
𝐍𝐨 𝐨𝐧𝐞 😂𝐦𝐛𝐨𝐧𝐚 𝐛𝐢𝐧𝐭𝐢 𝐬𝐚𝐬𝐚😂😂
@HappyBeltod
@HappyBeltod 3 ай бұрын
Dakika moja coment 20 Kaz nzuri anko wadau naomba like
@Aminaibrahim-d2w
@Aminaibrahim-d2w 3 ай бұрын
Anko jay Mungu akubaliki nakipaji chako mwenzio sjalala nahyi simulizi from oman jamani kesho mikazi hku nawaza Binti Sasha Asante Kaka jay
@IshimweSpes
@IshimweSpes 3 ай бұрын
Utamu ulioje namariza part 2 sasa ivii naona part 3 mwaa kwako ishawaitokeya kama imewahi tokeya gonga like plz❤❤❤
@user-zn3si4xu3nsuabira
@user-zn3si4xu3nsuabira 3 ай бұрын
Nime like naomba likeyako dear
@IshimweSpes
@IshimweSpes 3 ай бұрын
@@user-zn3si4xu3nsuabira nimekupa dear ucijali
@binthassan9191
@binthassan9191 3 ай бұрын
Hakianani vile ,lissa Mwala ❤ unazikonga nyoyo zetu😂
@wardashekaoneka1676
@wardashekaoneka1676 3 ай бұрын
Asante anko j ❤❤ vile nimetoka mbioo😂😂 bada ya kuona anko j simulizi imeshuka kwenye ckrin😂😂
@RehemasiryaKabahasha
@RehemasiryaKabahasha 3 ай бұрын
Huyu sasha hana mimba, kuna kitu anatafuta kwa hii familia😢😢
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 3 ай бұрын
Yaan michezo na kama hawana ushrka na huyo mkwewe cjui yaan mkwe anawapangiaje kusafsha mwaneno bla maelewano.
@Josephinemasila
@Josephinemasila 3 ай бұрын
Kazi nzuri bro,God bless u anko jay
@VanessaJoshua-y7y
@VanessaJoshua-y7y 3 ай бұрын
❤❤❤❤ anko jay😅😅 roho juu wemgine mmh we love you
@Shadia544
@Shadia544 3 ай бұрын
Haya jamaniii BINTI SASHA jamaniii tunaendelea pale tulipo ishia ✌️nilikuwa subili hapa 😂😂Ila simulizi 😂
@salmaebrahim2058
@salmaebrahim2058 3 ай бұрын
Kwaivyo jamani sasha na Sara ni baba mmoja tumbo tofauti daaa jamani ww Sasha ww ni noma 😂😂
@MarieNgabo
@MarieNgabo 3 ай бұрын
Atimaye anko jey atubanii tena afazali wadungu zangu nipeni ata like moja nisi liye😂😂
@samsungoman5626
@samsungoman5626 3 ай бұрын
Asante sana anko kwa kazi zako nzuri tuna enjoy
@KasmatKiupa
@KasmatKiupa 3 ай бұрын
Waoooooh jamn anko jey asant san 🥰🥰🥰🥰
@saudamwakunemwa3856
@saudamwakunemwa3856 3 ай бұрын
🎉🎉🎉 shukrn anco j kwa burudan
@furahaamos4297
@furahaamos4297 3 ай бұрын
🎉🎉leo mm ndiyo kwa kwanza ❤❤❤❤
@Habibi-l5b
@Habibi-l5b 3 ай бұрын
May this kind of relationship never locate me..goosebumps wueh
@TumainOmar
@TumainOmar 3 ай бұрын
Yule kaka yake na Riza nishamuelewa 😮😮😮😮
@Amina0098-i5t
@Amina0098-i5t 3 ай бұрын
Umeona hee
@linetkhavugwi209
@linetkhavugwi209 3 ай бұрын
Mimi ni shabiki nko Lebanon..tunaomba mtuombee tu kukue na Amani, ndio tupate cha kulisha watoto ❤
@muhitekaallysalam9061
@muhitekaallysalam9061 3 ай бұрын
Tuna waombea sana mungu azidi kuwa rinda
@GdHc-ct3dh
@GdHc-ct3dh 3 ай бұрын
Jamn unaweza kuona umewah kumbe upo mwisho kabisa😂 ira ankojay Asante sana unatupotezea mawazo tm fulus
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 3 ай бұрын
Nice story tamu hadi hara pongezi nyote anko jay pamoja na dar Lisa kwa kazi nzuri be blessed all ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@everlinekenga437
@everlinekenga437 3 ай бұрын
Sasha na baba mkwe wngu hapo nahisi kunakitu ❤❤❤❤❤❤
@khadijahamisi6558
@khadijahamisi6558 3 ай бұрын
Simulizi ni tamu🥰👌🔥asantee lissa mwala na anko j nawapenda❤❤❤🥰😍
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i 3 ай бұрын
nimewaiiii jamaaniiiiii ❤❤❤
@Jasmeni-ns9dg
@Jasmeni-ns9dg 3 ай бұрын
Yule mdada wa kutoa like mdogo mdogo naingia kuwapa like zenu ❤🎉
@aishawhite1107
@aishawhite1107 3 ай бұрын
Mimi ndiye yule binti shabiki wa kila mwandishi kikumbwa iwe tamu na isiwe ndefu Sana a kama Lisa 😅Tatu iwe na voice ya Anko J 👊👊🔥🔥
@MargaretMuguti
@MargaretMuguti 3 ай бұрын
Hakuna Kulala🥳🥳🥳 anko jay twakuenzi
@AshourAli-d3e
@AshourAli-d3e 3 ай бұрын
Hay jamani team strong mukuje hukuuuu Anko j anataka tusilal.
@KaviraDivine
@KaviraDivine 3 ай бұрын
Siku hizi nina furaha sana sab simulizi zinakuja kwaku tu surpris
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 3 ай бұрын
Sasha bikra ilikuwa ya mchongo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 3 ай бұрын
Nyie Sasha nihatal kulikohal yenyewe🤣🤣
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 3 ай бұрын
@@TeklaNdekeja hadi mimi mwenyewe namuogopa alafu kwanini huyu giana asibadilishe namba ya simu kwasababu nahisi wanaifatilia
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 3 ай бұрын
​@@lilianeerica3318 alafu ndo naianza ila huyo Sasha sio wakawaida
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 3 ай бұрын
Wakishuwa amekutana na wajiji😃
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 3 ай бұрын
Don Robinson anajuwana Sasha anaeshezewa hapo ni lizza Denis shushushuu wa mzee pamoja Sasha😅😅
@JaneSanga-b5n
@JaneSanga-b5n 3 ай бұрын
Jamn naomben lik nimewahiiiiiii msinionee gel jamn Kam kwerii tunampenda ank
@puritykananu9920
@puritykananu9920 3 ай бұрын
Ankoy jamani,c unajua kusimulia daaah ❤❤
@Catherinemichael1995
@Catherinemichael1995 3 ай бұрын
Mpaka hapa Sasha ni mpelelezi Na nahis wazazi wa Riza pia wanajihusisha na mtandao wa madawa ya kulevya hii simuliz ni nzuri mnoo lisa mwalla anaweza kutuletea simuliz za kijasusi
@stacyjames6676
@stacyjames6676 3 ай бұрын
story nzuri hii mashallah 😂😂😂 Ila binti Shasha bana
@LydiaJoseph-st4sg
@LydiaJoseph-st4sg 3 ай бұрын
Huyu sasha nijasusi wakigaidi sio bule 😅
@RahmahMasaood-pb1wm
@RahmahMasaood-pb1wm 3 ай бұрын
😂😂😂
@ManisaboSifa
@ManisaboSifa 3 ай бұрын
Nijasusi kweli ila analengo baya😂😂😂😂
@DaimaYusufu
@DaimaYusufu 3 ай бұрын
Jamani wadau wezangu mnajitaidi sana kuwai aise ongereni sana kwa jitiyada zenu ya kuwai kumsikiliza ankojoy namimi nipo jamani naombeni like zenu
@zaitunrashid287
@zaitunrashid287 3 ай бұрын
heee jmn mnalala humu❤❤❤❤
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 3 ай бұрын
Hay ngoja 2one yann kama co jini bhac n matapel wakuflc kama hakuna yote hayo bhac kuna kisas kat ya wazaz
@mozabayabanda4248
@mozabayabanda4248 3 ай бұрын
Anko watu wako atulali kwelikweli ❤❤❤❤❤❤❤
@husnamwinyi8295
@husnamwinyi8295 3 ай бұрын
Woow wakwanza wap like zenu team fulus 🇶🇦🇰🇪
@asharonga6660
@asharonga6660 3 ай бұрын
Watu wanawai😂❤
@daphnelovely7280
@daphnelovely7280 3 ай бұрын
Wa mwisho jamani naombeni like zangu
@hdhjdh775
@hdhjdh775 3 ай бұрын
Ila hii simulizi hataree 😂😂🤣❤❤❤❤❤
@Hubby71
@Hubby71 3 ай бұрын
Wakwanza leo dah 😢🎉❤
@AzizaRashidy
@AzizaRashidy 3 ай бұрын
Namimi Leo mewai jmn nipen like zangu❤
@user-zn3si4xu3nsuabira
@user-zn3si4xu3nsuabira 3 ай бұрын
Naomba like leo nimekuwa wa kuanza ❤❤
@RukiaIma
@RukiaIma 3 ай бұрын
Shukurn Ankojey wetu forever ❤❤
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
Mh,wapelelezi wawili kila mtu anafuatilia mwenzie,du,ngoja tuone mwisho wake,safari hii Lissa Mwalla na Ankojay mtatushikisha roho hadi zipae juu,juu kabisa 😅😅😅
@MoshiMoshi-qy8dq
@MoshiMoshi-qy8dq 3 ай бұрын
Yaan rizza hata chakula hapikiwagwi na sasha alaf anammwagia misifa kibao😅😅😅😅
@OlivaMlewa
@OlivaMlewa 3 ай бұрын
Mmmh anko wewe kwa kuchapia ni balaaaaa😂😂😂😂😂😂
@OlivaMlewa
@OlivaMlewa 3 ай бұрын
Mmmh huyo Sasha siyo Bure tumuombee lize jaman please
@ndikumanaannaa5259
@ndikumanaannaa5259 3 ай бұрын
wa kwanza naomba like zenu wapenzi❤❤❤
@godsfavour5665
@godsfavour5665 3 ай бұрын
Wuueeeeeeh unakumbuka ndugu yake mkubwa akimwambia kuwa huyu sasha si mtu mzuri.ukajam naye sasa sijui utajinasuaje kutoka kwa mikono za sasha na sahizi anasema ana mimba
@FunnyClownfish-uc6ye
@FunnyClownfish-uc6ye 3 ай бұрын
MKUBWA AKILIONA ILI LAZIMA UJICHUNGUZE😂😂
@FatumaKombo-gs7kn
@FatumaKombo-gs7kn 3 ай бұрын
Waoh!!hatimae
@hidayacharles7646
@hidayacharles7646 Ай бұрын
Mbali na watu ku comment Asante anko jay na kuomba likes za comment zao nilitamani wakoment kuhusu story na maudhui yake it would have been great
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 3 ай бұрын
Uuuuiiiimbone iyi Simulizi inatisha nashakiya uyu Sasha nijini?? Waze watwambiya kuwa uyaone kunamusani ayimba mutaowa tamajini njomana muwowe mweye anatamburika mwemuangariaga uzuli🔥🔥
@مريمكينيا-ش8ح
@مريمكينيا-ش8ح 3 ай бұрын
Asante ankoj kwa simuliz nzur
@godsfavour5665
@godsfavour5665 3 ай бұрын
😢😢😢😢😢huyu mwanamke can lie for Africa cheiiii adi mimi nimemuogopa
@NeemaGeorge-pz7cy
@NeemaGeorge-pz7cy 3 ай бұрын
🎉🎉Mauwa yako anko Jay ❤
@AishaKhamiss-hg5xl
@AishaKhamiss-hg5xl 3 ай бұрын
Duuuuh nyie watu mnakesha youtube au😢 like zenu wapendwa❤
@fatumahamedi4467
@fatumahamedi4467 3 ай бұрын
Asante anko kwaleta sasha
@DorceAndrew-r7i
@DorceAndrew-r7i 3 ай бұрын
Anko j asantee kwa sehemu ya tatu
@DorceAndrew-r7i
@DorceAndrew-r7i 3 ай бұрын
Ni naombeni like ata tano
@LydiaJoseph-st4sg
@LydiaJoseph-st4sg 3 ай бұрын
Hii sula ya sasha nimeanza kuichukia talatibu talatibu walahi😅 maana sio poa
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 3 ай бұрын
Wacha nikae nisikilize lakini huyu biti shasha🤣 mh nizaid ya jambazi konkod sijamwelewa vizuli msomi so musomi jini siye, lizza umeyakanyaga ungejuwa ukomae na demi😢
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
Mh,kwakweli hii ni ngumu kumeza,sijui na wazazi wa Riza wanahusika ngoja tusikilizie tujue
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 3 ай бұрын
@@avelinabaluhya2804 amuhii Lisa amejipanga Sana 😅
@tufaamzee2738
@tufaamzee2738 3 ай бұрын
Jmn nimechelewa 😢ila nitakuja kukoment nikimaliza kuckiliza inshllah
@ManisaboSifa
@ManisaboSifa 3 ай бұрын
Mimi ni megika ongera 🎉🎉🎉🎉
@NancyOman-t2q
@NancyOman-t2q 3 ай бұрын
Asante anko ila daah unatueka Sana skuizi paka twaboeka
@primmaria
@primmaria 3 ай бұрын
Nimechelew lkn sio san asant anko j wet nakupend na wana simulizi❤❤❤comment msininyime
@neargirl73
@neargirl73 3 ай бұрын
Wew leo nimekua wa kwanzaa
@roselambert6700
@roselambert6700 3 ай бұрын
Haya Bwana wewe usiku huu ngoja tupate cha kulalia
@Hubby71
@Hubby71 3 ай бұрын
Naomba like zangu leo jamani 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@LadyzuuOdozuuh
@LadyzuuOdozuuh 3 ай бұрын
Nice❤❤❤mauwa yako Anko jay🎉
@susansamira8137
@susansamira8137 3 ай бұрын
Mambo poa Ankojay shukran kwa mwendelezo ❤❤❤❤
SASHA - [ PART 04 ]
3:00:45
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 34 М.
THE DIARY: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
2:01:04
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 5 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
NAMPENDA BOSS: SIMULIZI FUPI YA SAUTI
1:01:46
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 22 М.
SASHA - [ PART 01 ]
3:00:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 48 М.
KIKULACHO... RAFIKI YAKO NDIO ADUI YAKO.
5:40:51
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 56 М.
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
ESTHER: SIMULIZI FUPI YA SAUTI
2:03:32
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 20 М.
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:45:26
UCHUNGU  : SIMULIZI FUPI YA SAUTI
4:10:30
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 7 М.
Ayat Kursi 7x,Surah Yasin,Ar Rahman,Al Waqiah,Al Mulk,Fatihah,Ikhlas,Falaq,An Nas By Saad Al-Ghamdi
3:56:36
Ayat Al-Quran Live - آيات القرآن مباشر
Рет қаралды 136 М.