Ahsante sana Ankojay kwa simulizi tamu Mungu akubariki kwa kila jambo sisi mashabik wako tunakupenda sana anko kusema ukweli mim husikiliza simulizi kwa account yako tuh hizo zengin sizijui
@TeklaNdekeja3 ай бұрын
Wacha ni bakshe kiporo😂😂
@usterbae3 ай бұрын
@@TeklaNdekeja😅😅❤❤
@TeklaNdekeja3 ай бұрын
Leo kimeumana kunangangali na ngungul wanaperezana onte hatima ake kifo, lizza unakimbia G unamwacha daah! Sasha unauweza mchezo
@MoshiMoshi-qy8dq3 ай бұрын
Wow hii ndo inaitwa usiku unapita bila stress na unalala usingiz mnono asante ankojay ubarikiwe sana❤❤❤❤❤
@halimandele-n6u3 ай бұрын
wooow mda wote nilikua natazama cm yangu hatimae sasha hiyo🎉🎉🎉Asante sana♥️♥️♥️
@LydiaJoseph-st4sg3 ай бұрын
Nimetembelea sana leo KZbin kama kichaa kwajili ya sasha duh ahsante anko j 😊❤❤
@NsimireMurumbi3 ай бұрын
Ubarikiwe sana ankojey kwakuletea simulizi , sisi wa congolais tuburudike amo, kwaku washinda mechi ya leo. Uku kwetu Congo ni budani kabisa.🎉🎉🎉🎉🎉
@aumuelly29093 ай бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤lkn sasha jasusi
@puritykananu99203 ай бұрын
Mashabiki wa ankoy j munakuwanga macho nawapenda ❤ sana
@ReginaBenjamin-ij2ec3 ай бұрын
Anko we ni Bora sana asant kwa mwendelezo
@binthassan91913 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉sasha analiwa na baba na mwanae 😂😂,patam hapo😂
@husnalalu0083 ай бұрын
Weee ankoo mungu akujalie kher usiku wako wa Leo kesho uwamke uwokote helaaaaaaaaa
@MarieNgabo3 ай бұрын
Atimaye anko tayari Alisha ashiya Binti Sasha naipeda sana kelvine umu fatiliye Sasha Tuna sikiluza kwa makini
@Mwanasiti-xd3lv3 ай бұрын
Woyoooo ...asante anko kwa mzgo mna daah.lkua tushaboeka
@YasintaHongela3 ай бұрын
Ankoj unatisha mno ipewe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉maana dawa ya moto moto tu
@Aminuhaminah3 ай бұрын
Wakwanza leo jamn nipeni lik namie 😂😂😂😂❤❤❤
@joyceroyal67113 ай бұрын
Nmeisubir leo mpk so poa hatimae🎉😂😂 such a nice story bravo jmn❤❤❤
@christinahaule-p8i3 ай бұрын
nimewaiiii ningekuwa wa kwanzaa jamani anaitaji like zenu wa pendwa wangu ❤❤❤❤
@Shadia5443 ай бұрын
😂😂Humu ndani duuh hamlali jamaniii 😂😂Kwani BINTI SASHA NINA HAYA TUNASIKILIZA HILI TUJUWE ITAKUWAJE HAKUNA KULALA LEO✌️✌️
@NafissazenathNijimbere-gm3gt3 ай бұрын
Nipo kwanzaaaa leo🎉🎉np like zenu
@DorcasMuomba-gd3sw3 ай бұрын
Wow Asante hatimae umetupa chakulalia aya twendeleye nauyu Binti Sasha tujuwe hatima yake
@AsdAsd-d7f3 ай бұрын
Namim Leo nimewahi alhamudillah 😂😂😂 Asante ankoj ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@zenaathumani81443 ай бұрын
Asante sana ankojy kwa mwendelezo wa simulizi hii tamu kweli kweli 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@ChristinaPaulinus-i4y3 ай бұрын
First one🎉🎉 nmewawahi Leo msininyime like sasa😢
@ashleymohamed69353 ай бұрын
Ankooo ❤
@Fatmamakame-q5w3 ай бұрын
Na me leo wa mwisho jamani 😂😂 lakini nipeni like ata 10 ty wadau ❤❤🎉😊😊
@AISHAKASSIM-u2n3 ай бұрын
Nimekuwa wakwanzaaa jamniiiii😊😊😊😊
@ManisaboSifa3 ай бұрын
Nini ambacho kiko nyuma ya sasha .ilatusubiri🎉🎉🎉🎉❤
@TumainOmar3 ай бұрын
Ahsante mzee wa humu tuu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MariamPatrick-q4n3 ай бұрын
Nimemaliza simulizi zote jaman huwa Si comment 😂😂😂😂😂😂😂❤❤ila hiiii Tamu
@nchidabajuma94013 ай бұрын
Naona anko jay umebadilisha mda wa simulizi wallah usikute hiyo mimba ya sasha ya huyo jamaa mwengine
@SalomeIbrahim-f2y3 ай бұрын
😂😂😂
@OdethaJohn-x2r3 ай бұрын
Kama ulikua kichwa yan nilikua nawaza sana asant Anko j
@Aishwaraimasiennah3 ай бұрын
Nyìe mwalala huku jamani 😂❤❤
@Bintiali-kg3xe3 ай бұрын
Hivi ni mm tu ninaeipenda sauti ya anko j ama tupo wengi❤❤❤
@Babyfaty-m3y3 ай бұрын
Tupo weng sana hta mm nipo naipenda mpka naiota 😅😅😅😅😅😅
@aishahamis16093 ай бұрын
Anko sauti ina virutubisho vyote mashallah
@aishahamis16093 ай бұрын
Tupo wengi wangu
@KaviraDivine3 ай бұрын
Asante sana tena sana kipimzi nime enjoy sana anko j wetu mapesa allah akupe afya tele
@AshourAli-d3e3 ай бұрын
Jamani kumekucha hukuuuu Anko amesha achia kituuuuu cha Bint sasha zawad yak 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 team strong mukuje hukuuuu
@maryrungwe3 ай бұрын
Wakwanza jamani asante sana anko jey
@TeklaNdekeja3 ай бұрын
❤❤(No1)Ata mimi nimesha mshitukia binti shasha😂na mkwe wake kma unaesoma comment hii umeushitukia mchezo likes tujuwane,Ankojy maua🌹🌹 umetujal🎧🪑🏃
@aishawhite11073 ай бұрын
Mimi hapa nilishamshitukia tangiia pale alipo sema alikosea chumba 😅😅
@hdhjdh7753 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂huyu binti wacha tuone 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@SusanNeema-re3hr3 ай бұрын
@@TeklaNdekeja lakuni sasha ni hatari na nusu
@FlorenceGithinji-x2c3 ай бұрын
Kweli kabisa hata happy nilikua tuu kuna kitu@@aishawhite1107
@TeklaNdekeja3 ай бұрын
Mmeonae 😅😅
@StellaMalando3 ай бұрын
Anko hii tamu hatar nimeipenda sasa❤❤
@Lilian-k4s3 ай бұрын
Kazi nzuri bro 🎉🎉🎉🎉
@FATUMASAIDY-p1v3 ай бұрын
Naisi Sasha Ni afisa mpelelezi
@PiliKhamis-mb6ty3 ай бұрын
Nipo namie jamani siwezi kukosa 😂😂😂 anko jey we2 oyeeee
@tufaamzee27383 ай бұрын
Daaah mzigo ndo wa motoooo
@SusanNeema-re3hr3 ай бұрын
Nimekua wa100 lakini misinisahau kunipea like jamanani
@TeklaNdekeja3 ай бұрын
🎉🎉
@AishaKhamiss-hg5xl3 ай бұрын
Khaaaaa jmn humu ndani mnavyowai me kila sku wa mwsho😢 like zenu wapendwa❤
@NoelaDonald3 ай бұрын
Iii ila watu mnajua kuniwahi😢 Ila Anko katika simulizi bhana hii kiboko🙌❤❤
@nismaali29823 ай бұрын
My favourite voice ❤😂 wek like twende saw
@primmaria3 ай бұрын
Binti sasha ni🔥🔥🔥🔥anko jay huna baya ❤❤❤❤❤❤❤
@joyfayla123 ай бұрын
Atimaye imefika 😂
@ManisaboSifa3 ай бұрын
Nimefika 🎉🎉🎉
@ChakoriChakori-z1x3 ай бұрын
❤❤❤❤ good job 😅👏
@EddaFredy3 ай бұрын
Yani kila nikilala naota mwendelezo wa sasha😂😂😂
@Babyfaty-m3y3 ай бұрын
😅😅😅😅😅 we acha tu
@EddaFredy3 ай бұрын
@@Babyfaty-m3yYani sauti inalonga hiiii jamanii
@ChakoriChakori-z1x3 ай бұрын
😅😅😅😅
@Babyfaty-m3y3 ай бұрын
@@EddaFredy mpka inakera hiv half humu hayumo demu wke kweli mara anatuchora tu tunavo msifia bwana wke🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@EddaFredy3 ай бұрын
@@Babyfaty-m3y😂😂😂😂atajibia anko jay name nitakua nawachora tu
@godsfavour56653 ай бұрын
😂😂😂😂huyu Sasha wako anakuliwa na Kila mtu na anakiswahili wueeeeh muogope jezebel
@ReginaJumanne3 ай бұрын
Hii simulizi inanipagawisha San ikichelewa kuja nahisi kupata ukichaa😂😂😂😂
@lucyjohn13423 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@NasraShaban-p1c2 ай бұрын
😂😂😂
@jabiken42363 ай бұрын
Khaah watu awataki matani😊😊😊😊
@avelinabaluhya28043 ай бұрын
Mhm,😂😂hii ni kiboko jamani,Riza na hii ndoa yake na Sasha kaingia chakike
@paulalove12233 ай бұрын
I love you ankoriiii❤😂
@MonicaMohamedi-ss9uv3 ай бұрын
Dah naipenda
@fetreshazKhamisi3 ай бұрын
Ahasante sana anko jay Kwa mwendelezo wa simulizi bint Sasha mambo 🔥🔥🇴🇲🇴🇲
Yule mdada wa kutoa like mdogo mdogo naingia kuwapa like ❤🎉
@Khadijaalphan3 ай бұрын
Sasha ni mpelelezi😅😅
@AffectionateHorse-ws9mp3 ай бұрын
Hapo sasa❤❤❤❤
@LispaKadzoKalu3 ай бұрын
Yani story naielewa VIBAYA MNOO weee😂😂😂😂hili neno "vibaya mnooo" linabamba aiseee😊
@Nuru95683 ай бұрын
Anko jay akiamua utampenda❤😂
@Momy3273 ай бұрын
Mashallah simulizi mzur sana asant ankoj❤❤❤❤❤❤
@marryofficial91433 ай бұрын
Anko unatutesaa jmn ndo hutakii tulale kwl jmn ila achaa tupambane tuu na ww😂😂❤
@marryofficial91433 ай бұрын
Team strong oman tusikanyaganee tuu
@OmarNzohabonayo3 ай бұрын
@@marryofficial9143 we acatuu kumbe nawewe 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@SaumuMohd-xw1lt3 ай бұрын
💐💐💐mauwa yako ankojay lissamwalla kiboko
@hafsasaid96663 ай бұрын
Leo nimefika mapema
@AfrahAfrah-o4o3 ай бұрын
Mungu akubaliki anko j utuletee simulizinyingine kali kama ya maria tereza na au malaika mweusi noma sana
@Kabumbe5175Ай бұрын
Simulizi tamu tamu kweli mpaka siku izi sipigiyi watu simu iseee😂❤
@DamariJohn3 ай бұрын
Sasha hana haya😂😂😂😂
@ireenramsey9513 ай бұрын
Uwiiii watu wanawahi
@مريمكينيا-ش8ح3 ай бұрын
Asante anko jaman nimechelewa jaman nipen like
@HafashimanaDorine3 ай бұрын
Mimi 1😊
@susansamira81373 ай бұрын
Wow hii tamu mnoooo shukran kaka Ankojay ❤❤❤❤
@NURUKILAWI3 ай бұрын
Sasha mpelelezi nahisi na anaifuatilia ya mume wa Sasha
@FunnyClownfish-uc6ye3 ай бұрын
Baba ake sio mume. Tena. Ila tu. Huyu lizz hana kazi iyo maana yeye yeye na kazini tu baba ake ana ficha tu😂😂
@DorcasIminza-rq3mk3 ай бұрын
waaaaah wachawi wa youtube tuko wengi🤣🤣
@salhatiddy3 ай бұрын
Mbn picture ya alivn
@Babyfaty-m3y3 ай бұрын
@@salhatiddyndo mwenyew uyo yupo na sisi bado
@Asina-r4r3 ай бұрын
😅😅😅lakin sasha jmn mi simuamin kbx et kabadilik😅😅😅 mchez wot baba mkwee anaujua loooh ayah tusubr ep5❤❤❤😊
@annahmwenda3 ай бұрын
Yaaan natamani,ingewezekana wanaume wote,wa sikilize hii simulizi, kwasababu inamafundisho mengi sanaa,wanaume msikurupuke kuoa,mjue kwanza mwanamke unae taka kumuoa vinginevyo utakuwa mtumwa tu