Annoint Amani-Full Album Volume 3 fainal ni Kesho 12 Songs (official audios 2020:21:2022)

  Рет қаралды 323,136

Annoint Amani

Annoint Amani

3 жыл бұрын

Ninaamini hutabaki kama ulivyo,
baada ya kuskiriza album nzima iliyo beba neno limfaalo kila mtu kwa wakat wake,Sawasawa na Mungu amjuavyo..
MIMI SJUI KUIMBA KABISA MUIMBAJI NI YESU NDANI YANGU,
TENA MIMI S MJUAJI KABISA KWA MAMBO YA DUNIA HII,
BALI NINA UFAHAM MWING KATIKA KRISTO YESU ,
LENGO LANGU NIKUHUBIRI INJILI WATU WAMRUDIE MUNGU ,ILI WAPATIKANE WATENDA KAZI WENG SHAMBANI MWAKE ,,
MIMI SINA JINA KABISA,
BALI LIPO JINA MOJA TULIO PEWA ILI KUOKOLEWA KWA HILO,
NALO NI JINA LA YESU.
HIVYO NINAITAJI MAOMBI YA KILA MTEULE ILI NIMALIZE MWENDO SALAMA YANI MWISHO MZURI WENYE USHUHUDA.
I believe you will not remain as you are,
after listening to the whole album that carries a word that suits everyone in its time, just as God knows.
I DON'T KNOW SINGING EXACTLY THE SINGER IS JESUS ​​IN ME,
AGAIN I AM THE MOST EXPERIENCED TO THE THINGS OF THIS WORLD,
BUT I HAVE MUCH UNDERSTANDING IN CHRIST JESUS,
MY PURPOSE IS TO PREACH THE GOSPEL TO THE PEOPLE TO RETURN TO GOD, SO THAT THEY CAN BE FOUND WORKERS IN HIS FIELD ,,
I HAVE NO NAME AT ALL,
BUT THERE IS ONE NAME GIVEN TO US TO BE SAVED,
IT IS ALSO THE NAME OF JESUS.
(So Pray for my ministry to end with God)
(artist Annoint Amani
language Swahili
East afrika Tanzania
Studio A.E.A Tones
annoint amani bookng
email.amananoint@gmail.com
+255767240181=+255755099942)

Пікірлер: 78
@loycep7785
@loycep7785 5 ай бұрын
Naupenda sana chumba cha siri barikiwa sana mtu wa Mungu Amani
@VincentOtieno-yn6kc
@VincentOtieno-yn6kc Ай бұрын
Nazipenda nyimbo zako sana
@GraceElias-v2b
@GraceElias-v2b 4 күн бұрын
Upo vizuri mwanangu Mungu akubariki sana
@profjose5446
@profjose5446 3 жыл бұрын
Karibu kenya
@annamchana1558
@annamchana1558 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka kwa kazi njema unayoifanya Mungu akulipe mwenyewe Tunza hio ni dhahabu ulipewa, tunza saana kaka
@GladnessNassari-ms3rp
@GladnessNassari-ms3rp Жыл бұрын
Usikimbilie ndoa ni moto
@elizabethmachas1460
@elizabethmachas1460 2 жыл бұрын
Indeed you are annointed brother amani, nyimbo zako zaniweka kwenye level ya juu zaidi kiroho. barikiwa kaka. Much love from Kenya
@annointamani3285
@annointamani3285 3 жыл бұрын
Ninaamini hutabaki kama ulivyo, baada ya kuskiriza album nzima iliyo beba neno limfaalo kila mtu kwa wakat wake,Sawasawa na Mungu amjuavyo.. MIMI SJUI KUIMBA KABISA MUIMBAJI NI YESU NDANI YANGU, TENA MIMI S MJUAJI KABISA KWA MAMBO YA DUNIA HII, BALI NINA UFAHAM MWING KATIKA KRISTO YESU , LENGO LANGU NIKUHUBIRI INJILI WATU WAMRUDIE MUNGU ,ILI WAPATIKANE WATENDA KAZI WENG SHAMBANI MWAKE ,, MIMI SINA JINA KABISA, BALI LIPO JINA MOJA TULIO PEWA ILI KUOKOLEWA KWA HILO, NALO NI JINA LA YESU. HIVYO NINAITAJI MAOMBI YA KILA MTEULE ILI NIMALIZE MWENDO SALAMA YANI MWISHO MZURI WENYE USHUHUDA.
@amoswanyonyi9290
@amoswanyonyi9290 3 жыл бұрын
You bless me a lot you guy mungu akuzidishie baraka ili uendelee kutubariki🙏
@makenapurity1491
@makenapurity1491 Жыл бұрын
Much love❤️💯from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 u really bless me with ur songs🙌🙏 For real have come to realize that Names meants alot... really u are anointed...endelea Kuchochea jina na karama yako,,,,may our God almighty expand ur Territory in Jesus Precious name.... brother in Christ ❤️🙏🙏
@Maryhawi9592
@Maryhawi9592 5 ай бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi kwa Kaz njema
@JacintaMutheu-uc7ox
@JacintaMutheu-uc7ox Жыл бұрын
Hakika unanibariki sana napenda sana nyimbo zako bwana wa majeshi azidi kukuinua Hadi viwango vya juu zaidi.
@teresawafula7112
@teresawafula7112 Жыл бұрын
Hayo ni mahubiri tosha.
@irenejaphes1370
@irenejaphes1370 2 жыл бұрын
My favourite
@alfredodiwa3871
@alfredodiwa3871 Жыл бұрын
Link, very nice and encouraging songs
@anickbora3771
@anickbora3771 3 жыл бұрын
Asante Sana kaka nyimbo zako Zina ujunbe muzuri zinatubariki Sana mungu akubariki na a kuongezeye zaidi na zaidi yaivi
@safaribicocero4916
@safaribicocero4916 3 жыл бұрын
Mungu akupenguvu akuwezeshe Nikweli yesu anarudi
@jairuschichete2938
@jairuschichete2938 3 жыл бұрын
Anointing be blessed. Karibu kenya
@haamedwapedidanakukubali6494
@haamedwapedidanakukubali6494 3 жыл бұрын
Ameen ubalikiwe
@loycep7785
@loycep7785 5 ай бұрын
Hasa ule wa mama yaani Mungu akubariki mno mno tunakuombea kipaji chako Mungu alichokupa endelea zaidi na zaidi Taji yako inakungoja mwanangu🙏🙏👏👏👏🌺🌺
@teresawafula7112
@teresawafula7112 Жыл бұрын
Congritulation mtumishi, nyimbo zako zinanibariki Sana mungu akutende mema, AMINA. Triza from Kenya.
@lilychepkoech3486
@lilychepkoech3486 3 жыл бұрын
salute to all mothers in the world .
@entranceanderson6991
@entranceanderson6991 3 жыл бұрын
God bless you brother you have been ablessing in my life
@sautiyauamshotv9152
@sautiyauamshotv9152 3 жыл бұрын
Hongera sana mutumishi wa Mungu akuwezeshe
@corneliusapara4209
@corneliusapara4209 3 жыл бұрын
Am always blessed by your songs brethren,, you give hope to me as a youth,, you give me direction in life, you warn me not to go wrong , you advice me to dream higher as a youth ,, and finally tell me to respect the elders including my parents just through your songs..... kongole kakangu Annoint,,, if unapenda Annoint rusha comment na like yako tuksifu Mungu pamoja
@sangoclaver1870
@sangoclaver1870 3 жыл бұрын
Hhhh Na. B b bathhouse r hhhhhhh not
@mokamirael3122
@mokamirael3122 3 жыл бұрын
Mwaaaaah napenda wimbo zako zote Mungu akubarika saaaan kwa kazi yako
@joanblessing7330
@joanblessing7330 3 жыл бұрын
Your songs are a blessing to me....mung u akubariki Amani
@dicksonmutinda3932
@dicksonmutinda3932 2 жыл бұрын
Anointed and touching songs may the spirit of Almighty be with you ever.
@mohmmadhakmi8569
@mohmmadhakmi8569 Жыл бұрын
Chikung'unde my favourite song 💃💃💃💃💃💃❤️🙏
@user-nc7uv1jw2s
@user-nc7uv1jw2s Жыл бұрын
Ndugu yangu, acha Mungu akubariki kwa huduma hii kubwa ambayo imebariki wengi.
@elizabethmachas1460
@elizabethmachas1460 2 жыл бұрын
mafundisho chungu nzima kwenye nyimbo zako. keep the fire burning
@margymargy8005
@margymargy8005 Жыл бұрын
So blessed sana ubarikiwe
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Yiibowa,kuminamoja Muzuri,sana🙏🙏🙏🙏ubarikiwesana💃💃💃💃
@jshsbabahahahajajwiwbaisjh5686
@jshsbabahahahajajwiwbaisjh5686 3 жыл бұрын
Cograts brother ,God has done it , kip good work not in vain.
@Jorge_safaris
@Jorge_safaris 2 жыл бұрын
Always blessed by your songs, be blessed 😅😅😅
@mercykache4235
@mercykache4235 Жыл бұрын
Karbuk🇰🇪 church kwetu
@phoebemirikwa557
@phoebemirikwa557 3 жыл бұрын
Nice niceeeee song,,, ❤️❤️
@amoswanyonyi9290
@amoswanyonyi9290 3 жыл бұрын
God bless you a lot as you bless us
@dorisengute-lz2gd
@dorisengute-lz2gd Жыл бұрын
🔥🔥🔥👍👍♥️♥️👌👌💯💯💋
@corneliusokoit9892
@corneliusokoit9892 2 жыл бұрын
I respect my mum,may u shine on your way rip mum
@kaundamutinda7133
@kaundamutinda7133 2 жыл бұрын
Annoint unanimbariki sana mungu akusitishee nguvu, akubariki sana na akuonekanie
@penanauae316
@penanauae316 3 жыл бұрын
Congratulation 🙏🙏
@johnmnjala3593
@johnmnjala3593 Жыл бұрын
Broo amani kupitia nyimbo zako nina inuliwa sana kihoro hata natamani kuimba na wewe
@rozghana4767
@rozghana4767 3 жыл бұрын
Good work
@keziahmuinamia7984
@keziahmuinamia7984 2 жыл бұрын
My favorite artists
@godfreykhamala5590
@godfreykhamala5590 3 жыл бұрын
asante saana Mtumishi kwa huu wimbo
@conceptanamarome2048
@conceptanamarome2048 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa uzima milele ili umtumikie
@naomnyamoitaosiangochannel5552
@naomnyamoitaosiangochannel5552 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏
@synetkaunda792
@synetkaunda792 2 жыл бұрын
👍💯❤️
@m_ambototv
@m_ambototv Жыл бұрын
wow what an album
@immaculeem9262
@immaculeem9262 3 жыл бұрын
Asante 👍
@pastormzirayofficial2048
@pastormzirayofficial2048 2 жыл бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu
@daudcharles264
@daudcharles264 3 жыл бұрын
Nyimbo zako brother zimenibariki Amen
@safaribicocero4916
@safaribicocero4916 3 жыл бұрын
Hapotu vizuri sana
@julietkathure8530
@julietkathure8530 3 жыл бұрын
Kijana uko sawa sana,ogera.
@bilhasusywangari782
@bilhasusywangari782 2 жыл бұрын
always blessed by your songs bro, kudos!
@aaronmabvunga2431
@aaronmabvunga2431 3 жыл бұрын
2020-21-2022 what do you mean my brother, does it mean that this album will take us through all these years minus giving us another hit?please clarify I feel like crying.this one was massive I love u .all the way from Zambia
@adventinamussa1269
@adventinamussa1269 2 жыл бұрын
Hu wimb naupend atariii
@eunicenyang5371
@eunicenyang5371 2 жыл бұрын
I love this man's songs ,especially ya shilembe
@violetwanza1322
@violetwanza1322 2 жыл бұрын
Me too especially shilembe
@holylostborn
@holylostborn 3 жыл бұрын
good job bro keep up and god bld u
@shronali2718
@shronali2718 3 жыл бұрын
Asante sana kwa kazi msuri nyimbo sako sina message poa ❤💗🇰🇪💯
@shronali2718
@shronali2718 3 жыл бұрын
Ninasikilisa nikiwa saudi lakini mimi ni mkenya 👍🤲
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 жыл бұрын
@@shronali2718 saf sana sharon
@makenapurity1491
@makenapurity1491 2 жыл бұрын
Nairobi Kenya Niko swafii huyu Mtumishi wa Mungu really songs zake zanijenga sana, plz Brother Amani feel loved ❤️❤️❤️ from KENYA🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Ed utuvisit one day plz,,,I feel loving our Neighbour Tz u really touch us tukiwa huku.....
@gracemueni3235
@gracemueni3235 2 жыл бұрын
👍👍
@WandigaKalambwada
@WandigaKalambwada 3 жыл бұрын
Amen
@edithmideva6384
@edithmideva6384 3 жыл бұрын
I like your songs Amani nyimbo zako nizakutoa husia mwema keep up may God give you long life to continue singing to advance us
@hamisionason5129
@hamisionason5129 3 жыл бұрын
Akumu be blessed
@sharonal66
@sharonal66 2 жыл бұрын
Hi
@kionkid2502
@kionkid2502 2 жыл бұрын
5
@shronali2718
@shronali2718 3 жыл бұрын
Ninasikilisaa nikiwa saudi God bless you bro 🤲👍❤
@mapendomaniraguha1319
@mapendomaniraguha1319 3 жыл бұрын
Wow I really love it 😍 keep it up
@gracendibaa2544
@gracendibaa2544 Жыл бұрын
😂😂
@samsonadhiambo1391
@samsonadhiambo1391 3 жыл бұрын
My favourite
@masterpeter896
@masterpeter896 2 жыл бұрын
God bless you brother you have been ablessing in my life
@deborahamukoa6963
@deborahamukoa6963 Жыл бұрын
May God protect you brother
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 51 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 5 МЛН
Kumpulan Lagu Sholawat - Maher Zain (Full Album 2023)
58:49
Liana Elmalia Hapsari
Рет қаралды 9 МЛН
BEST OF ANNOINT AMANI TZ MIXED BY DJ COLLITER
48:30
DJ COLLITER TV
Рет қаралды 85 М.
THE BEST PLAYLIST SONGS- BAHATI  BUKUKU -GOSPEL MUSIC
1:35:12
Paul Kersh
Рет қаралды 1,7 МЛН
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 191 М.
THE BEST COLLABOLATION FT Rose Muhando, Obby Alpha, Bonny Mwaitege,
38:44
NEW BEST SONGS OF SIFAELI MWABUKA 2022 PLAY NONSTOP (OFFICIAL)
1:12:52
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 1,2 МЛН
BEST OF SWAHILI MORNING GOSPEL SONGS VIDEO MIX 2023 VOL 1 DJ CRAZYMONK
1:12:52
Dj CrazyMonk Kenya
Рет қаралды 447 М.
Annoint Amani - Chumba cha siri ( Official music Video )
11:52
Annoint Amani
Рет қаралды 256 М.
V $ X V PRiNCE, Shulamah - Jai Jatpaimyz (2024)
2:38
Студия СОЮЗ
Рет қаралды 128 М.
Kenjebek Nurdolday & Baller - sokpe#сокпе#сөкпе
3:10
Kenjebek Nurdolday
Рет қаралды 145 М.
Жандос ҚАРЖАУБАЙ - Ауылымды сағындым (official video) 2024
4:25
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1,2 МЛН
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 1,1 МЛН
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54