Annoint Amani - Hebu nipishe njiani mpumbavu we ( official music video )

  Рет қаралды 236,569

Annoint Amani

Annoint Amani

8 ай бұрын

#hebunipishienjianimpumbavu#
hizi ni siku za mwisho shetani presha iko juu,
maana muda wa hukumu yake una karibia hivyo ana tumia kila mbinu kuwapumbaza watu wasijue majira na nyakati za kujiliwa kwao,
lengo la shetani aingie na watu weengi motoni,
lakini Asifiwe Yesu kwa kupigwa kwake sisi tumepona,
itumie vizur neema tuliyo nayo na usikubari kuenda Jehanam ya moto,
mpinge shetan na kaz zake zote,ikitokea umeanguka kidogo simama enderea mbele mpka Tuingie Mbinguni kwa ushindi mkuu🙏
👇
Tiktok,Annoint Amani tz
whatsaApp & call
+255767240181 = +255755099942
Dar es Salaam Tanzania )

Пікірлер: 192
@user-sb6ub1zg4z
@user-sb6ub1zg4z 8 ай бұрын
Nzuri sana annoint jameni wakenya tumpe mtumishi wa mungu likes kwa wingi
@missharonkenya
@missharonkenya 8 ай бұрын
Kenyans tuko Kila mahali ❤❤❤❤
@SharonChepkirui-bd2yg
@SharonChepkirui-bd2yg 8 ай бұрын
Wakenya tuko kbxaa,,,,,huyu kijana ako level ngine ya juu xna,,,,,Mungu ampee Neema tu🔥🔥💞💞💞
@santanabii5374
@santanabii5374 7 ай бұрын
Baaas sifa na heshima simrudie yesu🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪kazi nzuri jitu💪💪💪💪💪
@StephenKasolo
@StephenKasolo 8 ай бұрын
Congratulations brother 🎉
@annointamani3285
@annointamani3285 8 ай бұрын
Asante shujaa, Atukuzwe Yesu anae sema na watu wake 🙏
@bambuguyasamuel3107
@bambuguyasamuel3107 8 ай бұрын
Siku Moja ungefika kuimba Marekani, Mungu akufungulia Njia
@AdonisSifa
@AdonisSifa 8 ай бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu mtumishi. I always learn something from you❤
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele 8 ай бұрын
Nakuombeya Sana MEDD PROD Director MUKUBWA Mwaka wa 2023 MUNGU Akutanguliye piya Akutangaza Mwenyewe Kati Ya wa director wa KUBWA Africa Nzima WEWE Ni Mtu wasamani Usijitangaze MWENYEWE ila kazi Yaƙo KUBWA itakutangaza yenyewe Piya MUNGU abarikiki kiongozi wa A•E•A ANNOINT Essau AMANI Na kundi Lake Nzima❤
@user-gx9tw4mh5y
@user-gx9tw4mh5y 3 ай бұрын
Amen,kweli kabasi
@user-hn1pj9ut4y
@user-hn1pj9ut4y 8 ай бұрын
God 🙏🙏🙏🙏 you annoit amani nice song
@luchisoikeziah1171
@luchisoikeziah1171 8 ай бұрын
Amen shetani haniwezi kabisa
@faithmumbuakastar3654
@faithmumbuakastar3654 8 ай бұрын
wow nice song
@JosphatKasoloj-k
@JosphatKasoloj-k 8 ай бұрын
Nice woooowe 💕💕🇰🇪🇰🇪
@mildredwesonga
@mildredwesonga 8 ай бұрын
Nice song annoint God bless you
@user-qo9ew5gl3y
@user-qo9ew5gl3y 8 ай бұрын
Unajenga mioyo yetu 🙏🙏🙏 MUNGU akujalie uzidi kutangaza injili kupia nyimbo
@magrete483
@magrete483 8 ай бұрын
Nikweli atu pishe jian Mungu akubariki sana kipenzi cha wengi duniani 🎉🎉🎉🎉
@MeshackAlphonceOfficial
@MeshackAlphonceOfficial 8 ай бұрын
Kazi Kubwa Sana
@dorcahnyabo4713
@dorcahnyabo4713 8 ай бұрын
Nipishe mm shetani jiani naenda na yesu mungu tusaidie shetani unipati ng'o
@CosmasMaweu-vl4qk
@CosmasMaweu-vl4qk 8 ай бұрын
Wimbo Mauro sana🎉 annoint Amani ❤
@aaronmailuofficial251
@aaronmailuofficial251 8 ай бұрын
Moto sana 🎉🎉🎉
@felistersakwa2568
@felistersakwa2568 8 ай бұрын
Nice one❤❤❤
@RubaR-nr5wz
@RubaR-nr5wz 8 ай бұрын
Amen shetani hanipati ng'oo ubarikiwe sana kakangu
@lameckomboto2738
@lameckomboto2738 8 ай бұрын
Good work bro 🎉🎉🎉🎉🎉
@patrickmuthami2045
@patrickmuthami2045 8 ай бұрын
International standards 🔥🔥🔥🔥💪
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 8 ай бұрын
Mungu. Alikususa. Kwe. Wakati. Wahke ujube. Duniaa🎉🎉🎉🎉
@Peninnah-hi1lx
@Peninnah-hi1lx 8 ай бұрын
Nipishe nipite shetanii congratulations 🎉🎉🎉 amani kali sana mungu aendelee kukuinua
@user-jb1fi5iq8g
@user-jb1fi5iq8g 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana kakaetu nazielewa sana nyimbo zako❤❤
@user-ve4mb7xt6s
@user-ve4mb7xt6s 8 ай бұрын
Wow good song barikiwa bro❤
@SharonChepkirui-bd2yg
@SharonChepkirui-bd2yg 8 ай бұрын
Pongezi xna broo ,,,,,,am proud of you 💪💪💪❤️❤️❤️❤️❤️,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele 8 ай бұрын
WIMBO MUKUBWA ƙwakweli MTUMISHI wa MUNGU ANNOINT AMANI BABA YANGU kipenzi❤
@user-qo9ew5gl3y
@user-qo9ew5gl3y 8 ай бұрын
Mungu akubariki mwanaangu🙏🙏🙏🙏
@Stephen-mbiti
@Stephen-mbiti 8 ай бұрын
Great anoint be blessed
@AgnesNyivaTV
@AgnesNyivaTV 8 ай бұрын
Wow wow good song, mbarikiwa bro ♥️🔥👏
@MinayoLillian-hi4ln
@MinayoLillian-hi4ln 8 ай бұрын
Kongole kongole, rabbi wangu mungu baba ukupeleke viwango vya juu.uzidi kuwaleta wengi Kwa kristo.
@imma470
@imma470 8 ай бұрын
Essau keep moving ujumbe mzuriii sana
@bambuguyasamuel3107
@bambuguyasamuel3107 8 ай бұрын
Piga Kazi hiyo Kabisa kwani Malipo ipo 😭😭🥰🥰😍 Yesu Yuko
@james008BOND7
@james008BOND7 8 ай бұрын
Neema ikubebe na ivunje Sheria mtumishi wa MUNGU 🙏🙏 ngoma imeweza🙏🙏
@VivianEshimesheri-pd7er
@VivianEshimesheri-pd7er 5 ай бұрын
Tunamwombea sana tukiwa Kenya
@VivianEshimesheri-pd7er
@VivianEshimesheri-pd7er 5 ай бұрын
Tunamwombea sana tukiwa Kenya
@VivianEshimesheri-pd7er
@VivianEshimesheri-pd7er 5 ай бұрын
Tunamwombea sana tukiwa Kenya
@VivianEshimesheri-pd7er
@VivianEshimesheri-pd7er 5 ай бұрын
Tunamwombea sana tukiwa Kenya
@VivianEshimesheri-pd7er
@VivianEshimesheri-pd7er 5 ай бұрын
Tunamwombea sana tukiwa Kenya
@jennynolah8422
@jennynolah8422 8 ай бұрын
Amen Amen 💖💖💖
@mary-cm5je
@mary-cm5je 8 ай бұрын
AMEN AND AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥
@destiny288
@destiny288 8 ай бұрын
Pongezi king
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 8 ай бұрын
Wow ujumbe umemfikia shetani baba wa uongo, nipishe njiani nipite mie. Yesu nisaidie nisikose kuuona UFALME wako.
@abemandia
@abemandia 8 ай бұрын
Nipishe shetani🕴
@isaacmwaura6099
@isaacmwaura6099 8 ай бұрын
Aki hii song ni tamu sana
@cheronovalerie7469
@cheronovalerie7469 8 ай бұрын
A very nice song and educative one...God bless you
@BayaKatana-km1dj
@BayaKatana-km1dj 8 ай бұрын
Safi sana ❤
@bettymeru1032
@bettymeru1032 8 ай бұрын
Moto sanaaaaaaa
@rajabmugo3882
@rajabmugo3882 8 ай бұрын
Shetani Mimi umenikosa, naenda na Yesu Mimi...tamu sana mtumishi wa Mungu...
@dennisnyauma7592
@dennisnyauma7592 8 ай бұрын
Kitu safi
@elizanzisa1459
@elizanzisa1459 8 ай бұрын
Hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪 twazidi kubarikia na nyimbo zako kaka 🙏
@benjaminkaile1157
@benjaminkaile1157 8 ай бұрын
Kazi safi
@manmsafi
@manmsafi 8 ай бұрын
Kali sana mtumishi
@Danmusee
@Danmusee 8 ай бұрын
Neema yakifalme
@JulietNabwire-nc2yr
@JulietNabwire-nc2yr 8 ай бұрын
Amen amen amen may God bless us all amen 🙏
@HamisiAli-gd2ql
@HamisiAli-gd2ql 7 ай бұрын
I like ni meet n ww nikupe ata kama ni ,50 y soda good song ❤❤❤❤ great job
@apostlejohnkass9555
@apostlejohnkass9555 8 ай бұрын
Nice song
@theekisiidoll8620
@theekisiidoll8620 8 ай бұрын
Niliwaona last week Friday mkishoot hii song pipeline Kenya ❤
@MusyokiJosephine
@MusyokiJosephine 8 ай бұрын
Ameen..shetani nipishe nipite ❤
@robertmuriungi4029
@robertmuriungi4029 8 ай бұрын
🔥🔥🔥
@alanjuma6999
@alanjuma6999 8 ай бұрын
Ubarikiwa
@hilarytowett6738
@hilarytowett6738 8 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki annoint
@magrete483
@magrete483 8 ай бұрын
Upande juu zaindi andi tushangie my king 👑👑👑👑♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@febroniamukandi8150
@febroniamukandi8150 8 ай бұрын
God bless you abundantly MOG 🙏 powerful song
@ZawadiRimba-gy4dn
@ZawadiRimba-gy4dn 8 ай бұрын
Barikiwa sana na bwana baba mtumishi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-nf4wf2uh5y
@user-nf4wf2uh5y 8 ай бұрын
Nice woooowe❤❤
@Elishaponde
@Elishaponde 8 ай бұрын
ubarikiwe kk
@aneshaderrickoneko572
@aneshaderrickoneko572 8 ай бұрын
Nangoja
@LidyaMichael-jd7hl
@LidyaMichael-jd7hl 8 ай бұрын
Hongera
@bensonkesi1489
@bensonkesi1489 8 ай бұрын
Fontom ❤🥰🏋💥💫
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 8 ай бұрын
Keep up brother 🙏🇰🇪
@jewel9786
@jewel9786 8 ай бұрын
Nice song🎉
@ABLE.OF.JESUS.20
@ABLE.OF.JESUS.20 8 ай бұрын
Amen Amen Amen nimependa saana hii kaka yangu
@armsofmercyofficial
@armsofmercyofficial 8 ай бұрын
Nice one
@ibrahimmaroa1894
@ibrahimmaroa1894 8 ай бұрын
kama Mimi kijana kutoka kenya Aki wimbo zuri Sana my brother God bless you my brother annoint amani God bless you Kaka Mimi ni kuria kutoka sirali Kaka 🙏🙏
@andrewobunga3733
@andrewobunga3733 5 ай бұрын
ndugu yetu Amani tunapenda nyimbo zako sana.maana ata ni mahubiri kwangu
@josephmutindaofficial2704
@josephmutindaofficial2704 8 ай бұрын
Wow kazi zuri Kaka Amani
@kutusmwanzia6051
@kutusmwanzia6051 8 ай бұрын
Keep it up
@mejjahgamtonisaacofficial1085
@mejjahgamtonisaacofficial1085 8 ай бұрын
nice song my brother keep the fire burning Mungu akupe maisha marefu all the way from Zimbabwe 🇿🇼
@leonarditokalii4980
@leonarditokalii4980 8 ай бұрын
-"Satan fears our discovery of God's Word, because our ignorance of it is the most effective weapon he can use against us." 👀🧠 Nice song.
@JohnYuba-cw3iu
@JohnYuba-cw3iu Ай бұрын
Kijana Mungu akubariki saaaaaaaaana na nyimbo Zaki za enjili
@kmtcuniversity9310
@kmtcuniversity9310 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen. Amani Great Man of God❤❤❤❤❤❤❤❤
@davidmutemi7511
@davidmutemi7511 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉ngapenda nyimbo hii kabisa gospel legit God bless you amani
@venesahnyaboke
@venesahnyaboke 8 ай бұрын
Nice song endelea ivo ivo Kenya tunakupenda
@magrete483
@magrete483 7 ай бұрын
Wimbo mutamu sana kama asali my king 👑👑👑🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-qz4bk5zc8z
@user-qz4bk5zc8z 6 ай бұрын
Mungu akubariki kwa KUHUBIRI KWA NJIA YA UIMBAJI MTUMISHI WA MUNGU.
@michaelochieng2090
@michaelochieng2090 8 ай бұрын
Sitakubali anitafute shetani huyo, good job annoint
@user-gc8vu5xm4x
@user-gc8vu5xm4x 4 ай бұрын
Amina 🙏🙏🙏🙏👏👏
@josephinendinda9065
@josephinendinda9065 8 ай бұрын
Amazing song
@yahoo.68
@yahoo.68 8 ай бұрын
napenda sana kazi ya mungu unayoifanya ubarikiwe
@margaretkinyanjui5769
@margaretkinyanjui5769 8 ай бұрын
Nipishe nipite kabisaa shetani
@mbanaoyaaweso8029
@mbanaoyaaweso8029 8 ай бұрын
Mungu akutunzess mtumishi wake maan unaitangaza injil kwa uwimbaji
@saumuhare5154
@saumuhare5154 8 ай бұрын
Hogera annoint Amani mungu akuinue Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@directorvendeko8229
@directorvendeko8229 8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-xc8gl5nk6m
@user-xc8gl5nk6m 8 ай бұрын
Huku ndiko kufunuliwa kwa wana wa mungu.....
@magrete483
@magrete483 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉👑👑👑👑👑👑
@justinakitua3519
@justinakitua3519 8 ай бұрын
from kenya, I am very happy for you Anoint, your songs are a blessing to me. God bless you and keep you , to continue ministering to us. AMEN.
@eunicekiilu7485
@eunicekiilu7485 3 ай бұрын
Shalom shalom na amiina nyingi barikiwa cna mutumishi wa mungu akupe umri umutumikie🙏🙏🙏🙏🙏
@jumachango
@jumachango 8 ай бұрын
Hii ndo injili ya kweli barikiwa sana kaka wimbo mzuri sana wakubariki
@user-gr7bx6po2g
@user-gr7bx6po2g 7 ай бұрын
Mungu abariki kaka yetu unanibariki sana nauwimbo ni sarah ku toka congo nakupenda sana
@melvinmwanisa-ib4kf
@melvinmwanisa-ib4kf 8 ай бұрын
Nzuri sana hongera kutoka kenya
@JenipherErick
@JenipherErick 6 ай бұрын
Barikiwe mtumixhi was bwan
@user-mm5zr6wl5f
@user-mm5zr6wl5f 6 ай бұрын
Nice song Ur the best Annoint
@gabrielsumaye-ex8ff
@gabrielsumaye-ex8ff 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi kwa kipawa chako
@oscanyakunga
@oscanyakunga 7 ай бұрын
Ameen atupishe tuu uyu mjinga
@user-mz8cv5jd9o
@user-mz8cv5jd9o 7 ай бұрын
❤️🙏🙏mungu azidi kuku tumia kaka naomba na mim nataka kuomba na wewe sku moja
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 134 М.
MUIGIZAJI TAUSI NA PACHA WAKE WAKIIMBA KANISANI
7:28
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 1,4 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
MTUMISHI WA MUNGU by Annoint Amani (Official music Video )
6:40
Annoint Amani
Рет қаралды 309 М.
ENOCK JONAS - WAJIBU WEWE (Official Video 1080)
4:11
Enock Jonas
Рет қаралды 1,8 МЛН
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1 МЛН
NIPENI MDA KWANZA-SIFAELI MWABUKA
5:56
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 139 М.
Annoint Amani - Chumba cha siri ( Official music Video )
11:52
Annoint Amani
Рет қаралды 223 М.
Annoint Amani = Wewe ni Nani ? ( official video )
4:59
Annoint Amani
Рет қаралды 1,4 МЛН
MANABII WA UONGO -BY FENNY KERUBO OFFICIAL VIDEO
13:46
Fenny Kerubo Music
Рет қаралды 714 М.
Annoint Amani - Poleni adui zangu ( Sina Mashaka official video )
4:19
Say mo & QAISAR & ESKARA ЖАҢА ХИТ
2:23
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 1,9 МЛН
V $ X V PRiNCE - Не интересно
2:48
V S X V PRiNCE
Рет қаралды 2,5 МЛН
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 11 МЛН
Janona
4:09
Release - Topic
Рет қаралды 2,1 МЛН
Serik Ibragimov - Сен келдің (mood video) 2024
3:19
Serik Ibragimov
Рет қаралды 1,7 МЛН