Kweli wacheni mungu aitwe mungu ,kwanini nasema hivi hii ni baraka sana kwa mama yetu Rose muhando kumuinua na kuinua kizazi chake na kuheshimisha,Annoint wacha mungu akuangazie daima
@AliceNzambi-be1wr11 ай бұрын
Ambieni huyu mtumishi ahamie Kenya
@dauglaspaade912611 ай бұрын
Endelea kupepea ndugu Annoint,, baraka za Mungu kupitia kwako zinamiminika Kila uchao nisikiapo nyimbo zako,, ubarikiwe sana uende viwango na viwango,,
@DUNCANKAPELO10 ай бұрын
Ubarikiwe Annoint Amani
@cliftonmuliro870511 ай бұрын
Baba🙏🙏Nasikia raha tuu kwa sababu nina baba mwelekezi,❣️Sauti nayo baba jameni🤔Utukufu hadi utukufu
@MICHAELWONDER0111 ай бұрын
Wacha nikupe maua ukiwa hai ndugu yangu niruhusu nikuite babangu katika huduma kazi yako njema ya kutia moyo na kuelimisha
@SharonChepkirui-bd2yg11 ай бұрын
Wow,,,,,uko xwa kbxaaa my King ❤❤❤
@eliwajadaniford804411 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi nice song
@patrickmuthami204511 ай бұрын
Kazi safi 🔥🔥🔥❤
@SharonChepkirui-bd2yg11 ай бұрын
Eagerly waiting mkuu,,,,,,🎉❤❤
@AnnKyalo-dk8id11 ай бұрын
Waiting🎉
@nabiibikemwayowele11 ай бұрын
Kazi kubwa kwakweli
@linetkemunto896411 ай бұрын
🎉🎉🎉hadi Raha kweli be blessed 🙏
@ZawadiRimba-gy4dn11 ай бұрын
Amen barikiwa sana na bwana baba mtumishi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nice song ❤❤❤❤❤❤❤
@dorcahnyabo471311 ай бұрын
kazi safi kaka mungu azidi kukukuza kwennda vigwango vingine you're such amazing man of God
@tabithanzoka850711 ай бұрын
Nice song 🎵 👌
@susanwawire436111 ай бұрын
Ooh yes mungu napenda jinzy ulivyo, unafanya mambo atakama wengine inawakera
@alsenemsuha97211 ай бұрын
more blesses
@tulianyota704011 ай бұрын
Mungu akubariki kwawimbo huu aaa wamilele akubariki ❤
@VumiliaMalifedha11 ай бұрын
Amen Hadi Raha kuwa na mungu
@AliceNzambi-be1wr11 ай бұрын
Napenda unavyofanya mambo!!!! Wow Mungu azidi kukubariki kaka annoint
@allanlangat41210 ай бұрын
Nyimbo za yuyu huyu jamaa annoint...zinampendezaaa....haki mungu akutumikie na asifiwe milele...
@eunicemusyoka444811 ай бұрын
Who! Nice song Amen , hallelujah unatutumia zaidi ya mbeleni Mungu wooo🎉.
@michaelochieng209011 ай бұрын
How I wish ungekua ndugu wangu real ❤❤❤ more blessings to the entire family of yours annoint mtumishi wa Mungu
@enockbarimobarongo331211 ай бұрын
Kweli raha....ujumbe mzuri mno.....hadi raha...amen. your songs are a great blessing.
@Sashaloyceug25611 ай бұрын
I can't explain how much I like ur gospel music, really it encourages me alot nd makes my faith strong to God🙏🙏🙏,Be blessed man👨 🙏🙏
@GraceMachi-fn3ci11 ай бұрын
Kazi nzuri🎼🎼🙏🙏🙏
@cvgpraysing584111 ай бұрын
Napenda haya Maneno (lyrics). Hongera. Mungu Akuinue.
@magrete48311 ай бұрын
Ni wimbo wangu nashukuru sana kwa kweli ni Mimi umenisema mtumishi 😭😭
@ibrahimmaroa189411 ай бұрын
annoint wewe dungu yangu najua wewe ulitoka Kwa mungu mungu akakutuma Kucha hapa duniani utuwokoe sisi binadam Kaka yangu mungu akubaliki uendelee kufaya kazi yako Kaka yangu 🙏🙏🇰🇪👈
@ibrahimmaroa189410 ай бұрын
aki wewe Kaka yangu mungu akubaliki uendelee kufaya kazi Yako my brother najua wewe mungu amekutuma Kucha hapa duniani utuwokoe sisi mbinadam lakini sisi mbinadam atusikii mungu akubaliki Sana my brother 🙏🙏 nakusikia Kaka yangu nikiwa hapa Tanzania kikazi my Kwa leo Niko nyumbani kwetu kenya ningeomba ukuche ata HAPA kenya wakusikie kina ruto wakujue my brother 🙏🙏🇰🇪👈 and Tanzania ni kitu kimoja 🇯🇲👈
@mremjthekingtv115411 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🎉🎉
@ruthkhalayi509711 ай бұрын
Nmebarikiwa Man of God, may God continue using you Amani
@moraaedinah972710 ай бұрын
Endelea ivyoivyo ,baraka za mungu ,nanyimbo zako zinanigiza saaaaana
@RehemaGodfrey11 ай бұрын
Kazi njema 🔥🔥🔥🔥🌹🌹
@AmaniKituza4 ай бұрын
Hadi raha kweli👍
@maximilaodera-ce1vp10 ай бұрын
Powerful song Man of God be blessed more Kakangu
@estermachea33738 ай бұрын
Safi dady hongera sana nimekupenda buree
@lemashonolekeiywo784711 ай бұрын
Hakika mkubwa ni ukweli napenda pia mie jinsi mungu alivyo hadi raha❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@zephaniakigola83935 ай бұрын
Mungu akubaliki
@isaacmwaura609911 ай бұрын
You always have a sweet songs.. Congratulations to you bro may God bless you more 🙏🙏🙏.
@judithondari50659 ай бұрын
Napenda kweli🙏🙏🙏💓
@elshamahwashira10 ай бұрын
Amen shujaa wanguu
@MerisemuKeshale11 ай бұрын
MUNGU azidi kukuinua zaidizaidi nyimbo zako zinabariki mnomno
@sylviamatindo11 ай бұрын
God bless the work you're doing my brother 🎉🎉
@Happy-d5c11 ай бұрын
Your songs are full of blessings .keep going anoint amani.❤❤
@DausoniDaniel8 ай бұрын
Safiiii sana kijana mungu akubaliki sana
@PhilipoMashiku10 ай бұрын
Kazi nzur ubarikiwe sana
@ElizabethMuathime-nx8hq11 ай бұрын
May God keep on using you You are a vessel 🥳. God bless you
@georgeingariandanje707710 ай бұрын
Mungu azidi kubariki huyu kijana anoint aendelee kutoa nyimbo nyingi ziokoe kizazi cha kisasa haswa miminmesisikia mpaka nmsikia kuokoka mungu azidi kuinnua huyu kijana namimi pia ntamwombea azidi kumwinua
@nancycheby12511 ай бұрын
Napenda huu wimbo sana Ina ufunuo Wa nguvu
@sifa-gz6uu10 ай бұрын
Hallelujah hallelujah 🙌🙌👏🙌👏
@princessvimala142411 ай бұрын
Hallelujah 🙌🙏 to God be the glory 💪💪keep the light of gospel burning Mtumishi
@fearful25411 ай бұрын
Amen
@Teresiakubania11 ай бұрын
More grace kaka
@FaithCheptitany-y4w10 ай бұрын
Congratulations 🎉
@Karanifriendrick9 ай бұрын
Aki nimeamin kavzha bro
@Phanice-t4v11 ай бұрын
Napenda nyimbo zako anoint😂
@DeboraNeno-s5o11 ай бұрын
AMINAAA
@marymwachofi732111 ай бұрын
Amazing ❤❤
@stansang813911 ай бұрын
A blessing song, realities
@RobertClaude-w4p11 ай бұрын
Ubalikiwe San bro nagupendasan kwanyimbozako
@witabaabinayo33569 ай бұрын
Blessed love
@NaomNaom-pi5nd11 ай бұрын
Blessed voice full of God's presence
@VictorlugaliaUkiru11 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@SelinapMabiwa11 ай бұрын
God bless you
@Hezbollahmtafya10 ай бұрын
Hadi raha
@bambuguyasamuel310711 ай бұрын
❤🎉
@mary-cm5je11 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉📯📯🔥🔥👑👑
@PatrickBihembo11 ай бұрын
Amen amen
@shizney.norry4511 ай бұрын
🙏🙏🙏🔥
@mariakidumba843910 ай бұрын
Unanitia nguvu
@kajau-o4f7 ай бұрын
Amen 🙏
@jeaninemanirakiza900410 ай бұрын
❤❤
@chefjaji422510 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@emmymongina542010 ай бұрын
❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🇪🇺🇪🇺
@chepkirui-vn1bu11 ай бұрын
Kama kujulikana ingekuwa ni lazima MTU awe na meneja....Sisi wengine,tusingefika hapa,,,,,,,"hapo Tu inanifanya nikimbie kwenye studio nikatoe wimbo hata kama sijawai imba,😂