Annoint Amani - Njia yangu niya Mateso ( official music Video )

  Рет қаралды 909,760

Annoint Amani

Annoint Amani

Күн бұрын

#njiayanguniyanateso#
Ukiamua kumtumikia Mungu,mnakua mmegawana majukumu ,
Mungu anachukua ya kwako na wewe unachukua jukumu lake,
Hivyo wewe unatakiwa kuwaza ya Bwana nae Bwana Yesu atawaza ya kwako,,
Ukitaka kuelewa zaidi soma ( Mathayo 6:25:34 ) huu ndo msingi mzuri kwa Mwamini anaetaka kuwa sehemu ya watenda kazi shambani mwa kristo Yesu
🙏
Annoint Amani,
Tiktok Annoint Amani tz,
WhatsaApp & Call +255767240181 = +255755099942 )
👇
Video,Directed by Yuzzo +255683 550 697
Audio,A.E.A Tones studio
Prod Meddy +255 748 262 634
Dar es Salaam Tanzania )

Пікірлер: 326
@JenniferMoraa-l4o
@JenniferMoraa-l4o Жыл бұрын
Watching from gulf countries nani mwingine amefika team strong angusha likes tukisonga❤❤
@gracielast7353
@gracielast7353 Жыл бұрын
Mimi hapa
@ronolizz4394
@ronolizz4394 11 ай бұрын
Here I am ❤❤❤❤❤
@NakhleTelecom-qw7nn
@NakhleTelecom-qw7nn 11 ай бұрын
Hapo ndio tuko na tumesoma ya kwamba ata tukipitia magumu gulf mungu atuaji na anajua maitaji yetu ya kukucha gulf mungu mbele kila kitu.nice song keep up good job🎉🎉🙏🙏🙏🙏🙏
@eunicendunge-nb1qq
@eunicendunge-nb1qq 10 ай бұрын
Kabisaaa
@SmilingJellyfish-qq6ky
@SmilingJellyfish-qq6ky 2 ай бұрын
❤ nampenda sana a naomba kwamana
@JacintaAmuria
@JacintaAmuria Жыл бұрын
❤ I choose jesus again and again. Barikiwa kaka
@brianuniquecop943
@brianuniquecop943 Жыл бұрын
I love ur songs.. Mob love from Kenya.. Bwana yesu azidi kupewa sifa..someone say Amen...🙏
@Gladys1234-t7b
@Gladys1234-t7b Жыл бұрын
Amen from kenya
@fearful254
@fearful254 Жыл бұрын
Daaaaa roho mtakatifu amehusika kweli
@Wambuiwakori
@Wambuiwakori Жыл бұрын
Wuuuiii mimi ni mfungwa wa Christo sina ujanja tena
@johnalagwa3585
@johnalagwa3585 Жыл бұрын
Kaka. Unajua mungu akubariki na kukuinua zaid
@magrete483
@magrete483 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉👑👑👑👑barikiwa sana mtumishi WA MUNGU
@SimonJoseph-y6e
@SimonJoseph-y6e Жыл бұрын
Wow kaka wimmbo mzuri xana Ubarikiwe xana bro nami natamani niwe kama wewe bro siku moja amen 🙏🙏🙏
@ronolizz4394
@ronolizz4394 Жыл бұрын
❤❤ nyimbo yenye mafundisho mazuri uiii uii mmmh mimi ni mfungwa wa kristo
@clarisriziki1360
@clarisriziki1360 Жыл бұрын
Wow huu wimbo umekuja kwa wakat sahihi kwangu kuamua kumtumikia mungu be blessed kaka
@Purity-l7m
@Purity-l7m 10 ай бұрын
@hilarytowett6738
@hilarytowett6738 Жыл бұрын
Imani eleza njili ya mwenyezi mungu pokea shukrani kutoka sisi wakenya bro
@alicemukui7369
@alicemukui7369 Жыл бұрын
I respect the grace upon you man of God ,,am blessed truly 🙏 Baba naomba unipe moyo wa kukupenda ewe uliye mtoa mwanao kunifia🙏help me Lord please
@AdonisSifa
@AdonisSifa Жыл бұрын
Kweli ni njia ya mateso😢😢.lakini hatuna namna. Hapa ndio kwetu😭😭💔
@taabuwalter3481
@taabuwalter3481 Жыл бұрын
kweli ni njia ya mateso,😭😭😭😭
@Becky-cu7kx
@Becky-cu7kx Жыл бұрын
Huu wimbo umenibariki sana kaka mungu akubariki sana
@teresiahwanjiru2108
@teresiahwanjiru2108 Жыл бұрын
much love from Kenya.nyimbo zako hunibariki🙏
@clainchesco9167
@clainchesco9167 Жыл бұрын
Daaaa ❤❤❤
@DeoPhilimon
@DeoPhilimon 4 ай бұрын
Umetisha sana mwamba mungu ni mmoja
@MajaliwaBitomwa-qu7mc
@MajaliwaBitomwa-qu7mc Жыл бұрын
Kweli mtumishi mungu akubariki kwaujumbe mzuri
@KingEssauMusiq
@KingEssauMusiq Жыл бұрын
Hapo ndipo tutatua mizigo zetu
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele Жыл бұрын
WIMBO MUKUBWA ƙwakweli MTUMISHI Unanifariji ƘABISA
@BizimanaDavid-up4gh
@BizimanaDavid-up4gh Жыл бұрын
Aaaa ni kweri ni njia ya moto
@nancymaina9269
@nancymaina9269 Жыл бұрын
Good 👍 job anointed kwa kweli hata jina tu maana mpakwa mafuta wa mungu,Amani na iwe kwako mile na amani teletele be blessed and continue touching the lives of many souls fiy higher and higher like an eagle 🙏
@leunitaondiso5938
@leunitaondiso5938 Жыл бұрын
This song is a blessing to my life. Be blessed man of God. Hakika nimeguzwa sana🙏🙏🙏
@dorcahnyabo4713
@dorcahnyabo4713 Жыл бұрын
the only way is to accept Jesus christ who there today, yesterday and forever be blessed bro 🙏🏻
@Elishaponde
@Elishaponde Жыл бұрын
ubarikiwe sana kaka
@hurumakalenzi8997
@hurumakalenzi8997 Жыл бұрын
mungu akubariki sana baba
@SHARONCHEBET-ll4ij
@SHARONCHEBET-ll4ij 10 ай бұрын
Touching song🎉🎉njia yangu ni ya mateso lakini nitaenea.....uwiiii uwiii❤❤❤
@donathawilliamssulle1769
@donathawilliamssulle1769 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi kazi yako ni njema
@malendatvonline
@malendatvonline Жыл бұрын
Mungu ameubaliki wimbo Hadi watazamaji asee mutumishi huu wimbo ni mdhuli xn
@abemandia
@abemandia Жыл бұрын
Nimesulubiwa pamoja na Kristo;lakini ni hai;wala si mimi tena,bali Kristo yu hai ndani yangu
@NightChepkemoi-pk8kx
@NightChepkemoi-pk8kx Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu,umetupa somo kamili.barikiwa.
@Fol189
@Fol189 Жыл бұрын
Amen 😢😢 God atatuongoza hadi mwisho
@Kasaybaraka
@Kasaybaraka 2 ай бұрын
Mimi ni Kasay Baraka from Beni town Dr Congo maandiko matakatifu yasema tafuteni kwanza ufalme wa Mungu nahaki yake
@JOYCEMASSABA-r4f
@JOYCEMASSABA-r4f Жыл бұрын
Its not easy...We really need the power of the Holy Spirit...
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 Жыл бұрын
Mungu yupo sana 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🤭🤭🤭 keep up
@IBRAHIM-gp9vk
@IBRAHIM-gp9vk 2 ай бұрын
Kazi nzuri Sana mtumishi nauliza utakuja lini Kenya
@mremjthekingtv1154
@mremjthekingtv1154 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa ujumbe wa injili ya kweli Namna hii
@isaackgachiengo592
@isaackgachiengo592 Жыл бұрын
❤❤❤
@AmaniMgula
@AmaniMgula Жыл бұрын
Ninabarikiwa Sana pale najisikia kuchoka ninapata nguvu mpya be blessed my friend
@DavidMushaga-xj3bf
@DavidMushaga-xj3bf Жыл бұрын
Amina
@FondoKalama-i2n
@FondoKalama-i2n Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana unamafundisho pia.mungu akubariki sana kaka
@edwinmokua-rz3hx
@edwinmokua-rz3hx 4 ай бұрын
Amina kuishi kwngu n kristo na kufa n faida
@lizziendinda8640
@lizziendinda8640 Жыл бұрын
Mungu Milele.. barikiwa kaka listening from KSA
@DogoTistiany
@DogoTistiany Жыл бұрын
Nakupenda sana Annoit💞❣️👍🤜🙏🎬💞💞💞💞💞💞❣️❣️💞💞
@Jjkkkkkkkhh
@Jjkkkkkkkhh Жыл бұрын
True amen
@harrisonzuma5946
@harrisonzuma5946 Жыл бұрын
Tuvumilie watu wangu hii ndo maisha ya Mkristo kwelikweli
@Dawinsifuna
@Dawinsifuna Жыл бұрын
Uwa unipendeza na kuipandisha Imani angu
@vincentmwanthi366
@vincentmwanthi366 Жыл бұрын
Wimbo mnzuri
@CizaFrancine-
@CizaFrancine- Жыл бұрын
Iyo njia ninzuri lakini wengi tunaiogopa 😢😢 eeeee mungu nakuomba uzidi kutufunua macho tujuwe kwamba iyo ndio njia peke yakukombolewa kwa kila anae kuamini 😢🙏🙏🙏
@musaliaeugene7975
@musaliaeugene7975 Жыл бұрын
Kwakweli nyimbo zako kaka zina ujumbe nzuri napenda sana
@SaraphinOnyango
@SaraphinOnyango 11 ай бұрын
What a transforming song!! Mila na mitambiko za familia nimeziacha weee!!! Be blessed and may God lift you higher and higher.very strong messages bro
@karungu4254
@karungu4254 Жыл бұрын
Praise Our Lord Almighty🙏
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Mungu. Amekupa😭😭😭😭fudiso😮kwetu🏃🏃🏃🏃lakini. Atuonii
@Nadinekwizera
@Nadinekwizera Жыл бұрын
Mungu akubaliki
@momanyijames1785
@momanyijames1785 Жыл бұрын
My favorite in Tanzania kakangu Asante kwa wimbo mzuri keep it burning 🔥🔥🔥🔥💯💯💯
@JaneMomanyi-mh5kk
@JaneMomanyi-mh5kk 2 ай бұрын
Mama.atakama ni kiwete niwamuhimu Sanaa congrats 👏 🎉❤i love this song too much
@SaraAa-m9r
@SaraAa-m9r Жыл бұрын
much love from Saudi Arabia nyimbo zako hunibariki sana bro be blessed 🙏❤️
@DorcasChirimwami
@DorcasChirimwami 3 күн бұрын
Mungu akuwezeshe na akutiye nguvu na akubariki una kipaji kabisa napenda nyimbo zako niko Congo
@lisettemahamba5164
@lisettemahamba5164 Жыл бұрын
Barikiweni mtumishi mwenzangu 💚
@JustinGodfry
@JustinGodfry Жыл бұрын
sarut Kwa YESU kupitia kwako kaka chapa Kaz tuko pamoja nataman tukutane 🙏
@AnithaEdson
@AnithaEdson 7 ай бұрын
Uwiiiii mm nimjanja wa kristo sina ujanja tenaa barikiwa sana brother
@emmymongina5420
@emmymongina5420 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤ you really inspire me ,you are really anointed to gospel 🙌🇪🇺 🇪🇺 🇰🇪
@ZawadiRimba-gy4dn
@ZawadiRimba-gy4dn Жыл бұрын
Barikiwa sana na bwana baba mtumishi
@AileenKathambi
@AileenKathambi 9 ай бұрын
Huu wimbo umenitia nguvu sana nampenda Mungu....may God bless you muimbaji
@JimmyWanzambe-xw8vp
@JimmyWanzambe-xw8vp Жыл бұрын
Ilove your songs bro....nanikuambia mara mia uko na mafuta sawia na Angela chimbalonza...Kenya is your second home we love u
@StacyIsaac-br9dm
@StacyIsaac-br9dm 3 ай бұрын
Nimebarikiwa kutoka kwa nyimbo zako,mungu akulinde sana mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏
@GrecNiko
@GrecNiko Жыл бұрын
😮😮😮😮😢 ubalkiw kaka ❤
@CeciliaMutua-pu8ds
@CeciliaMutua-pu8ds 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana nyimbo zako zinafunza🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@KISWETAKOCHIKUDADADEKII
@KISWETAKOCHIKUDADADEKII Жыл бұрын
Mungu akuongezee baraka
@JibeMwaijibe-p1z
@JibeMwaijibe-p1z 2 ай бұрын
Kumbe na wewe ni kajinga tu kama wengine unaotuletea malaya wakate mauno kwa yesu kristo.
@jumaephraim5949
@jumaephraim5949 Жыл бұрын
You have good messages bro, siku hizi uko juuu
@Cristian254-yld
@Cristian254-yld Жыл бұрын
Hiiiiii inmeenda ni kweli kuishi ni kristo kufa ni faida 🙏🙏
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 Жыл бұрын
MUNGU aonekanike zaidi ndani yako Katika jina kuu lizidilo majina yote la YESU KRISTO MNAZALETI ALIYE HAII 🙏🏻
@scholarnthambi3564
@scholarnthambi3564 Жыл бұрын
God bless you Anoint Amani for the blessing song.....from Kenya we love you
@ubuzimabwaclaudine9798
@ubuzimabwaclaudine9798 Жыл бұрын
Amen nikweli kuishi ni Cristo nakufa ni faida kwakila mu Cristo wakweli
@magrete483
@magrete483 Жыл бұрын
Woow😭😭😭😭😭😭❤❤❤❤❤
@Chebaibaiever
@Chebaibaiever Жыл бұрын
Your songs are always a blessing to me and my daughter..... it has lift us up from dust. I know God uses different ways to reach his children... may you be blessed man of God. Blessed Voice indeed ❤❤❤. Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@layanabdullah8758
@layanabdullah8758 Жыл бұрын
Hongera Annoint Amani 🙏🙏
@aaronmailuofficial251
@aaronmailuofficial251 Жыл бұрын
Amina ..tunamwishia yesu .sifa na utukufu ziwe kwa mungu 😢
@naturalhairartist8540
@naturalhairartist8540 Жыл бұрын
Kwa Imani Mungu ni mkuu
@princess.kawiraa
@princess.kawiraa Жыл бұрын
Waiting 🎉🎉
@nduhuramugisho2413
@nduhuramugisho2413 8 ай бұрын
Mungu azidi kukupa nguvu Baba hiii nyimbo inanifariji sana
@fidesinimahye5376
@fidesinimahye5376 Жыл бұрын
God bless you kaka yetu kwawimbo muzuli sana 🙏 🙏🙏🙏❤❤
@RaulentBh
@RaulentBh 11 ай бұрын
Aaamen mungu azidi kukupaka mafuta maana wew nichombo chake nikiwa kahama nazudi kukufuatlia nabalikiwa
@SteveMwanja-u6n
@SteveMwanja-u6n Жыл бұрын
❤am from Nairobi Kenya I really love your songs
@fancymogaka2542
@fancymogaka2542 Жыл бұрын
Nice song 🤝🙏🙏
@RYNKENYA
@RYNKENYA Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@annjepoo82
@annjepoo82 Жыл бұрын
Nyimbo zako sanibariki sanaa nimeokoka thru ur songs amen
@FloraAsenga
@FloraAsenga 5 ай бұрын
Nikweli baba aishie na kristo atapata Raha daima
@dornesh1010
@dornesh1010 Жыл бұрын
Much lov from Kenya such a powerful song
@mokogoti1817
@mokogoti1817 Жыл бұрын
God is God always 🙏 😢❤
@DinahObote
@DinahObote Жыл бұрын
Much love from kenya...be blessed bro ,nimebarikiwa na nyimbo
@barakakireton-kf2gw
@barakakireton-kf2gw 11 ай бұрын
Nice wimbo piga kwa ajili ya mungu wako amen
@reginamaranga
@reginamaranga 10 ай бұрын
Nadhan n a waiguru wanamkataa yesu,, mungu akishaamua ameamua
@suzy641
@suzy641 Жыл бұрын
Kaka hongera,naomba no zako na maongez nawe
@mary-cm5je
@mary-cm5je Жыл бұрын
Wimbo.wa mavundizo na.wamajosi 😭😭🇰🇪
@damarisomagwa6400
@damarisomagwa6400 Жыл бұрын
Watching from gulf countries good song , may God continue to bless you
@nicksaigilumwimbaji6002
@nicksaigilumwimbaji6002 Жыл бұрын
Ameen oleng bro Thanks congratulations bro❤❤❤❤❤
@magrete483
@magrete483 Жыл бұрын
Thanks my king 👑👑😭🔥🔥🔥
@sarahmukandutiye7114
@sarahmukandutiye7114 Жыл бұрын
Mungu akubariki🙏🙏🙏♥️♥️💪👍💖
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 336 М.
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 56 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
BAABA NATAMANI NIKUONE, NISEME NINI BABA AND WEWE NI BABA MWEMA KWANGU
26:31
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 1,8 МЛН
BEST OF ANNOINT AMANI TZ MIXED BY DJ COLLITER
48:30
DJ COLLITER TV
Рет қаралды 95 М.
Tazama Chief Odemba Akimhoji  Maswali Magumu Kamanda Muliro
28:34
Annoint Amani = Wewe ni Nani ? ( official video )
4:59
Annoint Amani
Рет қаралды 1,5 МЛН
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 6 МЛН
Annoint Amani - Chumba cha siri ( Official music Video )
11:52
Annoint Amani
Рет қаралды 323 М.
SEMA NAMI[Mama Jusi choir cover] SIOGOPI KWA YESU, MIMI NINAKUPENDA YESU & NIPUNGUE By MIN DANYBLESS
38:18
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 137 М.
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 56 МЛН